Moja kati wa wasanii waliobarikiwa uhodari wa kuchezea matamshi na sauti alafu ngoma zao zikaleta ladha tamt kweny maskio ya wapenzi wa muziki mzuri, mungu aendelee kumbariki aaamin!...
Jamaa ana ngoma moja inaitwa mtemi pesa nashangaa watoto wajuz kumsifia jaiva kwa kile kisauti nenda kaickilize ile ngoma huyu ndio alikuw na lisauti sas😂😂😂
Nampenda Sana huyu jama nafanya mziki kwaajili yake naitwa starloni
Moja kati wa wasanii waliobarikiwa uhodari wa kuchezea matamshi na sauti alafu ngoma zao zikaleta ladha tamt kweny maskio ya wapenzi wa muziki mzuri, mungu aendelee kumbariki aaamin!...
@@iddylumbila7399 🙏🏿🤞
Uko powaa Sanaa bachelaa
Nakupa miaka miwili Tu utakuja kuwa bonge la mtangazaji
Big up kazi nzuri
Jamaa ana ngoma moja inaitwa mtemi pesa nashangaa watoto wajuz kumsifia jaiva kwa kile kisauti nenda kaickilize ile ngoma huyu ndio alikuw na lisauti sas😂😂😂
Namkubali sana
Msanii mkubwa wenye touch sweet
NAKUBALI WOTE WANAHARAKATI
❤❤❤❤❤