Sijaelewa ni kwanini hiki kipindi kinasisitiza kuwa wamoja East Africa? Ina maana hamjaguswa na alichokifanya yule mjinga willy paul? Sio lazima tuwe wamoja na kenya, tunaweza tukafocus zaidi DRC tukaacha wakenya waendelee na hiyo xenophobia, halafu watakapobadilika kitabia ndio tutaanza kushirikiana nao. Lakini kujifanya eti hatujaumizwa na alichokifanya huyu mkenya ni kujidanganya. Huyu ana chuki Wala sio kik, ukimfuatilia Sana unagundua sio kiki ni chuki na ana wakenya wanaomuunga mkono.
Minah umeua mdogo wangu full point guy
I love it❤
Very professional sana nimependa
Kenya hawawezi kuacha ukabila hiyo ni ndoto
Tatizo mnatamba sana
Nakujiona
Hapa mmeongea ukweli kiukweli mmesimama kwenye ukweli
Wilip hajitambui
Sijaelewa ni kwanini hiki kipindi kinasisitiza kuwa wamoja East Africa? Ina maana hamjaguswa na alichokifanya yule mjinga willy paul? Sio lazima tuwe wamoja na kenya, tunaweza tukafocus zaidi DRC tukaacha wakenya waendelee na hiyo xenophobia, halafu watakapobadilika kitabia ndio tutaanza kushirikiana nao. Lakini kujifanya eti hatujaumizwa na alichokifanya huyu mkenya ni kujidanganya. Huyu ana chuki Wala sio kik, ukimfuatilia Sana unagundua sio kiki ni chuki na ana wakenya wanaomuunga mkono.
Hafai kabisa 😢😢
Pigeni collabo na wakenya! Watanzania mnapanic sana mkisikia tunawacancel. Mnajua tunawabeba.
Bien ni mzambia? Ukiimba vizuri no doubt collabo zinakuja tuu we jamaa unataka mtu aimbe tu na kila mtu hata km hajui sasa ?
Bebeni wasanii wenu,kwani lazima mtubebe 🚮
@@abdulnaseermrisho4342 tunabeba wasanii wenyu kwa sababu wanafanya kazi nzuri lakini mkianza maringo tunawacancel!
Hahahaha nicheke mie kenya kidogo kwenye comedy mmepiga hatua inga mmezipeleka mpaka church but mziki aaaah tz hatuwezi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama will paul ndo msanii wa kenya mkubwa, collabo n kenyan artists ni kushusha brand