BSS 2023 SN 14 EPISODE 05 DAR PART 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 70

  • @OliverKassim
    @OliverKassim 11 месяцев назад +4

    I really love the show guys..., Nmesubiri hii episode kwa hamu saaaaaaaana

  • @gloriamueni7381
    @gloriamueni7381 8 месяцев назад +1

    Huyu wa pesa weuh😂😂😂😂,,eti atawasaidia yatima😢😢,,muzuieni asije Kenya🇰🇪🇰🇪,,much love ❤️ 🤣🤣

  • @MwanakimboKidena
    @MwanakimboKidena 11 месяцев назад +1

    Lonadi mungu akujalie me nakupenda sana najua utapita

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 11 месяцев назад +1

    Huyo dogo wa najua anajua kweli sema swagger.

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 11 месяцев назад +6

    Fatuma : smile for me ifunifu sado
    Madama Rita : goo home ifunifu you kemuu 😅😅😅😅😅😅😅

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 11 месяцев назад +3

    kuambiwa amebirudisha amechukia, nimependa confidence 😂😂😂😂😂😂😂

  • @JacklineNovatus
    @JacklineNovatus 11 месяцев назад

    Hongereni sana bss14 jamani mm unatamani sana nionane na mtangazaji ayewahoji washiriki hata kwenye kipindi chake napenda kukuuliza swali la kushukiza kama anavyoowauliza washiriki

  • @FrancisosingaFrancisosinga
    @FrancisosingaFrancisosinga 11 месяцев назад +2

    Huyu jamaa wa Zanzibar ni muongeaji sana amenibamba asee😅😅😅

    • @whatsupsweden
      @whatsupsweden 11 месяцев назад

      Amenichekesha 😂 Anaitwa nani?

  • @roman2270
    @roman2270 11 месяцев назад +2

    Bint. Jabir is soooo funny 😅

  • @galtina
    @galtina 11 месяцев назад +4

    Huyo wa enzymes 😂😂

  • @fatimamsangi2626
    @fatimamsangi2626 11 месяцев назад

    Onesmoooo🙌🏾 Wewe ni mshindi im manifesting this.

  • @joshuaKazungu-mj2co
    @joshuaKazungu-mj2co 4 месяца назад

    Kaka ya venessa kamaliza game

  • @ThresherJordan-l3g
    @ThresherJordan-l3g 11 месяцев назад

    Hawa wa dar wana sauti jmn cheeeeee Yan ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bhokesaid3264
    @bhokesaid3264 11 месяцев назад +4

    Fatuma na siri zake😂😂😂

  • @kakoxspgnewton
    @kakoxspgnewton 11 месяцев назад +2

    Mnisuppoti ndugu zangu wa tz

  • @alaidertolatine4750
    @alaidertolatine4750 11 месяцев назад

    Unajua my oscar❤❤

  • @rosemikael8110
    @rosemikael8110 11 месяцев назад +1

    😅😅uyo jamaa wa kichina amepatikana

  • @UndersqoMuzik
    @UndersqoMuzik 11 месяцев назад +1

    Dogo alovaa jersey ya Chelsea anajua sana..Mshindi wenu huyo hapo🔥🔥🔥

  • @ceciliaabdallah5576
    @ceciliaabdallah5576 7 месяцев назад

    Ila mjaja. Akili zako unazijua mwenyew 😂😂😂

  • @nashphatyprince7282
    @nashphatyprince7282 11 месяцев назад +5

    Bss ni fire jaman kama unakubali tujuane 👍

  • @zanzibartotheworld7826
    @zanzibartotheworld7826 11 месяцев назад

    Huyu jmaaa Namba 96 Ni mnyama anaoiga gitter Sanna ana code za kinyama yani nomaa dah

  • @didah4really93
    @didah4really93 11 месяцев назад +1

    Oscar amekua Kama johariii 😂😂😂 Never give up Oscar 🔥 ❤

  •  10 месяцев назад +1

    Midomo comedy platform #0047

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 11 месяцев назад +2

    Mshindi alieimba pesaaa😂😂

  • @elianendayikengurukiye-hu2jy
    @elianendayikengurukiye-hu2jy 10 месяцев назад +1

    0196 kweli anajua bwana

  • @ghawghaw6994
    @ghawghaw6994 11 месяцев назад +1

    39:00 nimecheka kwa sauti😅

  • @StrongMann-v3g
    @StrongMann-v3g 11 месяцев назад +2

    😂😂😂Dar ina mambo😂

  • @laurencemfinanga.
    @laurencemfinanga. 11 месяцев назад

    Oya huyo Oscar mi naona anajua sanaaaaaaaaa duuuuu sijui and nn lkn

  • @salamasaid9525
    @salamasaid9525 11 месяцев назад

    Pesaaaaaaaaa
    Kwa kweli mshiriki ameuwa ,nitainjoiiiiiiii

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 11 месяцев назад

    19:48 daah hapana kwakweli 🤣🤣🤣

  • @tusmokinana3836
    @tusmokinana3836 11 месяцев назад

    Uyu wa enzymes 😂nimecheka adi basi

  • @AlimaCholncho
    @AlimaCholncho 4 месяца назад

    Ifu nifyu sadooo ifunifyu badooo

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 10 месяцев назад

    0196 alolia anajua sema bas tu nyota

  • @lonada830
    @lonada830 11 месяцев назад +1

    Aky huyu dem ameniambia poa ameni fanya nimelia aky ju nasema hiyo sio sauti yangu na ameimba poa

  • @mwanaidimunga9099
    @mwanaidimunga9099 11 месяцев назад

    Da kuchele mpaka wakawazika mbeya

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 11 месяцев назад

    Hiyo beat ya msanii Gani naipenda

  • @fqhotel-m6g
    @fqhotel-m6g 11 месяцев назад +1

    huyo oscar anajua anajua anajua

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 10 месяцев назад

    Yaani huyo salama Jabir anaroho mbaya ata sijategemea hampi mtu moyo ata kidogo aisee

    • @marthastephen6600
      @marthastephen6600 21 день назад

      Moyo gan bhana bora awaambie ukweli km unajiona hujui kuimba unaenda kufanya nin hapo..bravo salamaa🎉

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 11 месяцев назад

    Siharibu pendo langu kwa jambo la kusikia 😂😂😂😂

  • @emmymshomi8893
    @emmymshomi8893 11 месяцев назад +1

    Smile for me if nifyu 😂

  • @FrenkZzel
    @FrenkZzel 11 месяцев назад

    ❤ bongo starch

  • @lilliesnganzi89
    @lilliesnganzi89 11 месяцев назад

    Ila Salama 😂😂😂😂😂😂

  • @MarthaKohe-zv2iv
    @MarthaKohe-zv2iv 11 месяцев назад

    Naomba namba ya Meena

  • @chancefatakimutambala7528
    @chancefatakimutambala7528 11 месяцев назад

    Najisikiya nina furaha kwakuona iyi épisode

  • @parfaitizere1327
    @parfaitizere1327 11 месяцев назад

    Majina maharufu ni PARFAIT IZERE OF BURUNDI 🇧🇮🔥🔥🔥🔥🔥 JAMENI BSS NI 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯🔥🔥🔥🔥🔥NAPENDA VIPAGI XANA .NIKO MUTA W. BUJUMBURA KBX

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 11 месяцев назад

    Hii sio saut yangu

  • @abdallahpembe3640
    @abdallahpembe3640 11 месяцев назад

    Shishi nilikumic jamon❤❤❤

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 11 месяцев назад

    mzanzibari jaman ashauriwe kuna vichwa vyakufuga minywele😂😂 uwalaza lake sio la nchi hii

  • @NeemaJohn-q8x
    @NeemaJohn-q8x 11 месяцев назад

    5:01

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 11 месяцев назад

    my city people mko vizuriii

  • @ahmedhamdan8526
    @ahmedhamdan8526 11 месяцев назад

    Safi ❤

  • @NeemaJohn-q8x
    @NeemaJohn-q8x 11 месяцев назад

    Nawtakia kila laeli

  • @kishkish22
    @kishkish22 11 месяцев назад

    Ameburidisha😂

  • @starnnystivini164
    @starnnystivini164 11 месяцев назад

    Mbona shilole simuonii

  • @AaBb-q2l
    @AaBb-q2l 11 месяцев назад

    Chichi baby

  • @wardaridhwankassim4774
    @wardaridhwankassim4774 11 месяцев назад

    Uyu 200 anakitu…! 😂

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 11 месяцев назад

    Huyu anayeimba wimbo wa Saida mbona Kama pakome

  • @anethmsaki4600
    @anethmsaki4600 11 месяцев назад

    Tarehe 24 ni mbali jamani

  • @doreenchacha7692
    @doreenchacha7692 11 месяцев назад

    Mchina et shishiiibeibiii