MAKONDA AMSHANGAZA WAZIRI MKUU KWA KUTANGAZA KUFUNGA MTAA KWA BIA ZA BEI YA KIWANDANI MWAKA MPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 63

  • @feizalmas
    @feizalmas 7 дней назад +8

    Makonda hongera natamani siku Moja ue rais wa Tanzania ww ni magufuli namba 2. Inshaallah utakuja kua rais

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 5 дней назад +2

    Huyu jamaa bonge la mbunifu. Nilikuwepo siku ya nyama pori mtaa ulifungwa na tuli enjoy sana sana. Hii ya bia sintokuwepo kwa Imani yangu ila nawatakia sherehe nzuri.

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 8 дней назад +8

    Safiiiii makondaaa tunakukubali snaaa umekua MTETEZI wa wanyonge na kutetea haki ya mtu... Unapenda Amani snaaa. Mungu azidi kukupigania 🙏🙏

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 7 дней назад +1

      Labda wewe ndie mnyonge , kwa taarifa yako kila mtu anajitahidi Kuishi kivyake hakuna mtu anaemlisha mwingine.

  • @jacksonmbena5410
    @jacksonmbena5410 8 дней назад +7

    babu kegan ... upo vizuri unajua kucheza na upepo... na km nyuma yako kuna mtu nakupa mbinu .. ✅✅✅✅ mshikilie jamaa angu

  • @sabinajoseph9297
    @sabinajoseph9297 8 дней назад +6

    Mheshimiwa ukiongea tu sichoki kukusikiliza unanipa Raha sana hongera sana kwa hekima na busara ulizojaliwa na Mungu ❤

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 9 дней назад +5

    Jembe langu MAKONDA MAKONDA MAKONDA japa kazi 🇴🇲🇹🇿🔥🔥🔥📖🏹

  • @kamekafuraha1465
    @kamekafuraha1465 6 дней назад +2

    Makonda anawakimbiza sana huyu jamaa mnyonge apewe tu maua yake

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 7 дней назад +2

    Hii nzur Mhe 🔥🔥👏

  • @AdamHwai
    @AdamHwai 8 дней назад +5

    Makonda umetumwa arusha kwa kazi maalumu kabisa ukifikiriaa kwa makini utaelewa maana makonda wa dar na makonda wa arusha two different things

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 8 дней назад +4

    Mungu azidi kukulinda mkuu

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 4 дня назад +1

    Sana kiongozi

  • @ElizaKidolezi
    @ElizaKidolezi 9 дней назад +3

    Jembe hilooooh ndan ya a town mungu akupe kheri ❤

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali 9 дней назад +7

    Zee Jembe.. jamani wa Arusha hivi mna stress za maisha tena kweli?

  • @JosephSisa-h9y
    @JosephSisa-h9y 9 дней назад +5

    Hongera Mh.Makonda

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 8 дней назад +3

    Arusha imempata mkuu wa Mkoa Kwa kweliiii

  • @charlesgafau778
    @charlesgafau778 8 дней назад +2

    Creative leadership unafanya mabo ya kufikilika ywe kweli

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 8 дней назад +4

    Ila huyu mwamba MUNGU azidi kumuweka

  • @DanielMwalukasa-e6l
    @DanielMwalukasa-e6l 2 дня назад

    Rais wa 2030

  • @AtilioMvwimi
    @AtilioMvwimi 7 дней назад +1

    Makonda mwamba kweli kweli

  • @frankwarembosaloon5316
    @frankwarembosaloon5316 9 дней назад +5

    Jamahuyu nikichwasana ndomana wanamuonea wivu sanaa

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 8 дней назад +3

    Apo kwenye pombe sasa kidogo umepitiwa ilaa mungu akusameh maana juzi tulikupa nafas ya kuwa mtumishi wa Mungu sasa bia tena hapanaaaaa

    • @MinzaKazungu
      @MinzaKazungu 4 дня назад +2

      Hata yesu alitengeneza divai, faham ya kuwa ukiwa kiongoz wewe nikiongozi wa wote

  • @JamesKilenga
    @JamesKilenga 6 дней назад

    Aminaaas

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 9 дней назад +2

    Ujumbe "Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni".
    Mathayo 18:19,.1 Yohana 4:20 Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona.
    AMEN

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 8 дней назад +1

    Utadhani si kiongozi wa serekali
    Utadhani ni mchungaji

  • @PasserbyMan-ju8ky
    @PasserbyMan-ju8ky 8 дней назад +1

    Kweli mtu hapatii yote😐😐😐
    😑😑😑

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 4 дня назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Vivia-m7g
    @Vivia-m7g 8 дней назад

    Duh.funga baba funga mitaa baba.bata ubatani.

  • @petrobathorimeo639
    @petrobathorimeo639 9 дней назад +3

    Saikoligical waziri mkuu anamkubali huyu mwamba.
    Majaliwa ana aina Tano za kutasamu Siri yangu

  • @IsmailiAebecha
    @IsmailiAebecha День назад

    Uwa napenda misingi ya uongozi wako

  • @HernyMonyo
    @HernyMonyo 8 дней назад +2

    Tuwape.kura.zote.mmoja.awe.raisi.nammoja.awe.waziri.mkuu.makonda.na.majaliwa

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 8 дней назад +2

    Makonda soon utakua makamu wa raisi

  • @YussufOmar-563
    @YussufOmar-563 9 дней назад +1

    Kama tuko bongo maniga🎉

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 8 дней назад

    Huyu mwambaaaa hata mawaziri wenyewe wanamuogopa

  • @JoshuaLazaro-eh9xs
    @JoshuaLazaro-eh9xs 8 дней назад +1

    HUYU NDO RAIS WA NCHI YA TANZANIA KWA SASA,

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 9 дней назад +2

    Mchengerwa mmmm mmmwee tuone makonda na mchengerwa nani zaidi

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 8 дней назад +1

      Yule ni boss wake , na pia hakumkataza kiuhasimu. Amemkataza kidesturi za kitanzania TU kwamba Sheria mkononi sio maagizo ya serikali. Msikuze mambo

  • @HernyMonyo
    @HernyMonyo 8 дней назад +1

    Kwani.uyu.makonda.nawaziri.mkuu.awewezi.kuwa.raisi.

    • @ChenChen-i8c
      @ChenChen-i8c 8 дней назад

      Siku akigombea makonda au majaliwa nitaamka saa kumi usiku nikapange foleni ya kupiga kura 6:04

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 8 дней назад

    ✔️❤

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 дней назад

    Hee imekuwa barabara zinajengwa kwa pesa za wananchi tena!?

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 9 дней назад +1

    Nimegundua rais ajae ni majaliwa 2030

    • @katotobrown8844
      @katotobrown8844 9 дней назад +1

      yes 2025 anagombea ubunge anaendelea kubakia kwenye mfumo then 2030 mama anamaliza then Majaliwa anaingia

  • @MeshakiIsaya-g5x
    @MeshakiIsaya-g5x 8 дней назад +1

    Kwenye bia shetani amekupitia

    • @brigethsauzand3926
      @brigethsauzand3926 8 дней назад

      Hilo ni Pato la Taifa na watu wamewekeza na ni sehemu pia inayoingiza pato hajakulazimisha unywe ni mtu wa serikali anaongoza walevi na wasiyo walevi

    • @farajansekela5763
      @farajansekela5763 7 дней назад

      Ya kaisali muachie kaisali muachie🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @farajansekela5763
      @farajansekela5763 7 дней назад

      Ya kaisali muachie kaisali muachie🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MinzaKazungu
      @MinzaKazungu 4 дня назад

      Hata yesu alitengeneza divai ukiwa kiongoz wewe nikiongozi wa wote,walevi, wakiristo ,waislam na wapangan, sasa makonda kafeli wap ? Au unataka awabague wasio na din?La Hasha": Mungu wetu ni wote wenye mwili, na amli kuu niupendo, hata YESU aliketi na makahaba, basi ndugu furah pamoja na walevi utaiona mbingu

  • @SimbaNgenula-j8y
    @SimbaNgenula-j8y 9 дней назад

    thaman ya magar yao unajenga shule ya kjj

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 9 дней назад +1

    Ila mungu hayupo kwenye pombe

    • @MinzaKazungu
      @MinzaKazungu 4 дня назад

      Faham ya kuwa hata yesu alitengeneza divai, ukiwa kiongoz wewe nikiongozi wa wote, Mimi sioni kosa kwa pombe, hata ukivimbewa kumbuka ni zambi

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 8 дней назад

    Kwani kila mwananchi ni mlevi? Hebu acheni kufanya mambo ya aibu haya.

  • @neliusgosbertbaguma8693
    @neliusgosbertbaguma8693 9 дней назад +1

    Sasa pombe imeingiaje hapo

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 9 дней назад +1

    Mnafiki

  • @immasaro4789
    @immasaro4789 9 дней назад

    Kama nakumbuka alisema December 25 na 26
    Akasahau Arusha ni wachaga huwezi ona mjini.
    Karibu Kilimanjaro ndio utaona Nini maana ya Christmas 🎄 not ARUSHA 😊