Najua bss wanaangalia wa sauti kwa aslimia 80 lakini inakuaje judge anamwambia mtu asifanye music milele et kisa hana sauti nzuri, wasanii wangapi hawana sauti nzuri kama kina Ruby or Bella lakini wanafanya mziki na wanahit kina kinoma kina burna boy, shishi mwenyewe, whozu hawana sauti nzuri lakini tunawaona wanafanya music fresh na watu wanaenjoy. Mtu anatakiwa ajuijue sauti yake na aina ya music inayoendana na sauti yake.
Hivi kwann hamumuwekagi P-FUNK Majani awe pia kati ya majaji wa BSS? Mtaftieni hata japo sehemu yake huko mbeleni ili mzidi kunoga. By the way Veronica she is the best vocalist kwa washiriki wote mpaka sasa sijaona kama yeye.
I like the way the judges do their job but one thing I want to tell you dear fans we have different between to know music and to know to sing for me all of the judges know to sing but no music…
Hawa majaji hawataki kitu kipya wao wanataka mtu anaeimba kama Mond kiba au wasanii ma star Ila ukija na kitu kipya au ukiimba mziki ambao hawaujui ndo maana wanakwambia imba nyimbo nyingine
Ht mm nashanga ss mtu wenda ana kipaji cha kuimba na kutunga ngoma ss anaitaji kuimba ngoma zake ljn wao wnataka mtu aimbe ngoma za wsani unakumbuka km yule fonabo yn yule nimkali kinoma ila wnamuangusha kisa anaimba ngoma alizo tunga yy ma sio za wasani ss cjui wnatafuta vipaji vyahaina gn
Bas are you looking for talent of looking for vibe ,,coz we don't get it people singe afresh but they got no vibe ,in any competition you can't mix all of that ,,just find the talent, the vibes comes thank you..Big time
Huyo dada anamzidi shilole mbali sana kuimba yani shilole asijiseme ni mtu wa kuujua mziki maana anachoimbagah hakieleweke ila ni nafasi yake tu imefika ndo kapata hiyo chance ya kuwa jaji ila Hana kitu anachojua kwny mziki. Atunze akiba ya maneno. Salama anajitamua sana na anajua anachokifanya elimu pia inachangia nadhani
Milele festival since #bss10 moses ampai
Mina Ally ni Presenter mzuri sana
Shukulu Broo umetisha sana🔥🔥🔥🔥
Meena Ally apewe maua yake❤❤❤
For sure 👏
Shukuru umenifuraisha sana naipenda iyo nyimbo😂🎉🎉🎉🎉
Kigoma mko juu❤
Huyu dada aliyetoka mwanza kaja hadi uku namuona siku moja ni star mkubwa tena A list kabisa
0114 come ECONOMICALLY GROTH MUSICIANS tukuze kipaji chako🎉🎉🎉🎉
Huyu shukuru mmmmh😂😂😂wampe TU hizo hela
Alaf salama na master j hawapendi kuona mtu anarudi rudi wanataka ukiambiwa no upoteee mazima wasikuone tena😂😂😂😂😂😂😂😂
😆😆😆
Salama ni mzuri jamani kha 😢😢😂😂😂yani hazeeki
Jamani hawa majaji nawapenda mwenzenu 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Umetisha jamaa yang
Shida mlio waambia awajui kuimba namkawakatisha tamaa walitoka kivyao leo ni masta wakubwa mlio waona wanajua hata walipo hatujui majaji bado
Mee napenda sana wanao tumia gitaa wako vinzuri
Shilole ana mdomo ....anawaawakilisha vizuri Wanyamwezi. 😀😀
Master j kavaa rangi gan hii
Mumefanya vizuri kum sappoti huyo mchoraji
BAs mnavyoita shukuru , akili yangu inajibu baba yule 😅
We miss Idris sultan... Jamaa alikua anabambisha show
Caesar Daniel was the best .
Idrissa was the best ❤
Ma-judge Kuna muda mnachanganya washiriki na mm mtazamaji..hamna upangilio sometimes. America's/Britain got talents wanautaratibu amazing
Najua bss wanaangalia wa sauti kwa aslimia 80 lakini inakuaje judge anamwambia mtu asifanye music milele et kisa hana sauti nzuri, wasanii wangapi hawana sauti nzuri kama kina Ruby or Bella lakini wanafanya mziki na wanahit kina kinoma kina burna boy, shishi mwenyewe, whozu hawana sauti nzuri lakini tunawaona wanafanya music fresh na watu wanaenjoy. Mtu anatakiwa ajuijue sauti yake na aina ya music inayoendana na sauti yake.
Hao wametoka kivyao
Usijifananishe na mtu kisa katoboa utachelewa sana
Kigoma watu wanajua m.. hehe next time mbeya waisiende 😅😅
Irene una kipaji ukuje ECONOMICALLY GROTH MUSICIANS
Salama dar ni mbinguni jamaniii khaaa dar dar
Waaah enyewe kizungu ilikuja na meli, it's ok am not female i understand😊
Hivi kwann hamumuwekagi P-FUNK Majani awe pia kati ya majaji wa BSS? Mtaftieni hata japo sehemu yake huko mbeleni ili mzidi kunoga. By the way Veronica she is the best vocalist kwa washiriki wote mpaka sasa sijaona kama yeye.
Shishi akauuze ubwabwa huko
I will be grateful nikifika hapa siku moja😅
Alakini behavior ya ma judges sio nzuri hata kama mtu hajui munaeza kumushahuri sio kumuponda sio fresh
Hii Imeendaa 🎉
Jamani hio English ya shilole😅 ila basi twawapenda🇰🇪
Yaani kwanza hako ka dem ka tomboy mm nime like
Sanayan
Huyo shukuru ni kama Jemie Fox wa bongo
Mchizi anajua iyo freestyle katoa kwa melody kali, real r&b
Mbona kigoma marasta wote
jamaa wa kwanza kaonewa bhana, anakipaji kikubwa sana
Master j please balaka ana kitu naomba ufuatilie kwa kwel
Unaimba kwa hisia sana
Salama🙌
Salmaa😂😂😂😂😂
In each human work we have sentimental value and feeling so if the judges are not feeling you guys you are fire
Master master huyo master
Mbon ameomba vizur jaman jastine
Hahaha mama lishe anahoji watu et wewe ni wakikundi au private 😂
Wakwanza anaimba zaidi ya alikiba mwenyewe anavyoimba.
Kigoma looks good ..
Shilole ananiboa mm basi tu
42.0mumemdharau sana😢😢
52:27 very good ...
Jamani uyu shishi😂😂😂
Kigoma kuna vipaji
Batiki la fundi Michael😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 mecheka mnooo
*28:15** She's the best. Her voice is unique!* 😅❤👍
Kweli
Huyu shilole afai kuwa judge kbs kwanza mwenyew ajuwi kuimba
Namba 1 fanya mazoezi ya pumzi utatoboa
Hawa majaji wanajudge kulingana na mziki wanaoujua wao hio sio poaaa kabisaaa
Kwel
Kama uyo kwanza anajua mno
Af sielew mbona krip ya gold boy wana ificha kuna tatizogan au mwamba alizingua sana
@@Ibratz255 Kweli kabisaa huyo wa kwanza anajua. Mara nyingine naona kama wana wivu na mtu sijui🤔😏
@@artisthusnatalal3099 kabisa au unaweza kusema jamaa kalogwa nini.... maana kwa kipaj icho sio wa kuachwa
Mwaka huu vipaji vichache sana hasa mbeya hatari
Kubabake majaji naomba mmwambie shilole anazidisha ucnch khaa anamzd hadi mwijaku jaman
I like the way the judges do their job but one thing I want to tell you dear fans we have different between to know music and to know to sing for me all of the judges know to sing but no music…
Kwani msimu huu niwamarasta tu??💁
Songea hamfiki
38:02 Irene kakosa nn hapo ?
Shishi hujui kuimba audience ya watu
Yuko wapi gold boy jamani mbna simuoni
BSS wekeni majaji wasomi asee😂😂😂
Eti batiki lafundi maiko😂😂 mina jaman
😂😂😂😂😂
Ana Maujanja yake, to be honest tunamtaka hata season 15 next year 2024
Hapa ukitaka kutolewa mapema basi imba wimbo wa Ali Kiba
Ni wa kikundi ama private.
Kigoma mwaka uhu akuna vipaji km miaka mingine ndo ukweli wote Watano ni mmoja ndo mkali wengine wata hanguka to fifty
Kabisaa nothing mwaka huu
Irine unajua
😂😂 uyo shishii 😂😂
Shishi body language ndo gani tena😅😅😅😅😅
Hawa majaji hawataki kitu kipya wao wanataka mtu anaeimba kama Mond kiba au wasanii ma star
Ila ukija na kitu kipya au ukiimba mziki ambao hawaujui ndo maana wanakwambia imba nyimbo nyingine
Ht mm nashanga ss mtu wenda ana kipaji cha kuimba na kutunga ngoma ss anaitaji kuimba ngoma zake ljn wao wnataka mtu aimbe ngoma za wsani unakumbuka km yule fonabo yn yule nimkali kinoma ila wnamuangusha kisa anaimba ngoma alizo tunga yy ma sio za wasani ss cjui wnatafuta vipaji vyahaina gn
Ndiyo nimewaona hawapendi uimbe wimbo wako uliotunga🤔🤨
shishi unazingua kinyama
meena ali
sasa uyo shilole jaman kuimba kwenyewe hajui anakuaje judge wa mziki
Jaman mbo gold boy sija muona?
Shilole utatuua
Bas are you looking for talent of looking for vibe ,,coz we don't get it people singe afresh but they got no vibe ,in any competition you can't mix all of that ,,just find the talent, the vibes comes thank you..Big time
i think master j didn't appear during for da causes of commited suicide in 40 missed call by RAPCH. guys can u tell me how he appear?
Sasa shishi anaimbaaa nini jamani nonsense 🤣🤣
😂😂😂Bhana mm sitak kucheka
😅😅😅😅😅😅😅😅
Uyu dada anajuwa ila ana plesha mno
Kumbe na wewe umeona. Labda tuseme ni khofu / anxiety 😂😂😂
@@artisthusnatalal3099muwe mnawataja na majina
Huyo dada anamzidi shilole mbali sana kuimba yani shilole asijiseme ni mtu wa kuujua mziki maana anachoimbagah hakieleweke ila ni nafasi yake tu imefika ndo kapata hiyo chance ya kuwa jaji ila Hana kitu anachojua kwny mziki. Atunze akiba ya maneno. Salama anajitamua sana na anajua anachokifanya elimu pia inachangia nadhani
@@davidthomas2985 Kweli kuhusu shilole. Elimu ina changia moja kwa moja✔️
Utumbo mtupu kigomA
Ukiona unaimba alafu majaji wanapiga zao story .. ukimaliza we jitokee zako tu 😅😅
Bss judges try to show a little bit of professionalism
😂😂😂😂😂
Kuna muda judges are being rude..
TANGA 😢
Ni fedheha shilole kuwa Judge, amejaribu kuimba she is irritating, boring
Shish hauwez kuimba bila biti live huwezi
Kigoma kuna vipaji