SQUEEZER : KULIPWA LAKI TANO NI UKOLO/NAJUTA KUIMBA/UMAARUFU MZIGO WA MWIBA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 23

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 Год назад +2

    Ni kweli kabisa, nina ngoma na sqeezer kadhaa lakini mtu niliemtegemea ambae nafikiri angekuwa nazo nae kafariki, Steve B RIP

  • @christinaalexander1213
    @christinaalexander1213 Год назад

    Squeezer,safi sana

  • @subjimmy5824
    @subjimmy5824 Год назад +3

    Nimefurahi kukuona kaka mkuu sqeezer vp dataz Yu wapi ?

  • @directoreagle26rongc
    @directoreagle26rongc Год назад +1

    Heshima kwenu ma legends ☆
    Nawapa heshima zenu sana more ❤

  • @ChuchuMassaburi
    @ChuchuMassaburi Год назад +1

    LEGEND himself

  • @AmiBoy-vs2td
    @AmiBoy-vs2td Год назад +1

    Nilivyosoma kichwa Cha habari nikakuta neno Kolo nimecheka Sana😃😃

  • @ImaniVenance
    @ImaniVenance Год назад +1

    92.5fm 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 Месяц назад

    Oya soggy na enjoy sana unavyotuletea story za wandewa..alafu mwambie George bush afanye kolabo na dark master

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Год назад +1

    Kibanda cha simu by soggy dog❤

  • @nembua
    @nembua Год назад

    Mm nawezq kua maktaba ninazo kwasababu mm nadsk ambayo nailinda kwa kuamisha data kila wakati

  • @modazen7178
    @modazen7178 Год назад

    nahitaj interview kaz zangu ziko kampun tu

  • @modazen7178
    @modazen7178 Год назад

    mjin fm iko wap

  • @Trappqueen970
    @Trappqueen970 Год назад +2

    asa bro unatak kulipw shngp mimi km mim naon ht lak 5 nyngi cz sahv kuna watu wana trend so wakat wkoo tena heshim kdg hchohcho

    • @melki-kabalu759
      @melki-kabalu759 Год назад

      Thamani ya mwanamuziki ni zaidi ya hicho kinachoitwa "trend"..

    • @mohamedrajabu8375
      @mohamedrajabu8375 Год назад

      Ww msenge sana yani zaidi ya sana, na inavyo onekana ni kijana wa 94 maana heshima huna kabisa

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 Год назад +1

    Ukubwa bila hela ?

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg Год назад

    Nimeona kama picha ya Diamond ukutani enzi ya number one.

  • @nembua
    @nembua Год назад

    Adi mm ninazo zote

  • @JohariRamadhani-vq7nn
    @JohariRamadhani-vq7nn 7 месяцев назад

    Squeeze dah nkumbuka yaan jins gani ulivyonidatisha

  • @aamarsuleymain2932
    @aamarsuleymain2932 Год назад +1

    Squeeze joji msalimie frola Martin kasela wa mbata mbeya mwanangu😊

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 Год назад +1

    Jajijoji ushi dis mi kwenye mwanangu skwiza huyu so poa kabisa