Mashallah ila huyo muandishi wa habari mpaka chumbani na una mume hiyo ni sehem ya faragha na kila siku unafundisha leo unamuingiza chumbani mgeni wa kiume tena
Hongera mama ..kwakweli nimefurahia hii mada na mama yupo vizuri katika presentation na pia kimalezi...huu ndio ukweli...mafunzo kwa vitendo.asante mama endelea hivyohivyo na mafanikio utayaona ....
Dadaangu mwanamke wa kiislam hatakiwi aoneshe mapambo yake na uzuri wake ila kwa Mahaarim zake na mumewe Jitahid ujiongeze stara na nywele zako zisionekane Nakupenda kwa ajili.ya Allah
Mhh huyu mama kweli kungwi anajua mwanamke mazingira bibi wee ona kabla ajahojiwa amekula ndizi ili ata kama kunakaharufu mdomoni kaishe nimempenda bure ❤❤❤❤❤
Jamani natafuta nyumba kama hii ila nataka iwe ni chumba kimoja master na vingine vyote viwe hivi hivi, kama kuna dalali naomba jibu comment yangu tuchekiane ata kesho nakuja kulipia kodi
Waarab na wazanzibar hawajivungi,free soul...wachngamfu...Yani wakikuzoea wanaupendo sana...Ma Sha Allah
Huyo lastborn anapendwa sana😂😂😂 imagine at my 20 siko home😅😅😅😅
Mash Allah nimependa unavyo fanya ibada. Allah aendelee kukuongoza ktk imani..
Ongera sana mpenzi wangu,nyumba yako nzuri sana.❤❤👍👍👍
mashallah, una moyo mzuri..sasa jitahidi kuongeza stara...Allah atakusimamia zaidi mama angu kipenzi
Ipi nyingin
@@tanzcanmediatv4473 kama wewe ni muisilamu basi huna haja ya kuuliza . ..kama sio muulize jiran yako mwisilam atakueleza.
@@tanzcanmediatv4473kichwa waz
@@tanzcanmediatv4473afunike nywele
Kweli mpenzi wangu watoto wa kiume ni shughuli yaan,unasema wewe hadi unataka kulia.Mwisho unaingia mwenyewe kufanya usafi👍👍❤
Mashallah ila huyo muandishi wa habari mpaka chumbani na una mume hiyo ni sehem ya faragha na kila siku unafundisha leo unamuingiza chumbani mgeni wa kiume tena
Huyo kaletwa special aje aone na atuonyeshe umbea😂
Kwel hakupaswa aoneshe chumba Cha mumewe sio vzr
Jamani mwanamke usafi shoga angu nyumba yang’ara na mama love wang’ara nimependa sana nyumba yako na usafi wako ❤❤❤❤❤❤❤
kweli kwake kuzuri sanaa mashallah kusafiii
Yani nimepapenda napendaga nyumba iwe nzur na Safi nilikuwa napenda kusafisha nyumba paka wananitania site
Kawa mama paka ata usiku anaweka nyumba vizur vyombo anaosha
Hongera mama ..kwakweli nimefurahia hii mada na mama yupo vizuri katika presentation na pia kimalezi...huu ndio ukweli...mafunzo kwa vitendo.asante mama endelea hivyohivyo na mafanikio utayaona ....
Mama msafi sana 👌🏽👌🏽
Dadaangu mwanamke wa kiislam hatakiwi aoneshe mapambo yake na uzuri wake ila kwa Mahaarim zake na mumewe
Jitahid ujiongeze stara na nywele zako zisionekane
Nakupenda kwa ajili.ya Allah
ALLAH akujaze kheri zaidi
Assalaam allaykum warahmatullah naomba namba ya huyu.mama
Kwendraaaaaaa bwana weweeee ndo nyinyi mnajifanya wakamilifu sana toka uko
Usioneshe sana mazingira ya nyumbani kwako. Husda na pia wezi. Chumba chako cha kulala na mumeo ni mwiko.kuonesha hadharani
Daaa adi raha Usafi wa maana nimependa❤❤❤❤❤❤
Nakupenda sana mamangu❤i wish ningekua karibu nawe
Mama weeee hutaki mkaza mwana wa kenya😂😂😂😂😂😂😂Masha Allah Masha Allah nimekupenda sanaa
Haha ATA mimi nilikuwa nasema nimempenda yupo mcheshi kwel
huyu kweli ni mwanamke kakupa na chai mashallah
mashallah ❤
Masha allah
Nyumba nzuri pia msafi sana
❤❤❤ usafi muhim kweli mama
Mama hongera sana wewe ni mzungu kichwani unaichi kama mzungu alhamdulillah. Pia wewe mama ni mtu wadini sana maisha Allah god bless you
The eloquence ❤❤❤❤
Ni kweli nimependa japonica nipo mbali I can't imagine ukiingia humor ndani hongera shost❤
Njoo Interview Kenya uje uone mama kungwi Bado sana yani Bado nguo Hapa 4,000$ tena nguo kaa 10
Masha allah. Mama love. Nimekupenda Sanaa
maa shaa Allah nyumba safii
Mashallah mama msafi hadi raha🎉
Hiyo imeenda mama lao mashaallah nyumba yang'ara km wewe mwenyewe
Beautiful house tour...
Mashahallah mama etu mpendwa ❤❤❤❤
Mhh huyu mama kweli kungwi anajua mwanamke mazingira bibi wee ona kabla ajahojiwa amekula ndizi ili ata kama kunakaharufu mdomoni kaishe nimempenda bure ❤❤❤❤❤
Haya Leo wa mwanza na mimi naombeni like zang
Wa kwanza au wa mwanza 😀
@@SalmaIddy-n5j😂😂😂😂
nimekupa habibi ❤
@@SalmaIddy-n5j wa mwaka😁
Msafiii kbs unaonekana
Nimependa Hivyo Viti Mie Nataka Aniuzie🙏
Agizia dining table ya viti 6 zile refu UK, mimi nimenunua mbili moja kwa £600
Kwake pa safi kabisa
Sema mwanangu salehe mmbea xn na mfukunyuku xn siku uje kwangu ufukunyue ukute nyoka uone vitu
Napenda anavyoongea Uyu mama❤
maashallah tabaraka Allah mama msafi sana
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah ❤
Maa shaa Allah hio nguo ya manjano mbivu nzuri sana
Mama mzuri na ajipenda mashallah
Mashaallah , msafi sana
Mamalove kungwi nimekupenda bure ❤❤❤❤
Usitaje majina ya watua uliowafunda. Sema tu nasinga wanawake na wanaume tunakuelewa. Nakupenda ni mwanamke unayejiamini
MaashaAllah ❤
Mama Love ❤️ kungwi ❤❤❤😂😂😂
Hata ongea yake inaonekana tu anaupendo
Salam sana mama love 🤗🤗❤❤
Allah atuhifadhi sote atuongoze katika njia ya haqi
Tuletee didaaa shaibu tufahamu mambo yake pia maana anatuinspire
Tuko pamoja
😂😂😂😂😂
Hatokubali yule mashauzi mengi😂😂😂😂
Mama hongera
Siivyo mmangu unapndza kdgo kuliko kuvaa mikope ile na mboni wla hupendzi mma sio Siri lakni hvyo umpendza Mashala mmangu
Mmi nakupnda❤❤❤❤❤
Mama kungwi hongera yako 😂😂chukua 🎉🎉yko
Mama msafi sana , Akili zake zenyewe nyingi , Asante mama mrembo nime shukuwa jina la parfum 😂🌷
yan ww kama mimi
Mama kungwi umezidi chumba cha mke na mume n stara hata hao wifi zko hawatakiwi kuingia ila we mpk mitandaon hujafny vzr
Ametuonesha ili tujifunze.
Uyu mama kwake simple bt smart sana nmependa sana kwake vle amekueka
Ndio ata Mimi nilitaka sema yupo simple Yani yupo Kama Mimi nyumban napendaga kuwe Safi nilikuwa nasafisha paka wananitania site
Ndio viti hivyo vimeingia navipendaga na hiyo milamgo naipendaga sana
MaashaAllah
Hata mimi napenda mume tuwe mbali mbali aje akiondoka
Mmh sasa muda mwingine ukimuhitaj inakuwaje mi ndo najiuliza hapo inakuwaje
@@mariamdullazy8166
Hee shoga angu ukishasema nayo roho yako kuwa wew mutakutana baada ya siku kadhaa fine tu
Hats mie napenda nando nipo hivo😅
Hupend kufanya yale mambo yetu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@mariammnongo2149
Hahahaaaa ndo kila siku?
Si mukikutana ndio vitu vinanoga zaidi
Nikishapata mume ntamfata huyu awe kungwi 😂😊
Tena usje ukasahau ana mambo mazuri huyu utakuja kuenjoy kweny ndoa Yako sina vyakukueleza dear👌👌
Super MaMa😍 Masha'Allah🙏
Haya namm naomba link
Okay 🎉
Mashallah Mama kwako kuzuri nakupenda sana ❤
Mm nampenda sana huyu mama
Upo daa jmn huku zenj nakuhitaji
Mii mbint wa zenj
Nampenda sanaa uyu mama
❤❤❤
😀😀 mh jmni binadamu
Nampendaga uyu mama yanii na ni msafii
msafii na mrembo hana tabu mashallah
Ndio ajajipenda kama shangazi zangu
Ndio ajajipenda kama shangazi zangu
Kumbe mpemba nikajuwa warabu mwanzo nilitaka sema warabu wasafi
@@VickKulekana-si1ib muarabu wa kipemba
Mashallah msafi
Hongera mjukuu wangu nakupenda sana. ❤
Mama niambie Uwo Ubani maalum niujue
Mbona wachoyo ule kaketi kule mbona hamuna Karibu 😮😮😮😮😮😮😮
Duu mama msafi huyu nitamuiga na mimi
Usafi ni mtu kuzaliwa nayo unaweza kuiga ukaishiwa njiani😅
😂Apana bn
Ni upotezaji wa mda tu
Mamaa msafi huyu
Kamara mam hafai.....anatupa kizunguzungu.....tuliza kamera....kaa
Viti vizur na neza napendaga iyo ya mbele ya tv.makochi nayaonaga kwa wanapouza masofa kumbe sebulen yanapendeza ivyo
Mashaalah ❤
Kungwi na mc nimeshapata bado mume sasa🤗
Hahahw😅😅
😂😂😂😂😂
Hahahahaa
Mmbona kama mmegeuza kwenye bei hongera wifi yetu tunakusubiri kwa ham
Mi namtaka Allyyy😂😂
Sio aly ni alwiy
It's 9.99 not 66..
Hongera
Jamani natafuta nyumba kama hii ila nataka iwe ni chumba kimoja master na vingine vyote viwe hivi hivi, kama kuna dalali naomba jibu comment yangu tuchekiane ata kesho nakuja kulipia kodi
Tuko wengi anapenda kukaa nyumban kama mim
kwake pako vizuri na usafi anaujua
Love u mama
Mwanamke hufai kumsinga wanaume
😂 kipafyum kimoja tu Kama dawa
Napenda sana usafi… Hongera mama kwa usafi
Dola $9.99 sio dola 66.6$. No such thing. Kwahi ni around 26,153.67 TZ shillings.
User uko right kabisa
Mama naye hivyp hivyo wanawe ndio marafiki zake
Mimi mwenyewe nikiongeaga wananiambiaga inatakuwa ungekuwa MC
Super mama
Na mtangazaji nampendaga
Mpitie na kwangu jamani
Anauza bei rahis hadi raha