Bongo kuna Matajiri wengi sana na wanahela balaaa..Ila wanaogopa kuonyesha..Sababu system ya bongo ukianza kutumia pesa yako adharani unapokea barua ya Ujumu Uchumi kwa TRA..Mara unasikia Hujalipa KODI ya KUTABASAMU tokea ukiwa Mwaka MMoja…kwahiyo lipa Faini ya Trilion 20.
Milady ASE unajua sanaa namna ya utangazaji wako sijawahi sikia tofauti na kwako Mungu azidi kupa ubunifu
The one and only, love you Millard 💘❤
Frida Top ni 3 hii sio form four
vido huwezi kumtabiria mwanamke kwasbb sisi tunapambana halafu plus smbody anapambana kwaajili yako pia so lazima uone anapaa haraka kimaendeleo.
Advance top inaanzia 3 frida usituchanganye😂😂😂
Bongo kuna Matajiri wengi sana na wanahela balaaa..Ila wanaogopa kuonyesha..Sababu system ya bongo ukianza kutumia pesa yako adharani unapokea barua ya Ujumu Uchumi kwa TRA..Mara unasikia Hujalipa KODI ya KUTABASAMU tokea ukiwa Mwaka MMoja…kwahiyo lipa Faini ya Trilion 20.
Matumizi ya pesa
Wanawake kwa wivu hongereni unapinga tu
Fifi❤❤❤❤
Hongera Sholole raha sana School fees kuanza kurudi yaani raha akimaliza shule akaanza kujitegemea no more school fees weee unanenepa mchana na usiku
Frida umezngua😂, form six top ni one ya tatu😂, form four ndo 7
Top ni one ya tatu frida
Wavulana na wasichana mkae kwa kutulia😂😂😂
Uyo ni hamisa bn
One
Life inflation (mfumuko wa maisha)