Swali haliko sawa . Kukaa mbele kivipi , wakati anaendesha nani ? Ikiwa ninadrive mimi , basi mke wangu anatakiwa kukaa mbele . Ikiwa ninadereva katubeba , basi mm nitakaa nyuma na mke wangu. Swala la heshima kwenye hiyo pia linausika lkn inategemea na uwamuzi .
Hili swali huwa halina jibu sahihi,mwanaume hatakiwi kuingilia bali kuacha wao wenyewe watajipanga bila kuleta big deal out of it. ila mimi ningeacha wote wakae nyuma wawe passenger princesses 👸 ♥ Lakini point kubwa kama mzazi wako na mke wako wanagombania kukaa mbele bado hujafanikiwa kimaisha,safari bado ndefu sana na utafika umechoka sana..sababu it means hao watu wa msingi wana utambuzi mdogo sana.
Jamani freda yupo sawa mke wangu ana nafasi ya mbele kwa kila jambo. Kwenye gari lazima mke wangu atakaa mbele tu na awe mama baba babu au bibi watakaa nyuma
Nachoweza kusema ni kwamba mama na mke kila mtu atambue mipaka yake, kwa lugha rahisi ni kuwa mama mwenye hekima anafaham mipaka yake, akiwa kwa mume wake ni haki yake kukaa mbele ila akiwa kwa mtoto wake wa kiume ni muhimu akakaa nyuma kuheshimu ndoa ya kijana wake, hii mada jibu lake inategemea mnahoji katika grounds zipi
Nafikiri pia kina mama mkwe tunapaswa kujua nafasi zetu tu.kama mama mkwe ukiwa kwako unakaa mbele kwenye siti ya mume wako basi ukienda kwa watoto unapaswa umuache mwano na mke wake wakae kwenye siti za mbele.hata waki kwambia ukae mbele unapaswa ukatae ukae nyuma coz haibadilishi chochote😂
Kama mume anaendesha gari for privacy and respect mke atakaa mbele Kama baba na mama wapo na mtoto wao ndo anaendesha basi baba na mtoto anayeendesha watakaa mbele na mke na mama watakaa nyumba. Huo ndo utaratibu mzuri and the vice versa
@@mossyfimbo3577mama ana mme wake anbaye ni baba ,wapiwa kwenye gari Yao wao atakaa mbele na mmewe ,ukishaoa nafasi ya 1 ni mke wako coz ndiye anayeendesha maisha yako Kwa wakati huo na sio mama
Kihalali kabisa siti ya mbele ni ya mke ,mtu ukishaoa kila kitu ni wewe na mkeo kwanza ndio maana hata iweje kuna vitu mama hawezi kukufanyia zaidi ya mke wako huo ndio ukweli na utabaki hivyo ,ulimwacha huyo mama yako ukaambatana na mkeo huyi ndio kipaumbele chako no 1 ,sisemi mama hana nafasi ,mama naye anayo yake tena kubwa ila watu hawajui kutofautisha
Nampenda sana mama yangu nampenda mno,hata wife anajua hilo lakin kwenye hili kit cha mbele atakaa mke wangu,maana kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na mama anabaki kuwa mzaz wa nyie wote anabaki kuwa kiongozi.
Mama angu ni muhimu kuliko mke wangu .. Alaf kukaa mbele kama mama ataingia wa kwanz atakaa yeye au kama ni mke ni sawa au mm nikae nyuma mama na mke wangu kama mmoja anajua kuendesha ataendesh
Kiuhalisia wote mko tofauti kabisa. Kama dreva ni mm itabidi mama na mke wangu wakae siti za nyuma wote. Kama ni baba na ninaeendesha ni mm mke wangu atakaa nyuma baba atakaa mbele. Na kama mke wangu ndo dreva mm na mzazi wangu tutakaa nyuma wote. Hata kwa wakwe ni hivo hivo.
Naunga mkono point za Millard ni za kiheshima za kiafrika na Kitanzania kwa ujumla. Nadhani Frida anachukulia simple things lakini siyo heshima na adabu za Kitanzania
jamani hii ilinikuta nilikua natoka na mubaba nipo na sister kwa heshima nikamuambia sister kaa mbele akanambia huyo ni mumeo kaa nae mabele,, na ilibidi tumchukue shangazi kituo kinachofuata ,, tulipofika pale tukamsubiri alivyokua anakuja nikasema wacha nikae nyuma na wewe sister hapa nimpishe shangazi lakini bado sister akaniambia kaa hapo huyo ni mumeo tena kwa ukali aliniambia ,,,, huwezi amini pale mbele nilikosa amani nilihisi kama shangazi kanimind vilee😅 ,,, but to me naona ukitoka na mume hata awe nani lazima ukae na mumeo mbele bana😜😜🙊
jaman jman mwanaume au mwanamke anapooa TU yule aliyemuona ananafasi kubwa ndo maana hata Vitabu vinasema utamuacha baba na mama yako utaambatana na MKE au mume wako wazazi ulishakaa nao sana tu ukioa kipaumbele ni mke wengine baadae sio adabu Wala nidhamu ila ndo Iko ivo
Tunatakiwa tufuate kanuni ya Ashrafi Hakimi. Mke mwenye busara atampa mama mkwe respect inayostahiki. Lakini wadada wa kisasa ambao wao wanajifanya kuishi katika ulimwengu wa tarakimu hawawezi.
Labda mama awe mgonjwa ndio atakaa mbele tofauti na hilo atakaa nyuma. Chamsingi tufike salama. Gari ni 1 hakuna kugombania siti nikiwa naendesha nahitaji kitu mke wangu ananipa kwa urahisi karanga,korosho
Mr and Mrs wakiwa garini na mama mkwe amekuja basi mrs na mama mkwe watakaa nyuma ikiwa wanaelewana vzr na qakaendelea na story za kifamily vzr huku mr anaendesha vzr tu hiyo ni hekima na heshima pia
Kimsingi sio Mama Wala sio Make wote hawapaswi kukaa mbele,Hawa ni watu muhimu wanapaswa kukaa kwenye Seats za nyuma ili wawe Comfortably and Safe.Watu wengi hamuelewi hili.
Millard ayo uko sawa kabisa hongera kwa walezi❤
Swali haliko sawa . Kukaa mbele kivipi , wakati anaendesha nani ?
Ikiwa ninadrive mimi , basi mke wangu anatakiwa kukaa mbele . Ikiwa ninadereva katubeba , basi mm nitakaa nyuma na mke wangu. Swala la heshima kwenye hiyo pia linausika lkn inategemea na uwamuzi .
Very good answer
Safiiii hii ndio comment nilokua natafuta.
Waooooo
Mnampa kichwa Bure kwakua swali liko wazi Katia mama na mke yani hapo kumbuka hapo hakuna dereva
Watu wa 3 mama, mke na mume dereva from where brow?
Milard uko sahihi kabisa,hiyo ni heshima kubwa kwa mtu mwenye umri mkubwa
napenda sana hii timu tatu Millard, Vido na Frida 💯💯💯
Hili swali huwa halina jibu sahihi,mwanaume hatakiwi kuingilia bali kuacha wao wenyewe watajipanga bila kuleta big deal out of it.
ila mimi ningeacha wote wakae nyuma wawe passenger princesses 👸 ♥
Lakini point kubwa kama mzazi wako na mke wako wanagombania kukaa mbele bado hujafanikiwa kimaisha,safari bado ndefu sana na utafika umechoka sana..sababu it means hao watu wa msingi wana utambuzi mdogo sana.
Mama mbele
Millard uko sahihi ❤
Jamani freda yupo sawa mke wangu ana nafasi ya mbele kwa kila jambo.
Kwenye gari lazima mke wangu atakaa mbele tu na awe mama baba babu au bibi watakaa nyuma
au siyo..yana muda basi
Napenda sana siti ya nyuma....nakuwa more comfortable sijui kwann
😂😂😂
Nachoweza kusema ni kwamba mama na mke kila mtu atambue mipaka yake, kwa lugha rahisi ni kuwa mama mwenye hekima anafaham mipaka yake, akiwa kwa mume wake ni haki yake kukaa mbele ila akiwa kwa mtoto wake wa kiume ni muhimu akakaa nyuma kuheshimu ndoa ya kijana wake, hii mada jibu lake inategemea mnahoji katika grounds zipi
Kaa popote ishu ni safari ifike msitengeneze utofauti hapo
Frida uko sahivi sana. Millard, Vido, Frida Mungu awabariki
Ni mama❤❤
Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri Duniani.. hii ni amri y Mungu Tena yenye ahadi ya Mungu.
Asante sana milady
Nafikiri pia kina mama mkwe tunapaswa kujua nafasi zetu tu.kama mama mkwe ukiwa kwako unakaa mbele kwenye siti ya mume wako basi ukienda kwa watoto unapaswa umuache mwano na mke wake wakae kwenye siti za mbele.hata waki kwambia ukae mbele unapaswa ukatae ukae nyuma coz haibadilishi chochote😂
Safiiiiiii🎉
I love Frida, you’re open mind.❤
Kama mume anaendesha gari for privacy and respect mke atakaa mbele
Kama baba na mama wapo na mtoto wao ndo anaendesha basi baba na mtoto anayeendesha watakaa mbele na mke na mama watakaa nyumba. Huo ndo utaratibu mzuri and the vice versa
Mwanamke mwenyewe anatakiwa kuachia siti wakati huo kwa kujiongeza mama n mtu mkubwa sana❤️
Mama ni Mungu wa pili ...unakufa mke anapata mume mwingine au akifa unaweza pata mke mwingine ila mama huwezi pata mwingine🚶
wachache watakuerewa
Mi nikae hata kwenye buti haina shida ila jua usiku pia uende ukaekwe mbele hukohuko😂😂😂
Nawe utabarikiwa siku mmoja uitwe mkwe si maneno mema
Millard hiyo haiko sawa coz mama kashakaa sana mbele kwenye gari ya mume wake
Daah ila milady
Hivi siti ya mbele ina Nini .
Milard yupo vzur❤
Mama akapande gar la mmewake ili akae mbele
Mm kwa sasa ni mke na nina kijana wa kiume nitakapokuwa mkwe kwa kweli kijana wangu akae tu na mkewe mbele mm nitakuwa nyuma.
Na yule mzazi anayebadilisha chanell nyumbani kwangu wakati mimi nafatilia series je😃
Zima TV mjadala uishe haraka 😅😂😂
Wote mpo sahihi but Frida Amani you're so bravo!
Gari yangu naendesha mm nitakaa na mke wangu mbele wengine watakaanyuma
Wazazi wako wamekuwa wengine maana wanaongelea wazazi
@@mossyfimbo3577mama ana mme wake anbaye ni baba ,wapiwa kwenye gari Yao wao atakaa mbele na mmewe ,ukishaoa nafasi ya 1 ni mke wako coz ndiye anayeendesha maisha yako Kwa wakati huo na sio mama
Dont worship your wife's ...
Hata Masjid na kwenye sherehe wakubwa ndo wanakaa mbele yani sehem zote na ukiwa na umri mdogo utatoka mbele ndo adabu iyo ⭐
Milad uko sahihi kabisa.na hivyo ndo ilivyo haswaaa
Hiyo ya sahani kila mtu na yako ni mambo ta 1980s asilete huo mfano leo 😅
Thanks
Jibu nijepes sana mama ndio anapashwa kukaa mbele
Hekima tuu well said Milad
Ni kweli miradi Ulaya mkubwa hawezi kusimama na mdogo kukaa
Ilaaa mimi naona millard ayo yupo sahihi kabisa nakupa maua yakooooooooo
😂😂😂😂farida nakuuga 🤝kwza mam zetu band vijana nivima akakaa yuma
Millad utaendeshaje gari alafu mama mkwe wewe afrika wengi wetu sio utamaduni
😂😂😂😂😂😂Siku nikiwa mkwe nitakaa nyuma tu ,sipend siti ya mbele
Nahsi imani tuu kukaa mbele hakuna mana yoyte
Sure sioni maana mim
Watangazaji hakuna kitu Leo ndo sijawaelewa
Mke wangu .wewe na mama mkwe kaeni nyuma mkipiga stori za maisha siti ya mbele ikae wazi.fulstop hyo haitazua mjadala wala chuki
Nitampisha mama akae hata bb nitampisha akae mbele
Akae na mama yake tena mm waniache nyumbani ili wanisengenye kwa uhuru huko😂😂😂😂😂😂
Mm nikiwa na mkewangu na watoto kwenye seat ya mbele anakaa mtoto wangu mkubwa mama anakaa na watoto wake wadogo kwa ulinzi zaidi.
Kihalali kabisa siti ya mbele ni ya mke ,mtu ukishaoa kila kitu ni wewe na mkeo kwanza ndio maana hata iweje kuna vitu mama hawezi kukufanyia zaidi ya mke wako huo ndio ukweli na utabaki hivyo ,ulimwacha huyo mama yako ukaambatana na mkeo huyi ndio kipaumbele chako no 1 ,sisemi mama hana nafasi ,mama naye anayo yake tena kubwa ila watu hawajui kutofautisha
Bila mama mke asingekuona Ayo respect sanaaa 🎉
😂 ila Millard usitufanyie hivyo 😅😅😅😅😅 mimi nipo upande wa Frida na vido kwenye gari
Frida is so beautiful 😍
Nampenda sana mama yangu nampenda mno,hata wife anajua hilo lakin kwenye hili kit cha mbele atakaa mke wangu,maana kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na mama anabaki kuwa mzaz wa nyie wote anabaki kuwa kiongozi.
Mama angu ni muhimu kuliko mke wangu ..
Alaf kukaa mbele kama mama ataingia wa kwanz atakaa yeye au kama ni mke ni sawa au mm nikae nyuma mama na mke wangu kama mmoja anajua kuendesha ataendesh
Gari lenyewe sina bora nyie labda tukitoka dukani usiku mimi na tochi kulika tu😂😂😂
😂😂😂
VIP. Hukaa nyuma. Mama atakaa nyuma mimi na Mke.wangu tutakaa mbele. Sababu zipo nyingi. tu.
Kawaida kwa usalama zaidi ni kiti cha nyuma.
Mama akija anakaa kiti cha nyuma kwa usalama wa mama yangu.
Huyo Farida hajitambui na kama huu ndio uharisia wake basi atakaye angukia hapa ajiandae for sure
Kiuhalisia wote mko tofauti kabisa.
Kama dreva ni mm itabidi mama na mke wangu wakae siti za nyuma wote. Kama ni baba na ninaeendesha ni mm mke wangu atakaa nyuma baba atakaa mbele. Na kama mke wangu ndo dreva mm na mzazi wangu tutakaa nyuma wote. Hata kwa wakwe ni hivo hivo.
Kwa ufupi kwaajili ya usalama mimi sipendi kukaambele mimi mama yangu pia hapendi kukaa mbele
Nafasi ya malezi inaonekana dhahiri hapo.
Mtoto umleavyo ndivyo atakavyokuwa.
Bahati mbaya sana hujazingatia adabu ulizofunzwa na wazazi wako huna nidham binti pole sana
MKEWANGU akae mbele mna ni sehem hatar Ikitokea tatzo la ajali
Kumbe kukaa mbele ni heshima??? Nilikua sijui
Frida huwa ananifurahisha sana😅 always!
Mama Akae mbele Mimi sio mama Tu hata shemeji Akae mbele Tu nadhan inakuwa poa zaid
Naitwa Mudy Kiukwel nikiwa namkewangu na mamaangu ntamuacha mkewangu wakae mbele
Baba bele mama yuma
Mama juma kewagu bele tu
Naunga mkono point za Millard ni za kiheshima za kiafrika na Kitanzania kwa ujumla. Nadhani Frida anachukulia simple things lakini siyo heshima na adabu za Kitanzania
Napenda sauti ya frida
jamani hii ilinikuta nilikua natoka na mubaba nipo na sister kwa heshima nikamuambia sister kaa mbele akanambia huyo ni mumeo kaa nae mabele,, na ilibidi tumchukue shangazi kituo kinachofuata ,, tulipofika pale tukamsubiri alivyokua anakuja nikasema wacha nikae nyuma na wewe sister hapa nimpishe shangazi lakini bado sister akaniambia kaa hapo huyo ni mumeo tena kwa ukali aliniambia ,,,, huwezi amini pale mbele nilikosa amani nilihisi kama shangazi kanimind vilee😅 ,,, but to me naona ukitoka na mume hata awe nani lazima ukae na mumeo mbele bana😜😜🙊
jaman jman mwanaume au mwanamke anapooa TU yule aliyemuona ananafasi kubwa ndo maana hata Vitabu vinasema utamuacha baba na mama yako utaambatana na MKE au mume wako wazazi ulishakaa nao sana tu ukioa kipaumbele ni mke wengine baadae sio adabu Wala nidhamu ila ndo Iko ivo
Mbele ni mume na mke muhimu ilo
Niko sambamba na Frida 😊😂🎉
Mama atakaa mbele na mke ataendesha gari😂😂😂
Tunatakiwa tufuate kanuni ya Ashrafi Hakimi. Mke mwenye busara atampa mama mkwe respect inayostahiki. Lakini wadada wa kisasa ambao wao wanajifanya kuishi katika ulimwengu wa tarakimu hawawezi.
Mim naona mkubwa ndio anafaa akae mbele
Labda mama awe mgonjwa ndio atakaa mbele tofauti na hilo atakaa nyuma. Chamsingi tufike salama. Gari ni 1 hakuna kugombania siti nikiwa naendesha nahitaji kitu mke wangu ananipa kwa urahisi karanga,korosho
HUYU DADA INAONEKANA HANA ADABU KWA WATU WAZIMA KABISA, NA NI MSHINDANI SANA
Mi niko na Frida kwa kweli
Pickup😂😂😂😂😂😂😂
Kwenye matumizi ya seat za gari iko tofaut kutegemea na hiyo gari iko kwenye shughul gani.
Hakuna kitu kama hicho mama ndio apate heshima kuliko kila kitu mama ni mama
Mr and Mrs wakiwa garini na mama mkwe amekuja basi mrs na mama mkwe watakaa nyuma ikiwa wanaelewana vzr na qakaendelea na story za kifamily vzr huku mr anaendesha vzr tu hiyo ni hekima na heshima pia
Swali kwa hiyo kukaa mbele ni heshima? Mbona Rais hakai mbele?
Mara nyingi anayekaa mbele ni co-Driver, kama mke ni dereva lazima akae mbele kwasababu anaweza kuona baadhi ya vitu barabarani and vice-versa..
Niko pamoja na millad ayo
Mamaangu bwana lazima akae mbl ht iw nani me mother lzm akae mbl..
Millard upo vizuri nikweli mkubwa yoyote anatakiwa akae mbele
Wakae nyuma, ndio watakua salama. Kukaa mbele sio salama.
Kwenye gari ni heshima kukaa nyuma comfortably, hata mabalozi na Marais wanakaa nyuma. Ni salama na ustaarabu
Tatizo kubwa ni Maadili vile ulivyo lelewa,hapo inaonekana kutokana na Maadili mlivyo lelewa
Mama kaja kutembea kwa mda mama atakaa mbele
Mke wangu akae MBELE
Marehem seif share hamdi alikuwa makam wa kwnza wa zanzibar alikuwa akikaa mbele
Kila mtu anawazo lake ila heshima tunawez tumia
Kiheshima mke mbele kwasababu mume anapoendesha gari kashati kanaweza kakapanda juu tumbo linaonekana mama hawezi mstili pale mbele
Nyie guys hampo serious ata kwa mbali😮😮
Jamani hapana mimi naona bora mke akae mbele maana mama hata akiona nimekaa vibaya hawezi kuniweka vizuri, lkn mke wangu atanitengeneza
Kama mke wangu ndo ataendesha ilo gari basi mm na mamangu tutakaa nyuma
Kwenye gari yangu mimi huwa nakaa siti ya nyuma bila shida
Kimsingi sio Mama Wala sio Make wote hawapaswi kukaa mbele,Hawa ni watu muhimu wanapaswa kukaa kwenye Seats za nyuma ili wawe Comfortably and Safe.Watu wengi hamuelewi hili.
Milad yupo sahihi
Team AMPLIFAYA 🫡🫡🫡🇨🇩✌️✌️