"LISSU NI CHAGUO LETU" CHADEMA NJOMBE WAMKATAA MBOWE HADHARANI WATAKA APUMNZI KWA HESHIMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 58

  • @BongoCryptos
    @BongoCryptos 12 дней назад +38

    Kamanda Mbowe AMEYATIMBA kama tuko pamoja hebu like hapa😂😂😂

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 12 дней назад +14

    Anae Kubali Kiongozi Katililika vzr Agonge apo Twende Na Lisu

  • @elizamgeni1217
    @elizamgeni1217 12 дней назад +8

    Oooooh 🎉 makamanda wa nyumbani
    Team Lisu

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 12 дней назад +6

    Ahsante Njombe

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 12 дней назад +7

    Safi sana makamanda. Ni mwendo wa Lisu

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 11 дней назад

    Hongera kamanda wangu

  • @AlumanaPilla
    @AlumanaPilla 12 дней назад

    Mko vizuri hongereni saaana tupo pamoja

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 12 дней назад +4

    Safi makamanda ni mda wa lisu na heche

  • @danielbachuta157
    @danielbachuta157 12 дней назад +9

    Safi sana.. Twende na Lissu

  • @henryludath3139
    @henryludath3139 12 дней назад +3

    Hongera Njombe

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 11 дней назад

    Hongera mabosi wangu wa njombe nawafahamu tuko makambako wote

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 дней назад

    Good sana brother kwa mtazamo mkubwa chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 12 дней назад

    Kaka m'barikiwe sana na MUNGU kwa msimamo huo ktika mkoa wetu wa njombe Lisu ni Tumaini jipyaa kwa Tanzania.🙏💪💯✌️

  • @RegnaldDanda-k3i
    @RegnaldDanda-k3i 12 дней назад +2

    Ahsante sana , Njombe mjini tupo hapo.

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 12 дней назад +2

    Kwa kweli kiongozi umeongea vzr sana

  • @ABELSHEYO-q2e
    @ABELSHEYO-q2e 11 дней назад

    Pamoja njombe mhe! Daudi nimekuona kamanda nakukumbuka sana simameni mguu sawa

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 12 дней назад +4

    Njombe hongeleni lisu oyeeee

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 12 дней назад +4

    Njombe mmetisha

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 12 дней назад +4

    Njombe Kamweneeee nyevaaa

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 12 дней назад +5

    Halafu dalali wenje wa mboe anasema mboe anaungwa mkono na wajumbe wajumbe wepi kama kanda zote zimetangaza zinamtaka lisu jiangalie sana safari yako ya kwenda ccm inakalibia msicheze na maisha yetu hata kanda ya kaskazini mboe ana kura 2 tu mwenyekiti wa kanda na katibu wake wengine wametoka na kumtaka lisu wamekanusha kupingana na mwenyekiti wa kanda wenje wenje acha upuuzi

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 12 дней назад +5

    LISU AKISHINDWA NAENDA KUCHKUA KADI YA CCM MOJA KWA MOJA MBOWE BASI

  • @meshackmwalongo9798
    @meshackmwalongo9798 12 дней назад +3

    Pamoja sana

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 12 дней назад +1

    Ahsante sana watani zangu

  • @salomemahenge7935
    @salomemahenge7935 12 дней назад

    safi sana njombe

  • @AlanusChatanda
    @AlanusChatanda 12 дней назад

    Safi sana wanyumbani mpo vizuri

  • @ABELSHEYO-q2e
    @ABELSHEYO-q2e 11 дней назад

    Njombe njombe njombe nimewakubal sana njombe makamanda wangu

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 12 дней назад +1

    Mmetisha sana makamanda

  • @mwengajacob4514
    @mwengajacob4514 9 дней назад

    Pamoja Sana Kiongozi wa Njombe yetu. Mbowe atapewa heshima yake kama anayo lkn niombe wajumbe tusirudie makosa Mh. Lisu na Heche ndio tuondoke nao.. Najisikia aibu kuongozwa na mtu kama Wenje.!!
    ("TUTAWAPIGA TUU" ni sauti ya mkoa hiyooo)

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 12 дней назад +5

    Lissu lissu

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 12 дней назад +1

    Mmenoga sana, mnajitambua

  • @essaumlele7126
    @essaumlele7126 12 дней назад +2

    Twende na Lisu Njombe hoyeee!

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 11 дней назад

    Team lissuuuuuu

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 12 дней назад

    Makamanda mko vizuri

  • @AnnaMwitega
    @AnnaMwitega 12 дней назад

    Barikiwa sana.

  • @elizamgeni1217
    @elizamgeni1217 12 дней назад +1

    Go go goooooo

  • @yustinacharles-o8y
    @yustinacharles-o8y 12 дней назад

    Asee charman mtu makini sana

  • @MbokaMicrocredit-ri4po
    @MbokaMicrocredit-ri4po 12 дней назад

    Asante sana

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 12 дней назад +2

    Kaka wewe unafaa kuwa kiongozi. Maneno Yako ni ya kiongozi anayejitambuwa

  • @BARAKAKinana-n4y
    @BARAKAKinana-n4y 12 дней назад

    jombe tupo pamoja makamanda pipozi lissu hoyeeee

  • @MosesNdabilla
    @MosesNdabilla 12 дней назад +1

    Team lisu

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 12 дней назад

    Mbowe bado hashtuki, nakushauri ondoka kwa heshima usisubiri kuondoka kwa aibu

  • @AmiriNyaki
    @AmiriNyaki 12 дней назад

    Tunapanda na Lisu

  • @masterzumba6739
    @masterzumba6739 9 дней назад

    Mm nalia mwenyekiti wangu wa mkoa wa Mbeya hataki mabadiliko yuko na kurunzinza

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 12 дней назад +2

    MBOWE RUDI MACHAME UKALEE WAJUKUU. MBOWE HUNA TOFAUTI NA NKURUNZINZA, MUGABE, KAGAME, MUSEVENI

  • @KingBoy-tu6pu
    @KingBoy-tu6pu 12 дней назад +1

    Twende na lisu

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 12 дней назад

    Twendeni na Lissu msituangushe wananchi

  • @HassanMaijo
    @HassanMaijo 12 дней назад

    Nimefulah San hii nchi inachezewa san na ccm kama huyo mtt wa rais anaweza kuwapa hela wakina wenje anatoa wp Kam sio za kwetu

  • @ImmanuelSima
    @ImmanuelSima 12 дней назад +1

    Sa wote kwa lissu mtamua mbowe na presha😅😅😂

    • @JoelKilemile
      @JoelKilemile 12 дней назад +1

      Kama ana akili ya Kuona mbali atajiengua mapemaa kabisa.

  • @gudaguda2170
    @gudaguda2170 11 дней назад

    3:56 Napata wasiwasi na hawa jamaa wanaosema wanamuunga mkono Tundu Antipas Lissu kwa kuitisha press. Ninachojua ni kuwa. Kura ni siri ya mpiga kura. Kuweni makini wana CHADEMA huenda hii ni trap, watakuwa wamepewa script ili iwe ni surprise attack kwa Lissu

  • @halikumbeyemsiwayinga9482
    @halikumbeyemsiwayinga9482 12 дней назад

    Acheni kelele nendeni,mpkapige Kura ,box liamue .Bwabwaja bwabwaja tu

  • @MichaelAlbertin-b1k
    @MichaelAlbertin-b1k 12 дней назад

    Mbowe ni jitu kubwa kama mti wa mbuyu kubwa jinga umbo kubwa akili hamna anamsikiliza wenje??????

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 12 дней назад

    mbowe katuuza kwa ccm ndy maana hakuna maridhiano utapeli tu

  • @ErastoMalekela
    @ErastoMalekela 12 дней назад

    Seth mmeamua kumtosa mbowe

  • @tumainikibona5252
    @tumainikibona5252 12 дней назад

    Hakuna kulala mpaka mabadiliko yapatikane tupo TAL

  • @KingBoy-tu6pu
    @KingBoy-tu6pu 12 дней назад +1

    Pamoja sana