CHADEMA IRINGA WATOA MSIMAMO ''TUNAENDA NA LISSU'' MBOWE UMECHOKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 291

  • @goodluckkamaghe3871
    @goodluckkamaghe3871 9 дней назад +38

    Hongera sana Mfugwa kwa hoja nzuri sana, binafsi nimekupenda na nimekuelewa sana.

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 7 дней назад

      Chadema ifutwe Kila moja aanzishe chama chake maoni yanngu

  • @husseinkivike140
    @husseinkivike140 9 дней назад +29

    Jamani viongozi sikilizeni ushauri huu...kamanda uko vizuri

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 9 дней назад +14

    Safi sana vijana, love ya ❤️🙏🏾

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 9 дней назад +32

    Safi sana kamanda kweli wewe ni kiongozi kabisa

    • @MwangaSA
      @MwangaSA 7 дней назад

      @@EzekielChalomhola Puuzeni Ushauri wa Dr Slaa kama chama hakitakufa ushauri mwingi ni wa kishetani

  • @brownjvmtakimwa5586
    @brownjvmtakimwa5586 9 дней назад +28

    Kula yangu kwa Lisu huyu jamaa yupo vizuri sana

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 9 дней назад +17

    Safiiii sana ikiwa mtafanya hivo chadema itainuka

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 9 дней назад +17

    Kamanda uko vzr sana

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 9 дней назад +62

    Kama umeona mbowe kayakanyaga tujuane

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 9 дней назад +20

    Hizi ndo akili ni nywereeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sewandomkuchu9267
      @sewandomkuchu9267 9 дней назад

      😂😂😂😂

    • @mrmahmoud1278
      @mrmahmoud1278 8 дней назад +1

      Kila mtu ana zakeee

    • @isayalaurian6175
      @isayalaurian6175 8 дней назад +1

      😂😂😂😂Jamaa yuko vizur...alivokuwa anaanza unaweza mdharau kumbe n kichwa kwelikweli.

  • @lusubilokorosso5661
    @lusubilokorosso5661 8 дней назад +6

    Vizuri sana 100%

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 8 дней назад +14

    Chadema inaenda kuzaliwa upyaaaaaaaa! Safi sana kamanda!

    • @Lubango-gj3ud
      @Lubango-gj3ud 7 дней назад

      Naiona chadema ikijichimbia kaburi

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 9 дней назад +17

    MBOWE MUST GOOOOO

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 9 дней назад +10

    Well Said 👏 upo vizuri kaka

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 9 дней назад +13

    Tanzania Ina muhitaji LISU kuliko Wakati wowote ule LISU ana misimamo mizuri na anauwezo mkubwa waakili na nikionambali ni Mkweli na Muwazi Tumpe Kura za Ndiyo.

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 9 дней назад +13

    Hapa sasa mikoa yote ungana msimamo wa Iringa. Hapa kuna chadema ya kweli

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 9 дней назад +14

    Lisu ndo habari ya mjini 😂😂😂😂

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 8 дней назад +4

    Broo🎉🎉🎉🎉

  • @brownenas603
    @brownenas603 8 дней назад +11

    Hamjawahi niangusha iringa chadema,uliyoyaongea ni kweli na ndiyo yaliyo kwa kila mwanachadema tanzania hii,,hakika umetusemea na kuanzia leo wewe ni kichwa sana

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 9 дней назад +9

    Safi sana kiongozi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 9 дней назад +6

    Sikuwahi kuwa mtu wa siasa kabisa japo najua siasa ndiyo inatengeneza maisha ya wananchi wake yatakuwaje.
    Safati.hii siasa zimechangamka haswa. Inaprndeza tulipofikia

  • @AlikoMwakwese-d4r
    @AlikoMwakwese-d4r 9 дней назад +18

    Aisee kijana nakuunga mkono msimamo ni kilakitu lisu tusaidie

    • @mutabebwa1713
      @mutabebwa1713 2 дня назад

      Uko vizuri kijana unaona mbali . Hiyo aliyekwenda Dar kuwadaliti keshapewa kitu .

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 8 дней назад +3

    Bravo bravo mpaka wapinzani mpinduane

  • @eliudinjoka8698
    @eliudinjoka8698 9 дней назад +15

    Ndugu Mbowe pumzika miaka 21 inatosha

  • @ernestchomola1439
    @ernestchomola1439 9 дней назад +15

    Umongea kwel bro lisu ana faa sana

  • @deobodaboda9054
    @deobodaboda9054 9 дней назад +9

    Uko sawa kamanda

  • @georgepeter2055
    @georgepeter2055 9 дней назад +8

    Brother Mfuga , nakuona mbali sana ktk nchii… utakuja kunikumbuka.. upo vzr sana maana unajua unacho ongea na unajua nini unaongea… msigwa hakupati hata kwa nukta moja.

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 8 дней назад +3

    Hongereni sana Wana Iringa kwa misimamo km ya ndugu yetu Lisu

  • @hamzamajenja4891
    @hamzamajenja4891 8 дней назад +3

    Safi Sana ❤❤ Lisuuuu ni mwenyekit ajae

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 9 дней назад +7

    Wewe ni kiongozi sahihi umeongea kwa hoja vzr

  • @RodenMgata
    @RodenMgata 9 дней назад +9

    Alipo lisu tupoo✌️✌️✌️✌️

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 9 дней назад +14

    Lissu for Change🔥🔥🔥

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 9 дней назад +17

    Kijana unafaa kuwa kiongozi wa kuigwa mbowe apumzike.

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 9 дней назад +17

    Lisu ni wetu sote kaka na Kwa watz wote Nyerere WA pili Tz,

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 9 дней назад

      Familia ya Nyerere njooooni huku kuna boya kamfananisha Lialia na baba yenu

    • @sewandomkuchu9267
      @sewandomkuchu9267 9 дней назад

      ​@@simonsadala2386Lissu akili kubwa..kuwa mpinzani mkuu wa zama hizi za watu walioelimika , kwa zama (Information age), kwenye CCM ya zama Magufuli/ Samia lazima Uwe kichwa.Tundu Lissu ni Nyerere wa zama zetu..

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 9 дней назад +4

    Lisu for new Chadema

  • @michaelmakenji855
    @michaelmakenji855 9 дней назад +12

    Lissu ni chaguo letu kwa sasa

  • @damianmeela6079
    @damianmeela6079 9 дней назад +16

    MBOWE UMEFANYA MAKUBWA. LISSU ATAFANYA MAAJABU.

  • @eliseoseverine
    @eliseoseverine 7 дней назад +3

    Hakika chadema ina hazina ya viongozi bora kama huyu jamaa "very smart" yuko vizuri sana

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y 6 дней назад +1

    safi sana wana iringa

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 8 дней назад +3

    Kiongonzi umenena asante sana

  • @MedardMushobozi
    @MedardMushobozi 9 дней назад +6

    Wewe hutakiwi kuwa CHADEMA,una uwezo mkubwa wa kujenga hoja.karibu sana CCM

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 9 дней назад +2

      😅😅chefuuu kwani c yupo msigwa hukoo😅

    • @elimishanyamoga6797
      @elimishanyamoga6797 9 дней назад +2

      Ccm ibawezakukaliwa na mtu mwenye kupenda urahisi tu... Na wapenda dhuruma
      Mtu mwenye
      Akili
      Msimamo
      . Huruma na kuipenda TZ hawezi kuwa CCM

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 8 дней назад

      Aje huko mkauze bandari

    • @SaidiMohamedi-n2u
      @SaidiMohamedi-n2u 8 дней назад

      Watu wenye hakili wapo huku

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 7 дней назад

      Kufanya nini?

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 8 дней назад +2

    Chadema mpeni lisu,
    Hebu angalia namna vijana wa cdm wanavyopotea lini mmeona mbowe kavalia njuga km alivyofanya zito Kwa nondo,
    Anajiingiza mbowe hapa Tena ili kupoteza madai ya akina soka.
    Broo uko sawa,lisu ni mwanamageuzi wa kweli.

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 9 дней назад +7

    Mbowe must go!

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 6 дней назад

    Asante tunaaenda na lisu mbowe tunamheshim sana akubari mabadiliko

  • @victormwakidunda3694
    @victormwakidunda3694 9 дней назад +8

    Sawa kijana wangu

  • @brownjvmtakimwa5586
    @brownjvmtakimwa5586 9 дней назад +10

    Si tupo na tundu lisu

    • @mutabebwa1713
      @mutabebwa1713 2 дня назад

      Mbowe ASANTE kaage na nenda salama Moishe LISU mwamba wa mapambano

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 8 дней назад +2

    Mbowe inatosha, achia ngazi🔥🔥🔥

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 8 дней назад +9

    Iringa = Lissu✓
    Shinyanga = Lissu✓
    Mwanza = Lissu ✓
    Wapi pengine?

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 9 дней назад +9

    Kumeanza kuchangamka

  • @rastheunique
    @rastheunique День назад

    Jamani najikuta na like halafu na like tenaa😂😂

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 9 дней назад +9

    Lisu oyeeee

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 9 дней назад +4

    Mbowe Ana Taka kuwa Mwenyekiti wa Maisha Chadema

  • @damianmeela6079
    @damianmeela6079 9 дней назад +2

    Safi sana. Tuache kuleta uccm kwenye chadema. HII NI DEMOKRASIA.

  • @AloyceDaniel-q7t
    @AloyceDaniel-q7t 9 дней назад +4

    Kweli tukiwa na vijana km huyu Tanzania tunaweza kuvuka

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 9 дней назад +6

    Lisu ndio mpinzani wa kwel nchi hii ,Mbowe chawa tu kama chawa wengine

  • @DavidBisse
    @DavidBisse 9 дней назад +6

    Mbowe pumzika usigombee mwechie mwamba lissu lissu lissu atatuvusha

  • @rastheunique
    @rastheunique День назад

    ROUND HII MWAMBA AMEYATIMBAAAAA😂😂😂😂

  • @kaismwambona9860
    @kaismwambona9860 7 дней назад

    Kweli unakipawa Cha uongozi Tena umetoa somo kubwa.God bless you.

  • @Settledmanrise8083
    @Settledmanrise8083 9 дней назад +4

    Nimekuelewa sana devid mfugwa ht mm na muamini lisu mbowe apumzike ili aitunze heshima yke maana yke kaijenga kw muda mrefu hvyo yasije kua km yalio taka kumtokea mwalim j nyerere

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 7 дней назад +1

    Huyu jamaa genius kama lussu kwa hoja hiz anafaa kuwa kiongoz Bora badae

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 8 дней назад +2

    Uchaguzi wa viongozi wa Chadema upo wazi na kila mmoja anayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa.Hili ni jema sana.Hoja pia zinawasilisha bila mkanganyiko.

  • @mwendexhaninu4757
    @mwendexhaninu4757 8 дней назад +2

    Kweli Asante tunaenda lisu

  • @SelemaniJuma-h6g
    @SelemaniJuma-h6g 9 дней назад +11

    Lisu ningekushauri wakikupiga chini anzisha chama chako ulipo nipo

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 9 дней назад +8

    Mbowe apumzike tu

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 8 дней назад +3

    THANKS ALOT

  • @JosephSaidJikolo
    @JosephSaidJikolo 9 дней назад +2

    Safi kabisa

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 9 дней назад +7

    Lisu anatoshaaaaaa

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 7 дней назад +1

    Hv mbowe hizi coment huwa anaziona kweli

  • @OmaryKauti-m1w
    @OmaryKauti-m1w 9 дней назад +5

    nikwer kabisa tundu antipas lissu huu nd mda sahihi kwake

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 6 дней назад

    Huyu kalikiti naye ni kiongozi 😅😅😅

  • @AlsonMoses
    @AlsonMoses 7 дней назад +1

    Safii sana tuko pomoja

  • @renatustinsimile5410
    @renatustinsimile5410 9 дней назад +3

    Akili ni nywele kweli

  • @JOHNDACTO-q3l
    @JOHNDACTO-q3l 3 дня назад +1

    Lissu ndo kioo cha chadema kwa sasa

  • @nestor384
    @nestor384 День назад

    Kila kitabu/nabii na nyakati au wakati wake Changamoto za sasa za siasa za ‘mama Abdu’ zinahitaji mtu jasiri asiyetiliwa shaka kama Tundu Lissu
    Ni muda wa siasa za mapandikizi kufika mwisho A true and determined leader is needed na si mwingine kwa sasa zaidi ya Lissu Tundu
    Tunataka vijana na viongozi wa namna hii Tunataka Joshua (Lissu) atufikishe Kaanani Musa(Mbowe) amefika mwisho

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 9 дней назад +5

    Hekima ni kunyamaza na masanduku yaamue.
    Kapigeni kura nasio maneno mengi

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 8 дней назад +2

    Asante kaka

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 9 дней назад +6

    Kamanda Kwa maneno Yako tu indhihirisha wewe serious

  • @AndrewChilua
    @AndrewChilua 9 дней назад +4

    CAMANDA UMEMALIZA MANENO KWA WAKATI HUU NI LISSU HALI SINZULI TANZANIA

  • @frankpeter-of8xp
    @frankpeter-of8xp 8 дней назад +2

    pambaneni lisu apite tunamkubali sana lisu

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 7 дней назад

    Sisi wasingida ni mbowe tunamuhitaji sana lisu ni mwanetu tunamjua sana atumuitaji kutuongoza

  • @emanueljohn-xy7je
    @emanueljohn-xy7je 7 дней назад +1

    Pamoja sana

  • @KingLutambi
    @KingLutambi 9 дней назад +5

    Tuko pamoja

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 9 дней назад +3

    Jambo Jema wana Iringa

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 9 дней назад +7

    Kumbe Chadema ina watu wenye akili zinafanya kazi kama huyu Mfugwa.Mbowe akae pembeni ameishiwa kiutendaji

  • @LukasChusi-w1z
    @LukasChusi-w1z 7 дней назад

    Jina langu la selikal Luka c changa mwanachama wa chadema toka mwaka 1999 mbowe amefanya Mambo mengi Sana Ila sahivi apumzike twende Tena na lissu

  • @NgombaleNgombale
    @NgombaleNgombale 8 дней назад +2

    Hata Mimi nipo na lisu

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 9 дней назад +4

    Yaani kama mbowe wakueleawa basi ataeleea hii ni time atayoamua legacy yake akikosea hapa hii will be grop la lipumba akigomea akiachia atakuwa group la nyerere na zito .

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo 2 дня назад

    Ukovizuri kijana ,tunaenda na lissu,mbowe chali

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 6 дней назад

    Tundu lisu hana hata mia ya kuhonga najuwa mbowe attatumia nguvu kuhujum uchaguzi haki yamiungubatabaki na wapambe wako tutaondoka na lisu😅

  • @NyerereWomen
    @NyerereWomen 9 дней назад +6

    CHADEMA, kumbukeni mlikuwa mkisema mnadai kuwa na demokrasia, acheni kuvuruga demokrasia kwa kungangania cheo. Mbowe ataingia kwenye mtego kama Yueri rais wa kudumu. Acheni kuwa viongozi wa milele. Mbowe upumzike, angalia wengine waongoze ukiwa bado na nguvu za kutoa ushauri.

    • @amoursalum8266
      @amoursalum8266 9 дней назад

      huku sio kuvuruga demokrasia bali ndio kukua..kipind ch chaguz hya ni lazima kuepo hata ccm yanakuepo

  • @jamesmdegy3938
    @jamesmdegy3938 4 дня назад

    Kwa faida ya nchi yetu ya Tz na siasa za nchi kwasasa lisu anapaswa kukalia kiti kama muamuzi mkuu na mtendaji mkuu

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 7 дней назад

    Safi sana,but angalia wale wasiojulikana wanakusikia

  • @MiltonNzunda
    @MiltonNzunda 8 дней назад +1

    Good

  • @altokyenga2419
    @altokyenga2419 4 дня назад

    Mbowe angeachia kazi

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 7 дней назад

    Arusha pia tupo na Lissuuuuuuu..

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 9 дней назад +1

    Mbowe must go

  • @BarnabaBushiri
    @BarnabaBushiri 6 дней назад

    Devi mwenyewe, masanja.

  • @LukasChusi-w1z
    @LukasChusi-w1z 7 дней назад

    Nataka ukweli lisu awe mwenye kiti mzee apumzikr Kama mzee mmshaul

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 7 дней назад

    Niliyaona hayo na wenye upeo mdogo walinitukana, nilisemaa, ninyi mnawakilisha matakwa yenu na sio ya wapiga kura wote wa mikoa yenuu. Wale mliyenitukana jibuni matusi yenu.

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 8 дней назад

    Mungu mlinde lisu

  • @OmaryKauti-m1w
    @OmaryKauti-m1w 9 дней назад +1

    Ok in yeah of course tundu antipas lissu nd mtu sahihi kwa sasa