Tazama Chief Odemba Akimhoji Maswali Magumu Kamanda Muliro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 893

  • @BeatusDatius
    @BeatusDatius 3 месяца назад +7

    Asante sana mr odemba jamaa kakoswa majibu anadai ueshim shelia tushaelewa thank you very much for your speech

  • @RichardElisha-u6o
    @RichardElisha-u6o Месяц назад +1

    Mungu akulinde sana mtangazaji chief Odemba

  • @Lusambosports
    @Lusambosports 3 месяца назад +5

    Hongereni sanna waandaaji wa kongamano Hilo, bila kuwasahau TLS,kamanda muliro na mwandishi wetu jasisi.Mungu awabariki sanna.

  • @rashidyardo7929
    @rashidyardo7929 3 месяца назад +11

    Maua mengi sana kwako Chief Odemba. Kwangu wewe ni mwandishi na mtangazaji namba moja Duniani.

  • @marwarichmarwa9951
    @marwarichmarwa9951 3 месяца назад +2

    Hakuna cha maana alichohoji ila ni kulazimisha uongo kuwa ukweli ila afande alivyojibu kamjibu vyema kulingana na taaluma ya uchunguzi. Afande nakupa bravoooooo kubwa sana tuko pamoja

    • @DStarTz-if2ko
      @DStarTz-if2ko 2 месяца назад

      Naiyo shat yko sishangai kuona maneno hayo

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 3 месяца назад +45

    Nafurahi namna Chief Odemba anavyompa makavu Muriro ".... KAZI IMEKUSHINDA"🎉🎉🎉🎉

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 3 месяца назад +8

    Asante chief kwamaswali magumu unafanya kiweledi muzuri

  • @DeogratusAlone
    @DeogratusAlone 3 месяца назад +2

    Daaa chief odemba hongera sana upo makini sana kwenye mahojiano nafuatilia sana MEDANI ZA SIASA star tv.

  • @dalalihakweahakweya6662
    @dalalihakweahakweya6662 3 месяца назад +8

    Odemba odemba aise hapana una kitu kichwa chako kime hifazi vitu vya maana hongera kwa ujasir wako wakuhoji❤❤❤❤

  • @PaulMohere
    @PaulMohere 3 месяца назад +3

    Chif odemba mungu akulinde uko makini na kazi Yako

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 месяца назад +4

    Jembe... The real journalist, Odemba!!!!
    Mungu akuoe nguvu na misimamo isiyoyumba...
    Naamini ni mbegu njema ya jornalism ya kweli!!

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 3 месяца назад +77

    Hongereni sana chief Odemba kwa kazi njema unayoitendea watanzania

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 месяца назад +11

      Anaitendea wap? Wakati tunajua anatumwa kulazimisha mambo?

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 3 месяца назад +3

      ​@@ndogoroedson199Katumwa vp mbona ameuliza maswali mazur ambayo hata mm nisiemjua nimeyakubali je nimemtuma mm wakat hata simjui? Je wewe unapenda aulizwe nani hayo maswali kma sio police?

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 3 месяца назад +1

      ​@@ndogoroedson199A atumwa nanani? Au wewe ndio mmoja wapo wakuteka watu

    • @Mligobmligo
      @Mligobmligo 3 месяца назад

      Kwnn haupendi ukwel? ​@@ndogoroedson199

    • @ayoubshoo
      @ayoubshoo 3 месяца назад +1

      @@ndogoroedson199 😅wewe ni mTanzania kweli ?

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад +9

    Asante sana Afande Mulilo kwa kuwanyoosha hawa waandishi wanaharakati, wamekua ndio wachochezi wa kuchafua jeshi la Polisi kwa Taarifa za kulazimisha, mfano kesi ya Sativa yule ni mcheza kamari waliomteka wote wanajuana halafu anabadilisha kesi kujifanya mwana harakati,
    Afande amewafahamisha fateni sheria na muheshimu mamlaka hivyo visimu vyenu kusambaza visivyo kweli vitawaponza

    • @Francisngwale
      @Francisngwale 3 месяца назад +1

      Kweli kabisa

    • @fdizzo
      @fdizzo 3 месяца назад

      Bro kawa nyoosha wapi? Ambapo nasisi hatuja sikia yan mnaleta siasa mpaka kwenye mambo ya msingi you are very stupid bro

    • @justinambrose3577
      @justinambrose3577 3 месяца назад

      Unacheza naye kamari? Au wewe ndo ulimteka?

    • @willekessy4658
      @willekessy4658 2 месяца назад

      Funga mdomo wew huilewi kitu chochote

  • @josiahjoas8526
    @josiahjoas8526 3 месяца назад +5

    Hongera Bro Odemba. Kazi nzuri

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад +6

    Hapo,mnajisumbua hao mpaka wafe kw Ajali kama Farao yukowp aliishia bahar ya sham na hp litoke wafe kw Ajali hao watekaji,wa sojulikana ndoo wako salama c raia, Allah atusaidie KWANZA TZ,

  • @ibranoahngidange5909
    @ibranoahngidange5909 3 месяца назад +5

    Big up kwa murilo kwanza tuu kushiriki kwako ni jambo jema ambalo mtu mwingine asingekubali

  • @melch3097
    @melch3097 3 месяца назад +46

    Odemba yuko another level, welldone

  • @Jumajumanne292
    @Jumajumanne292 3 месяца назад +22

    Muliro ni genious mwandishi humwez hata kidogo

    • @Farminghustles
      @Farminghustles 3 месяца назад

      Watu hawajamuelewa Muliro the man is very confident and constructive

    • @Mtt_wa_mungu
      @Mtt_wa_mungu 3 месяца назад

      Hamuwezi wapi wakati maswali yenyewe anaweka story nyingi

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 3 месяца назад +2

      Kama huyu ndo polisi genius basi hiyo kazi ni mkusanyiko wa wajinga, na hata wewe unayeona kuwa huyo ni genius basi wewe ni zwazwa

    • @Jumajumanne292
      @Jumajumanne292 3 месяца назад

      @@jumamangombe6493 mbona una fos kupakatwa

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 3 месяца назад

      Amuwezi wapi wkt majibu anayotoa hayaeleweki

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick 3 месяца назад +16

    Kamanda upo vizuri Alha akufanyiewepesi inshallah kwenye kazi yako

  • @michaelkisesa3959
    @michaelkisesa3959 3 месяца назад +6

    Kamanda j,4 ni jembe sana mungu akupe maisha marefu tunakuoenda sana sana chuma kama chuma.

  • @ThadeoKiondo
    @ThadeoKiondo 3 месяца назад +4

    kamanda yuko vizuri salute sana kwa IGP Muliro

  • @geofreymashi3243
    @geofreymashi3243 3 месяца назад

    Hongera sn kamanda wngu Muliro ulikua sehem moja ngum sn lakini umepambana kikamanda na umemaliza mjadala hyo ndo kazi. Yetu

  • @JohnsonLameck-ug9xt
    @JohnsonLameck-ug9xt 3 месяца назад +21

    Kamanda jumanne Muliro yuko vizuri ni mtu anaejiamini mno.. Ameulizwa maswali magumu lakini hajababaika katika majibu
    Wala hadhira haijamchanganya kabisa
    Hongera pia kwake chief Odemba

    • @dennisdereck7006
      @dennisdereck7006 3 месяца назад

      Smart

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 месяца назад

      Kea hiuo unafuraji?

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 3 месяца назад

      Mh mjomba eb angalia Tena hyo video utajifunza kitu

    • @نوفل-س5ر
      @نوفل-س5ر 3 месяца назад

      @@JohnsonLameck-ug9xt alivyo jibu umeelewa vp? Au unaongea tu utumbo,maana wenye akili zao hapo hakuna majibu

    • @birianination7097
      @birianination7097 3 месяца назад

      ​@@نوفل-س5رulitaka jibu gani

  • @lilianmeena3164
    @lilianmeena3164 3 месяца назад +33

    Muliro muogope Mungu ,utalipizwa hapa hapa duniani

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 месяца назад +2

      Acha kuhukumu usijo kijua Mungu anaweza kutanguliza hukumu kwako tatizo lenu mnakurupuka

    • @Emanuelmgulwa
      @Emanuelmgulwa 3 месяца назад

      Ttgttyy

    • @Emanuelmgulwa
      @Emanuelmgulwa 3 месяца назад

      @@ndogoroedson199 vvvgvvg retro

    • @Emanuelmgulwa
      @Emanuelmgulwa 3 месяца назад

      Ycccc

    • @qwertqwerty1239
      @qwertqwerty1239 3 месяца назад

      ​@@ndogoroedson199fact

  • @drgeofreymdede3952
    @drgeofreymdede3952 3 месяца назад +3

    Mahojiano mazuri. Lakini muulizaji tayari yupo biased. Hii inamuondolea uhalali wa kuwa mwandishi mzuri. Na siku zote Odema one of the weakness ni kulazimisha maswali hata kama majibu yako very clear. Na bahati nzuri Afande murilo anajibu vizuri sana. Na mpongeza sana kwa majibu yake yapo very clear. Swala la uchunguzi huwa ni mtambuka sana.

    • @williamemmanuel7786
      @williamemmanuel7786 3 месяца назад +1

      Amekomaa kusema kuwa ''kazi imekushinda'' analazimisha kamanda akiri kuwa kazi imemshinda

    • @ShukraniMabula-uw9ks
      @ShukraniMabula-uw9ks 3 месяца назад

      Mulilo he is very smart🎉

    • @stephenmoshi1993
      @stephenmoshi1993 3 месяца назад

      Huyu ni Mwandishi MAANDAZI kama Maandazi tu

    • @husseinmramba
      @husseinmramba 3 месяца назад

      Yani so poor, hana ueledii hata kidogo....wapenda mihemko ndio wanaompenda tu ila hii interview muliro amemtoa nishai nakuona stupid kwa anaelewa

    • @kiyabolnjemu9646
      @kiyabolnjemu9646 3 месяца назад

      Umejibu kitaalamu sana

  • @godyfreymbwiro1038
    @godyfreymbwiro1038 3 месяца назад +3

    Tanzania Tanzania Naipenda Nchi yangu, Utekaji ni laana

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 3 месяца назад +6

    Chief odemba on 🔥 🔥

  • @JackMaganga
    @JackMaganga 3 месяца назад +1

    Mtamuona mungu sku ya mwisho muamini mungu yupo naote tunazikwa chini tumuogope mungu

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 2 месяца назад

    Tunataka na hili la mzee kibawo. Wapatikane. Watekaji.

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 3 месяца назад +41

    ❤kamanda anastahili pongezi kwa kukubali kujitokeza na hotuba yake, huyu anakitu cha maana kwetu watz akipewa uongozi wa juu, bravo Murillo ❤

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 3 месяца назад +1

      Kichwa chako ovyo sana

    • @eph_kubwa5788
      @eph_kubwa5788 3 месяца назад +2

      Wazee wakusifia 😅 ila hii bongo

    • @Mligobmligo
      @Mligobmligo 3 месяца назад

      ​@@eph_kubwa5788😂😂😂

    • @Mina.15
      @Mina.15 3 месяца назад +1

      Kapimwe akili we kaka 😂😂

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 3 месяца назад +1

      Hivi haya matukio yangetokea kwa familia yako ungesema hivyo , una matumizii mabaya ya akiri wew

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад +1

    Odemba unatisha mungu akupe maisha marefu unapenda haki zawatu kuishi

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 3 месяца назад +4

    Hilo jicho la mwabukusi sasaa kwa kamandaa duu!!! Ni balaaa!!

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 3 месяца назад +1

    Kamanda yuko vzur sana. Anajibu jwa hekima kubwa sana.

  • @kisikalaizer1834
    @kisikalaizer1834 3 месяца назад +1

    Congratulations Mr odembo you are in another level.

  • @wisdomhalisi......8891
    @wisdomhalisi......8891 3 месяца назад +4

    Gonga likes km unamwelewa 0demba, SWALI GUMU KWA MULILO,WALIMTEKA WASHIKAJI WAKAMPELEKA POLISI NA AKATUPWA KATAVI.

  • @dicksonmazengo7362
    @dicksonmazengo7362 3 месяца назад +10

    Angeuliza kwann hamza alifanya shambulizi kwa askari tu na si kwa raia wa kawaida?

    • @chezariboy
      @chezariboy 3 месяца назад

      Nice kweli nadhani hakukumbuka au hakuwa amjiandaa kuhusu KADA HAMSA ALILENGA KUUA askari tu

    • @jengatz8389
      @jengatz8389 3 месяца назад +1

      Kueni waelewa uwepo wa polisi hakuzuii matukio ovu ila polisi wapo kuzuia matukio ovu kama huna D mbili utakua unauliza maswali ya ajabu kama hayo mnayo uliza

  • @zakariarantsim1064
    @zakariarantsim1064 3 месяца назад +3

    Odemba wew ni Mchambuzi wa kimataifa kiwango chako syo sawa na hawo mabwenyenye wa Mafisiemu

    • @qwertqwerty1239
      @qwertqwerty1239 3 месяца назад

      Chama na ubora mtu vinausika nini mtaendelea kujifanya wana chama bora kumbe nyie ndio wakwanza kukibomoa chama ccm wanasonga tu😅😅😅

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 3 месяца назад +3

    Mriro nimekuelewa sana

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 3 месяца назад +1

    Odemba wewe ninoma,

  • @Bim941
    @Bim941 3 месяца назад +2

    Mm nilitaka iwe mulilo Vs mwabukusi😊

  • @salmasadath3353
    @salmasadath3353 3 месяца назад

    Kwanza kabisa kwa dhati ya moyo wangu naomba nikupongeze Kamanda Muliro kwa kuonyesha ukamanda wako kwenye kujibu maswali magumu sana ya Odemba. Lakini zaidi nakupongeza kamanda Muliro kwa kukubali kujumuika hapo.
    Pangezi za kipekee kwa wazazi wa Odemba kwa kutuletea kijana huyu

  • @Jameslaizer-d7w
    @Jameslaizer-d7w 3 месяца назад +4

    Odemba viva viva

  • @ABBASIKANDULU-kl8zc
    @ABBASIKANDULU-kl8zc 3 месяца назад +1

    Odembaa ni mwambaaa uyooo yupo vizuli sanaa

  • @mage5371
    @mage5371 3 месяца назад +5

    Thank U sana chief, maswali yaloenda shule👏👏

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 3 месяца назад +1

    Tatizo wanasheria wengi kwenye mdahalo huu akiwemo odemba wana mtazamo wa chadema hata waliopotea wanahusishwa na Chadema wasio chadema hawana haki hapa ya kutetewa wanaopotea siyo chadema tu hongera sana mulilo kwa majibu ya mazuri ya msingi

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 месяца назад +3

    Yaan maswali magumu na majibu tofauti majibu mepesi

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 3 месяца назад

    Murilo Mungu ni mkuu kuliko ww shaur yako

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 3 месяца назад +1

    sfi sana chif ondemba kaka mungu akutie nguvu maswali maziuri

  • @nhalekasmir478
    @nhalekasmir478 3 месяца назад

    Muliro ni genius sana kwannza kuingia kweny mdaharo akijua kabisa asilimia 90 hawapo upande wake, ukiacha hilo kwannza ameingia si kama kamanda bali pia ni kama. Muwakilishi wa taasisi , so litakalo semwa ni kama msimamo wa polisi amejitahid sana

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 2 месяца назад

    Unatakiwa ukili kwamba kazi imewashinda kuwzibiti hawa watu wasio julikana mpaka Leo hawaja julikana Leo ni mwezi wa kumi na moja tarehe 25 mwaka _ 2024

  • @Clement-rm8xu
    @Clement-rm8xu 3 месяца назад +2

    Mbona kamanda Muliro amejibu maswali yote vizuri tu sijaona ugumu ulomfaya kushindwa kujibu maswali ya chief Odemba

    • @AllySule-t9g
      @AllySule-t9g 3 месяца назад

      Amejibu ila hakuna chamaana maanake hakuja hapo kutetea Raia amekuja hapo kutetea maslahi mapana ya ccm na yeye binafsi

  • @godblessnassary7785
    @godblessnassary7785 3 месяца назад

    kazi imekushinda nimerudia mara mbili mbili

  • @michaelmakenzi
    @michaelmakenzi 3 месяца назад +2

    Uko vizuri kamanda

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 3 месяца назад +10

    Je,Chief Odemba ndiye mwandishi wa habari mwenye uthubutu zaidi hapa nchini?

  • @godwinpatrick7747
    @godwinpatrick7747 3 месяца назад

    Congratulations cammander in chief J.4 Murilo

  • @andreampemba1465
    @andreampemba1465 3 месяца назад +4

    Kamanda yupo vzr kukwepa maswali ya mtego

  • @KennedyMbise
    @KennedyMbise 3 месяца назад

    Chef odemba hongera kwa kazi nzuri ,ingekuw viongozi wanakazia unavyokazia kuuliza maswali uliouliza kwa munro ingekuw hakuna utekaji na mambo ya mauwaji katika nchi yetu tz,police ngazi usika ifanye kazi kwa nguvu kubwa sana ili kupoteza kuuwawa na kupotezwa kwa watu.

  • @Kisigino
    @Kisigino 3 месяца назад +1

    Mzee kidogo atoke nje ya ulingo kwa kupanik

  • @abelmbega3707
    @abelmbega3707 3 месяца назад

    Mungu azidi kuwabarikia Sana kwakweli

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 3 месяца назад +15

    Mbona mwandishi haulizi kuhusu Joseph Yona Yule jamaa wa chalinze?, inaonekana mwandishi ana kauchama siasa

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 месяца назад +1

      Kwamba hampendi mama kwa sababu ya dini yake

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 3 месяца назад +3

      Huyo wa chalinze ni mtu anaelipwa na ccm iliaichafue chadema

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 3 месяца назад

      @@josephlorri431 Dini weka kando, mwandishi wa habari hatakiwi aegemee upande mmoja, waathirika ni wengi vipi aulizie wanachama wa chadema tu?,

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 3 месяца назад

      ​@@philemonsnyanda9450kwenye uhai acheni uvyama, yule jamaa alikuwa akisoma kitabu kilichoandikwa na Dr. Slaa na kinaeleza, angekuwa pangupakavu asingekuwa kishakamatwa?,

    • @EllenWaigama
      @EllenWaigama 3 месяца назад

      Bora yeye kasema anachojua kuleta ufumbuzi ,wewe umefanya nini???
      Itisha kongamano mtaani kwako kwaajili ya huyo unaemfahamu kafanyiwa jambo hilo.

  • @antonyhomanga4527
    @antonyhomanga4527 3 месяца назад +1

    Pongezi kwa TLS, pongezi kwa Kamanda Muliro mahojiano mazuri

  • @mtisotheone9167
    @mtisotheone9167 3 месяца назад +1

    Safi sana Commander muliro

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 месяца назад +5

    chief odemba Ur so brilliant;

  • @IsackRyangera
    @IsackRyangera 3 месяца назад +32

    Aache uongo na majibu ya ubabaishaji wameshindwa kutekeleza wajibu wao lililobaki kwao nikuvuruga wapinzani hasa chadema nakuzuia mipango namaandamano Yao kwakutumia nguvu. kubwa sana hatuwezi kuwaamin kwakuwa mnajikita upande waccm naserikali

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 3 месяца назад +1

      Halafu wanatuosha silaha kali utafikili wananchi na wao wanasilaha😂

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 месяца назад

      Chadema wanamwandamania nan sasa? Maana watz wenye akili timamu hawana shida ya maandamano

    • @hamisisuleiman9992
      @hamisisuleiman9992 3 месяца назад

      Akili ndogo utazijua tu....yaani hata kufikiria vizuri ni kazi...so kama ushahidi unao nenda kasaidie kuwataja

    • @LukasMabena
      @LukasMabena 3 месяца назад

      😂😂​@@ndogoroedson199

    • @husseinmramba
      @husseinmramba 3 месяца назад

      @@hamisisuleiman9992yani ni kazi kwell yan ndio unazidi kujionea wabongo wengi wanaakili za mkumbo zote hzi ni njaa ndiomana wapinzani wanajizolea hawa mana hawafikirii na kung'amua mambo chuki zao ndio zinafanya kazi🤦🏿‍♂️

  • @mohamedismail1376
    @mohamedismail1376 3 месяца назад +3

    Bado hatuna hoja ya msingi unaulizwa unajibu tofauti

  • @BalinabaSinkonde
    @BalinabaSinkonde 2 месяца назад

    Saafi sana mulilo mwambie huyo odemba haerewi analeta chuki kwa wanainchi na seriksli

  • @mage5371
    @mage5371 3 месяца назад

    Yaaani² hii Hali hii INAUMA MNO ZAIDI YA SANA hasa ukimkumbuka kaka yetu Kibao😭😭

  • @ThadeoKiondo
    @ThadeoKiondo 3 месяца назад

    kazi imekushinda

  • @DicksonHaule-r2t
    @DicksonHaule-r2t 3 месяца назад

    Mungu ni hakimu mwenye haki na damu ya mtu aiend bure ipo siku moja tu😮

  • @gabrielsanya3278
    @gabrielsanya3278 3 месяца назад

    Jukumu lenu ni kupokea amri toka ngazi za juu na kuwapoteza Wapinzani na watu wanao ikosoa serikali. Hii ni moja ya strategy inayo tumiwa na serikali.

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 3 месяца назад +28

    Ila lugha ni tamu sana,kumbe unaweza ongea maneno elfu moja alafu yasiwe na pointi

    • @Thedonbling
      @Thedonbling 3 месяца назад +1

      Ata mm sielewi 😂😂😂

    • @zagarinojo4227
      @zagarinojo4227 3 месяца назад +1

      Yaani kumbe umeona mi mwenyewe naona unaongea yaleyale​@@Thedonbling

    • @MichaelShigela
      @MichaelShigela 3 месяца назад

      Kwa muonekano wako tuu huwezi elewa chochote 😂😂😂

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 3 месяца назад

      @@MichaelShigela summarize alichoongea kama umeelewa alafu nikupige maswali ujibu.

    • @el-hajjel-shabbaz8078
      @el-hajjel-shabbaz8078 3 месяца назад +3

      Una ubongo wa kuku km hujaelewa mpuuzi ww

  • @francisjameswadira6917
    @francisjameswadira6917 3 месяца назад

    Chief hujabezi kwa watanzania kwa Ujumla na wewe unauliza maswali kiushabiki wa siasa na sio sawaaaa😢😢😢😢

  • @SylasKinyemi
    @SylasKinyemi 3 месяца назад

    Jitu lina toa respct

  • @EDSONKAJUNA
    @EDSONKAJUNA 3 месяца назад

    kazi nzuri Odemba🤣

  • @majimanatv114
    @majimanatv114 3 месяца назад +1

    Kamanda asingekuja kwenye interview...huyo jamaa angelia mpaka kamasi😂😂😂😂mtu asipokuja kwenye interview Odemba anakichapa kilio cha msibani kabisa😂😂😂

  • @sadicksingogo260
    @sadicksingogo260 3 месяца назад

    Mungu anaona,ya silini

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 месяца назад

    Mungu huyu kama katuumba ss wanadamu atatulipia na sisi tutayaona niamini mm😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @osmanhussein4496
    @osmanhussein4496 3 месяца назад +2

    Kamanda na msifu sana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 месяца назад +1

    Hongera kamanda kwa majibu yaloshiba wasikutoe kwenye reli

  • @swalehemwanja7979
    @swalehemwanja7979 3 месяца назад

    Muliro ni habari nyingine kabisa he is another level

  • @hubman6780
    @hubman6780 3 месяца назад

    Muliro hongera kwa kutukumbusha kuamini vyombo vya dola.Elekeza basi vijana wako wapunguze network zao

  • @yusufushabani8748
    @yusufushabani8748 2 дня назад

    Tuamini vyombo vyetu siku hizi dhuluma imekuwa kubwa Sana watu wanatekana kwa sababu wamedhulumiana

  • @NeemaPaulo-wf3oz
    @NeemaPaulo-wf3oz 3 месяца назад +1

    Mbowe mbowe mbowe mbowe,mungu atakuhukuwa siku ya mwisho,tena jicho lamungu linakuona

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 3 месяца назад +1

      Mbowe kafanyaje?

    • @melch3097
      @melch3097 3 месяца назад +1

      We kweli chizi

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 3 месяца назад

      Kuma NN ww mbowe anamiliki pingu ANAUWEZO wa kwenda kwenye nyumba za bunge zile kufukuza askari na kumpiga lisu lisasi mzee KIBAO alitekwa mapema

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 3 месяца назад

      Usimtaje Mbowe mbwa usiejielewa wewe. Umepewa shetani na Mungu umechagua shetani fara wewe

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 3 месяца назад

    Bigup sana Chifu Odemba uko sawa.

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 3 месяца назад

    Hii nimeipenda,safi sana

  • @stephenmtambo229
    @stephenmtambo229 3 месяца назад +2

    wakati ndio mwalimu mzuri

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 месяца назад

    Number kwenye hii nchi ukitekwa namaste washikaji ni.halali

  • @AkwilineKawishe-t3d
    @AkwilineKawishe-t3d 3 месяца назад

    Hongera chief!

  • @jumanauja7184
    @jumanauja7184 3 месяца назад +1

    Nakukubali kamanda Mulilo

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 месяца назад

    Natamani maelezo haya ya Kamanda yakatolewa kwa Umma kwa njia ya Kipindi Maalumu. Umma uwe unajulishwa kwa vipindi tofauti pale uchunguzi unapokamilika. Hii italifanya hili jeshi kuwa rafiki wa wananchi hivyo kuongeza kujengeka imani kwao. Tatizo ni kuingiliwa!!

  • @The_prudent555
    @The_prudent555 3 месяца назад +1

    Muliro ni so smart hajibu maswali kimihemko

  • @TedyMwakyendenge
    @TedyMwakyendenge 3 месяца назад +1

    Nampenda captain Ibrahim traore

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 3 месяца назад +1

    Odema nae ana uchama flan ivi ndani yake

    • @mahobesiku5921
      @mahobesiku5921 3 месяца назад

      Tatzo odemba nae kama vle analalia upande wa chama vle Hali ambayo sio sahh

  • @mathuasmathuas703
    @mathuasmathuas703 3 месяца назад

    Kamanda Muliro ni Smart sana,anapangua hoja kisomi.

  • @issahoza2236
    @issahoza2236 3 месяца назад +1

    Alie mtolea bastora nape ninaue mbele yawandishi wa habari na mbele ya camera ninani ? Pili aliempiga risasi tundu lisu ?

  • @abelbaran4190
    @abelbaran4190 3 месяца назад

    Big speech ,tusirudi kweny utumwa ,haki itendeke ,tuaminiane .

  • @MichaelKibona-p9m
    @MichaelKibona-p9m 2 месяца назад

    Kamanda hujajibu swali,umezunguka😢

  • @AllyNgollo-td6il
    @AllyNgollo-td6il 3 месяца назад

    Muliro genius sana odemba kafos tu iyo interview jamaa kapangua maswali yote😂

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 3 месяца назад

      Kafosi interview kwa vipi wakati hili kongamano limeandaliwa na TLS?

  • @CrementinaObwago
    @CrementinaObwago 3 месяца назад

    akuna mjaruo mjinga Odemba ja dalawaa umetisha sana ,Mulilo umechemka

  • @benedictntilla6943
    @benedictntilla6943 3 месяца назад +2

    Maswali mazito majibu tofauti