JUA AINA 5 ZA UWEKEZAJI UNAOWEZA KUKUINGIZIA KIPATO BILA UWEPO WAKO MOJA KWA MOJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 35

  • @RidiphonPastory
    @RidiphonPastory 10 месяцев назад +5

    Hatifugani do nn

    • @mchumi_digital
      @mchumi_digital  10 месяцев назад +1

      Unaweza pata kitabu kinachoelezea vizuri na kiundani kuhusu aina ya kila uwekezaji hapa chini kwenye Link👇
      mchumiconsulting.com/vitabu-vyetu/

    • @Paul-u3k3w
      @Paul-u3k3w 22 дня назад

      Bond

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 20 дней назад +3

    Kuweka FEDHA KWENYE Makampuni ya kifedha ni HASARA KWA KUWA Interest rate ni NDOGO SANA,na WAO wakikupa mkopo WAO wanachukua interest kubwa,

  • @JumaJuma-h3x
    @JumaJuma-h3x 19 дней назад

    Asante sana kwa ushauri wako

  • @joyceKingu
    @joyceKingu Год назад +1

    We haves long way to go.

  • @sheilamrogoro8641
    @sheilamrogoro8641 4 месяца назад

    Asante Kwa elimu nzuri

  • @SehaHospital
    @SehaHospital 17 дней назад

    Hapo kwenye nyumba za kupangisha safi

  • @EmanuelSimon-eh8mr
    @EmanuelSimon-eh8mr Месяц назад

    Elimu nzuri hii

  • @adelinaMacha
    @adelinaMacha 20 дней назад

    Asante

  • @bettykageza1964
    @bettykageza1964 11 месяцев назад

    Asante sana

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c Год назад +9

    Watz sio wachakarikaji ingekua upuuzi au siasa koment zingejaa hapa

    • @YakiniJoseph
      @YakiniJoseph Год назад +1

      Live. Ujinga ndio wanasapoti

    • @amisamaurid1882
      @amisamaurid1882 Год назад

      Kweli kabisa 😂😂😂

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @Piterjohnson-hj2et
      @Piterjohnson-hj2et 5 месяцев назад

      Ujinga wa watu ni fursa

    • @Teaching356
      @Teaching356 21 день назад

      Na Mimi ni mtanzania kiukweli umesema ukweli sema kuna baadhi ya watz huwa hawapendi kuona Mtu akifanikiwa sasa wanaona comments zikiwa nyingi watu watadili na hili Jambo Kwa ajili ya kuwaingizia kipato sasa ndio maana unaona Ivo lakini unakuta wengi wameona na kusikiliza afu ndo wamekimbilia kulitekeleza hapana tz yetu Hii ina watu wenye Roho ya kutu kama hujui

  • @joakimkindole
    @joakimkindole 20 дней назад +1

    Kuweka pesa na kusubiri interest ni ufinyu wa mawazo na kutokuwa risk taker yaan pesa yako unakuwa huna kazi nayo alakini kama wee ni risk taker kila siku utaona pesa haitoshi na unahitaji zaidi katika uwekezaji au Ndoto imara ipo

  • @aloycerichard8710
    @aloycerichard8710 5 месяцев назад

    Ni kweli kabisa

  • @maximemaxime-rf1jb
    @maximemaxime-rf1jb 6 месяцев назад

    Kweli

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 17 дней назад

    Kuekeza kwenye kampuni imaanziaga sh ngapi Kwa ww ujuzi wako

  • @Mark-y6j4l
    @Mark-y6j4l 3 месяца назад +1

    mimi ni mark kutoka kenya itakuwaje?

  • @mchumi_digital
    @mchumi_digital  10 месяцев назад

    Unaweza fahamu zaidi kuhusu huduma zetu hapa👇👇
    linktr.ee/mchumi_consulting

  • @agnessramadhani8939
    @agnessramadhani8939 11 месяцев назад

    Kweli kabisa

  • @FayChalamila
    @FayChalamila 6 месяцев назад

    Duuu hi ya kuchukua kama ilivo 😢

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 20 дней назад

    USHAURI WA REAL ESTATE HUO NI SAWA

  • @OlivaMponda
    @OlivaMponda Месяц назад +1

    Siyo hivyo mtu anaona faida yake ni ndogo, ndio maana hamna comment , hiyo inawafaa matajiri.

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 11 месяцев назад

    Please maelezo zaid nataka kujua hiyo atifungani

  • @PeterMtui
    @PeterMtui 2 месяца назад

    Tunahitaji elimu kama hizi

  • @jaromeelias-ku5ss
    @jaromeelias-ku5ss Год назад

    Naomba unielekeze kuhusu atifungani!

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 6 месяцев назад +1

    🎉

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 23 дня назад

    Asante sana