A-Z SAKATA KIJANA wa MIAKA 27 KUFUNGUKA NDOA na BIBI wa MIAKA 67 -"WANAWAKE WA MJINI WANASUMBUA"
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Muwe na respect kidogo kwenye interview mna kejeli sana watangazaji
Bona wanacheka bila plan
mpaka numecheka. Huyo dada mtangazaji ananivunja mbavu
Ila Dida tabia mbaya😮😮😮😮ni nini kucheka ivo mbele yenu,huoni kama wifi anajiskia vibaya,
Nidhamu na heshima ni muhimu sana,
Zingatieni ubinadamu,hana moyo wa jiwe huyu mama.
Mmemuita wenyewe,mbona mnawakosea heshima.
jamani kama mko pamoja na wasafi mnawaharibia tunapenda sana wasafi ...Dida kidogo kama mzazi wako huyo bb mpe tu heshima zake maanake kupenda sio kosa Roho kapenda afanyaje aah umemdhalilisha bb na hata sisi wanawake kwa jumla
😢Hawa watangazaji wawili dida na Juma hawana adabu na kisheria wangefaa adhabu maana WAPO hewani dunianzima tunaangalia wanamdhalilisha huyu mama.😢
I'm from KENYA IM A GREAT FAN OF WASAFI BUT ON THIS INTERVIEW. YOU SPOILED THE ENDING OF MY DAY😢 SIJAPENDA HAKI.
Mbona nao wanaenda kwa media mimi angekua mamangu ningemkataza au ningekua naenda naye
Eeh wajinga kweli
Yu mama mwenyewe chizi kwani yeye hajijui kuwa mtu mzima anajizalilisha mwenyewe si angekataa dida hana makosa
@@MercyNorris-q3z mara nyingi miaka ikienda akili hurudi kua ya kitoto mimi sikua nalijua hilo mpaka nilipoanza kuhudumia wazee utakuta hata sisi ndio tunaona dida kakosa lakini yeye aona ako sawa
Mtihani kabisa
Mkiwa mnahoji watu mjaribu kiwa na adabu kidogo sasa huko kumcheka inamaana gani hadi mtu anakiwa ajisikik vyema nikama dhihaki siyo hawa tu wengi mnawahoji huku mnawasema mnawananga hapo hapo ndo nn na siyo Media hii tu media nyingi ndo zilivuo kuweni na nidhamu ya kazi yenu subirini akitoka ndo mumtete
Eti jmn hs uyo dida ndo Tabia gn yn wnawazihaki au
Hata si Haki wanavo cheka😢
Ukwel dida kicheko chako ni kama dharau flani sio vizur
Kweli kabisa
hata mimi ningecheka
😂😂😂😂😂leo mmenifurahisha sana😂😂😂hongereni sana wapenzi.
Bora mkono uende kinywani😂😂
15:46 sasa Dida unacheka nini!!? Maana mtangazaji huna maadili ya kazi yako na huyo Bibi Mzuri kuliko wewe Dida
Umeona
Kweliii hakupaswa kucheka amekosa maadili ya kikazi
Wamelogwa hao
wameaza kufanana
Dida sio vizuri KUCHEKA
Huyo mume hataki watoto yaani amewacha dini inna lillahi wainna inna illahi rajiun
Ahsanteni bibi na kijana mmeweza kutengeneza drama hadi imewafikia wasafi
Mmemkosea sana Mama wa watu. Kinachowachekesha ni nini sasa. Hakuna maadili ya utangazaji hata kidogo.
hao watangazaji wameokotwa tu huko mitaani, labda Idriss ndio kdg anatambua nnn anachotakiwa kufanya
Ugeni nimeuwelewa Didaaaa sema wifi na kaka didaaaaaa🥰
Hii hapa imeenda👍
kusema kweli uyo kaka amefanya jambo zuri sana miaka ni namba kislam uyo kijana ako sawa musiejua dini muna tabu sana bro niko mbali ila mwenyewe mungu akulinde na mahasidi funga ndoa na mungu atakusimamia ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapo Ndio nachukiaga uislam yaani sisi wakiristo tunachojujua mama wa mtu mwingine ni mama Yako,kijana amekosea atajibu nini kwa mola
@@Chrisscherryunamjua mola wewe sisi ni waislamu kwetu ni haki
@@Chrisscherry nikulize swali ww mkiristo ndoa nani kafundisha 🇰🇪🇰🇪
Sasa uislam gani hadi kubadili dini yahaki kwenda kujidhalilisha namjukuu wake😊
kislam uyo kijana amefanya makosa kubadili dini kutoka dini ya mwenyewe mungu kuemda dini ya watu yani wafanya biashara ukiristo sio dini
Sio kweli,kwann waende kwenye vyombo vya habari,hakuna kitu hapo
Dida we kiboko unacheka vibaya ❤❤❤
Media kuweni na elimu au taalamu unamwita mtu anakuja kwenye interview then mnacheka ninyi
Kucheka siyo vizuri ndugu zangu
Ndomana ney wa mitego kaimba media hamna ethics Wala ubunifu
Mubasha❤❤❤❤❤❤ hongereni
uko kucheka kwenu sijapenda mm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu mzee bibi na huyo mwanae wapungufu wa akili hakuna mapenzi njaa inamsumbua🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Bibi ana hela😂😂
Hahahah huyu kijana kweli anavumilia tu 7babu ya kula mm nashauri vijana watafute pesa zao ili wawe na wapenzi sahihi😂😂
@@mariamnur1036 kabisa🤣🤣🤣
umri namba tu
@@danielmollel5538 Angekua dam yako ungekubar?
Ata kama mapenzi hayana umri lkn hapa hakuna mapenzi hasa kwa huyo kijana kafata kitu tu apo
Aiseeee leo wasaf mwaniflaishaa
Dida unajuwa kucheza nambavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Mapenzi huota popote jamani.mungu awabariki tu kwakweli
Dida anacheka vibaya banaa
Unamcheka Mbibi wawatu ad anajisikia vibaya anajua mmemuita kumcheka na kumdhalilisha ungemfanya awe comfortable kwanza Ili awe huru kuongea anachojisikia ila sio kwa mlichokifanyaa mmeanza kwa kuwacheka et loo😂
Kijana karogwa kwa ulafi wa kula😂😂😂😂😂
Dida tabia mbaya sasa unacheka nini😢😢
Mapenzi hayachaguwi mungu awadumishe na ndoa Yao ameen nyie studio kama mnawaenjoy sio vizuri nyie mliopo hapo vijana na na mmeolewa na mmeowa na vijana wenzenu mbona hamjadumu kwenye ndoa zenu acheni hizo tasnifa mistake kuchungulia visima wakati maji mnayaona
Wadada mnacomment hapa na mko na ma sugar daddy kibao😂nyooo achaneni kila mtu afanye dhambi pekee Mungu ndio mwenye kutoa ukumu
Dida yuko kama mdogo wangu hadi sauti
Yaani hadi nimecheka kwa kweli leo
Dida akicheka mi hoi😂😂😂
Intaview nzur sana lkn watangazaj wamekosa waledi katka hil maana hii nikaz na wapo watu wanangalia hili sasa sisi tumechagua wasaf kwa mapenz lkn nyny mmezngua sana watangazaji dida umetukwanza katk mahojiano inaonyesha waz hupenda na ukaonyesha kabisa had sisi waskilzaj tumejua
Musiwe mnawacheka watu kuweni na utaratibu wakati wa kuoji aisee mnawakejer sana kwaali iyo watu watashindwa kuikubar mialiko aisee yaaina iyo
Kweli nyie sio watu wazuri wasafi sasa mnawacheka wanandoa hadi wanachukia
Dida mshenzi kweli ndo mana kawachwaa😂😂
Nikweri
😂😂😂mi nimechek 🤣 hakki
Bibi kizee na mjukuu wake, Bw Shine maharusi watarajiwa
Kwani lazima muende kwenye mastudio????????mh kujizalilisha
Daa Dida chukua soda bili yngu❤
Mbavu sina Mimi jamani Dida wewe nomaaaa
😂😂😂 Dida acha maskhara bibi kapenda kijana kafata pesa
Ila wasaf Jaman mbona mnacheka live 😅😅😅
Hizo pesa zote huyo mama ako nazo anaweza kosa pesa ya kuweka meno kweli wewe Dida hivyo sio vizuri
😂😂😂
Kile chakula al8chomp siku y kwanza tu alimentary dawa siku ya pili shein akataamka nakupenda huoni dawa
Kumbe siyo dram ni ukweli duuu hongera na baraka age ni namba tu
Wanahojiwa wao aibu naona Mimi🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈shikamoo mapenzi
Jaman mbona wazungu wanaoana wabongo wanashangaa nini
Ushamba ndo utulionao
Bibi kapendeza sana kwa kweli
Vyachekesha sana jamn khaaa😁🤣😂🤣🤣🤣
Ata namuonea huruma uyo mama😅😅😅
Yaani hamna siku nimecheka km hii interview ya leo bibi muuza mkaa Tabata Msimbazi kauteka umma jaman😂😂😂😂😂😂😂😂
Anauza mkaa wakati hy mazee ana mpunga
@@ashuuuaisha9122 Umemuona nao huo mpunga au unasikiliza hizi kiki zinazoendelea
@@ashuuuaisha9122 Umemuona nao huo mpunga au unasikiliza hizi kiki zinazoendelea
Ni kweli nimemuona juz lerini tabata anachuma mboga nikashangaa maana kajibrand Ana hela ukimuona utashangaa
Watu WA Tabata atujawai kushindwa jambo aise 😂😂😂😂😂😂
Hawo watangazaji walinde Heshima za wateja wao. Kama huyo bibi wanamwona kapotoka. Nao wasiwe wapotofu kwa kushindwa kumuheshimu huyo mama. Wasihukumu Wala wasituamulie Sisi watazamaji. Wao ni kuripoti TU kioja. Waiache audience Yao iamue!
aiseeeeee hawa watu walijuta kufika hapo walah maana sio kwa kicheko hicho hata mm ningecheka haswaaaa
Did umenikera Sana yaani huku Arusha hatukupendi hata kukusikiliza checking unavyoeleweshwa hustuki mpumbavu kweli kweli
Kwenye hichi kipindi dida masihara yamezidi yaani ksma dharau flan mumewaita harafu kejer ndo zinakuwa nyingi mara hana meno sasa asipo kuwa na meno wewe inakuhusu nn? Mara analingana na mama yako sasa akilingana na mama yako inakuwaje cjapenda mwingine ansonfoka😮
Interview kairbu dida kabisaa
Zamaradi uwa anajua Interview,nsimucheke
hii radio inajiita nn jamani hadi mnachunguza mdomo wa bibi kuwa haina meno ...watangazaji cjui ndo Dida na juma huyo wa upande wa kulia aki Tabia mbaya
Uzee mwisho charinze Safi sana mamy bigap sheeni ongera kijana
Dida anazingua anakua kama sio mtangazaji maana anaonyesha kukejeli kwa kuwacheka badala aulize maswali.
Mbona DIDA, Esma, rubyshynah, Zaylissa mume Kimbia ndoa? Bora hawa watadumu tu❤❤❤❤❤baby wake
Aibu naona mimi🤦🙌
Kijana Ame lishwa Mchanga kwenye chakula
Dida anazingua naye ni mbibi mtarajiwa. Hii taaluma imeingiliwa na watu hawana weledi sasa Didah anacheka nin watu wameamua sasa anacheka nin
Maashaalla kakaang hungera umefavya suns ya mutume muhamad swalalahu alaiwasalama lakini usingi badilidini kwakweli dini isilamu ndio kila kitu 😂😂😂😂nuwapendini
Dida jamani mbinguni utafika kweli umenifurahisha
Yaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiii ka hi redio hapana
Hii ni kama ile ya Aizee na yule mama wa miaka 49, ni uwongo mtupu, watu wanatafuta kujulikana tuu
Mhe Temba alisema "Nahichi Ndio kisa Cha BiBi kunipendaa Mimi".
Juma uko wapiiiiiiiiii hiiii imeenda Dida
Huyu Kaka kila interview ana maneno mapya. Ile siku alisema huyo ma alimwambia anataka lumps kazi
Kweli dida huna akili na najua huna hofu ya kupoteza kaz mala ya pili coz unauhakika na ulikoenda na napafaham nilikuona ila hujui kazi na itakushnda
Laana hizi,,kama sio movie ama kiki mungu atawajibu😭😊
Awajibu wamefanya kosa gani?..hebu tujibu Mungu mtu!
Kama mnawaita watu waka na kuwasanif msikubali wenyewe wanataka kuhojiea na yao kibao wameyakalia
Yano hii studioo ni hawan adabu yan wamenikeera san asa wanachka nn hapo kilichowafraisha
Wewe mtangazaji ni mjinga wewe Hassan ndio waonyeshe hata hao vijana unawapenda siuongo unaonyesha mkware kweli kweli
Mimi huyu angekua my mum mungekoma kumuita ita hovyo hovyo kwa hizo media zenu
Bora nienjoy!
Cha ajabu ni Nini? angekuwa babu miaka 80 kuoa Binti miaka 20 wasinge hojiwa kwani wanawake tuna Nini jamani
Dada angu acha kuwacheka vumilia kwaza watoke hapo ndipo ucheke
Jmn wenye watoto wa kiume tucomment wapi, ni ngumu kumeza
😂mmeandaliwa siti za mbele
Nimecheka mpaka bac dunia jamani inakoelekea sijui ni wapi daah
Couple in town haaaaa hiii ndio bongo dadeq
Mimi Mwenzenu Huku Roho Inadunda Vibaya,, Naona Aibu 😅
Bismillah 😢
Jamani bb
Kijana yuataka kula Mic😅😅
Hajafuata pesa amefuata mapenzi wadada wa ckuizi hawana mapenzi kijana Yuko sahii
Kwani kuwa miaka 60 dhambi??? age is just a number jamani kuna watu wa miaka 70 na wame owa ma binti wa nika 20 sasa hii Ina kuwaje??? Mie ni washauri tu musim cheka huyo dada majani huota popote
Mwanamke sawa kuolewa na mtu mzima nawengi wao hufata penye pesa ila kwa mwanaume huyo bibi umri umeenda sana
@@aishaomary4498 eeh umeenda kweli pengine upekwe kuishi pekeyake kudharauliwa na majirani Huna mume pengine vikachangia
Alf we dida mpuuz xn sasa kinachokuchexh hp nn 😮
Tanzania 🇹🇿 mko na maneno aki 😂😂😂😂😂😂
Ila dida we mungubanakuona
Umri just a number jamani, acha waowanee 💐🌺👍😄🤸🥳🥳
Kuwen serious na Kaz hamkupaswa kucheka kinaa
Wanaume wanapenda kula kiukweli na kujaliwa.
Na kweli wanaponzwa na kula😊
Yani leo mmenipa raha kwl Mr And Msr ongereni sana😂😂😂😂😂😂
Siyo mama ni binti mwenzako Dida🤣🤣🤣
DIDA I MSHENZIIIII SANA ETI HANA MENO YA JUU😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 nimecheka
Da dida aki leo umejua kunichekesha kina Juma wanajikaza tuu
Dida unamcheka mama au baba tabia mbayaaaa achaaaa
Dida you have respect this lady ok 😢
leo mmejua kunichekexha😂😂😂 ety bib mara xhemeji😂😂😂 mara wifi cjui dada
Dunia imeisha jaman
Mhh hiko chakula kilikuwa c bure au shine amefuata kitu kwakwelii
Ni kama vile mliwaita tu kuwachoresha na kuwadhalilisha tu kwa maswali yasiyokuwa na tija, ebu msiwachambe Bali waulizeni tu maswali yenye tija
Yaani mkaka anaonekana ana shida ya hela kabisaa