@@irenekaluse3213 hivyo ndivyo walivyokudanganya. kwa uislamu uchawi ni haramu na haukubaliwi...kama hujui kitu soma kwanza ndio uweke comments otherwise una prove ujinga wako mbele ya mamilioni ya watu...
@@nassorsharifu9837 mie nahisi ndacha hajaelewa uislam vizuri , angeelewa angesilimu. Kwa sababu ana maswali yake naona hajapata majibu vizuri , angepata majibu ya kumridhisha angesilimu. Kwa sababu si mjinga. Pia haamini mtume Muhammad ni mtume wa Mungu. Ila maswali aliyekuwa nayo akipata majibu ya kulidhisha atasilimu. La sivyo hapana
@@salimbaasba6159 Sabab imani yangu niliyonayo nimeona Miujiza ya kutosha, kushangaza , na kustaajabisha Yesu kwangu ajawa adisi kama ya kufikirika ndo mana waislam nawakubali lakin kuhama itakuwa ngumu kwakweli.
Ustadh ramadhan Allah akupe nguvu na afya na hikma na amani na uwezo wa kuilimiaha ummah wa kicristo na pia waislamu tunapata ilmu hapo kuzidi kumjua nabii issah wanae muita yesu...na pia Allah akujaalie IKHLASW...amiin
Wakrito wengi wamepotoshwa kwa sababu ya kutosoma neno la mungu na kuelewa God bless you pastor,naomba mungu anipe Neema ya kusoma bibilia na kuielewa zaidi
hakika sheikh ramadhan unaifanya kazi ya kulingania watu waingie katika din ya uislam ALLAH akujalie kher na baraka na akupe umri mref zaid uzid kulingania watu
Sheikh ramadhan assalamualekum vipi hali yako mbona watunyima utamu kaseti umeikata kweli kidogo ni tamu ana kwa ana mkristo kwa mkristo katika zote this is nice mashallah Allah akuzidishiye 🙏
Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran kwako Mwalimu Ramadhan kwa kazi yako nzuri ya daawa. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza na kukulinda. Ya Tongaren inasikitisha sana. Tuzidi kuwaombea wapate kubadilika.
Assala am alaykum kazi nzuri. ALLAH AKUZIDISHIE Maana umewa ambiwa ukweli WAKISHINDWA KUTOA MAJIBU , WANADAI WANATUMIA ROHO, SASA NAONA HAPO WAMEKUTANA KILA MTU ANAMUONA MWANZAKE HAJAFUNULIWA ROHO, WAFUNDE ,MAANA YA ROHO.
@@kelvinnjuguna5906 kwani kuwa muislamu kumkataa YESU mpaka useme shauri yako?. Waislamu wanamuamin yesu ni nabii kama musa au manabii wote waliotangulia hatumuabudu Maria mama wa yesu na yesu wote hawa ni binadamu katika imani ya Kiislamu hawapaswi kuabudiwa unatakiwa kumuabudu Mungu pekee na kumsujudia yeye tu . Hiyo ndio iman ya uislamu kwahiyo kumwambia awe muislamu maana yake afate yesu kama nabii na aache kumswalia mama yake yesu na yesu mwenyewe katika swala zao zile . Ile salam Maria mama wa Mungu umebarikiwa kuliko wanawake wote , hii ni dhambi kubwa sana kumuabudu mwanadamu kwahiyo ukiwa kwenye uislamu hutomuabudu Maria na yesu utamuabudu mwenyezi Mungu
Muulzen yesu wa yongareni...miaka yte akiwa hayupo hapa duniani alkua wapi na alikua yuwafanya nn....atoe maelezo kamili..... Wallah msiba huu Mungu awaoneshe njia ya khaki
Assallam aleikum ustadh Allah azidi kukuongoza uwaellimishe hawa wenzetu zaidi wakristo na kristo wee hio kali Alhamdullillah kuwa muislamu ni kheri kubwa inshaAllah
قال الله تعالى فى كتابه العزيز وهو أصدق القائلين: ومن الذين قالوا إنا نصارى أخذنا ميثاقهم فنسوا حظا مما ذكروا به فأغرينا بينهم العداوة والبغضاء إلى يوم القيامة وسوف ينبهم الله بما كانوا يصنعون:المائدة ١٤
Nahisi ndacha uislam hatujuwi vizuri kiiivyo, angeujuwa angeogopa na angesilimu, jahannam si mchezo. Pengine ana maswali maswali yake hajayapatia majibu, akipata atasilimu, maana mpaka sasa, haamini mtume Muhammad ni mtume wa Mungu
Shekhe wangu ramadhan kwanza mi nakupenda kwAajili ya Allah na kingineee sikuu utakutana na huyo yesuu wa huko tongareni mwaambieni amwombee huyo baba yake ateremsho mujiza wowote ulee ilii iwee bishara kwa walee tusiyo mwamini nihayo tuu
Pastor, tunamshukuru Mungu Jehova kwa ajili yako, unalifahamu neno Mungu akubariki sana.
Pastor ndacha mungu akubariki kazi mzuri sana
Ndacha anajuwa biblia vizuri sana. Watching from Australia 🇦🇺 🇨🇩
Yes Anajua km biblia inadanganya lkn hataki kusema kweli.
Ana jua sana lakini kufuata ni shida 😁😁
Anaweka viraka sana😂
Afate uchawi wenu wa muhamad
@@irenekaluse3213 hivyo ndivyo walivyokudanganya. kwa uislamu uchawi ni haramu na haukubaliwi...kama hujui kitu soma kwanza ndio uweke comments otherwise una prove ujinga wako mbele ya mamilioni ya watu...
ASALAM ALYEKUM..SAUTI YA RAMADHAN NIKAMA SAUTI YA SWALE MDOA YULE WA CITIZEN...SAUTI NZURI..MASHAALLAH..MAY ALLAH BLESS ALL MUSLIMS
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu Allah awaongoze ambao hawajaona nuru ya uislamu Allah awahifadhi masheikh insha'Allah
Mwalimu Ndaca Mungu akubariki sana na Ashukuriwe Muntu kwa hekima respect
Allah akuzidishie Ustadh Ramadhan. Pastor Ndacha InshaAllah Allah atakuonyesha haki
Aameen
Ndacha anaelewa lakini hataki yeye ni wale waliotajwa katika Quran 2:6 "Na wale waliokufuru ni sawa ukiwaonya au usiwaonye wao hawataamini"
@@nassorsharifu9837 kabisaa kaka
@@nassorsharifu9837 mie nahisi ndacha hajaelewa uislam vizuri , angeelewa angesilimu. Kwa sababu ana maswali yake naona hajapata majibu vizuri , angepata majibu ya kumridhisha angesilimu. Kwa sababu si mjinga. Pia haamini mtume Muhammad ni mtume wa Mungu. Ila maswali aliyekuwa nayo akipata majibu ya kulidhisha atasilimu. La sivyo hapana
Mi ni mkristo lakini huyu sheikh namfatilia anafanya juhudi kubwa sana kuhoji imani hasa zilizo na utata, hongera sana sheikh🇹🇿🇹🇿
Mwenyezi mungu hakujalie ramazani
Kitu gani kinakuchelewesha wewe kuwa Muisilamu?
Asante kwa ukweli
@@salimbaasba6159 Sabab imani yangu niliyonayo nimeona Miujiza ya kutosha, kushangaza , na kustaajabisha Yesu kwangu ajawa adisi kama ya kufikirika ndo mana waislam nawakubali lakin kuhama itakuwa ngumu kwakweli.
@@jasiri25 Allah akuongoe inshaallah
Ustadh ramadhan Allah akupe nguvu na afya na hikma na amani na uwezo wa kuilimiaha ummah wa kicristo na pia waislamu tunapata ilmu hapo kuzidi kumjua nabii issah wanae muita yesu...na pia Allah akujaalie IKHLASW...amiin
Mashalla ndungu wetu ramadhan mungu wako akupanyie wepesi Kwa Jambo lolote shukurani
Wakrito wengi wamepotoshwa kwa sababu ya kutosoma neno la mungu na kuelewa God bless you pastor,naomba mungu anipe Neema ya kusoma bibilia na kuielewa zaidi
Amen ufundisho wa bible ni tamu sana watu wakisoma bible haya matokeo yalio tabiriwa tutayaelewa viema , praise God
Amen
hakika sheikh ramadhan unaifanya kazi ya kulingania watu waingie katika din ya uislam ALLAH akujalie kher na baraka na akupe umri mref zaid uzid kulingania watu
Masha Allah Ustaz Kuria Good job.
Tabarak Allah
I can't miss this video, shukran Ustadh Allah akubariki
Sheikh ramadhan assalamualekum vipi hali yako mbona watunyima utamu kaseti umeikata kweli kidogo ni tamu ana kwa ana mkristo kwa mkristo katika zote this is nice mashallah Allah akuzidishiye 🙏
Shukran sheikh ramadhan kwa juhudi zako zako za dawaah Allah akulipe jannat firdaus inshallah, nafurahi kuiona markaz imefika mbali Alhmdullh
Allah akufanyie wepesi katika kufikisha daawa. Allah awaongoze hao ambao hawajapata Nuru ya Uislam ili waingie katika Uislam.
Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran kwako Mwalimu Ramadhan kwa kazi yako nzuri ya daawa. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza na kukulinda. Ya Tongaren inasikitisha sana. Tuzidi kuwaombea wapate kubadilika.
Amiin
Assalam aleykum
😂😂😂😂
Walaikum Salaam Wa Rahma Tullahi Wa Barakat.. Allah Ummah Amiin
@@abdulmustafa2148 Kicheko ni cha nini sheikh badala ya kuitikia dua?
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN QADIR WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI.
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM.
Barakallahu Feek Sheikh Ramadhan Kuria
Masha Allah great work ustad
Masha Allah kazi nzuri.
Allah awaoneshe noor ya Uislamu kwa wote.
Qur'an 3:19
Mwarimu Ndaca mungu akuongez myaka mingi yakuishi sana,Nakupenda sana Ndacha,uyo yesu nae izidi kujiogopea moto upo
Ndacha usisahau kwamba Kila lilinonenwa litatimia,ila nivyema kuelimisha watu wasiingie kwenye mtengo, Mungu akujazie hekima kwa kazi ipo
Mshalah ramadan kuria bin kaguo may God show them our Christians right path
Allah akujalie shekhe ramadhani kulia
Baraka ALLAH Sheikh Ramadhan.. Wa Jazza ALLAH Kheyr l Jazza .. ALLAH atakulipa Kila la Kheyr In Shaa ALLAH.
Huyu ndacha mlevi kwa hiyo yesu anaitwa yesu mungu. Anaitwa Yesu mwana wa mariam.
Mke wa yesu kumbe ana mipasho namna hii! Hii kiboko shikamoo wakiristo iko siku ataonekana hadi mungu
Hahahahahaha nimeipenda
@@rahema1992yupo zumarid wa tz anajiita mungu mwanamke😢😢
Assala am alaykum kazi nzuri. ALLAH AKUZIDISHIE
Maana umewa ambiwa ukweli
WAKISHINDWA KUTOA MAJIBU ,
WANADAI WANATUMIA ROHO,
SASA NAONA HAPO WAMEKUTANA KILA MTU ANAMUONA MWANZAKE HAJAFUNULIWA ROHO,
WAFUNDE ,MAANA YA ROHO.
Mungu akulinde Ndacha
Mashallah❤Great job Mr Ramadhan ❤
Mashallah mashallah mashallah mashallah ramadhan kuria bin kaguoo,,, tunakuelewaa vzr snaaa kwaa Kaz nzuri,, Allah akupe afyaa njemaa
Yesu alikuwa mweusi si mweupe
Togareni Yuko sawa
Masha Allah markaz nzuri sana inapendeza Allah awazidishie walio changia na awape pepo zake tukufu ishallah
Watching from usa
Mungu ni mwema asante pastor
May Almighty Allah bless you sheekh Ramadhan
Ameen
Amiin Thumma Amiin
Watching this from green and spice island (Zanzibar) waiting for part 2
Alhamdulillah Allah kunijalia neema yawisilam shekhe allah atakulipa kheri inshaallah tunakumbea Dua
Hahaa😂😂 wacha kwanza nicheke.... Wakristo hatuko serious 😂
fanyamaamuz hakunagharama kuslimu Allah akukubal ndguyangu
Unaambiwa uwe muislamu apa 😂😂😂ukikumbali shauri yako 😂
@@kelvinnjuguna5906 kwani kuwa muislamu kumkataa YESU mpaka useme shauri yako?. Waislamu wanamuamin yesu ni nabii kama musa au manabii wote waliotangulia hatumuabudu Maria mama wa yesu na yesu wote hawa ni binadamu katika imani ya Kiislamu hawapaswi kuabudiwa unatakiwa kumuabudu Mungu pekee na kumsujudia yeye tu . Hiyo ndio iman ya uislamu kwahiyo kumwambia awe muislamu maana yake afate yesu kama nabii na aache kumswalia mama yake yesu na yesu mwenyewe katika swala zao zile . Ile salam Maria mama wa Mungu umebarikiwa kuliko wanawake wote , hii ni dhambi kubwa sana kumuabudu mwanadamu kwahiyo ukiwa kwenye uislamu hutomuabudu Maria na yesu utamuabudu mwenyezi Mungu
@@kelvinnjuguna5906😂😂😂
Uislam ndio DINI ya haki iko wazi kabisa ...
Masha allh sheck Ramadan mungu akuzidishe ilimu
Allah akupe maisha marefu yenye faida kama haya amiin..
I love you,kwa ajili ya Allah SWT
Masha ALLAH sheikh wetu Ramadan
Masha Allah 🥰
Muulzen yesu wa yongareni...miaka yte akiwa hayupo hapa duniani alkua wapi na alikua yuwafanya nn....atoe maelezo kamili..... Wallah msiba huu Mungu awaoneshe njia ya khaki
Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu..Good job Ramadhan
Huyu ndacha et yesu aliziliwa na mungu subuhallah I proudly to be Islam
Mwenyezi akuzidishie kwa jinsi unavyo tuwakilisha,na unavyo muwakilisha mwenyezi Mungu na kutetea dini yake
Mashallah hongera sana sheramazan mungu arakulipa.heri kwakila.hatuwa akuepushiye kila lashari
Waaaa Mungu atufungue roho zetu hii ni kugonjeka
Mashallah ustadh Ramadhn mungu akulipe kheri
Sheihk mungu akubariki umefanyakazikubwa alafu unasbra
Pastor Mungu akubariki sana unajitaidi kuwaambia ukweli but ukweli inauma lkn ni lazima neno la Mungu lisemwe kwa ukweli
Mashallah kazi njema jitihadi unazo na Allah akubari na akuzifishie neema inshallah
Ramadan MaashaAllah Allaah azidi kukupanua kufua
Mashallah ❤Mwez Mungu afungulie vifuwa wandugu zetu kimwili kiro inalillah in-shallah shukran shiekh Ramazan Mashallah ❤
Mm napenda sanna daawa yako allah akujaliye kila la kheri
Great sheikh, spread the religion
Hio ni kali😂😂❤ unasema kweli ubarikiwe sana inachekesha sana
Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh,
Mungu akubariki sana ndacha kwa kazi nzuri
MASHA ALLAH
Watu waongo km hawa wapo wengi huja km moto wa kifuu,
Mara moja hizimika
Alhamdulillah kuwa muisilamu.
Tabaraka ALLAH
Maashallah mungu akulidi she
Jazaakallah khayrii ❤❤
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh shukran
Yesu anakwambia mimi niyule yulee😂😂😂😂😂 subhanallah
🤣🤣🤣
Inshallah Allah atuongoze kwa njia ya haki
Mola akjazie kher sheik wangu
Ndacha unajicontradict..ati yesu ni mungu na ni mwana wa mungu...surely surely...
Kuna wakati ndacha alikataa kuwa yesu si Mungu,
Assalam aleikum warahmatullahjwa
Maa shaa Allah❤❤
Assallam aleikum ustadh Allah azidi kukuongoza uwaellimishe hawa wenzetu zaidi wakristo na kristo wee hio kali Alhamdullillah kuwa muislamu ni kheri kubwa inshaAllah
Jamani hyu ndach ni mbishi looh subhnnallah mtihan
Asante sana mwalimu ndacha,,,nahitaji sana number yako ya simu,,mm ni mkristo na ni mwana sabato nahitaji number ako samahani
Subhan Allah 😢
Pastor ndach barikiwa kwa kaz yako
Uislamu ni raha ❤❤❤
Asalam alaikum sheikh Ramadan ni msiba ishallah mungu atakusaidia watajuwa ukweli ishallah
Ndacha akiwa kwa hawa waluhya hananga kelele mingi😂😂
قال الله تعالى فى كتابه العزيز وهو أصدق القائلين:
ومن الذين قالوا إنا نصارى أخذنا ميثاقهم فنسوا حظا مما ذكروا به فأغرينا بينهم العداوة والبغضاء إلى يوم القيامة وسوف ينبهم الله بما كانوا يصنعون:المائدة ١٤
Kabisaaa haya mambo YESU KRISTO mwenyewe aliyatabiri alisema watatokea watu na makanzu wakisema Mimi ndiye YESU tuwe makini
Masha Allah ninzur sana marqaz itaisha insha Allah alaf nifulo ngap?
Asalmu aleykum hongera sn mwali wtu allh ajulipe Kila lenye kheri na ww
Subhanallah huyu yesu anajua kutetea pia mambo zake alafu Ramadhan nitakutext huko whatsapp kuna mambo yananitatiza huko naomba uangalie ilitusaidiane
Mwalimu ndacha Mungu azidi kukutumia kupitia kwa nguvu za Roho Mtakatifu wengingi wafunguliwe macho
Mwalimu Ndacha tunamtukuza Mungu Jehova kwa ajili yako unalifahamu neno ,Mungu Jehova aendelee kukutumia.
Yesu alikuwa mwezusi
Good job Mr ramadhan
Allah Atupe Mwisho Mema
Uho mze kalogwa😅😅😅😅😅😂😂😂😂
sikilizen nyinyi mulio hamna maalifa msio na neno la Mungu msitake galika ya lazima acheni ujinga wa kupoteze watu
ndacha ticher❤
Hii Dunia Ina binadam wa ajabu sana
Napenda hii show
Shekhe asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu. Naona kimeumana huko.
Aslm'alkm Maalim,ustishwe naao, hawana jipya Ndacha hakatai kuslim,ila wafuasi atawaanzia wapi,sadaka nayo,ajijua iviiivi,kua anakufa kafiri,maana kma niukweli wameshauona wote hao,Ma akuezeshe ,naakupe umri mrefu,uzdi kuwaelimisha walopotea InshaAllah .
Nahisi ndacha uislam hatujuwi vizuri kiiivyo, angeujuwa angeogopa na angesilimu, jahannam si mchezo. Pengine ana maswali maswali yake hajayapatia majibu, akipata atasilimu, maana mpaka sasa, haamini mtume Muhammad ni mtume wa Mungu
mungu awaripe her wote
😂😂😂 very nice