Nimesikiliza hotuba va viongozi wakubwa wa chadema. Hawa wawili wana maono tofuati. Mmoja nazungumzia mambo ya kuzikana na mwingine anazungumza reforms na election mwaka huu! Ila FM anafaa kuwa kiongozi wa kwenye nchi kama Marekani. Ila siasa za Tanzania sasa yanamhitaji Lissu ili tutoke kwenye mkwamo!
Mbowe must go, Mbowe imetosha kuongoza haufai tena. Huyu ni chanzo cha migogoro ndani ya chama, naamini Mbowe alikuwa anataka kukiuwa chama, unapewa pesa ili uuwe chama cc wananchi tumestukia dili wewe pumzika ikibidi hata usiwe mshauri ni sawa tu maana akili imechoka.
"One is a Talker ,one is a doer, lower class inavutwa na waongeaji, middle class inavutwa na watendaji, Higher Class inavutwa na "Wanaotenda wanachozungumza" Ili kupima uaminifu wao!
I don't know you but this is rubbish first of all we don't have those classes in Tanzania, we have one or two billionaires and a few millionaires, the rest are working class and farmers. Politics is all about the arts of words.
Wewe unaleta "class" w.r.t economia, mwenzio anaongelea "class" ya pure minds. Why dare you call them rubbish whilst you didn't catch up with the point @@erasmusaloyce4398
Vijana kazi ndio Kila kitu acheni kungoja viongozi wa siasa ndo watawaletea maisha Bora fanyeni acheni kukaa vijiweni na kucheza poor tu mbowe bado anaitajika sana
@@elikyusimsigwa6608 yote nane ,Tisa,kumi, iwe nishatoka,sijatoka mfuasi au si mfuasi lakini furaha yangu mbowe ang'atuke ,mbowe kaua chama Ile morality ishatutoka ,bahati ni voice of Antiphas lisu tungekimbia mapema,
Inaonekan unastahil kuongoza 5 ya mwisho ukastaafu kwa amani yako mda huo lissu pia akawa anajipang sema wenje ndio akasanbsha ulimuweka amng'oe lissu alfu lissu akastuka mchezo akakufata😊😊
Kuweni na msimamo wana chadema uyo mwenyekiti siyo mtu mwema kwenu yupo kwa maslai yake tu, Ivo miaka 21 kwanini asiachia vijana wakaipeleka mbele chadema, na Tz? Yeyetu mpakalini
Kiongozi mzuri ni yule anaetamani Nchi na watu wake wawe salama sasa mbona timu lisu ukiwasikiliza wanaonekana ni watu wa fujo? Nyie chadema kumbukeni mlikotoka achaneni na lisu mtaumia mbele
Kumbe Zito alikuwa na akili kuliko lisu.😂unakaribishwaje nyumbani kwa mtu unataka kuchukua na nyumba yake? Wewe si mwanasheria? Zito aliweza ana nini na wewe u shindwe una nini?
Mbowe inatoxha pumzika Achia lisu 🙏💪✌️💯
Mbowe must go
Not correct!! He has to leave.
Nasoma Comment naona wengi wanataka Lissu awe Mwenyekiti.
Mh.Freeman Mseveni Kagame Mugaɓe Mbowe😅😅😅😅,You must GO.
Nimesikiliza hotuba va viongozi wakubwa wa chadema. Hawa wawili wana maono tofuati. Mmoja nazungumzia mambo ya kuzikana na mwingine anazungumza reforms na election mwaka huu! Ila FM anafaa kuwa kiongozi wa kwenye nchi kama Marekani. Ila siasa za Tanzania sasa yanamhitaji Lissu ili tutoke kwenye mkwamo!
We subili uchaguzi ili uje kulalamika kama Msumbiji
Lisuuuuu kiti kalia
Ndani ya jamii zetu habari za kuzikana na kusaidiana hazina chama. Hapo umepuyanga FM naanza kuamini umechoka hukuwa hv.
Mbowe must go, Mbowe imetosha kuongoza haufai tena. Huyu ni chanzo cha migogoro ndani ya chama, naamini Mbowe alikuwa anataka kukiuwa chama, unapewa pesa ili uuwe chama cc wananchi tumestukia dili wewe pumzika ikibidi hata usiwe mshauri ni sawa tu maana akili imechoka.
😂😂😂😂😂😂 nichek tu ila mbowe. Must go
Asante kiongozi wa watu wewe ni Bora wewe ni kiongozi umesimama ktk imani
Kumbe kuna group mbili hapa. Mbowe: Wastaraabu
Tundu Lissu : WAKORA
Kura mama Nani MKORA NA MSTARAABU?
Mtaratiibu lakini kwa sasa tunamtaka LISU tu
Mbowe Must Go
Mbowe must Go
Where !! The most important thing is for him to LEAVE the seat and new one to lead.
Vijana wapo wa kuipeleka mbele chadema lakini sio lisu
Kwajinsi mbowe unavongea yani umefikia kuwa mshauli mzuri. Pumzika kaka umefanya makubwa kwa sasa inatosha.
Maoni mengi mitandaoni hayatoki kwa Wanachadema. Wako mamluki.wengi nje na ndani ya Chadema
Hata kama
"One is a Talker ,one is a doer, lower class inavutwa na waongeaji, middle class inavutwa na watendaji, Higher Class inavutwa na "Wanaotenda wanachozungumza" Ili kupima uaminifu wao!
I don't know you but this is rubbish first of all we don't have those classes in Tanzania, we have one or two billionaires and a few millionaires, the rest are working class and farmers. Politics is all about the arts of words.
Honest and fact, someone hapo ni kiongozi kweli kweli
Wewe unaleta "class" w.r.t economia, mwenzio anaongelea "class" ya pure minds. Why dare you call them rubbish whilst you didn't catch up with the point @@erasmusaloyce4398
Yani unaongea vitu vya kawaida kabisa. Mwenzio anazungumia REFORM wewe unazungumzia MAMBO YA KUZIKANA. None sense kabisa.
Vijana kazi ndio Kila kitu acheni kungoja viongozi wa siasa ndo watawaletea maisha Bora fanyeni acheni kukaa vijiweni na kucheza poor tu mbowe bado anaitajika sana
Mbowe must go and if he will continue as a chairman I opt out of a party
Ulitakiwa, uwe umeshatoka, maana wewe ni mfuasi wa mtu sio wa chama hiki.
@@elikyusimsigwa6608 yote nane ,Tisa,kumi, iwe nishatoka,sijatoka mfuasi au si mfuasi lakini furaha yangu mbowe ang'atuke ,mbowe kaua chama Ile morality ishatutoka ,bahati ni voice of Antiphas lisu tungekimbia mapema,
Respect mpendwa
Mbowe nakuomba ujiondoe kwenye uchaguzi
Piga kura acha kupiga kelele
❤❤Naipena chadema
Rushwa inakuondoa mzee mbowe must go
Bwashe pumzika tu sasa
This is a good leader, uwezo wake umezidi level ya Tanzania...
Asante kwa kushiriki mzee wanaokujaza maneno kuwa utashinda 😂😂😂😂😂😂😂
Mpeni kura Lissu mpeni kura Lissu mpeni kura aher🎉😂❤ 🙏 🇹🇿🇹🇿
Tunakuheshim sana kwakazi nzuri ulioifanya kwamiaka 21 ss tunamtaka lisu atupeleke mchakamchaka
Mbowe achia nafasi
Kazi nzuri FAM umeifanya kwa CDM baki kuwa mlezi.
Kwani Home boy Aka Lema ameshachomoa betri!!
Inaonekan unastahil kuongoza 5 ya mwisho ukastaafu kwa amani yako mda huo lissu pia akawa anajipang sema wenje ndio akasanbsha ulimuweka amng'oe lissu alfu lissu akastuka mchezo akakufata😊😊
Kwenye hili group lenu msimkumbuke Mama sio saizi yenu. Mama anakazi nyingi hana muda wa mitandaoni njooni Dodoma makao makuu me kujifunza demokrasia
Tunakupenda ila twende na lisu
Kuweni na msimamo wana chadema uyo mwenyekiti siyo mtu mwema kwenu yupo kwa maslai yake tu, Ivo miaka 21 kwanini asiachia vijana wakaipeleka mbele chadema, na Tz? Yeyetu mpakalini
Baba tunakupenda sana watanzania ila tunakusiii upomzikee
SURA INAMSUTA ...ANAFULULIZA KONYAGI NOW DAYS
Umechelewa kuondoka we mchaga enderea na salakasi zako na wenje must go
Acha ubaguzi wewe mjinga mmoja hivi!!
Tundulisu like muda kwa Sasa anafaa
Busara za mbowe ni kuzikana sio kwani kunamtu haendagi kuzika au hajazikwa
Mbowe tunakueshimu Sana ila kwa Sasa tunaomba upumzike ni lisu na heche tu
Kiongozi mzuri ni yule anaetamani Nchi na watu wake wawe salama sasa mbona timu lisu ukiwasikiliza wanaonekana ni watu wa fujo? Nyie chadema kumbukeni mlikotoka achaneni na lisu mtaumia mbele
huyu ni ccm
mbowe must go
Lisu anakubalika na kundi ambalo halitamsaidia chochote kila siku watakuwa polisi wakishuhulia dhamana kwa kuwa matusi yao hayatawaacha salama
Mbowe huna jipya pumzika kwa amani
Mbowe tuokoe muda tunamtaka Lissu
Mbowe must sepaaa
Ningekua mjumbe kura nampa Lisu
Nafikiri timu lisu sio Watanzania wanafurahia vita kana kwamba wanamoyo ya plastiki
Lisu mpelekeni sauti ya watanzania
Kumbe Zito alikuwa na akili kuliko lisu.😂unakaribishwaje nyumbani kwa mtu unataka kuchukua na nyumba yake? Wewe si mwanasheria? Zito aliweza ana nini na wewe u shindwe una nini?
Kule mwanza alipomsifia mama Samia alikuwa amevaa miwani mieusi tarehe 21 aje amevaa ileile manaa yatakayotokea hataamini
Duuu kwani ulikuwa wapi miaka21. Haikutosha kukamilisha hayo???
Wote mnaliliy lisu amna kura wala ajulikani ata kandi amna. Poleni san. Mbowe ndio mwenyekiti tu 5❤❤❤❤❤
Kwa maoni yako lakini
Unamatatizo hatutaki mtu anae tumiwa na mfummo
Lisu for ever
Mbowe achana na wavuta bangi njoo ccm.
Kwenye matatizo umeongelea ubaguzi mkubwa
Hapa watu ni wastaarabu na wako waganga. Kwa Tundu Lissu WAKORA TUPU
Mbowe wewe ni mtu mahili sana ila nakuomba kwa heshima na taadhima pumzika kamanda uliyoyafanya ni makubwa sana 0umzika mwamba
Pumzika ww dah😂
Mbowe Si kwamba ni mbaya bali tunamuomba Lissu ili Chama isonge mbele.
Mbowe. Nae. Hakuna kit. Leo. Unaongea hayo. Watu. Wanapotea alkuwa kimya Leo anajifanya. Mwemakweli tokat. Hatkutak
Mbowe ingekua mimi ninge jiuzulu uwenyekiti ,hunamvuto tena wa kuongoza ,
Usiwe mbinafsi wewe!
Itifaki iliopo meza kuu nimakamo mwenyekiti ila mbowe amenuna ameanza na wageni
Ondoa jina Mzee, mwachie Tundu Lissu ili msikipasue chama chenu.
Bado tunakupenda lkn pumzika
KUZIKANA😂😂😂😂 MIAKA 21ILISHIMDIKANA??😅😅😅
LISSU REFORM UTAIWEZAA AU KELELE TIU😂😂😂
Hatakutaki
Nyie watu wa mitandao lisu atamwongza nani?
Chama cha kufa na kuzikana?
Kufa na kuzikana tena😅
MBOWE WATU WAKO WANAKUONA ADUI NJOO ACT WAZALENDO WAACHE MIPASHO YAO
mwamba tunakupenda ila kwasasa mwachie lisu
Kapumzike tumekuchoka 21 inatosho
Tupe mrejesho watoto wetu kina soka wako wapi? Hubiri kile unachokiamini na kukitekeleza
Kwendraa
Mbowe pumzika bhana
Mbowe mtoa Rushwa
Yaani mmeshanichanganya kabisa najizimia data
Mbowe, this is your last speech and end of your respect, you were lied by women. Your politics finalized insane.
Bundi katua kwako. Mwache Lisu tu
Mbowe nenda upumzike inatosha
Wengi wanaomtaka lisu au mbowe siyo wapiga kura
Mbowe hautufaii wewe kwa sasa!
Pumzika babu tunahitaji mitazamo mipya kwenye chama
Kwani mbowe anasemaje
Nashangaa pia
pumzika mwachie lisu na iwapo hautamwachia lisu chadema ndio by by kitakuwa chama cha wachaga
Pumzika mzee
Pumzika baba mbowe
Lissu
Mfalme Mbowe huyo
Sanaa mkuuu
Asante sana kamanda Mbowe kwa hotuba safi.wana bawacha Mbowe tano tena.
Mbowe umepungua kidogo kimwili
Unafaaa
mbowe kubali democracy mwenyekiti. Muache Lisu afanye mambo yake
Demokrasia ni kura siyo kuachiana kwa kupeana
Kiongozi huyu hapa❤❤❤❤
Achia ngazi wewe muda wako umeisha
Wajinga wanajua lisu hatoboi wanakazana kusema mbowe ondoa jina.subirini tar 21 atapigwa lisu wenu na wote mtakimbilia mahakamani kusema mmeibiwa kura.nyie tunawajua 😅
Kichefuchef