The TrickToker - Young & Stupid 8 Ep 11

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 427

  • @Wasonga1
    @Wasonga1 2 месяца назад +58

    Blocked all notifications on my phone except za mpesa na youtube channel ya mkuru😂😂..wapi likes za mkuru jameni

  • @johnpaulotieno6133
    @johnpaulotieno6133 2 месяца назад +89

    My thoughts and prayers to the parents who lost their children in the Endarasha fire accident.

  • @Yusuphlugola
    @Yusuphlugola 2 месяца назад +241

    Tanzanian who always here for mkurugenzi’s hekaya let gather here!🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @jrjunior998
      @jrjunior998 2 месяца назад +23

      Na si uandike kiswahili 😅

    • @Yusuphlugola
      @Yusuphlugola 2 месяца назад +7

      @@jrjunior998 why! Where are you from my friend?

    • @billy-wollem
      @billy-wollem 2 месяца назад +2

      Tukooo

    • @dreamlinetv8447
      @dreamlinetv8447 2 месяца назад +2

      We ni mkenya tulia

    • @obashkontz3585
      @obashkontz3585 2 месяца назад +1

      @yusuph logola I love it from abroad

  • @youngvikki254
    @youngvikki254 2 месяца назад +108

    My heartfelt condolences to parents who lost their children in hillside endarasha may Allah protect you and my Dua and thoughts are with you my people ❤❤❤

  • @essy_tasha1
    @essy_tasha1 2 месяца назад +52

    We as lover's of headline hitters tufanyiwe justice kidogo aki, it's been a while mkuru 😢

  • @spinkingsparta8828
    @spinkingsparta8828 2 месяца назад +46

    Walai abel nimekuona kutoka ukue Boyz yaani hauzeeki 😂😂tupee sirii @abelmutua😂😂 nipee likes mmi sijapewa ata mbili

    • @maureenkaruoya5097
      @maureenkaruoya5097 2 месяца назад +3

      Kama unajua Mkuru unajua mihadarati is a rumor hio ndo siri baba

  • @dukemwaidukemwai165
    @dukemwaidukemwai165 2 месяца назад +18

    We are happy but we demand headline hitters ama tukunyambishie😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤more love❤❤

  • @john_macharia787
    @john_macharia787 2 месяца назад +143

    Sisi wakurugenzi wa HEADLINE HITTERS tumekandamiswa vilivyo sasa😭😭😭mkuruu fanya justice

  • @Maureenkerubo-h3r
    @Maureenkerubo-h3r 2 месяца назад +45

    Mkurungezi, headline hitters ama tukutembelee na tukumbembeleze😂😂

  • @damarismuhia5581
    @damarismuhia5581 2 месяца назад +5

    Lesson well learnt..this almost happened to me this last week but who is God... ladies this is for you ALWAYS TRUST your instincts. Thanks 🤗

  • @SkandiFlick
    @SkandiFlick 2 месяца назад +9

    Houdini died of appendicitis caused by him asking people to punch his stomach to show that he can take it without flinching.
    Kazi safi Mkuru, love from UK!

  • @Johngikonyo-b4l
    @Johngikonyo-b4l 2 месяца назад +5

    Mkurungenzi tuchapie story ya south African reggae artist ..song ...numa numa papa papa I don't want to go to school tafadhali original artist hajulikani

  • @olamidepaul20
    @olamidepaul20 2 месяца назад +27

    ikibamba sana wapi likes weweeeeh! Hii tume ngoja kwa hamu na glue 😂😂 mkuru in the house wewe😂

    • @Cts_ville
      @Cts_ville 2 месяца назад +1

      😂😂😂Ati glue?? Nimekupata😂😂😂😂Gamu

    • @olamidepaul20
      @olamidepaul20 2 месяца назад

      @@Cts_ville 🤣🤣🤣

  • @johvicmediatv6315
    @johvicmediatv6315 2 месяца назад +7

    You just inspired me with Ivan's Story mkuruu it's about to go down 😅😅😅😅

  • @peterasap1852
    @peterasap1852 2 месяца назад +18

    Mimi nataka tu likes

  • @Davina23T
    @Davina23T 2 месяца назад +8

    Bonyeza kidude kama unataka🍿Popcorn kwa bill ya mkuru ❤

  • @SavaiSylvia
    @SavaiSylvia 2 месяца назад +28

    Wapi likes za za mkuru na top three ❤❤❤But mkuru bado nainsist utuchapie risto ya Mysterious Death of Jenniffer Fairgate in room 2805 plzzz!!!! 😢

    • @jessicute-ro9we
      @jessicute-ro9we 2 месяца назад

      Yaani wakuu mliamua sitawai comment wa kwanza🙄🙄... from isiolo

  • @LuchiriDenis
    @LuchiriDenis 2 месяца назад +22

    @ABEL MUTUA, tunataka headline hiters, ama tukusalmie.😅😅😅

    • @JonahNzau
      @JonahNzau 2 месяца назад +3

      Wewe jaribu utafuraia

    • @ourgossipchannel
      @ourgossipchannel 2 месяца назад +1

      Tumsalimie😂😂😂😂

    • @gloriamurugi2130
      @gloriamurugi2130 2 месяца назад +2

      Tumsalimie buanaaa😂😂 anatunyanyasa😂

    • @JonahNzau
      @JonahNzau 2 месяца назад +1

      @@gloriamurugi2130 😂😂

  • @langatchepkoech717
    @langatchepkoech717 2 месяца назад +14

    Catch me or I go Houdini 🎶🎶🎶 I’m not here for long 🎶🎶🎶

  • @victorosong
    @victorosong 2 месяца назад +4

    Who else agrees that Mkurugenzi is a mhenga who always drop misamiati?

  • @markoshudson3760
    @markoshudson3760 2 месяца назад +3

    Thank you ❤... Nowadays am watching like reading the bible

  • @SlipinBeauty-qu4tv
    @SlipinBeauty-qu4tv 2 месяца назад +58

    Hey mkuru....... have been trying to reach out but am not sure if text zinafika.......i have a heart condition and am supposed to be in India for surgery soon........i need your help 🙏

  • @HamaraIbrahim
    @HamaraIbrahim 2 месяца назад +2

    Aki mkuru unafai kufika London please ata next year iko sawa alfu usisahau hoodie na sweater mkuru BIG LOVE FROM LONDON 🇬🇧❤

  • @serahnjambi8645
    @serahnjambi8645 2 месяца назад +3

    Mkuru ,my twins favorite.
    Mkuru,unasema kuajiriwa sio kuandikwa😊

  • @shirllialey7188
    @shirllialey7188 2 месяца назад +5

    Landed safely 🥳 Mkuru let's do this

  • @jacintamuthoni3972
    @jacintamuthoni3972 2 месяца назад +1

    Today's episode was speaking to me! I was also swindled the exact same way. My case is in court as we speak. Next month ndio tunaenda mention......pray for me guys. Watu siku hizi hawataki kufanya kazi ila ni kutapeli others. But what these watapeli don't know is that, kitu cha haramu will make you suffer - you and the people who are willing or unwillingly benefitting from it!

  • @Brianweke967
    @Brianweke967 2 месяца назад +6

    Abelii mutuaaaa tosh the sprinklers ll😂😂😂

  • @Top-up-Fun
    @Top-up-Fun 2 месяца назад +2

    Leaving this comment for fam ❤❤iki nice sana pia pitia top up fun ma utam loading 🎉🎉❤❤

  • @essy_tasha1
    @essy_tasha1 2 месяца назад +6

    Wakurugenziiii..... Aah tuko ndakas🏃🏃🔥🔥

    • @roy99925
      @roy99925 2 месяца назад

      Uko ndakaz ya wapi

  • @shirowaithera
    @shirowaithera 2 месяца назад +9

    Headline heaters weweeee 😂😂✋

  • @margaretwaithiegeni1712
    @margaretwaithiegeni1712 2 месяца назад

    Hey mkurugenzi and bi mkurugenzi.Each and every day you wake up please know that through your journey you have birthed so many great young people.I knew it is only scary if you have not started it yet through you .I knew I can do anything that I imagine through you

    • @margaretwaithiegeni1712
      @margaretwaithiegeni1712 2 месяца назад

      I hope one day you will be able to meet not only me but other young girls that have been impacted by you and your journey

  • @njeriperry
    @njeriperry 2 месяца назад +2

    Waaaah😭😭 Yani unatrust mtu hivo virahisi na pesa yako😂 mwambie amuanike tumsalimie😂

  • @anthonyrotich7371
    @anthonyrotich7371 2 месяца назад +12

    Mkurugenzi tutakusalimia sasa kama huleti headline hitters 😅😅😅😅

    • @markoshudson3760
      @markoshudson3760 2 месяца назад

      @@anthonyrotich7371 he is not serious 😂😂😂😂😂

    • @markoshudson3760
      @markoshudson3760 2 месяца назад

      @@anthonyrotich7371
      Hiyo ni my favorite

  • @junemuli6768
    @junemuli6768 2 месяца назад +1

    I just love love love the puns in all the titles, napenda,

  • @cenontechs
    @cenontechs 2 месяца назад +3

    The drone story was relatable and 🔥 🔥

  • @spikes.alp254
    @spikes.alp254 2 месяца назад +3

    Mbona amesound kama Kenyan prince😅😅😂😂😂

  • @PiusMurimi-j7i
    @PiusMurimi-j7i 2 месяца назад +2

    mkuru..... leta njugush tena mpige hii kitu banah🔥😂

  • @AmosWanyama-g6y
    @AmosWanyama-g6y 2 месяца назад +13

    Mkurugenzi nko n story bt kukupata ndo ngumu

  • @Generali779
    @Generali779 2 месяца назад +2

    Karatina university locked in 🎉🎉

  • @danielnjoroge7493
    @danielnjoroge7493 2 месяца назад +2

    oyah we mzee,, headline heaters bana Moja ya avieshen

  • @dennistinega
    @dennistinega 2 месяца назад +1

    ..now I can peacefully welcome Mondays 🎉🎉🎉🎉

  • @mosesmuyamwangi7905
    @mosesmuyamwangi7905 2 месяца назад +2

    Was conned 300k by a kamba guy by the name Philip time Uber ikiingia soko,later to learn tuko watu sita. Jamaa alihepa but machozi ni kuwa DCI Kasarani walitukula 50k kila mmoja eti mafuta wametrace kitu fulani na bado walikuwa wanadai zingine nikasema sitaki tena. But Dunia ni ndogo tutapatana tu

  • @Landan_Essence
    @Landan_Essence 2 месяца назад +2

    Mkurugenzi headline hitters reloaded🎉🎉🎉 please head line hitters 13:17

  • @captain_shammer
    @captain_shammer 2 месяца назад +4

    Kama unaamini tutafika 1M subs before this year ends weka like😂😂😂

  • @spencerwafula1636
    @spencerwafula1636 2 месяца назад +8

    mkurugenzi,, leta headline hitters,, hadi I thought ni leo 😂

    • @Carolinekamau-x4s
      @Carolinekamau-x4s 2 месяца назад

      Alikua ametupromise leo

    • @Mkurugenziii
      @Mkurugenziii  2 месяца назад +1

      Makosa ni Yangu. The next two Sundays, mtafraiyaa!

  • @bryanwackanda9339
    @bryanwackanda9339 2 месяца назад +1

    Good story Mkurû. Headline Hitters sasa😢😢

  • @TheBlackIndian
    @TheBlackIndian 2 дня назад

    I got broken today after watching the last Young and Stupid...😢😢😢. I used to tap next Episode nxt, nxt now I will have to wait... After watching all the episodes from S1Ep1.

  • @ColletaMaloba.
    @ColletaMaloba. 2 месяца назад +1

    Njugu, maji, biskutss😂😂 bofya hichi kidude >>>

  • @bornashae777
    @bornashae777 2 месяца назад +6

    Siku ntakupata Mkuru nikukimbilie usitoroke😅😅some people where see them on screen but real life tricky sana😅 otherwise God bless you Mkuru❤🙏🏿

  • @stephen-CEO
    @stephen-CEO 2 месяца назад +1

    😂😂😂Exactly Mkuuru I loves everyone and trusts no one 😅😅.....

  • @mwirigitimothykanyithia
    @mwirigitimothykanyithia 2 месяца назад

    Continue enlightening us Mkurugenzi....Much love legend ❤

  • @MoohMonsa2947
    @MoohMonsa2947 2 месяца назад

    Eeii ama jina yake ya pili ni Ruto na tujui 😂😂😂 mkuruu iyo nayo umekill walai 😂😂 you have made my day manze 😂😂😂

  • @bakulecherongos762
    @bakulecherongos762 2 месяца назад +19

    Wakurugenziiii! Mbona south Sudanese wanapenda kutumia expressway? Juu they are TOLL😂

  • @technelity
    @technelity 2 месяца назад +1

    Anytime you want to unalive yourself make sure you have a plan b just incase you change your mind😅

  • @masikaedward8254
    @masikaedward8254 2 месяца назад

    Safii sanaa Mkuru..
    Please research story ya giselle pslicot..uski hii nayo ni noma ju ya ngori..

  • @Abdihakeem2030
    @Abdihakeem2030 2 месяца назад +2

    Mkurugenzi ❤🐐

  • @africanbitcoinmaster
    @africanbitcoinmaster 2 месяца назад +2

    Watching from USA 🇺🇸

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 2 месяца назад +1

    Good job mkurugenzi much ❤❤❤🙏

  • @sammuriithi7012
    @sammuriithi7012 2 месяца назад +1

    Mkurugenzii story moja ya Aviation ama tukusalimie 😂😂😂😂😂😂

  • @polycarpithoskimeli110
    @polycarpithoskimeli110 2 месяца назад +1

    @mkurugenzi ulitucheza story ya undercover in Qatar part 2 ..... Ama tukusalamie

  • @theeJohnfamily
    @theeJohnfamily 2 месяца назад +5

    wakurugenzi

  • @p.i.m.ptopshelf
    @p.i.m.ptopshelf Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂nakwambia the way we slide into relationships ngorii

  • @mollynganga5510
    @mollynganga5510 2 месяца назад +2

    Headline hitters bro 😂😂😂skiza ground

  • @annamwikali7516
    @annamwikali7516 2 месяца назад +1

    "Umekula?" 😂 Nachukia hiyo swali sana. Wanakuuliza hivyo na hawana intention ya kukuletea food.

    • @annamwikali7516
      @annamwikali7516 2 месяца назад +1

      Please tuambie huyo tapeli ni nani Mkuru. Hatutaki kutapeliwa 😀

    • @22_favouredQueen
      @22_favouredQueen 27 дней назад

      ​@@annamwikali7516Siri ni .....treat everyone like a suspect for you to be safe

  • @francismwangi9873
    @francismwangi9873 2 месяца назад

    Ruto was just chilling , then BOOM...😂😂😂

  • @SheeKinyanjui-cf8tw
    @SheeKinyanjui-cf8tw 2 месяца назад +1

    Mkuruu you promised headline hitters leo,,amah tukusalimie😂😂

  • @junitahwanjiku
    @junitahwanjiku 2 месяца назад +2

    Mkuru you're taking so long before you post. Consistency is the key. Much love though❤

  • @AdyOracle18
    @AdyOracle18 2 месяца назад +1

    Mkuru mbogi ya headline hitters we suffering 😂😂😩

  • @rowinwinny5902
    @rowinwinny5902 2 месяца назад +3

    Sijewai kuwa on time namna hii😅

  • @marjorievuyiswa5350
    @marjorievuyiswa5350 2 месяца назад +1

    yaani leo ndio nimejua jina ya first ya Hudinni. tha mbks Mukuru

  • @rob3rtnelson
    @rob3rtnelson 2 месяца назад +3

    Headline heaters next please

  • @iqrasuleiman4665
    @iqrasuleiman4665 2 месяца назад +2

    Mkuru umesema headline hitters tujidishi 😅😅😅

  • @alphusnjoroge6483
    @alphusnjoroge6483 2 месяца назад +1

    Mm naona Sasa tukiandamana juu Yako mkuruu Sasa😂😂😂why why why mbona hutuletei headline hitters,,,why mkuru whyy😂😂😂

  • @kimathimuriira5150
    @kimathimuriira5150 2 месяца назад +2

    Pia kwa Njoro wa Uba this week tuliambiwa 'Siku hizi kila mtu ni mkora'😂

  • @vinnymalaxy3545
    @vinnymalaxy3545 2 месяца назад +3

    They're everywhere nowadays 😂

  • @victormunene455
    @victormunene455 2 месяца назад +3

    Tupee jina tusalimie kidogo

  • @clintontheejournalist4825
    @clintontheejournalist4825 2 месяца назад +1

    Mkuru,nataka DIASTORIES😊

  • @fancyfootballhighlights
    @fancyfootballhighlights 2 месяца назад

    Mkurugenzi tuchapie headline hitters ya Chernobyl noma sana

  • @VashaMedina
    @VashaMedina 2 месяца назад +2

    Wakurugenzi aky tufikishe 1 million sub juu n kiac 2 tufikishe

    • @faridsalim9554
      @faridsalim9554 2 месяца назад

      Zii not unless atuchapie Headline Hitters

    • @VashaMedina
      @VashaMedina 2 месяца назад

      @@faridsalim9554 imagine watu 350k pekee tujaze

  • @Madsmoker9453
    @Madsmoker9453 2 месяца назад

    Love diastories man love mkurugenzi ❤

  • @clemarkstheone.
    @clemarkstheone. 2 месяца назад

    Even if you see someone with espensive cars, house or any other material thing never trust before you do a due diligence and great research.

  • @judytanui9853
    @judytanui9853 2 месяца назад +1

    Mkuru nimengoja aviation story angalau moja. It's been a while.

  • @WashyKings
    @WashyKings 2 месяца назад +5

    Plz mkuru tunataka headline hitters 😕

  • @bivonbiko3865
    @bivonbiko3865 2 месяца назад +1

    Headline hitters mkuru buana 😢😢😢

  • @umalijulliet8222
    @umalijulliet8222 2 месяца назад +1

    Ladies huwa mnatoa wapi nguvu ya kuhost mandume Kwa nyumba zenu.. red flag no 1😆😆😆😆

  • @joymax7320
    @joymax7320 2 месяца назад

    This reminds me of, story ya "Carmeumana " 🤣🤣🤣

  • @meemohk.emedia4093
    @meemohk.emedia4093 2 месяца назад

    Msijifanye hamjanotice shirt ya mkuru ni 🔥🔥😂

  • @Brianweke967
    @Brianweke967 2 месяца назад +2

    Mnarendevour wapi mkiwa na hezee eishh

  • @Danso254
    @Danso254 2 месяца назад

    Mad love from Chad 🇹🇩 ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ritarick-vp7ez
    @ritarick-vp7ez 2 месяца назад +3

    you got the skill

  • @millicentnyaguthii3120
    @millicentnyaguthii3120 2 месяца назад +2

    nimejibamba. kumbe watapeli wamekuapproach ju kinawaramba uku nje. ata kupatia hawkers note na nimie nunua maji ya 30, utaachiwa maji zote atoroke na 100 yako. kusimama pia ovyo tao Nairobi ni ngumu.

  • @JamilaNdurya
    @JamilaNdurya 2 месяца назад +1

    Aah aaah nimechelewa🤦Makosa ni Yangu!!!!!

  • @zainabismael5490
    @zainabismael5490 2 месяца назад

    Mkurugenzi sasa tutakupiga WE WANT HEADLINE HITTER

  • @danielmacharia7137
    @danielmacharia7137 2 месяца назад +10

    Nani mwingine hufeel kufanya challenge ya hii song ya young and stupid😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @carmilabianca6512
      @carmilabianca6512 2 месяца назад

      Come nyuma ya tent tuongee😂😂

    • @teresamboci744
      @teresamboci744 2 месяца назад

      Weka lyrics kwanza. Sijawai elewa wanasema nini.

  • @vickychizzie
    @vickychizzie 2 месяца назад

    tunafaa tumsalimie pia, hoping for hizo majina zikam thru!!

  • @jameskim2645
    @jameskim2645 2 месяца назад

    So mkuru ameamua headline hitter haikuji😢😢 haufanyi poa @mkuru😢

  • @Dancetocker
    @Dancetocker 2 месяца назад +20

    wapi like ya the first one here

  • @musa00-mabu
    @musa00-mabu 2 месяца назад +1

    HEADLINE HITTERS ILIENDA WAPII BUANAA😭😭😭😭😭😭

  • @tatuacbo5028
    @tatuacbo5028 2 месяца назад

    Haaaaaa haaaaaa haaaaaaa haaa! Mkuru l loved the last bit about the con men asking you to slow down!

  • @millicentnyaguthii3120
    @millicentnyaguthii3120 2 месяца назад +2

    ABELI niko locked nangoja maisaa ya kipindi