🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 115

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 года назад +4

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

    • @rabiasuleiyma
      @rabiasuleiyma Год назад

      Masha Allah udumu maelezo yk ni mazuri kama mwenyewe

  • @AliSleyum
    @AliSleyum Месяц назад

    Mariyamu migomba sauti yako imefanana sana Qween masanja hongera sana

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 2 года назад +1

    Jazzaka Allah kheri Mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu atawalipa Inshallah na Mwenyezi Mungu atujalie wepesi kwa hilo

  • @LeanaJohn-v2c
    @LeanaJohn-v2c 4 месяца назад

    Mashalah mungu awajalie maisha malefu mnatufundisha

  • @begamnafaj8743
    @begamnafaj8743 7 месяцев назад

    Asante sana mada ni tamu sana ina utamu wa shira , ni kweli wanaume wengi wanatoka ktk ndoa zao kwa kifuata maneno matamu kwa wanawake wa nje

  • @ترووكالحارثي
    @ترووكالحارثي Год назад

    Mashallah mariamu na mama jj hongereni

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 года назад +1

    Mashaallah mwenyezi mungu awabariki piya awape umri mrefu. Muzidi. Kutufundisha

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 2 года назад +1

    Nimependa hii mada mashallhhh mashallhhh 🥰🥰❤️❤️ mubarikiwe

  • @فطومفاطمه-ش2و
    @فطومفاطمه-ش2و 2 года назад +4

    Mubarikiwe sana kina mamaa kwa darasa lenu nimeelimika sana ama kweli mwanaume nikam mtoto na mwanamke uchokozi jamani

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 года назад +1

    Haswaaaa mariamu wa migomba uko vizuri mi nakupenda sana

  • @nufairahalex9010
    @nufairahalex9010 2 года назад +3

    Kazi nzur mom,love you

  • @dottohami
    @dottohami 2 года назад +1

    Masha Allha maryam wamigomba nakupenda sana 🌹🔥

  • @zuhuracaleb6283
    @zuhuracaleb6283 Год назад

    Hongereni sana kwa darasa Allah awajalie maisha marefu Inshallah

  • @MbilinyiMbilinyi-f7b
    @MbilinyiMbilinyi-f7b 8 месяцев назад

    Jamani tunashukuru mnatusaidia sana kujenga nyumba zetu

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 2 года назад +1

    Shukran sana mola awape umri mrefu

  • @KijakaziIsmail
    @KijakaziIsmail Год назад

    Ahsante kwa mada nzuri

  • @TonaaHappy
    @TonaaHappy Год назад

    Helloooo Jamani nawapenda sana

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 года назад

    Penda sana Mariam Migomba,
    Hongera mama jj kwa kipindi

  • @ekrammay8471
    @ekrammay8471 2 года назад

    Shukran daMariam naMamajj darasa mjarabu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад

    Bismillah mashallah
    Asant sna mama zangu kwa somo

  • @SamidahNamas
    @SamidahNamas 9 месяцев назад

    Mashallah. ❤️❤️❤️💕

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 года назад +3

    Mashaallah 💞

  • @FatmaMkukutika
    @FatmaMkukutika Год назад

    Kwioooo👌 jamn shat na soks kweli😂 mwengin na sdiria🏃‍♀️

  • @magrethchalamila1005
    @magrethchalamila1005 2 года назад

    Jamani da Mamu na bi mkubwa hapo nitawatafuta Mimi mwenyewe,asante

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 2 года назад +2

    Nawapenda

  • @mariamashale6691
    @mariamashale6691 2 года назад

    ahsante kwa tafsida kiswahili kimetulia

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 2 года назад

    Mashaalah ila kunamakungwi wanafundsha na kunawanaoharbu kwakweli

  • @mwanasiti3109
    @mwanasiti3109 Год назад

    mm naomba tu namba yenu niwatafute❤❤❤❤

  • @mwajumakilobwa6237
    @mwajumakilobwa6237 2 года назад +2

    Jamani ntawezaje kumpata maliam migomba mama jiji nisaidie kumpata🙏

  • @halimamvungi1
    @halimamvungi1 2 года назад +27

    Mwanaume kazi zake ni za kurudi saa Saba, uanze kumfagilia sebleni na wanaume hawahawa Si atasema unamloga ,hebu mtuache ,Tunafanya zaidi ya hivo ndugu , changamoto ni tunao wafanyia wengi hata hawajui maana ,Nguvu za kufunda zihamie Kwa wanaume Sasa na Ndoa zitanoga hamtaamini

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 2 года назад +2

    😆😆😆😆 Swadaktaaaaa Sana Wa Mama Mnaeleweka,Tujitahidi Jamani 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.

  • @fadiahshamekhatib3701
    @fadiahshamekhatib3701 2 года назад +1

    MashaAllah 🙏🙏🙏

  • @sherykilongo7794
    @sherykilongo7794 2 года назад +1

    Masha a Allah dada Mariam SoMo darsa zuri sana

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 Месяц назад

    Kuvaa kanga mwanaume kumbe raha😂😂😂😂mm namchamba namtoa kabisa sipendi,,

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 2 года назад +5

    Kw kweli hayo mafunzo yanajitajik pande zote 2 kw Mke m Mume ili ndoa zipate kudumu unajua wanaume wengi wanajibweteka mambo yote afanye mke ss hiyo sipendez inabid Mume nae amfanyie Mke ili mahana yazid

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 года назад +1

    Bismillah Mansha'Allah ❤ ❤

  • @johariasud7691
    @johariasud7691 Год назад

    Naomba namba yako dada mamu unifundie mdogo wangu

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 года назад +3

    Jamani hadi soksi🤔🤔🤔

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 года назад +10

    Asiniangaishe ,asinitie presha Mimi nataka MAPESA.Wanaume hawatosheki na kichapati kimoja, mtuambie tu tuwavumilie tumwombe MUNGU.

    • @فاطمةفايز-غ1غ
      @فاطمةفايز-غ1غ 2 года назад

      Mie nacheka mbavu sina jemeni! Hapo kweli umenena..

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 года назад +2

      @@فاطمةفايز-غ1غ cheka tu mwaya lakini ndivyo ilivyo,uiname wee mpaka utembee kwa kichwa hafugiki mpaka Mungu aingilie Kati.

    • @فاطمةفايز-غ1غ
      @فاطمةفايز-غ1غ 2 года назад

      @@maswamills3161 santa mwaya..umenimaliza Sina kauli.langu jito tu.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 года назад +1

      Yaani umeongea maneno sahihi

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 года назад +1

      @@maswamills3161 😂😂😂😂

  • @halimashaban811
    @halimashaban811 2 года назад +1

    Mashaallah mashaallah 🥰 🥰🥰🥰🥰👏🙏🙏

  • @johariasud7691
    @johariasud7691 Год назад

    Dada mariamu naomba nikutafute mpendwa wangu

  • @joharijj2164
    @joharijj2164 2 года назад +2

    Mimi yote nitamfanyia lakini akichepuka tu sipo tena wala siongezi ndio nagoma kabisa,na aende huko kabisa 😂😂

  • @zainabuhamisi576
    @zainabuhamisi576 2 года назад +1

    Safi

  • @AminasaidAminasaid
    @AminasaidAminasaid Год назад

    Wakina mama tinashukuru kwa mafunzo yunu ni mazuri lakini, hawapo nyumbani je utayafanya atayaona wapi, mama akitoka asubuhi akirudi usiku. Mnatusaidiaje hapo jamani. 😢😢😢😢

  • @RashidOmar-t5q
    @RashidOmar-t5q Год назад +1

    Yeye mwenyewe minyewele wazi tena muislam,sasa anafunda nini.

  • @hawaabdalla6616
    @hawaabdalla6616 2 года назад +1

    🥰🥰🥰🥰

  • @pendoreginald6752
    @pendoreginald6752 Год назад

    Kwa Nini kwa Sasa msihamie kwa wanaume .maana talaka sikuizi zimekuwa nyingi ..Kila siku mwanamke fanya ivi fanya ivi

  • @esthermigire
    @esthermigire Год назад

    Dada asnte ila wanaume hawakai nyumbani.....

  • @sioniamohammed6522
    @sioniamohammed6522 2 года назад +4

    Nmependa mafunzo yenu, swadakta

  • @Linda-lr1lu
    @Linda-lr1lu 2 года назад +3

    Shida ndio hiyo sasa mmezidisha wanawake fanyaeni hivi hivi lakini bora mngehamia kwa wanaume hawaoni hawaaikii bora wapewe kitchen party imetosha

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Год назад

    Number ya da Mamu napata vip jmn

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 года назад +2

    Haaaaaaa shati tena au sokisi. Kwani vitambaa hamna

  • @rehemachipwaza5907
    @rehemachipwaza5907 2 года назад +4

    Mmmmhhh Hawa binadamu hawana shukurani watatutoa roho mwishowe hata utembeleee kichwa kazi bure wasituchoshe kwa kweli

  • @khadijaamrani6282
    @khadijaamrani6282 2 года назад

    Hapo hapo mume apenda taratibu katika mapenzi

  • @irenesilayo1073
    @irenesilayo1073 2 года назад +1

    Unamfanyiaje usafi

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 Год назад

    😂😂😂eti tunakunakuna nazi km gwaride la vetinamu 😂

  • @marianamsuha3899
    @marianamsuha3899 2 года назад

    Shati na soksi 🤣🙌

    • @sifariziki1282
      @sifariziki1282 Год назад

      Huuuuuh kabisa wa maman zangu munaongelea mambo kwa usahii na wa penda Sana bure

  • @abdallahjuma7439
    @abdallahjuma7439 2 года назад +1

    Unasema kwer kbsa , lkn kwa ss , hakuna mwanamke , anaweza kufangia , kwa kuinama , ,

    • @elizabethkweji
      @elizabethkweji 2 года назад +1

      Watafute hela waache kelele😂

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 года назад +1

      @@elizabethkweji Hahahaaa umeonaee tupo ila njaa nayo mimi nna njaa waniambia niiname

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 2 года назад +1

      Mgongo wenyewe unauma, tena ukainame.

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 года назад

      @@batulimabewa6953 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 года назад

      @@elizabethkweji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Год назад

    Hahaha wanaongea matusi ni tafsida ni wanaongea kutombana 😅😅😅

  • @djgabbychitanda1434
    @djgabbychitanda1434 2 года назад +5

    Unaupiga mwingi ulipo nipo

  • @salmachonga
    @salmachonga 2 года назад +1

    Bhahaha jamaan soksi

  • @mohammedibimkubwa4947
    @mohammedibimkubwa4947 2 года назад +1

    Mh

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 2 года назад

    Kwasasa tunava vikohi

  • @diddahjay2185
    @diddahjay2185 2 года назад +1

    Ingekuwa kuolewa ni maufundi bc makungwi wengi wasingekuwa watalaka .. hata iweje wanaume ni jadi yao kichepuka tu msijihangaishe nakujikosoa

  • @zuuMedia601
    @zuuMedia601 2 года назад +1

    Somo zuli jomn

  • @KijakaziIsmail
    @KijakaziIsmail Год назад

    Ahsante kwa mada nzuri

  • @marianamsuha3899
    @marianamsuha3899 2 года назад

    Shati na soksi 🤣🙌

  • @KijakaziIsmail
    @KijakaziIsmail Год назад

    Ahsante kwa mada nzuri

  • @KijakaziIsmail
    @KijakaziIsmail Год назад

    Ahsante kwa mada nzuri