Both houses are nice, ya msechu 1, mwijaku 2, aristote last. Am an architect and engineer but aristote has over used materials. one secret about house, white and black colour is the best
Mungu akubariki wewe na family yako,mke wako umempa nafasi tunayo ithamini wanawake wengi ana bahati kupata mume kama wewe,ndoto zanu zimetimia kwa kishindo na kutuacha mdomo wazi big congrats bro
Ninavyopenda mambo ya nyumba na makazi Mungu mwenyewe anajua... Niwape hongera Mr & Mrs kwa kufikia malengo mliojiwekea hii ndio maana ya ushirikiano wa wanandoa.
Msechu binafsi mmeniinspire sana wewe pamoja na mkewe.Kupitia hii nyumba nami naweka malengo ya ujenzi.2030 nitawaita millardayo kwenye nyumba yangu.😊😊
Namuelewa sana Msechu namna anavoelezea kwa hisia, namuelewa vzr sana. Mungu nakuomba uniinue kiuchumi na unipe hekima pia niweze kufika hatua hii. Kwa jina la Yesu.
Daaah he is a family man, unaona kabisa moyo wake upo kwa familia yake. Kwanini usitoboe!! Hongera sana sana. I connect to such grace. Iwe hivyo na kwangu pia 🙌🙌🙌
Hongera sana kaka. Nimependa sana ujumbe wako unatia moyo kwa watu wengine tunaojitafta unatutia moyo na wengine kutokukata tamaa kwenye maisha big up bro🎉
Wanawake wa saivi anataka akija akute ushajenga mjumba, una magari yeye aje na jibegi lake la nguo tu aingie ndani😅 hawatutaki tukiwa tuna hussle ili tupambane pamoja, hadi tufanikiwe ndo wanajileta
Mume kapata mke na Mke kapata mume" ongeleni saana, Ehee Mwenyezi Mungu wajalie hawa wajawako maelewano na upendo endelevu sikuzote za maisha yao, uwaepushe na kila lililokinyume nao, furaha ya huyu ikawe kwa huyu na furaha ya huyu ikawe kwa huyu pia na familia yao" Amen.
Hongera kakaangu mungu ampe maisha marefu ufanye mengi zaidu ya hayo .usitulie useme umemaliza manaume nikupambana hongera kwa mkewo mshauri wa familia❤
Nimekuwa inspired sana na hii kitu kwa uwezo WA mungu siku moja nitakuja kuishi sehemu yangu mzur hataka kama isifikie hii ila angalau namm nitakuwa nimetimiza ndoto yangu..hongera sana peter msechu
Hongera sana Peter! Watakao kubeza hawana akili! Funzo kubwa heshimuni sana wake zenu na muwashirikishe kwenye maendeleo! Mungu azidi kukuinua Peter na mkeo kipenzi mama lolo
Hongereni sana .Hii ni mala ya kwanza kutoa comm.Nakumbuka mlivyojitoa kwa KUMWIMBIA Mungu Kkkt enzi hizo usharika wa kigoma mjini , kuanzia Baba,mama na Watoto.Haya ASANTE MUNGU ANAJIBU.WEWE UKUMBUKI MBEGU ULIYOIPANDA KWA MUNGU.SALUT
Mungu akunariki sana Peter. Kila anajenga but damn, beauty ya nyumba yako niyakipekee. Clip imeonesha nje tu inakufanya mtu utake kujua ndani kutakuaje. InshaAllah nami soon im following your steps🙏🏾🙏🏾
Tumemchoka na yy kila leo hatupumui nyumba nyumba kina Kiba kina Samata wana mijengo ya maana mbona hatuoni wakijitapa kila leo huyu Muha ni mshamba na km hujui huyo anatangaza biashara ya hao waliojenga hiyo Nyumba upo TT
Hongereni sana Mr $ Mrs Msechu,hakika huu ndo umoja na mshikamano unaotakiwa kwenye ndoa. Haijalishi mnapitia changamoto zipi lkn mme akimpenda,kumthamini,kuwa muwazi na kumheshimu mke,kwa vyoyote vile mke atamtii mume wake na maisha yataenda vizuri
Safi sana Mr msechu Mungu akikubariki lazima ushukuru na kufrahi Hongera sana nanimejifunza kitu kutoka kwako na mm nitaanza kumbe inawezekana kumiliki nyumba ninayo itaka natakiwa kuwa na nidhamu ya pesa
Kila binadamu ana ndoto ya kuishi kwenye nyumba kama hii na zaidi!! Hongereni sana kwa kweli!! Nimependa sana hiyo sentenso ya Mimi na mke wangu!!
Hongera kwanao jua ujenzi nini tumekuelewa narudia tena hongera bro☝️👍
Mungu muumba wa mbingu na nchi amlinde Peter msechu na familia yake Amen.
Amen
Na wewe pia, akutimizie ndoto zako
Dah bro peter ameniinspire sana MUNGU ambariki tusiache kupambania ndoto zetu siku zote
Msechu Nyumba yako ni nzuri sanaaa kuliko ya Mwijaku Msechu nakupa mauwa yakooo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Both houses are nice, ya msechu 1, mwijaku 2, aristote last. Am an architect and engineer but aristote has over used materials. one secret about house, white and black colour is the best
Mungu nibariki nguvu na mm niweze miliki kama hii naamini inawezekna ilimradi napambana...Hongera sana Msechu
Aamin yaa Rabby.wewe na ss pia
Itakuwa hvyo
Hongera Mr*Mrs Peter Msechu endeleeni kumcha na kumpenda Mungu
Kila mtu anatamani kuishi kwenye nyumba nzuri tena aliyoijenga mwenyewe. Hongera sana Peter na Mkeo kweli mmeweza
Mungu akubariki wewe na family yako,mke wako umempa nafasi tunayo ithamini wanawake wengi ana bahati kupata mume kama wewe,ndoto zanu zimetimia kwa kishindo na kutuacha mdomo wazi big congrats bro
Msechu umenifanya nijifikirie mara mbili mbili... 💪
Haaaaahaaaaa
Thats awesome. Hongera BIG Peter kwa kujenga nyumba nzuri. You have spoken important things to wasanii
Bwana Yesu awasaidie mkae salama mpaka muishi miaka 99 mkiwa pamoja Bwana awalinde
Mungu akubariki sana Peter Msechu kwa vile unavyomthamini mke wako.
Ninavyopenda mambo ya nyumba na makazi Mungu mwenyewe anajua... Niwape hongera Mr & Mrs kwa kufikia malengo mliojiwekea hii ndio maana ya ushirikiano wa wanandoa.
Napenda msechu anavompa kipaumbele mke wake napenda sanaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ na mungu awabariki
VIP na ww nianze kukupa priority
Aisee hii ni ya kuigwa jilindeni ombeni sana hili lisiondoke kwenu na shetani asipate nafasi hongereni
ndio maana wanafanikiwa
Wanaume wengi waliowaamini wake zao na kuwashirikisha kwenye mambo ya maendeleo ndani ya familia Trust Me *WAMEFANIKIWA*
Kuna watu hawaamini katika Mungu;Msechu waoneshe kuwa MUNGU anaishi ndani yetu.
Amina Mungu anatenda sana ukimuamini
Wewe lala usijitume uone kama Mungu atatenda au wasubili wagalatia watende😂
This man is a role model to many 😍😍😍❤️❤️❤️
Msechu binafsi mmeniinspire sana wewe pamoja na mkewe.Kupitia hii nyumba nami naweka malengo ya ujenzi.2030 nitawaita millardayo kwenye nyumba yangu.😊😊
Mme wangu Shitindi tutegemee nyumba kama hii miaka ijayo.. acha tumuombe Mungu uzima,,, hongera sana Mr and Mrs msechu🥰
Hahahahhha
Congrats father Msechu kwa kufanikiwa kumilik chako
Yaan Msechu kanifanya niache kuwaza kujenga ghorofa very classic home❤
Namuelewa sana Msechu namna anavoelezea kwa hisia, namuelewa vzr sana. Mungu nakuomba uniinue kiuchumi na unipe hekima pia niweze kufika hatua hii. Kwa jina la Yesu.
Kwenye kila maendeleo ya mwanaume kuna mwanamke nyuma yake❤ umechagua fungu lililo bora
Hongera sana na Mfike mbali🎉
Hakika Hakika Hakika
Power!!
I'm inspired, congratulations brother 🙏
Hongera sana Peter Msechu na Mkeo.., Mwenyenzi Mungu Awabariki sana na watoto wenu!!!
Daaah he is a family man, unaona kabisa moyo wake upo kwa familia yake. Kwanini usitoboe!! Hongera sana sana. I connect to such grace. Iwe hivyo na kwangu pia 🙌🙌🙌
Hongera sana kaka. Nimependa sana ujumbe wako unatia moyo kwa watu wengine tunaojitafta unatutia moyo na wengine kutokukata tamaa kwenye maisha big up bro🎉
The house is real Nice...! Hongera sanaaa Peter na Mke wako. Amazing House🎉🎉🎉🎉
Hongera Sana mungu akuzidishie zaidi na zaidi
Mashllh mashallh....nyumba nzurisanasana...hongerenisn...mungu awajaalie maisha ya furaha awaepushe na hasadi za viumbe vyake..
Nyumba ni nzuri sanaaaaa yaaani sanaaaaaa
Nadhani huyu ndio msani alie heshimisha sana yake.
Ongera sana brother umenipa usongo na wivu wa maendeleo.
Big up brother
Heshima yako.
ishi kwenye ndoto zako big up umeua congratulations
Be blessed my brother. Soo inspirational😊
Mfano wa ku igwa , felicitations Piter 🌷🍂🙏🏾🔥
Honestly, I love every in this house. Nice achievement my brother.
Hongera sana peter Msechu you deserve to be a role model
Alhamdulilah. Mungu awajalie na familia yako
Wanawake wa saivi anataka akija akute ushajenga mjumba, una magari yeye aje na jibegi lake la nguo tu aingie ndani😅 hawatutaki tukiwa tuna hussle ili tupambane pamoja, hadi tufanikiwe ndo wanajileta
Hongera Brother na family yako;nyumba nzuri.
Mfano WA kuigwa Kwa Peter msechu from wasanii to watu WA kawaida.... Peter msechu ❤❤❤
Napenda mama Lolo anavotumia maneno "Tulifanya, tulikusanya, etc". UMOJA NI NGUVU.
AMAZING..... !!! MAASHAALLAH
Mume kapata mke na Mke kapata mume" ongeleni saana, Ehee Mwenyezi Mungu wajalie hawa wajawako maelewano na upendo endelevu sikuzote za maisha yao, uwaepushe na kila lililokinyume nao, furaha ya huyu ikawe kwa huyu na furaha ya huyu ikawe kwa huyu pia na familia yao" Amen.
Kwa kweli hata mimi nimejifunza kitu hapo. Hongereni sana Bw. & Bibi Msechu.
Wapi baba levo😂😂😂😂😂😂😂😂Congrats🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Msechu
Ma sha allah. Namuomba Mungu akujaalieni iwe nyumba ya furaha na amani. Na mzidi kuelewana.🇹🇿🇴🇲
Congratulations Mr. Peter...you truly are a role model
Watoto na mke part wanavyogombania remote ya a/c n.k 😢 I felt that father's joy
Hongera kakaangu mungu ampe maisha marefu ufanye mengi zaidu ya hayo .usitulie useme umemaliza manaume nikupambana hongera kwa mkewo mshauri wa familia❤
Kuazia sasa ngoja niwe kalibu sasa na mkewangu kwastaili apana ubabe naweka pemben kuazia leo asante msechu
Na uyo mke wako awe na akili sasa
Bonge moja la nyumba congratulations msechu family ❤
Safi Sana🔥🔥🔥tujifunzee ❤️❤️ Hongereni sanaaa na MUNGU awape mda mrefu wa kuishi kwa nyumba yenu🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Aristote naye alisema ana nyumba eeeeh😂😂😂😂😂basi sawa
MashaAllah 🎉🎉pongezi kubwa kwa hii family,MashaAllah 🎉🎉🎉
Hii ni zaid ya nyumba,mara nyingi huwa naona kwenye kideo hasa mijumba ya dubai❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Hongera sn Peter na Mkewo Mungu awatunze na kuwabariki zaidi.❤
Nimekuwa inspired sana na hii kitu kwa uwezo WA mungu siku moja nitakuja kuishi sehemu yangu mzur hataka kama isifikie hii ila angalau namm nitakuwa nimetimiza ndoto yangu..hongera sana peter msechu
Hongera sana Peter! Watakao kubeza hawana akili! Funzo kubwa heshimuni sana wake zenu na muwashirikishe kwenye maendeleo! Mungu azidi kukuinua Peter na mkeo kipenzi mama lolo
Sio kila mke au mwanamke ana akili kama za mama Lolo ujuee!!!
@@konshazikonsha6180Sahihi mzee
Wow that's awesome, big up kwake
Hongereni sana .Hii ni mala ya kwanza kutoa comm.Nakumbuka mlivyojitoa kwa KUMWIMBIA Mungu Kkkt enzi hizo usharika wa kigoma mjini , kuanzia Baba,mama na Watoto.Haya ASANTE MUNGU ANAJIBU.WEWE UKUMBUKI MBEGU ULIYOIPANDA KWA MUNGU.SALUT
Hongera sana Bro, Mashallah 🙏
Mungu akunariki sana Peter. Kila anajenga but damn, beauty ya nyumba yako niyakipekee. Clip imeonesha nje tu inakufanya mtu utake kujua ndani kutakuaje. InshaAllah nami soon im following your steps🙏🏾🙏🏾
Blessed Brother you and your family..
Kwenye mambo ya kipuuzi utakuta comment 10000. Ila kwenye vitu kama ivi unakuta tano. Tuuzwe tu😅
Unadhani watu wanapendaga maendeleo ya watu ingekuwa connection hapo ndo ungeona wasingelala leo😂
😅😅😅
Ww ndie unaona upuuzi mwenzako kufanikiwa. Fanya kama vile unajenga Yako milady ayo aje akutangaze tu like
Tumemchoka na yy kila leo hatupumui nyumba nyumba kina Kiba kina Samata wana mijengo ya maana mbona hatuoni wakijitapa kila leo huyu Muha ni mshamba na km hujui huyo anatangaza biashara ya hao waliojenga hiyo Nyumba upo TT
@@directorabiero340hujamuelewa
Hongereni sana Mr $ Mrs Msechu,hakika huu ndo umoja na mshikamano unaotakiwa kwenye ndoa.
Haijalishi mnapitia changamoto zipi lkn mme akimpenda,kumthamini,kuwa muwazi na kumheshimu mke,kwa vyoyote vile mke atamtii mume wake na maisha yataenda vizuri
MIMI NAONA NI BIG INSPIRATION KWA SISI VIJANA TUNAO AZA MAISHA NAKUKUBALI SANA BRO MSECHU ONE LUV🤝
Mashallah safi sana msechuu, with the help of Almighty God under the sun nothing impossible brother
Hongera peter ni msanii mwenye akili ya kimaisha
MashaAllah! Hongera sana Brother Peter Msechu.
Safi sana Mr msechu Mungu akikubariki lazima ushukuru na kufrahi Hongera sana nanimejifunza kitu kutoka kwako na mm nitaanza kumbe inawezekana kumiliki nyumba ninayo itaka natakiwa kuwa na nidhamu ya pesa
Nyie ayo tv safi sn hizi ndo habari na hongera sn peter msechu umeonyesha mfano kwa vijana na wasani kwa ujumla....big up.
Hongereni sana kwa kupambania ndoto zenu. Nyie ni watu na nusu na Mungu awajaalie ndoa yenu idumu, muwe na furaha na amani siku zenu zote.
Jishaue Peter na mkeo ...Enjoy baba...tamba tamba sana...kimfaacho mtu chake. Usisikie ya watu Peter..Una nyumba nzuri nzuri sana. Nzuri mno
Amazing 👏
Kwakweli hongereni sana na Mungu awabariki kumiliki nyumba ni jambo na khey sana
Congratulations brother.. everything is God 🙏
waoooo hongera sana msechu
Woow Peter Msechu. Big up aisee. Umenitamanisha sana bro. One day
Mbarikiwe saana, Mungu Ni mwema Saaana wakati wote
Hongera sana Munene mwenzangu...
Hongera sana Msechu nimekuwa naku admire toka enzi za Tusker Project Fame.Umekuwa mfano wa vijana wengi na hii ndo maana halisi ya kuwa kioo cha Jamii
Congratulations to them ❤❤
Hongera sana kaka!!! Mungu akuongezee!!! True Hustler!!!
Hongera sana bro I appreciate you for this 👏👏👏
Safi sana unaongea Kwa hekima hongera sana
Amen..mmefanya vizuri..Mungu azidi kuwabariki
Msechu, hakika suala la mke,
Ampatae mke mwema amepata kitu bora sana
Umepata mke, Ubarikiwe.
Hongereni sana Mr and Mrs Msechu 👏🏻👏🏻
Hongera mama Lolo mpende sana mumbo kama anavyokupenda daa !! Mungu awesome nanyi daima❤❤❤❤❤❤❤
Peter congrats ishi maisha yako, enjoy yourself, above all mjue sana MUNGU!
Wow hongera Sana Mr &Mrs msechu umepambana Sana kaka yangu m/mungu azid kukulinda
Good job ❤ Mungu azidi kuwabariki muongeze na zingine
Hongera kwako Brother Peter pamoja na Mke Mwema uliye naye...
Nimependa kwakweli ❤
Msechu icho sio kido nikikubwa sana na umenifulaisa mno kwa jinsi unavyo penda familia yako mungu akubariki Sana🙏🏾🙏🏾
Congratulations, The house aise ni kali sana
Waooooo nakuelewa Sana broo
Nakuelewa Sana broo na nmejifunza Mambo mengi Sana kwako
You have inspired me alot brother,,may God bless you
Hongera sana sana Mr and Mrs Msechu.
Hongeren sana kwa kazi nzur