JOHN HECHE AMRARUA VIKALI STEVEN WASIRA " UMESHACHOKA HUNA JIPYA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии •

  • @Hfmmngoyafamily
    @Hfmmngoyafamily 7 дней назад +21

    Asanteni sana viongozi wetu kwa kuonyesha dunia kwamba cdm ni chama cha damokrasia tunawaunga mkono na Mungu atakuwa upande wa haki kwakuwa yeye ni wa haki

  • @gasperpanga4422
    @gasperpanga4422 7 дней назад +12

    Asante Heche uko vizuri tutawaunga pamoja sana

  • @VascoMlimakifi
    @VascoMlimakifi 7 дней назад +1

    Mungu ibariki chadema pamoja uongozi wake hakika nchi hii itafika mbali. Kupitia Mh. Tundulisu na Heche mpo imara sana na mna jipya ahsante sana sichoki kuwasikiliza

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 7 дней назад +9

    Hongera heche..umenyooka vibaya

  • @WilliamShinka
    @WilliamShinka 7 дней назад +6

    From kenya ❤fifa chadema ,
    Heche power ❤

    • @DynessMaingwa
      @DynessMaingwa 7 дней назад

      Oky welcome one day Tanzania 🇹🇿

  • @johnnzumbe
    @johnnzumbe 7 дней назад +24

    "Mzee Wasira yeye bado yupo"😅😅😅

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 7 дней назад +15

    Lema kagombee ubunge banna...we need u

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 7 дней назад +5

    Safi sana 🎉🎉🎉🎉

  • @StevenTambi
    @StevenTambi 7 дней назад +10

    Kweli kabisa WAsira ni sawa na mbwa mzee hawezifundishwa sheria mpya za kuwinda😂😂

  • @IssaSibye-gc7gm
    @IssaSibye-gc7gm 7 дней назад

    Nimewasikia namm nipo tayari kwa kazi💪💪💪

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 7 дней назад +4

    Watu muhimu sana katika taifa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 7 дней назад +9

    Heche nkukubar sana hamjawai pindapinda tuko pamoja

  • @hppelias
    @hppelias 7 дней назад +5

    Majembe yako kazini

  • @edwinnzigo4670
    @edwinnzigo4670 7 дней назад +1

    Safi sana Makamu mwenyekiti tupo naww

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 8 дней назад +9

    Kumekuchaaaa😅

  • @paulodavid8662
    @paulodavid8662 7 дней назад +1

    Niulize kidogo ivi wasila anaumwa mashavu au namuonaga vibaya😅😅😅😅😅

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 7 дней назад +5

    Na wajiandae kweli kweli wanakazi si ndogo..

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o 7 дней назад +16

    Wasira amekula ujana woote na uzee wote sijui amebakiza nini huyu mzee apa dunian na hawez kutetea maendeleo ya nchi saabu n chawa wa Samia

    • @UpendoEliya-i7l
      @UpendoEliya-i7l 7 дней назад

      Acha Chadema wampe Babu Wasira vipande vyake maana kaanzisha maneno mwenyewe!! Wasira mwenyewe akikaa kwenye mkutano wwote anasinzia anashusha mpka denda anajilowesha tumbo. Bora Wasira anyamaze tu maana hana uwezo wa kujibishana nao

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 7 дней назад +4

    Kwisha ccm mzee wasira amezeeka hajui tena wananchi wanataka nn amebaki kutetea tumbo lake😂😂

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 7 дней назад +1

    Detel nzuri sana hizi ndio hoja zinazotizibua masikio macho,kila chama Ile hoja nzitto,

  • @charlenekabelela2155
    @charlenekabelela2155 7 дней назад

    Mungu Awabariki

  • @KarolMwikola
    @KarolMwikola 7 дней назад +1

    Huyo Mzee Hana aibu Kweli ana shida gani huyo

  • @Adrianmellow
    @Adrianmellow 7 дней назад +5

    Mbwa mzee

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 7 дней назад +15

    Mm nimeshahamia chadema

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 7 дней назад +3

    Like capten sankara

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 7 дней назад +2

    Chalamila mungu anakuona

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 7 дней назад +15

    Huwez kumfundisha mbwa Mzee kuwinda

  • @BariethVictor
    @BariethVictor 7 дней назад

    Mungu akulinde heche

  • @geey7893
    @geey7893 7 дней назад +2

    Our own Traore is on Making🎉

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 7 дней назад +2

    Namfananisha na Martin Luther King.Hongera.

  • @kheryonlinetv292
    @kheryonlinetv292 7 дней назад +4

    Heche ni Binaaadam ninaependa sana Spich zake za Kizalendo ila mimi ni CCM dam

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 7 дней назад

      Sasa ccm bado unafany nin hamia Airtel wewe mtandao ulio na kasi zaid

    • @kheryonlinetv292
      @kheryonlinetv292 7 дней назад

      @joshuahamis2738 ngoja nijifikirie na niuone Upepo wa Tundu kwanza

    • @williamkavuta8066
      @williamkavuta8066 7 дней назад

      Hata mmi Ccm Damu ila heche na Lissu wanaongea kizalendo hamna siasa wala unafiki

  • @f.a6043
    @f.a6043 7 дней назад +6

    This Man is genuine
    Ukweli hawana utu ni kama mashtani
    Mama mjamzito anahitaji uangalizi wa hali ya juu sana sana jamani hizo kauli ni za kisheni sujawahi kusikia kiongozi wa kiserikali akiongea hovyo namna hio kwa mama mjamzito

  • @StanleyHendry-rr9cz
    @StanleyHendry-rr9cz 7 дней назад +2

    Hongera Sana Tata unaongea Sana poiti Tata

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 7 дней назад +3

    Mzee Wasira please, achana na siasa pumzika ulinde heshima yako. Uwepo wako Unawakera kwanza wanasisiemu vijana lakini pia unajiingiza kwenye meno ya wapinzani😂😂😂 You will soon regret

  • @clarkcian2857
    @clarkcian2857 7 дней назад +10

    Mbona kama chadema mnaviongozi wenye akili hivi .....congrats 🎉

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 дней назад

      Heche Vs Wassira 😅😅

    • @DynessMaingwa
      @DynessMaingwa 7 дней назад

      Ndo laha ya Kuchagua wasomi so kama CCM kuna wasiojua kusoma na kuandika😂😂

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 7 дней назад +6

    Safi hii nimeipenda

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 7 дней назад +1

    Kiongozi mzuri ni mwenye akili na sura ya furaha people Power

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 7 дней назад +3

    Lema rud bungeni llz plz

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 7 дней назад +1

    Hotuba nzuri sana wenye misisitizo

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 7 дней назад +4

    Heche ni kiongozi na nusu

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 7 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 дней назад +3

    Mungu akubariki sana kaka John heche. Wakati wa marais wanaoitwa kina JOHN afika.
    Kuna John wa Mali kuna John wa Ghana ametangulia John JPM wetu nalist inaendelea.
    Bado sasa John Heche rais wa Tanzania.
    Ni wakati wa marais vijana mkaungane na Ibrahim Traore rais kijana kuliko wote Africa na dunuani na Sahel ili niunganishe aftika yote.
    Huyu kijana Anafanya maajabu kule Burkina Faso kwa muda mfupi just like JPM.
    Amekataa kabisa ukibaraka wa mabeberu na anajenga taifa lake bila mabeberu kwa mwendo wa kasi hadi inatisha.
    Kila la heri mkuu. Nakutabiria urais japo sikufahamu. Ila nimesikia hotuba zako, nimekusikiliza huku nikipims maneno yako inaonekana yanayoka moyoni na kufatuatilia watu mitaani wanavyokupenda.
    Huna mshikamano kabisa na mabeberu wala wazungu wanafiki. Na zaidi ya yote unazikubali kazi nzuri za JPM

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 7 дней назад +1

    🔥🔥

  • @SamwelPima
    @SamwelPima 7 дней назад +2

    Kiukweli inauma sana nawakati mwingine najiuliza ndio challamila wa JPM mbona kabadilika pakubwa sana mama anamhoji unataka kujifungua JPM angepita nae kichwa

  • @tumainikibona5252
    @tumainikibona5252 7 дней назад

    Vijana tuko na nyinyi stronger together, uchawa ni utumwa vijana tujitambue

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 7 дней назад

    Safi Heche

  • @AbuFaris-h7z
    @AbuFaris-h7z 7 дней назад +2

    Well done Heche umemuelezea vizuri sana huyo mzee alochoka kama gari bovu WASIRA.. wizi wakubwa CCM ni maadui wa nchi

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 7 дней назад +5

    heche uko vizuri tutafika salama safari yetu.

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o 7 дней назад +11

    Wakina butiku na akna warioba hawataki izo nafasi za uchawa, wasira amepewa hii nafasi saabu n wa bei cheee ananunulika kwa bei chee

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 дней назад +3

    Chama changu jamani kumuweka mzee wasira jamani

    • @UpendoEliya-i7l
      @UpendoEliya-i7l 7 дней назад

      Msahaulifu, msinziaji anashusha denda😂😂😂😂😂

  • @renatusmlugo6357
    @renatusmlugo6357 7 дней назад +1

    Naomba utaratibu wa kupata kadi ya chadema hiki ndo chama ma genz tunataka kile cha wazee hpn

  • @Wamisangi
    @Wamisangi 7 дней назад +1

    Maneno huumba ndg Naibu wa mwanakiti Mh Lissu hiyo kauli 'either tumekufa ama tuko gerezani itaumba. Mnapopata nafasi kubwa za kiongozi tafuteni Hekima ya Mungu kama Mfalme Suleimani. Usipoifuta kauli hii jua fika itakuwinda kwani shetani will use this statement against you.

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 7 дней назад

    Unafaa kuwa rais as long as unatambua unakubali na unaunga mkono kazi kubwa na nzuri za kujitoa muhanga alizoxifanya Magu. Tutataka mtu shupavu wa kuziendeleza na kuzimalizia. Hata Kama hukumpenda yeye binafsi lakini kazi zake hazijifichi zinaonekana wazi kabisa ni za mfano kabisa kagika afrika bila kumumunya maneno huo utabakia kuwa ukweli. Ndiyo maana watu wamempenda sana ibrahim Traore sababu anafanana mno na JPM kikazi anafuata nyayo zile zile. Anawakumbusha watu JPM kwenye mioyo wanampenda hapo usikosee kuangalia. Kosa fogobla kiufundi linaweza kuharibu imani ya watu na ukashindwe kujenga tena.
    Hilo usilisahau. Traore amekuja kukumbushana watu umagufuli wote kabisa.
    Kazi kwako kutambua hilo

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 7 дней назад +2

    Ccm haipangi safu kulingana na nyakati hivyo umri wa wasira kumpa uenyekiti kisa mzee imepitwa wakati walipaswa wampe umakamu mwenyekiti mtu mwenye umri wa kati miaka 50 au 60 kulingana na nyakati tulizonazo

  • @lucasolobiis4504
    @lucasolobiis4504 7 дней назад

    Wasira yupo 😂😂😂😂

  • @BeatusLyasenga
    @BeatusLyasenga 7 дней назад

    Tv ya chogo aiwezi kiahindana na flate screen,land Rover 109haiwezi kushindana na Discover, Mwaka 1950 hamuwezi kua sawa na Mwaka 2025 mawazo ya mwaka 1960 sio sawa na mawazo ya Leo,idadi ya watu WA mwaka 1950 sio sawa na Mwaka 2025,wasomi WA mwaka 1950 sio sawa na WA mwaka 2025 technology ya mwaka 1950 sio sawa na ya mwaka 2025

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 7 дней назад

    Huna hoja, wasira humuwezi kisiasa kabisa. Kelele tu. ccm wanaona mbali sana

  • @nestor384
    @nestor384 7 дней назад +7

    Ukilisikiliza liWasira huoni cha maana..

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 7 дней назад

    Time will tell

  • @TallTallmysha-v3u
    @TallTallmysha-v3u 7 дней назад

    Dah bado naumia sana chadema isipo shiriki uchaguzi wabunge kama profesa heche lema dah

  • @gregorymnyika991
    @gregorymnyika991 7 дней назад +2

    Against all oppression and scorn of CCM,we need this kind of people ......

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 7 дней назад

    John Heche namkubali ni mwamba kwelikweli

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 7 дней назад +1

    Wasira nisokwe ariee msituni amechoka kama ccm wasira anasinziaga bungeni

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 7 дней назад

    Bwana John Heche Mungu akubariki sana na akulinde na hila zote za mabaya ya hao ccmizi,ukweli tu ni kwamba tunahitaji watu km nyie hongera sn brother

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 7 дней назад

    Màendeleo ,umeme vijijini,maji,barabara,mipo vioni,usafiri wa maji,madaraja,reli za kimataifa,mama Samia hoyee,Wasira hoyee ccm hoyeee.Kazi iendelee

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 7 дней назад +6

    Mungu akukinge na mabaya yote 🙏

  • @PetroPhilemonmimbi-y5m
    @PetroPhilemonmimbi-y5m 7 дней назад

    Ukweli huwa unatenda haki na humuweka mtu huru pia, lkn viongozi wetu nahisi hawako huru maana kwa ulinzi wanaowekewa 🤔🤔 twende tuone huenda Mungu anaenda kutufunulia palipo funikwa na shetani, popote ulipo kama unapenda haki na kuitenda bc tupambane kwa nafasi zetu kwenye family kama wewe ni Baba au Mama play you part kwakuilelea family kwenye misingi inayofaa

  • @paulodavid8662
    @paulodavid8662 7 дней назад

    Pamoko sana chadema damudamu

  • @MASELEBUBINZA
    @MASELEBUBINZA 8 дней назад +5

    Kiongozi kanyie safi nchi itatembea vinzur

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 7 дней назад +1

    Heche ni mtu hatari kuliko Lissu

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 7 дней назад +1

    Anastafu mtu wa miaka 74 wanaweka mzee miaka 80😂

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 7 дней назад

    Lema we need you

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 7 дней назад +1

    Sera iliyopo ni ya kupigania badiliko la sheria

  • @benedictkiteji3627
    @benedictkiteji3627 7 дней назад +2

    Chuma

  • @SumaMchomvu-od9hj
    @SumaMchomvu-od9hj 7 дней назад

    😅😅😅😅😂 CHADEMA people s power

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 7 дней назад

    nili penda kauli ile iliyo sema vijana wa ccm wao kazi Yao kupiga makofi tuu mada laka kwa wazee walio Anzia tokea Nyerere duu

  • @salimabdul4424
    @salimabdul4424 7 дней назад

    Mpo vizuri..ila naomba mumuache kwanza mama amalizie kwanza then tufanye mabadiliko...

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 7 дней назад +1

    Chalamila anatatizo la afya ya akili chalamila kalewa madaraka

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 7 дней назад

    Ila kila chama kinawazee wasirra naye ni Mzee wa chama chake hoja tu itamfanya awe muelewa sio Matusi,

  • @simonmagembe7416
    @simonmagembe7416 7 дней назад +1

    Wasira toka 1954 yumo kwenye mfumo, hivi hakuna vijana??

  • @YasriThomas
    @YasriThomas 7 дней назад

    yan kila Account inayoipost CHADEMA kila Coment inaipongezaa CHADEMA iv CCM wapo wap au niwasaniii ndio ccm

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 7 дней назад +1

    Wasira kwa sasa hafai kuwa hata barozi wa nyumba kumi

  • @YasriThomas
    @YasriThomas 7 дней назад

    waleee CCM wote n Bendela wako kule kulinda biashala zao tu ata Lisuu akichukua kiti cha Urais wotee watakuwa CHADEMA ili kulinda biashala zao tu sasa wananchi tueleweni kitu apoooo

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 7 дней назад

    Mjitahidi sana wanasiasa ACHENI KUCHANGANYA LUGHA bila sababu ya MSINGI. Kwenye lugha mchanganyiko unasababu nyingi kama vile majivuno au kujiona unaijua lugha kuliko wengine au kujifanya wewe mwongeaji ni MSOMI ZAIDI YA WENGINE. SABABU NYINGINE NI KUKOSA MSAMIATI AU KUKOSA MISAMIATI. Sababu nyingine ni ULIMBUKENI WA LUGHA YA KIGENI KUWA NI BORA ZAIDI kuliko lugha ya nyumbani. MSIPUUZE WASIRA YUKO MAKINI

    • @HelakridiWella
      @HelakridiWella 7 дней назад

      😂😂😂mtu akifika miaka 80 IQ yake inakua sawa na kijana wa miaka 30???

  • @YahayaKishakwi-n3j
    @YahayaKishakwi-n3j 8 дней назад +4

    Muraaa vs uraaa

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 8 дней назад +1

      Fresh blood vs the outdated and expired blood😮

  • @zabronmdoe4398
    @zabronmdoe4398 7 дней назад

    Huge issue kumfundisha Bibi yako jinni yakunyonyesha uhuru tumeleta wewe ndio unazaliwa rudi shuleni toahoja,

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 7 дней назад

    Heche upambane na Wassira kwa hoja za mazungumzo!

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 7 дней назад +1

    Iko ivi ccm haina plani zaid ya ubabe so wabanchi wafunguke

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 дней назад

    Chadema viongozi muna midomo michafu bila mfano hakuna siasa ila matusi tu

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 7 дней назад +1

    Chalamila bwege sana

  • @selemansalum-f4p
    @selemansalum-f4p 7 дней назад

    Lina gangania madaraka. Lichawihiro

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 7 дней назад

    Mze wasira yupo

  • @istahijunior4229
    @istahijunior4229 7 дней назад

    Chadema hawawezi kuchukua uongozi nchi hii inayoitwa Tanzania kwa sababu wote ni wanafiki...!!! Ni lini ulimuona mke na watoto wa heche wakiwa kwenye huduma za kijamii za kawaida?

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o 7 дней назад +3

    Km ulivosema Ccm kaz wanayo lzm tuwatoe mabarakani

    • @chihoma-m4f
      @chihoma-m4f 7 дней назад

      hilo sahau kabisa ndugu

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 7 дней назад

      ​@@chihoma-m4fkwa nini Mungu tu asiyewezekana ndugu yangu kama sanduku la kura likiheshimiwa hiyo inawezekana LAKINI kama ni kutumia polisi hapo kweli hawapenyi labda Watanzania waelimike

  • @AhmedYusuph-g3f
    @AhmedYusuph-g3f 7 дней назад

    Lisu hana hadhi ya kuzungumza samia

  • @MohamadKhalid-k3r
    @MohamadKhalid-k3r 7 дней назад

    Kama kweli wasira amejibu hivyo kama kweli basi hafai na hta umri wake hafai kua kiongozi

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 7 дней назад

    Unawadanganya.subiri mwidho wa mwaka

  • @osiaaswile1393
    @osiaaswile1393 7 дней назад

    Kiburi na jeuli ya madaraka,,yaani chalamila apo hata mimi kaniboa

  • @selemansalum-f4p
    @selemansalum-f4p 7 дней назад

    Wasira umezeeka waachie vijana

  • @ponsianodamas5981
    @ponsianodamas5981 7 дней назад

    CHADEMA JIFUNZENI NCHI ZINGINE ZA KIAFRIKA ZIMEJIKOMBOAJE KUTOKA KATIKA CHINI YA MKOLONI MWEUSI. MIFANO YA NCHI HIZO NI KAMA VILE BURKINAFASO, BOSWANA, MALI, KENYA, N.K. IGINE NCHI HIZO.

    • @LeahMgunda-l8c
      @LeahMgunda-l8c 7 дней назад

      Mbona nyingine ziilpindua serikali unashauri nini hapo?