ASKOFU MWAMAKULA -"NILITEKWA SAA KADHAA -SIYO POLISI -HATA KAMA MULIRO AMESINGIZIWA RAIS ATAMUONDOA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 94

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 месяца назад +3

    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @edustudiotz3879
      @edustudiotz3879 2 месяца назад

      “The group does not exist”; wameandika hivo

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 2 месяца назад

      Askofu muasi kwa kanisa halisi la Moraviani akaanzisha lake "kanisa la Moraviani la uamusho"

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 месяца назад +16

    Safi sana mzee wetu Baba askofu mwamakula nyie kwa hakika wazee kama nyie ni tunu ya taifa ubarikiwe mnoo

  • @mr.vionge
    @mr.vionge 2 месяца назад +4

    Asante sana umeifanya siku yangu kumalizika kwa amani kabisa

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 2 месяца назад

    Mtumishi wa Mungu aliyehai Askofu Emmaus Mwamakula

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 месяца назад +5

    Kusumbua tu watu .mbona kuna waliotekwa wamewasema watekaji hamtaki kukubali tu wachukuliwe hatua

  • @GerrardLaizzer
    @GerrardLaizzer 2 месяца назад

    Askofu umeuwaa❤❤❤

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 2 месяца назад +1

    Mbna jeshi walisema sale zote za jeshi tuludishe jeshini. Tkaldisha. Sasa izo sale zinatka wapi. Waludie tena kusaka izo nguo mtaani.

  • @FelixMiyamini
    @FelixMiyamini 2 месяца назад +1

    Asante mzee

  • @PtransJulius
    @PtransJulius 2 месяца назад

    well said baba askofu

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 2 месяца назад

    Safi sana askofu waziri wa fedha anza nae

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 2 месяца назад

      Askofu muasi wa Kabisa halisi la Moravian Akaanzisha lake

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 месяца назад

    genius mwamakula Archbishop

  • @julietthomas2566
    @julietthomas2566 2 месяца назад

    Well said Askofu

  • @HeriMohamedi-re7xu
    @HeriMohamedi-re7xu 2 месяца назад +2

    Tanganyika ni koloni la waarabu kupitia Zanzibar lakini watanganyika ni mapoyoyo ccm ni chama cha Zanzibar. Lakini inaitawala Tanganyika

    • @mkude
      @mkude 2 месяца назад +2

      Unaongea pumba,huna unalolijia,ulichoandika hakieleweki,sijui tatizo huna elimu au chuki zimekutawala.

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 2 месяца назад

      Wewe hovyo sana

    • @erastodickson3063
      @erastodickson3063 2 месяца назад

      Mfyuuuuuuu

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 2 месяца назад

      @@HeriMohamedi-re7xu Hovyo Sana wewe mtu mweusi unajifanya mwarabu utumwa utawaisha lini vichwani mwenu?

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 2 месяца назад +3

    Samia alimuindoa DC wa loloondo sio kwa kelele za umma Bali DC alisema jambo balo Samia hakuliona. Ndugai aliondolewa uspika kwa kusema kuwa anakopa bila utaratibu. Sabaya aliondolewa u DC wake na kufinywa kidogo sio kwa sababu zile waliposema Bali kwa kosa lake la kumdarau Samia akiwa makamu wa Rais. Historia inaonyesha wazi kuwa Rais Samia anakwama kuchukua hatua kwa matukio makubwa ya itekaji sio kwamba hajui Bali Wahusika ni kikosi kinachowajinika kwake.. Kama kweli anataka tuamini haushiki kwa nini asitoe amri kwa polisi na vikosi ya usalama iwe marufuku kwenda kumkamata mtu wakiwa na nguo za kiraia na ikitokea mtu kafiatwa na watu wasio na uniform rasmi hao watu washambuliwe kama wezi tu.?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 месяца назад +1

      Naanzia huku ulikoishia, kwani kuna ruhusa ya wezi kushambuliwa? Suala la uteuzi na utenguzi ni mamlaka ya Rais usilete tafsiri zako, kwani waliteuliwa kwa nini. Sheria zetu na vyombo vya ulinzi na usalama viko vizuri. Matukio yapo hata kabla ya Rais Samia kuingia madarakani.

    • @GraceDeo-g1n
      @GraceDeo-g1n 2 месяца назад

      Upo sawa kamanda hii kaz ya mama ​@@hajihassan5433

  • @brittanypulei789
    @brittanypulei789 2 месяца назад +1

    Upo vizur baba

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 2 месяца назад +6

    Ostabei bwanaa 😢

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 2 месяца назад +1

    Hata hivyo Bado ni maumivu kwetu. Yaani badala ya askofu kuwa neutral unaegemea upande, is it ? Mchungaji?????

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 2 месяца назад

    Mzee kaamu kuwa mkweli

  • @SilivyoMahenge
    @SilivyoMahenge 2 месяца назад

    Hii ifungwe ya kukamtwa bila viongozi wa mtaa Kijiji kata razima wajue polis wamewa majukumu makubwa mno yaan wao wamekuwa ni tra bwana afya latra Kila Kona hii nchi hatar sana

  • @SilivyoMahenge
    @SilivyoMahenge 2 месяца назад

    Polis na usalama wakae wajitathimini ndo wanao semwa

  • @lipojibuministry8061
    @lipojibuministry8061 2 месяца назад

    Baba askofu tunatamani maaskofu wote wawe kama wewe.

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 2 месяца назад

    Anayetakiwa kujiuzuru ni waziri wa mambo yandani mheshimiwa musiogope kusema mlilo ninani mtu mdogo

  • @humphreymwankemwa
    @humphreymwankemwa 2 месяца назад +1

    Baba Askofu Mungu akubariki sana umeongea UKWELI MTUPU. Watanzania ni WAOGA tunatakiwa kupigia kelele mambo yote .ABAYA. OSTABEI huko!!! Mungu anawaona.

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga 2 месяца назад

    Hapo nathani asikofu umeelewa nani mtekaji. Musimughunye maneno sio raia baba tumuachie mungu. Kama wao wataishi milele

  • @ExcitedChemistryExperime-pl8vf
    @ExcitedChemistryExperime-pl8vf 2 месяца назад

    Ivi mzee iko kibandiko apo kichwani kime kaaje kaaje

  • @JudicaShoo-x9n
    @JudicaShoo-x9n 2 месяца назад

    Warudishe kwanza maarzi ya watanzania walizojilimbikizia

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 2 месяца назад +1

    Mbona wakati wa Magufuli hakuna wala haijatokea

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 месяца назад +1

    Tunashukulu kwa kutoa mwanga wa matumaini nchi yetu ni nchi yenye watu waliojaa hekima kubwa mungu awajaalie kupata majibu

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 2 месяца назад

    Mchungaji wa kanisa la chadema nakukumbusha tu kwamba lema aliwahi kuota kwamba magufuri atakufa na kweli leo hatuko nae vipi ulishawahi kumuuliza juu ya ndoto hiyo ilikuwaje

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 2 месяца назад

      huyo hakuota, bali ni mfuhasi wa mauwaji ya magufuli.. kipndi anasema kaota, ndo kipindi mchakato wa mauwaji wanaisuka.. ndo maana hilo jamaa lilisafiri nje

    • @samirshabani-yu4xu
      @samirshabani-yu4xu 2 месяца назад

      Pumbu wewe hauna akili

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 2 месяца назад +1

    Mama abdul atakaa na viongozi wa dini aongee nn,yuko wp kijan aliechoma picha mbeya?

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 2 месяца назад

    Hao police ni watekaji kweli na Wala sio uongo walimteka kaka yangu wakaenda kumficha kituo Cha police tazara shenzi hao walikuja kama majambazi na noa pikaup kibini

  • @GODWINKANJU
    @GODWINKANJU 2 месяца назад

    Sijawai kuona watumishi wa kweli ya Mungu wanakua wana siasa, kanisa utaliongozaje? Ukimuona mtu anajiita askofu, mchungaji, nabii na wengineo wengi watumishi watumishi wanajihusisha na siasa jua hakuna mtumishi hapo. Wachungaji wanasifa ya usuruhisho na maombi sio uchochezi

    • @JoshuaSabu-r2p
      @JoshuaSabu-r2p 2 месяца назад

      Viongozi wa dini Wana mchango makubwa katika nchi yetu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 2 месяца назад

    Hinger askofu kwa uweledi wako

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 2 месяца назад

    Ahaa eti yule wa maporin kutenguliwa,sio hoja angefikishwa mahakaman.

    • @noellema9109
      @noellema9109 2 месяца назад +2

      Nakumbuka ata mweshimiwa lowassa ambaye ni marehemu aliwahi kujiuzulu

    • @YohanaPeter-r1y
      @YohanaPeter-r1y 2 месяца назад

      Afikishwe maakaman nann wakat alimtaj m2 alie mteka wakamfumbia macho kec ikaishia ewani

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu 2 месяца назад

    Huyu siyo askofu huyu ni gofu moongo mzushi na kama siyo kauli yako ilewek jibu nikujbu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 месяца назад

    Huyu bwana anaposema mke wa kaisari halaumiwi maana yake ni nn?

  • @gift-AA
    @gift-AA 2 месяца назад +6

    PAROKO WACHA KUTUMIKA KISIASA JADILI NENO LA MUNGU NAFKIRI HUJAJUA BADO NINI MAANA YA KUTEKWA

    • @nicholasakeya6790
      @nicholasakeya6790 2 месяца назад +1

      But also remember this is a mature conversation sir

    • @GiliadLuziro
      @GiliadLuziro 2 месяца назад

      Kwan wamekusanyika kwaajil ya kuhubiri mpaka useme asiongelee siasa,tambua kwanza n nn kimewafanya wakusanyike hapo

  • @MbendaHalfan
    @MbendaHalfan 2 месяца назад

    Mambo ya kaisali mwachie kausali na vyake mungu mwachie mungu,nataka nikwambie tu wewe unaejiuta askof hatutaki mambo ya kongo uyalete Tanzania yaani maskofu ndio wenye kauli ya kusimamia serikali

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 месяца назад

    Waachieje mamlaka wakati huna ushahidi? Mpaka ije igundulike ndipo arudi c atakuwa ameumia? Mbona mnakimbilia sana kusema wajiuzulu au mnawajua watekaji halafu mnataka kupotezea kwa watu kujiuzuru? Acha mambo yako bhana

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 2 месяца назад

      Ushahidi wa aina gani unaotakiwa? watu wameanza lini kusema watekaji ni wao? inatosha huo kuwa ushahidi maana wao hawajawahi kumleta mtekaji ilhali wao ndo wa

  • @JAPHETLAIZER-i9m
    @JAPHETLAIZER-i9m 2 месяца назад

    How are you doing today

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 2 месяца назад

    Kiufupi huyu mtangazaji hanania mzuri

    • @josephatemmanuel458
      @josephatemmanuel458 2 месяца назад

      Kwani wewe unania nzuri?

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 2 месяца назад

      Hana Nia nzuri .. mnataka awe na nia Gani .. ya uchawa chaws si ndiyo ? Acheni ujinga ....

  • @JudicaShoo-x9n
    @JudicaShoo-x9n 2 месяца назад +1

    Afananii Wala kuwa askofu

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 2 месяца назад

      Huyo ndiyo Askofu ... Askofu makini anayetetea watu wake

  • @ThomasErro
    @ThomasErro 2 месяца назад +3

    uyu baba nimchochezi, hana sifa ya uaskofu, kiherhere inazidi

    • @Fesary
      @Fesary 2 месяца назад +2

      Hana sifa ya kuwa Askofu tukwamini wewe kama nani,

    • @mjanthony4864
      @mjanthony4864 2 месяца назад +1

      @@Fesary Imagine, tumwamini yeye kama nani? Swali zuri sanaa

    • @hamzamajenja4891
      @hamzamajenja4891 2 месяца назад +1

      Shida Yako ni uchawa na kujipendekeza, omba lisikukute wewe sikia tu Kwa mwenzio

    • @josephatemmanuel458
      @josephatemmanuel458 2 месяца назад

      Wewe ni chawa

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 2 месяца назад

      Unajua maana uchochezi ... Au kwa kuwa umepewa tende na halua kutoka unangani

  • @mbagalacharambe114
    @mbagalacharambe114 2 месяца назад

    Huyu mzee kweli anazeeka Vibaya Sana ...

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 2 месяца назад

      Anazeeka vibaya .. au wewe ndiyo uelewa wako mdogo kutokana na kupewa tende na halua kutoka unangani ... Na Mambo yenu ya hivyo kutoka mbagala

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад +1

    WACHA UWONGO WEWE PALOKO NANI AKUTEKE WEWE 😢😢😢😢😢NENDA KIBONGOTO KWANZA

    • @SAMFELEX-vz5yz
      @SAMFELEX-vz5yz 2 месяца назад

      Ujitambui ww mtu anaongea point unafnya masiara shenzi

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад +1

      @@SAMFELEX-vz5yz POINT GANI HUYO ASKOFU MCHWARA WA SACCOOS WAMECHEMSHA

    • @JacobSanday-u9h
      @JacobSanday-u9h 2 месяца назад

      Waislamu wapumbav tu

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад

      @@JacobSanday-u9h WAGALATIA AMKENI HUYO SIO ASKOFU HUYO NI MWANAHARAKATI 🤩🤩🤩🤩

    • @johannesishengoma1232
      @johannesishengoma1232 2 месяца назад

      ​@@JacobSanday-u9hSasa Waislamu wameingizwaje kwenye hoja yako?

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 2 месяца назад +1

    Wewe Si Asikofu Acha hiyo Kazi Nenda Kwenu Mbeya Kalime Mpunga

    • @JacobSanday-u9h
      @JacobSanday-u9h 2 месяца назад

      Acha upumbav wew muislamu gaidi

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 2 месяца назад

      Acha dharau wewe. Askofu yuko sahihi kabisa.

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 2 месяца назад

      Tatizo lako umejaa chuki kutokana na kupewa tende na halua .. kutoka unangani ...

    • @HASSANWAZIRIGAO
      @HASSANWAZIRIGAO 2 месяца назад

      @@nicodemusngwala2079 Chama Chenu Kimefanya Mbinu na Maaskofu kisiichague Ccm kwakuwa Samia ni Mzanzibari na ni Mwiislaam

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 2 месяца назад

    huyu kishandu wa buguruni vp? Et anajiita askofu.. km maaskofu ndo hawa bac dini nimeamini ni uhuni tu..

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 месяца назад

    Askofu najiuliza na usomi wako umeshindwa kusoma biblia vzuri hata ushindwe kujua mission ya Warumi na Paulo juu ya kuvisha watu misalaba shingoni ?