UFAFANUZI WA MFULULIZO WA MATUKIO YA RAIA WANAODAIWA KUTEKWA | KAMANDA MULIRO KWENYE POWER BREAKFAST

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 262

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 2 месяца назад +1

    Murilo mungu anakuona
    We fumba fumba2 kumbuka ukweli haufunikwi kila siku kumbuka ipo isiojulikana mungu ataamua kujibu maombi ya wengi kwawakati moja
    Hivyo mtashindwa wp mweke sura zenu

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 10 месяцев назад +9

    Kwa akil hii ya afande...kazi tunayo kwel

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 месяцев назад +3

    Mungu atunusuru na mtihani. Sijui itakuaje hukombele tunapoenda.Tz mauwajini mengi ya kimyakimya

  • @kahumzaharrison
    @kahumzaharrison 10 месяцев назад +17

    Very interesting session. Kudos to Clouds Media kwa kuja na mijadala inayogusa masuala ya kijamii moja kwa moja.

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 9 месяцев назад

      Ndio tuwahoji vp kuhusu JUMA WA JUMA

  • @ramadhanimsomanga5448
    @ramadhanimsomanga5448 2 месяца назад +1

    Kamanda oyeeeeee😅 Kwa ufafanuzi mzuri Pia kwa majibu mazuri hongera sana kamanda

  • @ahmed59122
    @ahmed59122 9 месяцев назад +4

    Hilo linatisha zaidi na huyu Askari anazuga tu labda anaona ujiko kuwa kwenye TV tu. Hana analolijibu...Dar es salaam imeharibika sana.

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 10 месяцев назад +4

    Kipanya na wenzio Allah yupo nanyi .kwa hakika kipindi kimetugusa saaaana. Kwani tuna hofu sana.

  • @IvanildoHenriques
    @IvanildoHenriques 10 месяцев назад +8

    Kamanda mulilo aache kukwepa maswali mbona hao polisi wanaotajwa hawahojiwi afande R.P.C acha porojo mungu yupo na anawaona siku mkifa mjiandae kwenda kumjibu mungu

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro 2 месяца назад

      Kwa hiyo wahojiwe mtandaoni?!🤔

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro 2 дня назад +1

    Hao wanaokamatwa kupotezwa ama kuuwawa sio matajiri ama watoto wa matajiri km ni kikundi cha wahalifu wanapata faida gani juu ya kupotea kwa watu hao kuhusu watu kujiita Maafisa wa TRA hao wanapata faida kupata pesa kwa njia ya udanganyifu kuhusu gari gari ni no za usajili sio aina ama rangi km ikiwekwa no bandia basi huwezi kuitambua

  • @onesmomsilikale
    @onesmomsilikale 10 месяцев назад +5

    Kamanda mulilo acha siasa jibu swali

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 9 месяцев назад +1

    JAMANI MAHISHA GANI HAYA. TANZANIA YETUUUU. WIVUUU WA MAISHAAAAA. TUMEKUWA WAUWAJI SASA

  • @QueenethNcube
    @QueenethNcube 10 месяцев назад +5

    Uyo kamanda Siro siyo mtu mzuri kabisa

  • @LeonardJoseph-e7l
    @LeonardJoseph-e7l 9 месяцев назад

    Hongeren vyombo vya habar kuliweka wazi hili mm ningeomba wale wote maasikari walio tajwa na wanaohisiwa wachunguzwe na kupelelezwa kwa makini sana na kisiri wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo laja basi tuombe serikali liingilie kati zaidi hili jambo mungu awe nasi wakat wote

    • @kinogekimbeho3781
      @kinogekimbeho3781 9 месяцев назад

      kamAnda hawez kujibu hiyo wanajua kila kitu hao

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 2 месяца назад

    Mwenyezi Mungu, waabishe wote wanaotenda uovu wa kuteka na kutoa uhai wa watu wasio na hatia umesema mwenye haki ataishi waovu waovu wote wasisitawi ee Mungu

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 10 месяцев назад +3

    Maswali anayoulizwa kamanda mengine anajibu mengine kwashaili hii tutafika kweli hamna chochote anachojibu chakueleweka

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 10 месяцев назад +14

    Hii kazi mnayo ifanya wenzetu polisi. Kutupoteza sisi raia. Mungu atawalipa , lisemwalo lipo.

    • @stevenjackson4985
      @stevenjackson4985 2 месяца назад +1

      Wewe una uhakika gani kuwa polisi ndio wanahusika? Na wanafanya hivyo kwa sababu gani?

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 10 месяцев назад +7

    Afande anakwepa sana maswali na anajua exactly nini anapaswa kujibu

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 10 месяцев назад +5

    Hajajibu swali hata moja

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 9 месяцев назад +1

      Anajua akijibu Sawa kitu gani kitafuata na hio ndio kawaida Haki usawa na uadilifu

    • @zephanialuangwaeliatosha9723
      @zephanialuangwaeliatosha9723 3 месяца назад

      ​@@MohdIkra-d7s😅niutenguzi

  • @DadcashCash
    @DadcashCash 2 месяца назад

    Moja kwa moja mulilo anamaanisha kazi imemshinda kama mlinda uslama wa laia na mali zake

  • @gwamakamwasongwe8053
    @gwamakamwasongwe8053 2 месяца назад +1

    Hongera Kipanya

  • @shomarishija3203
    @shomarishija3203 10 месяцев назад +6

    Best interview … Kamanda nimemuelewa

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 10 месяцев назад +4

    Kamanda ana chembe za ugaid

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 6 месяцев назад

    Power breakfast ni moja ya kipindi bora sana Clouds.))Mko well organized Bravo kwa team nzima

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 10 месяцев назад +1

    Huna leta ulagayi kwenye maisha ya watu...💔💔💔💔

  • @sudiomari5881
    @sudiomari5881 10 месяцев назад +15

    Yani katika nchi hii ukipiga mahessbu waliopotea niwengi sana

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 10 месяцев назад +7

    Huyu mulilo hana jibi

  • @chotachammy6940
    @chotachammy6940 2 месяца назад

    Kipanya keep it up bro
    Ila kaz ipo

  • @RaysonMtui
    @RaysonMtui 2 месяца назад

    Pamoja na kutokua askari majibu ya afande Mulizo,hayaridhishi.

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 10 месяцев назад +4

    MUNGU AWE MSAADA WETU

  • @Xyz-dc3yq
    @Xyz-dc3yq 10 месяцев назад +1

    Solution ya kupunguza haya matukio na kurudisha trust ya wanajamii kwa polisi ni kudigitalize jeshi la polisi. Ni ngumu kufanya uchunguzi wa matukio haya yote pasipokuwa na resource za kutosha. Kuna baadhi ya watu inaweza ikawa ni kweli wanachafua jeshi la polisi, na inawezekana kuna polisi ni kweli sio waadilifu. Hatuwezi kupata majibu sahihi kama jeshi halipodigitalized

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 2 месяца назад

    MULILO KULE ZAMBIA NI MOTO ( FIRE)

  • @yusuphmruma1771
    @yusuphmruma1771 2 месяца назад

    😢😢😢😢tanzania sio sehemu salama yakuishi mda huu

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 месяца назад

    MUNGU 🙏 amejibu maombi wakati wa ukombozi umefika sasa

  • @gabrielkitia6808
    @gabrielkitia6808 2 месяца назад

    Hongera sana cloud

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 2 месяца назад

    Huyo angepotezwa

  • @c75923
    @c75923 10 месяцев назад +1

    Daaah Muliro bingwa sana wa kuvunja na kujenga.......yaani kavuruga kabisa kusema wewe ni mke ila iondoe uwezekano wake wenzio wapo...!!! daaah Kamanda Muliro Jumanne Muliro aise upo vizuri mtu asikuendee kichwa kichwa atakula za uso ha ha haaaaaaaa

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 2 месяца назад

    Hi inaitwa cheka sana simultaneously sana ila omba yasikukute
    Ndicho anachokifanya murilo hapo
    Anasema ikithibitika kua askari ndio anahusika kwenye tuhuma fulani adhabu yake kubwa zaid nikumuachisha kaz nasio kunyongwa jela maisha nk.hizi ni adhabu kwa upande wetu sisi nyani😢😢😢😢😢

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 месяца назад

    Watu ni wengi sana!, upuuzi huu ccm imeuanza sana

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 9 месяцев назад

    Kwakweli police kutenda haki awawezi wengiwao hata ukifika kwenye kituo cha police wanasababu ambazo watakwambia na utavunjika moyo kuendelea kufuatilia jambo lako kwa usumbufu utakao upata mbaka mazala yawe makubwa ndowanajifanya kufuatilia ili nitatizo sana mnatuumiza sana 💔💔💔

  • @AlexFanuel-i1p
    @AlexFanuel-i1p 9 месяцев назад

    Mungu atatoa jibu hao asikari tunaishi nao

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 месяца назад

    Kamanda ni chenga

  • @DicksonLyimo-ie7md
    @DicksonLyimo-ie7md 2 месяца назад

    Huyo mulilo mwenyewe anatumiwa man hakina polisi hapa unazingua unaleta siasa jibu maandamano ni haki hama si haki kwa nn mnawakatata waandamaji

  • @mzeebabumzee
    @mzeebabumzee 10 месяцев назад +2

    mungu yupo na mungu ana kuona

  • @IsakwisaMwaipopo
    @IsakwisaMwaipopo 2 месяца назад

    1:07:00 bos we ni injinia unajua! Ila kuna askari hawajui hayo maneno

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 9 месяцев назад

    Acha siasa ww muliro

  • @Mozline1
    @Mozline1 10 месяцев назад +2

    Mbona ana maelezo meeeengi sana

  • @alliwaya9123
    @alliwaya9123 2 месяца назад

    Huyo askali anatetea sana upande wake sana hata haonyeshi kuwa wanahusika

  • @chizcom4229
    @chizcom4229 10 месяцев назад +3

    hivi unaweza kuwa na silaa au na gari lisilo na namba alafu unajitawala tu .nani mwenye kufanya hivo

  • @bakarikingazi2749
    @bakarikingazi2749 10 месяцев назад +1

    Kipindi bora sana na watu wanauliza maswali ya uhalisia na bila ya hofu yoyote hivi ndo vipindi vinaitajika kupigiwa promo kubwa sana kwa sasa kwani inagusa jamii moja kwa moja.

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 9 месяцев назад

    Hongera sana afande Muliro hakika Mungu atusaidie esp kwa disputable and no disputable rights

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 месяцев назад

      hongera Gani na wakati huyo muliro ndio gaidi namba Moja anaeongoza utekaji gaidi mkubwa huyo

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 9 месяцев назад

    Yaani nashangaa inawezekanaje unakuwa na uelewa finyu sana kiusalama,mtu anaibebwa na mbele yenu hata kuhoji usihoji wala namba za gari msijue aisee

  • @noorrajpar3928
    @noorrajpar3928 9 месяцев назад

    Mimi ndugu yangu wamemchukua hivyo hivyo yani stori ni hizo hizo huu mwezi wa tatu 😢

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 2 месяца назад

    Yan murilo haya mambo unayajibu kimzaha2
    Kumbuka haya yote yako kwenye dhamana yako

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 10 месяцев назад +1

    Daah kosa mlilofanya ni kutokufatilia hilo gari lilikoelekea.

    • @ChristopherMgoli-m2y
      @ChristopherMgoli-m2y 10 месяцев назад

      Huyo jamaa yake achunguzwe inakuwaje partner Wake anahojiwa hata kusogea karibu hakuweza?

  • @SwizaniChiapo
    @SwizaniChiapo Месяц назад

    Mimi uwa simwelewagi kabisq uyu mkuu

  • @YusufZavala-j4j
    @YusufZavala-j4j 2 месяца назад

    Masoud kipanya naam unauliza maswali mazuri

  • @khamisikhamisi2810
    @khamisikhamisi2810 2 месяца назад

    Mimi kwa ushauri wangu ningeomba jeshi la polisi riwe na mtando mmoja kama itatokea mtuamekamatwa akapelekwa kituo cha ostabei kufunguliwa mashtaka iweinasoma vituo vyote vya daa kuriko kuangaika na kumtafuta kupita kirakituo.

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 2 месяца назад

    Njaa mbay

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 10 месяцев назад

    Safi sana Afande. Maelezo mazuri sana umeyatoa.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 10 месяцев назад +1

    Wasikamate watu ucku na pili waweke utaratibu hata mjumbe ahusishwe au watu waserikali wa mitaa please

  • @petersongoma7183
    @petersongoma7183 2 месяца назад

    Mkimhoji kiongozi wa hivi ruhusuni wale Mashahidi watoe maelezo yao kwa simu ili kuondoa ujanja unaoweza kufanywa

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 9 месяцев назад

    Mbona POLISI UNAJIELEZA KIIVYOO SASA TWENDE WAPIIIII.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 месяца назад

    Kama ipo ya kujifanya ni vizuri watu wanapokuja kuchukuwa mtu wako piga kelele ili watu na wanafamilia kuondoka wote mpaka polisi.

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 2 месяца назад

    Jeshi la Polisi wekeni wazi utaratibu wa kukamata raia,ili raia waweze kukataa kukamatwa kwa halali.

  • @Nathan-J17
    @Nathan-J17 2 месяца назад

    Hao hawana mpango wowote wanajua kuiba tu mali za watu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 месяцев назад

    Kiufupi Allah anajua. Sisi atujui nayeye ndiylipaji wayote. Tutayakuta tukifa yotehayo zurmaza roho zawatu nakilakitu. Tusiwe nashakasana malupoyapo ilatu Allah atupe subra. Polic.mtalikuta Faili linu huko tuendako. Siku ya Qiyama mtajuta

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 9 месяцев назад

    Hapo hamna majibu

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 10 месяцев назад +1

    Kuanzia leo asinifuate mbwa yoyote asijiite polisi kuniambia niwafuate nitakufa.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 10 месяцев назад

    Sabotage ya wapenzani wa vyama vya Upinzani kuwalibiya selekali ya samia hiyo kitu muelewe watanzania 😢😢😢

  • @edwardkishiwa3296
    @edwardkishiwa3296 9 месяцев назад +1

    Kwa kauli za huyo mtu hapo Kilicho baki tuwashughulikie huku huku mitaani kama vibaka wengine hovyo kabisa! Na wanalindana sana police wanapo fanya tukio wanateteana sana,

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 2 месяца назад

    Yaani huyo Mzee muliro hawezi kusema ukweli anazungumza siasa Hana jipya Kila jambo ni uchumguzi hamna kitu

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 10 месяцев назад

    Asante kamanda , Elimu tosha

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 10 месяцев назад +1

    Afande anajua kukwepa mishale acha tuendelee kupotea

  • @Byme6434
    @Byme6434 10 месяцев назад

    Bora Mbadilishe Utaratibu wa kwenda kukamata Watu Mfanye Utaratibu Wa kumpigia Simu Mtuhukiwa Aende kituo cha Polisi Hii ya kuja kukamata Watu Naona Ishakuwa siyo Nzuri Na Raia Akiona Polisi Kamfata twende kituoni Mtu Anaenda Kumbe Ndo Anapotea Mazima

  • @InnocentEdward-h6v
    @InnocentEdward-h6v 2 месяца назад

    kweli kazi ya upolice ni laana tupu siri nzito mnayo

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 9 месяцев назад

    Kweli polisi wametuhumiwa mara nyingi kupoteza watu kuuwa kubambikiza watu kesi

  • @AlexFanuel-i1p
    @AlexFanuel-i1p 9 месяцев назад

    Anajibu anachoweza sio anachojua mueleweni tu

  • @RemmyMringo
    @RemmyMringo 10 месяцев назад

    Huyu kamanda achunguzwe anajua kila kitu hata kama anadaiwa kwa nini msitoe ripoti na anavyoeleza kwamba anajua Alipo alijuaje anadaiwa na alijuaje ana wake zaidi ya mmoja anayempa taarifa

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 2 месяца назад

    Huyu anae toa ushuhuda n mwehu!gari haziwash taa zinaondoka hamzifuati,mliemda osterbay kufanyaje wkt gari mliziona

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 4 месяца назад

    Kilichobaki tutaanda kuwashugulikia kuanzialeo mtuakija kuuliza mtu au kumbebamtu raia tuamke mwenye mawe mwenye panga hapondipo tutakomesha hilijambo

  • @ChrissyMarcus
    @ChrissyMarcus 2 месяца назад

    Kwann polisi hawatoi elimu kwa raia wasikubali kukamatwa bila polisi kuja na viongozi wa serikali za mitaa ili kuondoa tatizo hili, na kuondoa madai ya polisi kuteka watu

  • @haroonmarco490
    @haroonmarco490 10 месяцев назад +2

    Mimi ninachokiona hapa huyu kamanda anajing’ata ng’ata tuu, hata simwelewi anaongea nini😅😅😅

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 10 месяцев назад

      Sahihi kabisa watu ndo wangeshangaa wew umwelewe kamanda wa polisi ,

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 9 месяцев назад

    ao wanajua kila kitu sema wanajifanya kama awajui lolote

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 9 месяцев назад

      Ifike Mahala Watwambie Waliompiga Tundu Lissu Zile Risasi Siyo Kupiga Porojo.

  • @ramadhanimtiba834
    @ramadhanimtiba834 10 месяцев назад +2

    Jeshi la polisi lijitathini kwa utendaji wao wa kazi 1:02:55

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 2 месяца назад

    Kamanda nimemuelewa sana apo kuwa watu wanamabifu umezurumu mtu huyo uliye mzurumu analipa kisasi anakuteka hata vitambulisho vipo fek

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 2 месяца назад

    Muliro jibu maswali polisi mnapoteza watu

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 месяца назад

    Basi mkikamata ndio muwajulishe wajumbe

  • @RamadhanHaruna-di7jk
    @RamadhanHaruna-di7jk 2 месяца назад

    Mlilowewe.kumbuka.utastaafu.nautarudi.ulaiani

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 4 месяца назад

    Achauongo hamsemagi makosa yamtu mnamwambia utajuwa kituoni we sahi unajibu tofauti

  • @GasperKitomary
    @GasperKitomary 2 месяца назад

    Wewe afande ata kama unacheo kumbuka kifo kipo

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 9 месяцев назад

    Huyo kijana Anaweza kuhusuka ...
    Maana aingii akilini lafiki yako amamatwwe na gar isiyo ya Police...
    Akwambie tunaenda osterbei...
    Ushindwe Kutambua namba ya gari...
    Mara gar ilifika mbele ikazima taa!
    Hatukuwweza Kutambua Namba!

  • @evaemil856
    @evaemil856 9 месяцев назад +1

    CCTV na DNA vyote nyumbani tuko nyuma Sana. Hata polisi uchunguzi ni zero. Hamna haki. Dewji alipotea, Lissu alitunguliwa na sisi kajamba Nani tunamaana kweli Ya kutaka haki? Bora tukae kimya.

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 9 месяцев назад

    Na kibaya zaidi kijana wangu alikua a responsible person kila anayemfahamu alishangazwa na tukio hilo kwanza marehemu mume wangu alikua luteni kanali hivyo alilelewa vyema alisoma alikua mfanyakazi mzuri an officer with one private sector as sales manager hivyo hakua labda muhuni hapana na alibebwa na gari ya polisi defender kwenda kituoni lakini kufika kule ikawa ni kipigo kwa kutumia kirungu. Mzigo nilioachiwa wa watoto na mwanangu hautoacha kuniuma hadi siku yangu ya mwisho.

  • @stanleyalfredy1938
    @stanleyalfredy1938 10 месяцев назад +2

    Utaratibu wa ukamataji zibadilishwe

    • @evaemil856
      @evaemil856 9 месяцев назад

      Bunge walishughulikie hili wasikae kimya.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 месяцев назад

      ​@@evaemil856binge lipi ndugu

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 2 месяца назад

    Clouds mmefanya jambo jema sana . Sema police wauni mno .

  • @ShabaniKuziwa-p8m
    @ShabaniKuziwa-p8m 2 месяца назад

    Muliro ni jambazi

  • @KamchapeKachara
    @KamchapeKachara 9 месяцев назад

    KWA KWELI MIMI no mbishi sana kukubali mane no ya mtu TU ila HUYU as Kari ameelezee VIZURI sana MIMI binafsi nimejifunza KITU HAPO note mloshiriki asanteni sana MUNGU atawalipa Mazur

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 9 месяцев назад

    Kipindi kizuri lakini ninavyojua huyo afande anajua kila kitu kama hamuamini zungukeni inchi nzima mtakutana na watu wengi kuuawa kwa staili hiyo

  • @AllySalum-y9n
    @AllySalum-y9n 9 месяцев назад

    Kwanza wanahabari mnavurugu Kila mtu anataka azungumze kabla ya jibu halijaisha linauzwa swali fanyeni utaratibu ,kamanda akwepa kutoa utaratibu kisheria ajena udhamini upi ,selikali ya Kijiji au

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 2 месяца назад

    😂😂😂
    Acha nicheke tu.