BIBI WA MIAKA 60 APEWA ONYO ZITO LEO, APEWA MANENO MAZITO, NI HUZUNI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 208

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 Год назад +15

    Mashallah umependeza sana mama,na ww mtangazaji nakupenda mm jamani na sauti yako hiyo Mashallah nawapenda sana from kenya 😊

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 Год назад +1

      Wewe mama una kufuru sana huyo aliyekuumba ndie aliyemuumba huyo bibi unaesema hatazamiki, n'a hiyo kufuru unayo sema kua iwapo ni mtoto wako ungejitupa dirishani basi , subiri utakiona kilichomtoa kanga manyoa kwani . Mungu ndie anayepanga hayo yote how Come mtu mzima kama wewe uzungumze hivyo ngojea jawabu la . Mungu wewe kila mtu ana riziki yake mbona wanaume watu wazima wanaowa 'vijana? Au tuseme huô ni wivu tu 😡😡😡😡

  • @ghotmedia
    @ghotmedia Год назад +37

    Aliyesikia mtu mzima anakuwa mtamu Kama supu gonga like❤

    • @lulumyungile5942
      @lulumyungile5942 Год назад

      Nmegonga bahat mbaya anko wangu mwenzako🙈🤔

    • @MagrethMarcel
      @MagrethMarcel Год назад

      Mwacheni aolewe kwani SI uamuz wake? Uyo kijana anajua alichokipenda hataki usumbufu katulia Kwa bb

    • @MagrethMarcel
      @MagrethMarcel Год назад

      Jamani nyie si Mungu mbona make wa Ibrahim alizaa na miaka tisini Mungu sio mwanadam anaeza akampa mtoto kwanza msimhukum hukum juu ya Mungu

    • @saidailvuai1341
      @saidailvuai1341 Год назад

      ​@@lulumyungile59422mins

    • @rezicky
      @rezicky Год назад

      😂😂

  • @catherinemumbua8251
    @catherinemumbua8251 Год назад +6

    Eti kajishusha heshima!! Love is a beautiful thing and is between everyone so long as they love each other. Wacheni ushamba this is the 21st century. Ndoa nzuri is where the couple love and respect each other doesn't matter the age.

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 Год назад +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 umependeza dada yangu unaongea vizuri sana

  • @makenemboko530
    @makenemboko530 Год назад +4

    Iyo nikweli Dada ❤❤❤❤ unahongeya vizuri Sana Dada yangu. ❤❤❤.

  • @halimaali2999
    @halimaali2999 Год назад +4

    Mama yangu Masha-Allah ❤❤

  • @ZubedaHussein-it7nf
    @ZubedaHussein-it7nf Год назад +5

    Uyu kungwiiii nmpenda 🥰🥰

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg Год назад +4

    Aiseeee!!! Unatisha Sana mama, Asante kwa somo.

  • @solangebagal149
    @solangebagal149 Год назад +4

    Ukweli mtup,mama hongera mashallah 💞💞💞💞🤝🤝🤝🙏

  • @lucymumbi5460
    @lucymumbi5460 Год назад +5

    Kapenda uyu dada ana mawaidha pia

  • @HansiRamadhani
    @HansiRamadhani Год назад +1

    Mm love kugwi unaroho mbaya

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад +3

    Masha Allah kapendeza kungwi ❤❤❤

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 Год назад +8

    Mashallah dadangu umependeza sana mashallah 👍 makeup 💄 nzuri 😊

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Год назад +1

    Mm nampenda sana mama love kungwi❤❤❤❤❤❤

  • @judithkadhengi7230
    @judithkadhengi7230 Год назад +2

    Much love mum

  • @eunicetumainieunicetumaini6547
    @eunicetumainieunicetumaini6547 Год назад +4

    Nmependa mama love na mrembo wake na maongez ak love you guys

  • @JudithNyanza-le1sh
    @JudithNyanza-le1sh Год назад +1

    Kumbe ni igizo.😢😢. Wamsaidie aendelee litoke kwenye Luninga. Kijana aliye mtumia huyu mama amlipe staiki yake.

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Год назад +6

    Nimecheka kwa sauti hadi maboss kazini wameshaangaa nimekuwa chiz nini? Eti marida na kufa kuzungu.jamani dunia hii inamengi mambo.allah awastir watoto wetu awaongozee kila lenye kheri na wao.

  • @maimunaussi-lr3ze
    @maimunaussi-lr3ze Год назад

    mhh marinda,mkeka

  • @aishaphilimon8013
    @aishaphilimon8013 Год назад +2

    Acheni maneno hayo,mlitaka awe mzinifu

  • @lauraabass1077
    @lauraabass1077 Год назад +1

    Ni kweli Kungwi kipenzi inauma kama inatokea Situation kama hiyo. But ni busara usimalize maneno my dear

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад

    Uko sahihi

  • @sophiamasululi166
    @sophiamasululi166 Год назад

    Waoooo mwambieeejaman niaibu

  • @medarute-yo6qz
    @medarute-yo6qz Год назад +4

    Jamani mama nimesikia maneno Yako yamenifurahisha

  • @audreyirakoze7807
    @audreyirakoze7807 Год назад +4

    Kungwiii asante sanaa🤣🤣🤣👌🇧🇮

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Год назад

    Rahaa mama love

  • @AliceAlice-ol5zv
    @AliceAlice-ol5zv Год назад +2

    Hahah 🤣🤣🤣 mamangu nakuunga mikono hapo chaCha😅😅waongea vizuri napenda

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Год назад +1

    Jorå mana nilitaka niseme mama love awe kungwi

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge Год назад +1

    HUJIELEWI HUNA HAYA WTOTO WAKO WANAKUSIKIA UKISEMA MANENO MACHAFU.

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Год назад

    Nicheka kweli mamma i love unapendeza hadi raha

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Год назад +5

    umeonges vizur mama❤❤❤❤❤❤❤

  • @wardashabani
    @wardashabani Год назад

    Jaman wandish mtupuzishe haki tumechoka na hiz habar

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +1

    Yaan mtangazaji nakupenda wewe hatari 👍👍👍❤❤❤

  • @abbashussein-hz4dr
    @abbashussein-hz4dr Год назад +3

    Mama kungwi ndoa imekupendeza mama yetu mbona yy kaolewa na kijana na yy

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 Год назад +1

    Usikufuru mama watoto wetu wabishi hasa umaskini unachangia wanafuata pesa. Kama unajiweza mtimizie huwezi Basi muache aende kwa huyu bb. Usimkashifu huyu bb hataki zinaa ndo Mana kaamua kuolewa. Muoneeni huruma huyu bb

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Год назад

      Mdomo nyumba ya maneno lkn asiombe kukutana na uo mtihani mwanawe anaweza akaowa bibi mtu mzima kabisa ..na asiseme kitu ..eti anasema atajirusha mmh naona kafika mbali anakufuru sana kumdiss mama wa watu...aache kusema maneno makali kwa mwenziwe.

  • @EmmanuelKenga-h1g
    @EmmanuelKenga-h1g Год назад +1

    Huyo Love kungwi hajui kuongea coz anaongea matope tu. Angekua Muzungu asinge sema kitu waafrika wana shida. Matope yake sisi hatuyataki

  • @priscillawilliam3603
    @priscillawilliam3603 Год назад

    Nashukuru kwa kuwafunga mdomo hao wanaomwita mara bibi ajuza

  • @Faizamideva-bv6oo
    @Faizamideva-bv6oo Год назад

    Kabisa

  • @beatricemark3187
    @beatricemark3187 Год назад

    Naomba namba zauyu mama nataka kufundwa na mimi mwabieni

  • @Twahillyabdallah
    @Twahillyabdallah Год назад +2

    Muojini Tena uyo mama anatoa vitu ngongi sana safi sana mama angu🎉

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj Год назад

    Nampatajeh hyo mama

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 Год назад +2

    Swadaktaa 🤝 kabisaaa ❤

  • @Dimitry-cb5tb
    @Dimitry-cb5tb Год назад

    Jaman kugwi kuna kijana ana miaka 27 ananipenda anatamani kufunga ndoa na mm nina umri wa miaka 38 inafaa

  • @ShaameSharif-rp3lw
    @ShaameSharif-rp3lw Год назад +1

    Duuh hii ngumu kumeza, Kama utam ndio huo wadada huenda wasiolewe tena.

    • @gracejulius6913
      @gracejulius6913 Год назад

      Nina miaka 20 boe usije ukaniacha ukimbilie kwa bibi .. kisa umesikia bibi tamu🤣🤣

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 Год назад +5

    Waa 40 ata sio bibi woiyee 40 mbona bado mubichi jamaa😂😂😂😂😂

  • @shijakuligi2674
    @shijakuligi2674 Год назад

    Umesema kweli mola akulipe kheri katika hili dada yangu.....

  • @milkamunywoki210
    @milkamunywoki210 Год назад +1

    Never say never kuishi kwingi kuona mengi

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho Год назад +4

    Nikimuona huyu kungwi nahisi kama nanusa udi wa kizanzibari wenye harufu nzuri ya kuvutia.😅

  • @boashamah3642
    @boashamah3642 Год назад

    Eti ukikuta masikani pamejikunja kama mkeka , sketi yenye marinda
    Unaanza kukunjakunja
    Laaaa😂😂😂

  • @Elecovid
    @Elecovid 10 месяцев назад

    Mama yuko fiti

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад

    Nimeelewa point ya mama kwel skuiz tnafata utlvu attack Mambo mengi

  • @angemugisha7056
    @angemugisha7056 Год назад

    It’s true

  • @najmaaa6548
    @najmaaa6548 Год назад +2

    Nakupenda mamangu ❤❤

  • @user-gb3fk1yt8n
    @user-gb3fk1yt8n Год назад

    Mi nampenda. Huyu mama. Mm nitakutafuta. Mamangu

  • @sarahmwakilasa7425
    @sarahmwakilasa7425 Год назад

    Jamani

  • @Mohamed-uz8id
    @Mohamed-uz8id Год назад

    😀😀 et anakwayayake

  • @agneschege6842
    @agneschege6842 Год назад

    Wah makubwa haya eti nhozi kajikuja Kaa mkekaa😂😂😂❤❤

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 4 часа назад

    Nimecheka sana kungwi unafulahisha sana

  • @naomiopondo2109
    @naomiopondo2109 Год назад +3

    Nawaskiza lazima mama asikizwe

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 Год назад

    Bibi ana movie yake😂

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 Год назад

    Wazee wamwambao asilimia kubwa hawana haya wanajitia nyege mshindo kashakua mzee kinyaa lakin kashidwa kujiuliza yeye atazaa lin

  • @jumakhelefu3065
    @jumakhelefu3065 Год назад +2

    Huyu kungwi mm namkubali asilimia 100% anaongea ukweli kabisa maneno yke mafunzo tosha

  • @beth6572
    @beth6572 Год назад

    Uyo kijana vile ana nguvu siatamfanya uyo nyanya akazimia katikati 😅😅😅daa anavumilia iyo mjulus 😅😅😅

  • @shakukawele9959
    @shakukawele9959 Год назад

    Kweli kabisaaa inatia aibu jamani dunia hii ina mambo 😭😭🤭

  • @mwanajaajuma9042
    @mwanajaajuma9042 Год назад

    Nimekupenda buree mamangu

  • @dollar105
    @dollar105 Год назад +1

    Napenda Lynn akifanya interview kiswahili amewes🎉

  • @rithaferdinand3738
    @rithaferdinand3738 Год назад

    Naomba namba ya mama love kungwi

  • @AmiriShabani-t2n
    @AmiriShabani-t2n 8 месяцев назад

    Nakuku bali ray kuliko unavo fikilia

  • @MarthaFocus-q8u
    @MarthaFocus-q8u Год назад

    🎉🎉

  • @mariahokari1828
    @mariahokari1828 Год назад +1

    Pwaaaapwaaa kungwa kwa bill yngu umesema ukweli 😂😂😂heheh mabibi jieshimu duuh underground reloaded 😂😂

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 Год назад +2

    Eti marinda kama sketi ya shule!😂😄

  • @sergioramoelbougie1912
    @sergioramoelbougie1912 Год назад +1

    SR4 Balala Lux

  • @RoseNjiru-h7e
    @RoseNjiru-h7e Год назад

    Age just a number

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 Год назад +1

    Eti asubiri kufa kizungu 😂😂😂😂jomoni nyieee hawa 😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅kungwi noma

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 Год назад

    Mwanamke mrembo mashallah 😂😂😂 umebadlka kwa kasi ya five G

  • @salumjuma9072
    @salumjuma9072 Год назад

    Mbona hufahamiki maneno yako MARA WATU WAZIMA WATAMU MARA SIWEZI

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 Год назад

    Mtihan kweli kwel

  • @elizabethnguma3379
    @elizabethnguma3379 Год назад

    😂😂😂😂 mama nmeogopa watoto wako 😅

  • @ShukuruHangi-re3gs
    @ShukuruHangi-re3gs Год назад

    😂😅😂😂 uyu mama iko funny unachekesha sana

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Год назад

    Kweli kabisa kitega uchumi

  • @geoffreynyabigo7565
    @geoffreynyabigo7565 Год назад

    Hile pigo mutapata Tz mutashangaa, endelea kwabudu shetani

  • @omarimkettoomari576
    @omarimkettoomari576 Год назад

    Huyo ana wivi

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Год назад +1

    Wanichekesha mama 😂😂😂😂😂❤❤

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Год назад +4

    Bibi ana upwiru jamani

  • @dadamama9262
    @dadamama9262 Год назад +2

    mama kungwi umependeza ila na hawa wawili walio olewa ni heri yao maana wapo watu wengne hawana waume mpka saivi hilo sio ajabu mtu mzima kuolewa na kijana mdogo

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Год назад +1

    Maisha mafupi muacheni afante kile kinachompa furaha. ayo ni maisha yake ambayo hatoyaishi mtu mwingine yeyote...Tusimuhukumu ni maamuzi yao.tufanye yetu yao hayatuhusu..

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 Год назад

    Mashallah kungwi nimrembo.

  • @KassimMatano
    @KassimMatano Год назад

    Mbona wazungu utaona kijana ndogo wa kitanzania ama wa Kenya na mzungu Mzee ata kuliko iyo miaka 60 na wanaowana

  • @omanoman4313
    @omanoman4313 Год назад

    Mimi. Miaka. 45..bado..napaswa.kuzaaa

  • @RitaLoice
    @RitaLoice Год назад

    😂😂😂😂 eti kakuta mkeka umejikunja huku chini😅😅😅

  • @Dali-qv7oc
    @Dali-qv7oc Год назад +1

    Dada si umependeze

  • @MariaCharles-r8c
    @MariaCharles-r8c Год назад

    Umenifulaisha sanaa

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 Год назад

    Yote Monachokifanya ni kiki tu hakuna mapenzi ya bibi wa miaka 60 wala 100

  • @AliKhamisi-f4m
    @AliKhamisi-f4m Год назад

    siyo kweli usitanganye pumbu zinazama ndani unasema anarudi uschana

  • @moseskariuki6461
    @moseskariuki6461 Год назад

    Kufundwa ninii,Mimi mkenya wa bara,sielewi lugha😅

  • @aminatwalib318
    @aminatwalib318 Год назад

    Unakufuru wacha apate kinyanya mwanayoo ujirusheee tukuoneee😂😂😂

  • @سعادالشلاحي-ت6ل
    @سعادالشلاحي-ت6ل Год назад

    Ha po kwa kufundwa😂😂😂😂

  • @Mohamed-uz8id
    @Mohamed-uz8id Год назад

    usijimalize sana watoto hawatabiriki...litakukuta jambo bure

  • @aishafahdi8355
    @aishafahdi8355 Год назад +1

    Kweli mama 😂❤😂😂