Hapa ndio nimeamini kuwa wenye karama ya uongozi hawako serikalini ila wasio na karama ya uongozi ndio wamejazana serikalini, brother Mnyika ulipaswa uwe kiongozi mkubwa serikalini, Mungu akubariki.
Chukua formu ya uchaguzi mkuu utashinda sijawahi kupandia maiti hata siku moja aminini samia ni mwepesi yuko mtu nyuma yake ambae amekwisha kisiasa eti awe bosi sasa huyu mnyika mmeona istoria ambayo ameandika kwenye uchaguzi wa chadema nani kama yeye
Aisee, Very bright John Mnyika. Ufaulu wa "A" ktk masomo 9 mtihani CSEE mwaka 1998 is not a joke. You're really very bright and intelligent as well.
Hivi ndo walifanya mtihani x2
Hapa ndio nimeamini kuwa wenye karama ya uongozi hawako serikalini ila wasio na karama ya uongozi ndio wamejazana serikalini, brother Mnyika ulipaswa uwe kiongozi mkubwa serikalini, Mungu akubariki.
Our future Prime Minister, my friend John Mnyika 💜
Salute Kamanda
Congratulations
Nimependa sana
Stay blessed Mkuu John Mnyika
Hongera sana sana
True Political Empowerment of Young People is a Key Towards a Democratic Society!
Mungu wapige upofu wezi wa kura.
Sana duuuh
Wewe ni mfano kwa vijana wengi sana , kiukweli una ushawishi sana
Vijana bila pesa hawawezi kupata, labda hao waliopo wafe maana ndio watoa rushwa wa kutupwa
Rushwa ilisha haribu uchaguzi, sasa bila rushwa hutoboi
ndo maana Uliteuliwa kuwa mtendaji mkuu wa chama
Njono
N😮 0:58
Chukua formu ya uchaguzi mkuu utashinda sijawahi kupandia maiti hata siku moja aminini samia ni mwepesi yuko mtu nyuma yake ambae amekwisha kisiasa eti awe bosi sasa huyu mnyika mmeona istoria ambayo ameandika kwenye uchaguzi wa chadema nani kama yeye
Bro.unguruma.uongoze.tanganyika.kwani.una.upeo.mkubwa