Bongo Star Search 2012 EP 5 DAR ES SALAAM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 187

  • @enockmakere1185
    @enockmakere1185 3 года назад +15

    ....ila host wa saivi ni moto aisee! Idris alikua poa ila naona Meena Ally iko natural zaidi ambayo inafanya iburudishe zaidi! Keep it up aiseee

  • @abdulrahmanjuma6805
    @abdulrahmanjuma6805 3 года назад +1

    Me nimpenz xn wa bss naangalia Ep kwa kupitia RUclips kutokana na kukosa mda wakuangalia kwenye tv, but mnachelewa xn kuziweka mnatunyima raha kwakweli maana tunasubiria mpk bc, ndio kwanza Ep ya 5 nawakat kwenye tv mko mbali now, natumai mtatuangalia nasisi ahsante.

  • @l.hphotography6648
    @l.hphotography6648 3 года назад +21

    Gonga like za mina❤️, BSS ya ths round ni moto, nikiwa Qatar na burudika tu na bss

  • @nicholausjackison7729
    @nicholausjackison7729 3 года назад +6

    Meena ally big up kwako unajua mpk unaudhiiiii ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @sambusession
    @sambusession 3 года назад +19

    This woman makes this season look good....Meenah Ally

  • @halimahashim9891
    @halimahashim9891 2 года назад +4

    Ommy nampenda mm haboeshi kwa hii show😂😂😂😂😂

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 3 года назад +7

    🇨🇦Host Mc ni high level sanaaa…✌🏿

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 года назад +6

    Mwendo wa buruuu buruuuu ... Madam rita is soo unexpectedly funny 😀😁

  • @magrethhenry7197
    @magrethhenry7197 3 года назад +4

    Ahahahahahaha!! Mweny roho mbaya yupo 🤣🤣 assistant mweny roho mbaya 🙌🙌

  • @sashapendo4907
    @sashapendo4907 3 года назад

    Meena Ali with the '' ching channnhuuuu kwenye nguo yako cninnnnn nhauooo jaky chan''' 🤣🤣🤣🤣🙌Damn I just love her vibe!!❤

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 года назад +8

    Gasper is a humble Big Star na atawasumbua mtaniambia

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 3 года назад +4

    Aslay mwengine huyu hapa let's gooo Abdul kadili one love baby brother ✌

  • @ElinaErasto17
    @ElinaErasto17 3 года назад +13

    The last guy his going to be the new Joel lwaga ❤️🥰🙏🏾

  • @silvermediatz
    @silvermediatz 3 года назад +3

    Asa mbona mmeweka mwaka 2012????
    si tupo 2021

  • @fimdasar5742
    @fimdasar5742 3 года назад +1

    Wooow uyo abudul Ana juwa saana ❤️❤️❤️❤️❤️🇨🇩 narudiya apo Mara 4

  • @nickmutorospecialist1772
    @nickmutorospecialist1772 3 года назад +5

    Natoka kenya,napenda BSS sana

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 3 года назад +1

    Nimempenda uyo dada bure @ “Mamylo acha tu kazi n kazi siunajua”🤣🤣🤣

  • @mr45king01
    @mr45king01 3 года назад +2

    Koba mwandishi......na juma kauwa. i wanna see juma again katika dakika ya 48 kwenye hii video.........Baada ya bss... Nitamdhamini dogo kurekodi hiyo nyimbo au huo wimbo kwa producer of his choice... nitafute kwa email au reply kwenye hii comment. i love the song, i wanna hear it on a record.

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 3 года назад +9

    Salama na kihindi😂😂😂❤❤❤.

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 3 года назад +4

    Bangi za tanzania ni another level duh

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 3 года назад +2

    Dakika 50:40 Wekeni Mcheke😂🤣 Hivi Vijana wako sawa kweli jamani.. Daahh...

  • @MULLAMUSICWORLDWIDE
    @MULLAMUSICWORLDWIDE 3 года назад +10

    Madam Rita mbona huwaga na heshima Sana

  • @shamsamwantum2106
    @shamsamwantum2106 3 года назад +1

    Shetani killed me😹😹😹😹🚼🚼🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 3 года назад +2

    Salama unaswaga za kitom lakini ningekuwa karibu wewe mke kabisa!
    Unavijimambo flani kama katoto hv…😘

  • @furahakalase5368
    @furahakalase5368 3 года назад +4

    Mwendo wa buruuu buruuu😂😂😂😂 bongo sihami

  • @arafatsanj1287
    @arafatsanj1287 3 года назад +1

    Huyu madam hebu muwe mnachukua video full tuone banaa ana miguu fulan hivi amazing kama anashawishi sometimes 🤗🤗

  • @Beibemercy1961
    @Beibemercy1961 3 года назад +1

    Host unanifurasha sana😹😹nimekupenda bure🥰

  • @123naenaee
    @123naenaee 3 года назад +3

    Gasper ni handsome 😍

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 3 года назад

    Mmeandika bongo star search 2012 badala ya kuandika 2021

  • @doreenmathew165
    @doreenmathew165 3 года назад +7

    Ila salama na omy dmpoz 😅😅

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣😂😂Madamu Rita eti shika hii hapa ufanye Tango😅🙌🙌

  • @khimfarawaytz6910
    @khimfarawaytz6910 3 года назад +4

    Mbona kama izi video mnarudia rudia

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 3 года назад +1

    Ila salama et chupa imeamka na chai hii binti wa 56:00 😁😁😁🙌🏻

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 года назад +10

    Kumbe nyinyi km mimi sipendi mtu mwenye kuburuza miguu. Hiyo ni dalili ya mtu mvivu! Manake ht miguu yake anaona mizito

    • @elimuvisioncenter
      @elimuvisioncenter 3 года назад

      Has nothing to do with the Music … hayo n maisha ya mtu binafsi …. Hyo ni attack … na unamnyima mtu haki na aman ya kukuonesha kipaji chake ….

  • @karenkingu5938
    @karenkingu5938 3 года назад +2

    Jamani wimbo wa huyu mtoto ni mxuri

  • @angelmfinanga2354
    @angelmfinanga2354 3 года назад

    Dogo n Moto nyimbo Kali alafu yake nomaaa sn

  • @karenkingu5938
    @karenkingu5938 3 года назад +1

    Jamani wimbo wa huyu mtoto ungetakiwa uwe kwenye radio

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 3 года назад +2

    Majaji sometimes wanapotezea mwelekeo washiriki mtu anaimba anakatizwa anaanza kuongeleshwa kisha anaambiwa endlea khaa!

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 9 месяцев назад

    Congratulations keep it up good job ❤

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 3 года назад +5

    akii🤣🤣🤣🤣kwenye hii dunia kuna wa2 wana usubutu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣53:28

  • @tummkwawa1148
    @tummkwawa1148 3 года назад +1

    The last guy is a star🔥🔥🔥

  • @mwamakeladavid3650
    @mwamakeladavid3650 3 года назад +1

    huyu gasper ndo mshindi labda muibe tu..... the guy is very talented

  • @RUFUS_97
    @RUFUS_97 3 года назад +1

    Leo salama ana mood nzuri😅😅🤣

  • @jean-claudegowelle6910
    @jean-claudegowelle6910 Год назад

    hii nyimbo 49:03 inaitwaje dogo anaimba vizuri kinoma

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 года назад +1

    Nmestuka 2012 khaaaa

  • @abdihakimaden362
    @abdihakimaden362 3 года назад +5

    The girl at 45:05 she's special😍

    • @elimuvisioncenter
      @elimuvisioncenter 3 года назад +1

      Yeah , binafsi nimemkubar pia … ndio best performer wa hii EP 5

  • @gracelee61
    @gracelee61 3 года назад +3

    Bryson is a hella handsome

  • @salmaally430
    @salmaally430 3 года назад +5

    Jamani

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 3 года назад +3

    huyu dada atakua ana matatizo ya akili🤣🤣🤣🤣🤣57:10

    • @mammam4701
      @mammam4701 3 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😏

    • @mammam4701
      @mammam4701 3 года назад +3

      Afu ajar wal nin 🤣🤣🤣

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 3 года назад +1

      Yupo high ametumia kilevi

  • @khamiskusaga263
    @khamiskusaga263 3 года назад +1

    😕😕😕…MTAONA HIYO TAREHE 11 😌😌😌 .., Red Arrows wame wapapasa ni tuta wakuna

  • @jumannechapembe8280
    @jumannechapembe8280 3 года назад +1

    Hii nchi inavijana wa hovyo sana

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 3 года назад +2

    sasa ata kama ndo amerudi ndo avae nguo zile zile jmn 35:20

  • @brownsebastianmwibi5647
    @brownsebastianmwibi5647 3 года назад +2

    Kihindi cha Salama nime🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sana

  • @vestinathobias1698
    @vestinathobias1698 3 года назад +4

    Salama ckuiz Anachemka had raha😆😆

  • @NeemaMollel-j1e
    @NeemaMollel-j1e Год назад

    Nampenda Sana brayson jamn jamn

  • @saidshabani7740
    @saidshabani7740 3 года назад +3

    Ujaji kz jaman some times ujui ata uamue nn.mm nicngewez kweliii

  • @producermikmer
    @producermikmer 3 года назад +3

    Watoto wa Dar pasua kichwa

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 3 года назад +4

    58:39 this guy from UDSM😲😲😲😲

  • @sonnierloise3351
    @sonnierloise3351 3 года назад +2

    49:20 kaka anaimbaaaaaa

  • @BIN_NOOR27
    @BIN_NOOR27 3 года назад +4

    Shetani alifuata tu elfu 10 😂😂😂😂

  • @mwamitimote4539
    @mwamitimote4539 3 года назад +4

    Wapi Idris muna zingua

  • @yumyumtreaties2092
    @yumyumtreaties2092 3 года назад +4

    Gasper remind me hart the band

  • @alicewaruhiu111
    @alicewaruhiu111 3 года назад +1

    The last one is the real definition of crazy

  • @estherbebe2303
    @estherbebe2303 3 года назад +1

    mimi nakuja tu kuondowa stress apa🤣🤣

  • @aminazuberi7165
    @aminazuberi7165 3 года назад

    Meena Aly nakupenda Bure tyuu

  • @selinakioko3085
    @selinakioko3085 3 года назад +1

    Bss iletwe Kenya nmechoka kujugde nikiwa mbali

  • @burudikanamaruma8950
    @burudikanamaruma8950 3 года назад +4

    Ommy huyo Dem wa Gari mmemuonea

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 года назад +3

    Shangazi ujambo? Mbn unabuluza viatu ivyo shekhee😂😂😂😂

  • @petersume2780
    @petersume2780 3 года назад +3

    2012 au 2021 editor umevuta bangi ya wapi

  • @jasminealmasy9666
    @jasminealmasy9666 3 года назад +3

    Aliyeimb kihind kanikosh

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +9

    Idris sultan ndo tunamtaka

    • @rashidjoseph2624
      @rashidjoseph2624 3 года назад +3

      Acha kukatish tamaaa watu bas nenda kahost ww mbona mina anafny vzr ko unataka mina akale kwenu 😏😏😏😏

  • @frahatv8613
    @frahatv8613 3 года назад +15

    This show could have gone far but with this kind of judges, apart from Rita the rest are jokers tbh🤦 and BSS will remain only in TZ.
    Just judge & do your work, stop body shaming and speaking ill to contestants .

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 3 года назад +1

      You took the words right out of my mouth. they are bunch of bullies with no talent what so ever.

  • @nickyciza
    @nickyciza 3 года назад +3

    There is a small mistake , wrote 2012 instead of 2021

  • @AH-RHON
    @AH-RHON 3 года назад +1

    2012 JAMANI MBN HVYO

  • @hassanussein1817
    @hassanussein1817 3 года назад +1

    Awo ambao Wamechagulia kuliko uo kijana Gaspa ni wanani? Kijana anajua

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 3 года назад +1

    Kwa kweli ata mimi mburuza viatu Simpendi mtu unatembea kama unasukumwa

  • @mwendwamjukuu9468
    @mwendwamjukuu9468 3 года назад +1

    Bss 2012 tenaa 🙄🙄

  • @tummkwawa1148
    @tummkwawa1148 3 года назад +1

    But then the babe in yellow😂😂😂😂😂tumpe A for confidence.

  • @sarakawawa8272
    @sarakawawa8272 3 года назад +1

    Ila tango jaman😂😂😂😂😂

  • @shufaaabdulhakim7311
    @shufaaabdulhakim7311 2 года назад

    How ilove salama😍

  • @mkalifanny4555
    @mkalifanny4555 3 года назад +1

    45:13 the girl is on fire

    • @elimuvisioncenter
      @elimuvisioncenter 3 года назад

      Yeah , binafsi nimemkubar pia … ndio best performer wa hii EP 5

  • @mikiboy4057
    @mikiboy4057 3 года назад +1

    Ommy amecheka taa taa🤣🤣🤣

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 3 года назад

    the last one anaimbaa mpk basiiii

  • @jacklinemzenge6076
    @jacklinemzenge6076 3 года назад

    Hawa wakuvaa green na matyre miguuni wamenichekesha sana

  • @lehanilezo8059
    @lehanilezo8059 3 года назад

    Yaani angekuwa judge hapa marekani na hiyo kiburi, dharau, na kutosikiliza watu huyo salama angekuwa kashapigwa risasi.

  • @rosemaryyahwe5887
    @rosemaryyahwe5887 3 года назад +1

    mbona ommy hajamwambia masai asimsalimie jmn ommy wew??!🤣🤣🤣

  • @CledoboyTz
    @CledoboyTz 14 дней назад

    Ningeshinda mimi

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 3 года назад +1

    😅😅😅😅Salamaa Huishiwi maneno

  • @jomajoligospel
    @jomajoligospel 3 года назад +3

    sijaelewa, hivi hii ni live, kwel ama recorded

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад

    2012 au season 12

  • @gtunewaves2867
    @gtunewaves2867 3 года назад +3

    Dar mizinguo sana vipaji vichache mnooo

  • @yumyumtreaties2092
    @yumyumtreaties2092 3 года назад +2

    Abdul remind me of aslay

  • @AnethJoseph-x6t
    @AnethJoseph-x6t Месяц назад

    Shetani🙌😂😂😂😂😂

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 года назад +1

    Rita u re Right

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 3 года назад +1

    Hii nchi ina vituko nyie🤣🤣🤣🤣

  • @winnermariah
    @winnermariah 3 года назад +1

    ZUNGUUUUUU👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

  • @mdentertainmenttz124
    @mdentertainmenttz124 3 года назад

    Duly umetisha

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 3 года назад

    yaani traffic light ana sauti nzuri

  • @marthamshana6942
    @marthamshana6942 3 года назад +3

    Ila shetani 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 3 года назад +2

    jaman😐😐55:45