AMPLIFAYA: MAPITO YA ROSA REE ASIMUALIA KUMUACHA MPENZI WAKE AMNUSURU MWANAE “AFYA YA AKILI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024

Комментарии • 75

  • @ericmato9
    @ericmato9 29 дней назад +5

    One thing I love about Frida Amani is her natural look. Look at that sura usuyo na makorombwezo wala kucha bandia. Keep it gal.

  • @SakinaOmar-rz8zo
    @SakinaOmar-rz8zo Месяц назад +6

    Pole sana Roselee mapenzi hayana formula ila umetumia akili sana kumove on❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Месяц назад +3

    Saggy boobs tell a story💯
    Wooow this hits hard.
    People should really stop body shaming women.
    God bless all mothers🙏

  • @pendolymo9354
    @pendolymo9354 Месяц назад +4

    Nampenda sana rozaree ila nimsaidia kuumia situation alopitia 😢

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 Месяц назад +5

    She's right,❤❤❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Месяц назад +9

    Nafkiri ifike mahali wanawake tuelewe wanaume hawatupendi,they don't dont care about us,they don't have any regard for us.
    Kwaiyo ukipata mwanaume anakujali shukuru Mungu,pia ukiona mwanaume hana maana,move on peacefully,usijimalize kiakili ju ya mwanaume,mwisho wa siku you're ur own person,tena especially kama una mtoto,infact unapoamua kuzaa tu kumbuka anything can happen,kwaiyo jiandae kisaikolojia,ni ngumu lakini tutambue uhalisia wa wanaume na tujiandae kisaikolojia kwa yote yanayoweza kutokea

    • @safiahassan6121
      @safiahassan6121 Месяц назад +3

      Mwanaume hajawahi kuwa na upendo kwa mwanamke anahitaji kitu kutoka kwa mwanamke kile ambacho hawezi kukipata kwingine so akishakipata anasepa tu sasa ukishaona mwanaume anakutaka weka mbele mahitaji yako kwanza akiyakamilisha ndo uwe nae ila kwa akili sana

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 21 день назад

      Kunywa soda Kwa mangi utalipa Kwa hela yako❤

  • @annertz9969
    @annertz9969 Месяц назад +5

    Eeeeh Mwenyezi Mungu niepushe nahawa viumbe wasinipe msongo wa mawazo 😔

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 Месяц назад +6

    Kuhusu hii story ya wazazi ni issue sana wazazi tunavumilia kisa watoto lakini tunawapa watoto matatizo ya kimwili na kiroho sana sijui nieleze vipi yaani tunapoteza kabisa akili za watoto wooooyi wazazi tuweni makini sana

  • @GbpAud_King
    @GbpAud_King Месяц назад +2

    Fridaa nakupendaa sana

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 Месяц назад +7

    Frida❤❤ amani nakupenda popote ulpo una nafasi kwenye moyo wngu ❤🎉❤

  • @NageMsuya
    @NageMsuya Месяц назад +2

    Nawapenda mnooooo

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius Месяц назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @tirexp1
    @tirexp1 29 дней назад +2

    Jamaa anaongea point tupu, sema utekelezaji sasa

  • @bablayonly
    @bablayonly Месяц назад

    #roseree Female king

  • @Zuhura-od9yg
    @Zuhura-od9yg 13 дней назад

    Pole sana lamama 😢

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Месяц назад +15

    Singo maza huwa ni wanawake walio TOXIC usiombe uka date na hao viumbe 😂😂 wanakua na roho mbaya mnoo sabab wame tendwa

    • @sirajshelali6209
      @sirajshelali6209 29 дней назад

      Sio wote wametendwa,wengine ndio wanatenda watu

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 26 дней назад

      Na wapo ambao wanaupendo wa kweli.

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 25 дней назад

    Yupo sahihi sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 26 дней назад

    Pole sana nakuelewa snaa nimepitia snaa hiyo nyakat wakujifungua 😢

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje Месяц назад +12

    Mimi mpaka leo sijaieelewa hii single mother hii maana ake kwamba ni mama kujipa mimba mwenyew au imekaaj

    • @happybryce1269
      @happybryce1269 Месяц назад +2

      Si ndo apo sasa.. mtoto ana baba lkn unasema uko peke yko. how

    • @hijamaulidi7382
      @hijamaulidi7382 Месяц назад +4

      Mtoto kulelewa mbali na baba

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Месяц назад

      ​@@happybryce1269kua peke yake inatokana na mapito aliyopitia na mzazi mwenzie

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 Месяц назад +6

      Baba kutohusika na malezi ya mtoto alieshiriki kumleta duniani

    • @user-vt4vd5rh8u
      @user-vt4vd5rh8u Месяц назад +1

      kiukweli hawa

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 20 дней назад

    Rosa needs someone to talk too

  • @rahmaoman470
    @rahmaoman470 Месяц назад +2

    😂😂😂😂Rose mapicha picha

  • @Mgema001
    @Mgema001 26 дней назад

    Frida i love u❤

  • @Sha-mgAbiudy
    @Sha-mgAbiudy Месяц назад

    Nani kaona "KUSIMUALIA" kweny description 😂😂

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k Месяц назад +1

    Sikuhizii hamna cha ndoa watu wapate mimba uzae n kilamtu ashugulike n maishayake kama utampenda sana mwao aya utachukua majukumu ykumlea period hio ndio dunia ya sasa 😂😂😂😂

  • @guidovadala1965
    @guidovadala1965 Месяц назад +1

    She is concious

  • @joreen7603
    @joreen7603 Месяц назад

    Nyie acheni mtoto akifanana na baba na baba asiwe na mchango wowote acheniii tuuu ila katik yotee mungu utusaidia

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 29 дней назад

    Yaaani huyo dada Frida nimempenda.

  • @infortainment2557
    @infortainment2557 Месяц назад +1

    Who cares about what the man feels anyway? Born to suffer.
    God help us.
    No child, no airtime, no sympathy, only blames from possibly unjust cries.
    May it be easy for the kid to experience love from both parents in near future.

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 Месяц назад

    ahahha rosa kanichekeshaaa jmn eti nyinyi kama mimi

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Месяц назад +1

    Roza una akili sana dada💪🏽

  • @vannie-gggg
    @vannie-gggg 28 дней назад +1

    Millard ayo my young sister anakupenda tuliiba diary yake tukakuta kakuandika na kamessage kazito😂

  • @zabryrose3120
    @zabryrose3120 Месяц назад +3

    Hivi Millard kinyozi wako nani lakin?

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 Месяц назад

      hata mimi sipendi anavyonyoa

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 24 дня назад +1

      Yani sijui ananyoa wapi wallah anamnyonyoa mwenzie anakua kama kuku kishingo 😂😂😂🙌🏻

  • @sebastianapolinary221
    @sebastianapolinary221 Месяц назад

    Frida amani 👊

  • @Zuhura-od9yg
    @Zuhura-od9yg 13 дней назад

    😂

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 17 дней назад

    Yule kaka na kile kitambi nilijua tu hawata toboa 😂

  • @hamimumankanga5302
    @hamimumankanga5302 20 дней назад

    Ebanee, sema olo in olo, frida ni pisi moja hatari sana

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 Месяц назад

    Nani amemuona roseee anaongea kasauti kama ya wema sepetu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +2

    Kwani masingo mama huwa wanajitomba? Na kujipa mimba? Nimechoshwa na neno singo matha.

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 Месяц назад

    Kila mtu ana sababu yake so kila kitu usem kwa watu???