Ahsante wakili Rugemelaza.Natamani tuelimishwe kila wakati.Kongamano limetutoa matongotongo.Du! Waliopewa mamlaka tunaomba muelewe ili mtende haki na ionekane.Pengine wenye mamlaka hawajui hizi sheria vinginevyo tilipo tusingefika tulipo.
Ni kweli sisi sote ni wahanga. Mimi Niko Mbeya na Sina chama. Ila kuwapoteza watanzania wenzangu naumia sana kwani hao ni ndugu zetu. Hatuwezi tukawa tunauana sisi Kwa sisi utadha tunatawaliwa na mafashist
Wasomi wa sheria hoyeeee nawapongeza kwani wanatoa maelezo kwa kunukuu vifungu vya sheria,ni bahati mbaya tuliowengi watanzania hatujui sheria katiba yetu hatujawai kuisoma.
Nadhani kuwepo na mjadala wa hili, kwa mtizamo wangu bado naamini ni wa Jina sahihi ni "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Hii ni kwa sababu neno "Muungano" linatumika kuonyesha umoja wa nchi mbili (Tanganyika na Zanzibar), na hivyo linahitaji kiunganishi "wa" ili kuonyesha uhusiano kati ya "Muungano" na "Tanzania."
Wewe mwana. sheria kuna watu wenye kiu ya kuuwa watu hapo wanakusagia meno wao wamejihesabia kuwa hakuna wa kuwafanya cho chote kwakuwa wanao watuma ndio wenye mamlaka juu ya maamuzi ya matakwa yao ninyi mnapo ongea bila siraha yeyote wakati. wao wana maghara ya siraha na mamlaka ninyi ni kama. panzi tu
Rugembeja hapo kwenye Jamuhuri ya muungano ya Tanzania BADALA YA Jahunuri ya Muungano wa Tanzania NAONA UMEJICHANGANYA MZEE . Wewe ndio unakosea hujui Kiswahili . 😅😅😅
Mungu akubari mweshimiwa wakili kwani watu wengi awajuilolote
Baba Rugemereza Mungu akubariki. Mwenye masikio na asikie.
Mh mungu akubaliki sana
Jaman, jaman eeee
Munguuuu,wa mbinguni tuseme nn kwako??? Kwahaya yanayotokea!!!!!
Ahsante wakili Rugemelaza.Natamani tuelimishwe kila wakati.Kongamano limetutoa matongotongo.Du! Waliopewa mamlaka tunaomba muelewe ili mtende haki na ionekane.Pengine wenye mamlaka hawajui hizi sheria vinginevyo tilipo tusingefika tulipo.
Mungu tusaidie watu wenye kutuongoza wawe kama hawa wenye uelewa mzuri Ili tuwe na amani
Ubarikiwe umetuelimisha
Ahsante Sana 🙏🙏🎉 🎉
Amina mungu akubariki,Tanzania inataka wakili kama wewe,UMETUELIMISHA
Asante sana mzee wru
Woo napenda tunako elekea ❤
Ni kweli sisi sote ni wahanga.
Mimi Niko Mbeya na Sina chama. Ila kuwapoteza watanzania wenzangu naumia sana kwani hao ni ndugu zetu.
Hatuwezi tukawa tunauana sisi Kwa sisi utadha tunatawaliwa na mafashist
Ubarikiwe sana Mzee kwa kuelimisha wa TZ
Kamanda mulilo sikiliza hayo mawe
Umeongea vizri sana ila sasa utawala tulionao kwan watakubaliana na hilo kweli!! Tumezoea kuchakachua kila kitu
Wengine wanasema kijitabu wengine wanasema katiba
Tatizo au shida kubwa yetu binadamu, ni kutotenda au kufuata taratibu, haki na sheria. Matokeo tunarejea ktk mitaala, badala ya practice/physical.
Mh. ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumaanisha Ni Muungano wa Tanganyika (Tan) na Zanzibar (Zan) na kushamirishwa na neni 'in' kupata Tanzania
Waskiage hai wanao ifanya nchi kama za baba zao
Wasomi wa sheria hoyeeee nawapongeza kwani wanatoa maelezo kwa kunukuu vifungu vya sheria,ni bahati mbaya tuliowengi watanzania hatujui sheria katiba yetu hatujawai kuisoma.
Ccm msikie
Wanaelewa dawa wapellekwe mahakamannii nje
Nadhani kuwepo na mjadala wa hili, kwa mtizamo wangu bado naamini ni wa
Jina sahihi ni "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Hii ni kwa sababu neno "Muungano" linatumika kuonyesha umoja wa nchi mbili (Tanganyika na Zanzibar), na hivyo linahitaji kiunganishi "wa" ili kuonyesha uhusiano kati ya "Muungano" na "Tanzania."
Kuna kesho au mjui
Sasa hapo awoo wanaopoteza watu mshitakiwa number moja anaewatuma
😢
Iyunikwelli
Kama sio uongo yeye alifungwa kitambaa je alimuona wapi huyo mafwere
Yeye kasema.
Umesikiliza interview yake ukaamua kujizima data.
Wewe mwana. sheria kuna watu wenye kiu ya kuuwa watu hapo wanakusagia meno wao wamejihesabia kuwa hakuna wa kuwafanya cho chote kwakuwa wanao watuma ndio wenye mamlaka juu ya maamuzi ya matakwa yao ninyi mnapo ongea bila siraha yeyote wakati. wao wana maghara ya siraha na mamlaka ninyi ni kama. panzi tu
Ccm hawajui tunaongozwa na wajinga watajikita mahakani
Rugembeja hapo kwenye Jamuhuri ya muungano ya Tanzania BADALA YA Jahunuri ya Muungano wa Tanzania NAONA UMEJICHANGANYA MZEE . Wewe ndio unakosea hujui Kiswahili . 😅😅😅
KATIBA YA "JAMUHURI YA MUUUNGANO" YA TANZANIA, KATIBA YA JAMUHURI YA KENYA NOT WA KENYA, KIWAKILISHI SAHIHI HAPO NI "YA" NOT "WA" NDUGU
Not sure kama ya hapo ni KIWAKILISHI au kivumishi, but ya ni ndo appropriate am sure
Tumi a neno Waathiruka badala ya Wahanga. Wahanga ni watu waliojitoa Muhanga
Waathirika wa UKIMWI
Yupo Sawa kutumia neno wahanga! Ukisema waathirika hapo unakuwa umechemka!! Wahanga yaan victims
@@oliviaseth4652😂😂😂😂
@@oliviaseth4652🤣🤣🤣🤣🤣