Kwa Mozambique kaka hujakosea kudadeki yule mzungu wa mtepweshi alivyogundua kwamba mashefi ( maaskari) wanaingiza watu ktk Poli lake akawaga sumu ktk vyanzo vya maji ya kunywa kudadeki kipindupindu sio kipindupindu daahh wapumzike Kwa Amani wote waliopatwa na umauti wakati ule
Mungu akulinde kaka salimu alumasi
History hii ,,inanikumbushabar sana mungu akutunze salim,❤❤❤❤❤❤
so inspiring
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah❤❤❤❤
❤️ALHAMDULILLAH❤️
Namkubali sana huyu mwamba yuko social sana natamani sikumoja nimuone.
Dad❤
Najifunza sana kupitia awa matajir
"Siri ya utajiri ni siri hivohivo,hakuna tajiri akajitokeza kuelezea siri ya utajir wake coz ni siri" any way wahamasishe vjana
Wakinga wanasema ukipotea nenda jua linapotokea
Kwa Mozambique kaka hujakosea kudadeki yule mzungu wa mtepweshi alivyogundua kwamba mashefi ( maaskari) wanaingiza watu ktk Poli lake akawaga sumu ktk vyanzo vya maji ya kunywa kudadeki kipindupindu sio kipindupindu daahh wapumzike Kwa Amani wote waliopatwa na umauti wakati ule
Nime ishi msumbiji kwa muda kadhaa, anacho kieleza ndugu Salim kwenye hali ya migodi ni true story.
Ni kama fani ya ujenzi.watafundishwa wakandarasi kujenga daraja la boxboard.madaraja ya nguzo baharini ni level ya ngozi nyeupe.
Promo ni kubwa kuliko
Mwenye namba ya huyu jamaa anipe
Njoo nicheki
Nichek
Du