UBISHANI MILLARD NA FRIDA: KUOMBA RUHUSA KWA MPENZI WAKO NI SAWA? KAMA MAJIZO NA LULU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024

Комментарии • 38

  • @user-wh7gj9ug9s
    @user-wh7gj9ug9s 16 дней назад +2

    Nimewapenda hamna presha na maongezi

  • @NANCYWARD488
    @NANCYWARD488 16 дней назад +2

    Mke bora.
    Anapenda Mume na watoto pia.
    Lakini
    Hapiki kwa wakati.
    Watoto nguo za shule hazina usafi wa kutosha.
    Nyumba hata pazia hazina mpangilio.
    Vyombo usiku vinalala vichafu.
    Huyo sio Mama bora.
    Anampenda Mumewe
    Ana msikiliz Mumewe
    Hana hekaheka za Mtaani.
    Ham cheat Mumewe

  • @user-sv2uj8ty9p
    @user-sv2uj8ty9p 16 дней назад +1

    True

  • @joshemman520
    @joshemman520 8 дней назад

    kuna tofauti ya matunzo na malezi....mfano kumpa mtoto shule bora, chalula na hata mavazi hamaanishi ndio malezi bora hapo ndio utapata mume bora ambaye sio baba bora

  • @user-qy5qw1jv4s
    @user-qy5qw1jv4s 15 дней назад +4

    Mimi naomba niongee kitu hapo kwenye swala ya kutafuta, mimi naishi marekani ambako wanaaminisha wanawake kua mwanamk na mwanaum ni sawa yaani 50/50 lakini likija swala la majukumu kisheria bado wanakuambia mali za baba niza wote lakini za mama ni zake hapo ndo utajua ni jukumu letu kutafuta so ukweli usiopingika ni kwamba ni jukumu la mwanaum kutafuta na sio la mwanamk, so kwa mwanaum yoyte anayejitambua ni lazima atimize jukumu lake la kutafuta na mama ni sehemu tu ya kuchangia kwa kile anacholeta baba.

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 16 дней назад +2

    Ila nyieeh😀😀😀😀😀

  • @gloryprotas1043
    @gloryprotas1043 14 дней назад

    Mm nilienda zanzbar hata nyumban sikusema nilisema baada ya miez miwili tena nikasema mm sahv sipo tena tanga nimepata connection kwamwalim wangu wa chuo tna nilituma mesej fullstop😅😅😅😅

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 15 дней назад +1

    Frida ww unaendaga kutafuta kwajil ya familia unaweza

  • @bina2557
    @bina2557 16 дней назад +1

    Mimi natoa taarifa pia😂😂😂

  • @goodluckabdul7316
    @goodluckabdul7316 16 дней назад

    Nakukubali sana Frida

  • @MosessMaganga
    @MosessMaganga 15 дней назад +1

    Yani vido mumebora ni mtu Ambae anakupenda ww saana kila ukitakacho unapata ila tuu ukisha Kua na ujauzito uliofikisha miezi Saba anakua mvivu kwakoTena ukijifungua tuu ndio anakuja nyumban kwa mwez maramoja ukweli apo anasua sua kwa majukum uzazi ndipo seem ya matumizi mengi ya pesa,

  • @dianamlagwa9383
    @dianamlagwa9383 15 дней назад

    Frida 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @user-tf5mm2fn3p
    @user-tf5mm2fn3p 15 дней назад

    Mpenzi ,wazazi. Kote huombi ruhusa. Adabu 0

  • @andreatutu6179
    @andreatutu6179 16 дней назад +1

    Converstion yenu ni nzuri na ya kibabe, i love it

  • @lovesallu5292
    @lovesallu5292 15 дней назад

    Ujue ruhusa Unaeza kataliwa🤣😁inshort natoa taarifaa

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 16 дней назад

    Frida mjinga Sana 😂😂😂
    Ati mume anazaalisha njee ale mtt apate kuambia c mke Bura nimeipenda Sana
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hellenmroso6786
    @hellenmroso6786 15 дней назад

    Eti mke bora awapende mawifi😂😂😂

  • @spency2371
    @spency2371 16 дней назад

    Na mm ni fridah kabisaa niko zangu kitaa napambana

  • @pascalmgassa8441
    @pascalmgassa8441 15 дней назад

    Huyu dada Jeuri hafai kuwa mke Ana kiburi

  • @user-sg6ez3cf1f
    @user-sg6ez3cf1f 16 дней назад +4

    Millard unaonaje kuanzisha Moja segment inayohusiana na kuonyesha fursa mbalimbali za Ajira kwa vijana kupitia taasisi au makampuni au sehemu mbalimbali kuzitembelea kwa kuzionyesha kupitia kamera zenu

    • @user-sg6ez3cf1f
      @user-sg6ez3cf1f 16 дней назад

      Asante!

    • @bina2557
      @bina2557 16 дней назад +1

      Mnatafuta ajira hapahapa TZ ama wapi😂😂

    • @user-sg6ez3cf1f
      @user-sg6ez3cf1f 16 дней назад

      Hata ingewezekana nje ya hapa MR MIllard

    • @bina2557
      @bina2557 16 дней назад

      @@user-sg6ez3cf1f saivi uhaba wa ajira ni mkubwa sana kazi ndio zipo ila ajira amna

    • @NeemaChachaTV
      @NeemaChachaTV 16 дней назад

      Wazo zuri @millardayo njoo uone

  • @joesimba
    @joesimba 16 дней назад

    7:27 "mhhh na ni very ok" 😅

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 16 дней назад

    Yaani Frida unanichekesha😂😂 yu r such a genius kudadavua staffs

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t 16 дней назад

    Rrida kanicheksh mwisha wa hii video yani kajitetea hawez leo watot wa shigaak❤😂😂😂😂😂😂hawez iy

  • @aggreyyonna5925
    @aggreyyonna5925 16 дней назад

    Unavyo cheka kama ngumu😂😂😂😂

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 15 дней назад

    Mi nilikuwa nimekaa muda mrefu single kwa miaka 4 nilipamua kuwa kwenye mahusiao jamaa akawa anataka nimuage hata km natoka nje ya nyumban yani hata km naenda beach 😂😂😂😂sasa bac mi hizo sijazoea kbs nimezoe nakurupuka km chafya huyoooo sasa akawaakinipigia namwambia sipo nyumban nipo kwa bro wangu nimelala huku😂😂😂😂anasema sinilikuwa uwe unaniambia km unatoka nilichomwambia we zoea tu na mie nitajitahidi nizoee kuupa taarifa km natoka

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t 16 дней назад

    Ruhusu kwamzaz sio mpenz mpenz mpenz apew taarifa2 ili ikiktokea lolot ajue nilisem

  • @user-wh7gj9ug9s
    @user-wh7gj9ug9s 16 дней назад

    Kuishi ni kunyenyekeana

  • @CarinEmil
    @CarinEmil 15 дней назад

    Ka frida kana macho ya wizi aka