big brain fareed wee jamaa ungepewa udaktari tu -jamaa wa msasa show kubwa sana chief pls tuongeze jamaa wengi zaid tuendelee kula shule,,,,,,,,,am looking foward kuona investrs wengi zaid kweny show yako
Nilichogundua wamiriki wa media wamegundua kua Kuna weakness kwenye upande wa habari kwa hio wamekuja na vitu mhimu saana I hop kama tutaendelea hivi vile vitangazaji vyenye maswali ya kijinga hongereni wakuu nimeenjoy saana uwepo wa fid
its my first time naangalia kipindi and nimekipenda sana but I would like kumshauri interviewer asubiri msanii amalize kujibu swahili kisha abandike swali lengine. but all in all I like it
💚💚💚🎬 safi sana . Msasani, kwangu mimi unanikumbusha Mchonga nyerere kama sio Mikocheni hahaa.. 📽 naachia video ya kuikaribisha 2024 kwa wimbo Ma Mtoni.. by King Bidder from his own youtube ya king bidder.💚🤳 Album ina itwa Power Of Writing. Karibuni
Nangoja part 2 ianze na majibu kutoka kwa fid maana jibu lako linalenga kilicho kwenye mzunguko sokoni ila yeye anaepaswa ajekuelezea kama inaingiza sokoni bidhaa haipo na huo wakati ipo inayo trend sokoni
Man alone can transform his thoughts into physical reality. man alone can dream and make his dreams come true 🔥muda wowote Fid anapoongea lazima uondoke ukiwa positive interview ya kibabe sana nimekubali 🔥
Ww mzaliwa wa 2004 kelele mingii 2000 jambo kubwa kama bank halijaenea kote watu wanalipwa mkononi ije iwe hiyo CD!? biti kipindi hiyo inawekwa mic unatengeneza biti via mic kama anataka sound ya kikombe anatonga kikombe kwenye mic ili arecord akachanganye huko
Mafanikio hayaji kwa kukata taama yenyewe yanawafata wanao jituma sio kusukumwa na njaa ukijituma naneema imekalibia ote waio give Up mapena wangekaza wangeifikia kwenye mistari hizo zinafanya nijitume fd q kwangu ni namba1🙏🙏🙏🙏
sio mbaya kutumia lugha ngeni kwenye mahojiano ya kipindi lakini je kunaulazima ? wa kufanya hivyo ? sijawai kumuona oprah akifanya mahojiano na mtu alafu wakawa wanatumia lugha ambayo sio yao yaani katikati ya maongezi wakaongea ki frech au ki italian sasa njoo afrika, chagueni lugha moja ya kumuoni msani aidha ongeeni kingereza au kiswahili , ndiomana tunaonekana waafrika hatujitambui kwa mambo kama hayo.
We need these kind of intellectual feeding. Ikiwapendeza tupatieni DIZASTA VINA
Sawa brother.. Tutalishughulikia
Thats my goat
Dizasta vina ,we need him
Fid Q always delivers Us from evil. Huyu jamaa anaakili nyingi sana. The true GOAT.
big brain fareed wee jamaa ungepewa udaktari tu -jamaa wa msasa show kubwa sana chief pls tuongeze jamaa wengi zaid tuendelee kula shule,,,,,,,,,am looking foward kuona investrs wengi zaid kweny show yako
Kama umeikubali hii interview gonga like yako hapa
Badala ya kuLike video, unataka tuLike comment???
Kali
Mnaojiita mbuzi hii interview ni funzo kwenu. Akili nyingi sana Fareed you are a true meaning of G.O.A.T
Mimi Nakumbuka na niliumia sana ile mkali wa Reymz baada ya Afande sele ulikuwa ni wewe mzee mlikuwa top ten daaah
Nafikiri tunahitaji kitabu kuhusu maisha yako broo fid
Nilichogundua wamiriki wa media wamegundua kua Kuna weakness kwenye upande wa habari kwa hio wamekuja na vitu mhimu saana I hop kama tutaendelea hivi vile vitangazaji vyenye maswali ya kijinga hongereni wakuu nimeenjoy saana uwepo wa fid
Masikio yana enjoy then ubongo unakula kitu adim bila kelele za sound zao zile za nyuma....
Fid dandala da MUNGU akupe maisha marefu bro
The world 🌍.....fid q,..... usisahau kusubscribe......bro kubanda kiberiti ni ya moto sana kichwani mwangu
Wajameni iko kitabu cha kutochukulia vitu personal kinaitwaje😊😊😊
Kijitabu kidogo tu cha kuitwa "THE FOUR AGREEMENTS" by Don Miguel ila kina madini sana aisee
Woah! thanks for sharing 💪🏾🔥
The Truest master of his own craft 🔥🔥
Kazi nzuri bro
Mpangilio wa studio
Light
Sound
Na vitu vingine
I'm your new fan
mtangazaji💥
I like the show. Nimeokota machache ya muhimu katika mengi
its my first time naangalia kipindi and nimekipenda sana but I would like kumshauri interviewer asubiri msanii amalize kujibu swahili kisha abandike swali lengine. but all in all I like it
Fid ni genius akijibu swal analielezea kiundani sana mtangazaji anakua kama ameona kamaliza ndo mana unakuta wanalandana
Asante for the feedback. Zinatujenga. Tutalifanyia kazi hilo💪🏽
Broo wa msasa unajuaa kuuliza maswali vzr shout out 2 u
98 kakutana na mtt wa dandu after 10yrs wakakutana 2000 mbona katipiga...?
Umetisha sana ngosha hauna mpinzan
Ongezeni mda pleas show ni nzur saana ❤❤❤
Fid huwa anajua kujielezea sana
Very Very Very Nice Interview.... Fid Q the G.O.A.T
Glad you enjoyed it! 💪🏾🔥
Smart sana broooo #king
Interview nzuri sana ya watu wenye akili sana watangazaji wengine wajifunze kuuliza maswali kwa huyu mwamba sio maswali ya ajabu na kero
Kila kitu on point…big up ✌🏽
Interview ya fid huwa inanipa mzuka no jamaa anayejua kujibu kisanaa
Nimeipenda interview broo utulivu wa maswali skills ya kujua vitu nimeipenda
Kipindi kizuri sana. Can't wait for season two
You are a real brother. Long live Fidq
Kazi nzuri
Fid q anajua sana
Interviewer amepoa sana. He lacks reaction and follow-up questions. Fid a great story teller as always.
Thank you for the feedback. Tutaifanyia kazi💪
Tunaitaji CheusiDawa aandike kitabu tena cha KISWAHILI RAHISI ILI TUJIFINZE NA KWENYE ICO KITABU ATUTAFSIRIYE NYIMBO KAZAA KAMA MAFAANIKIYO.
Powerful sana... nimewakubal ote
This man ni shule @Don Miguel 🔥🔥
this podcast is awesome ila i suggest the "fill-a-words" could be minimized by simple edits I mean by Mhhhs and Ahhhas
Bonge Moja la interview la kufungia mwaka
as the time moves evil/darkness/wrongs gets weak to its opposite and not otherwise. righteous its the right move. and that definition of GOD.! 💯💫🧠🙏
Channel Iko sawa sana kwasababu mtangazaji Yuko vizuri, itafika mbali hii
Hapo mwisho hapo kuna madini sana, Soko, kuuza.
Ngosha the masterpiece❤
safi sana
Fanya utusogezee Nikki mbishi apo
The real Mbuzi....Home boy Fid Q...I appreciate so much on what your doing brother
Interview inanipa somo bongo la interview
Nakubal fid. Q
Tunamtaka jay moe pia nae anayo yakisema music scientists
Kwel kabisa anajua vingi mo
Rock City Icon.
Mzee pindi limenyooka sana
MAFANIKIO NDO UTAJIRI WENYEWE HUO,,,UTAJIRI UKIKUFUATA HUWEZI KUUKWEPA,,UTATEMBEA NAO TU
Bro interview nyingi but sama shirt colour kila interview
Yes sir
Ukenda mbio mda mtapishana mafanikio huja kwa kile unachofanya% dah mstari huu ndo chanzo cha kufanikiwa mm nauzingatia sana ndo maana sifeli%
Ndio vile vitu mi hupenda. Hii nimei verify 👍
Bless
The best interview
GoAT fid Q ehe eshima yako kAka🎉🎉🎉
Aaah nakubal apo mzee mbuziiiiiii
Powerful sana
Are the one we met on MUHAS & UNICEF Symposium on. Social behavior change
Yes sir😉
👑 King Fid 🙌
Mtam Sana farid
💚💚💚🎬 safi sana . Msasani, kwangu mimi unanikumbusha Mchonga nyerere kama sio Mikocheni hahaa.. 📽 naachia video ya kuikaribisha 2024 kwa wimbo Ma Mtoni.. by King Bidder from his own youtube ya king bidder.💚🤳 Album ina itwa Power Of Writing. Karibuni
Nangoja part 2 ianze na majibu kutoka kwa fid maana jibu lako linalenga kilicho kwenye mzunguko sokoni ila yeye anaepaswa ajekuelezea kama inaingiza sokoni bidhaa haipo na huo wakati ipo inayo trend sokoni
Madini q no 1
G.O.A.T 🐐 👑
Second time of listening
Sehem zipi zimekugusa zaidi?
Kipindi kipo fresh lakini inatakiwa iwe na party 2 hii msasa ya Fid Q
Man alone can transform his thoughts into physical reality. man alone can dream and make his dreams come true 🔥muda wowote Fid anapoongea lazima uondoke ukiwa positive interview ya kibabe sana nimekubali 🔥
🔥Asante sana, the man is a living legend.
The hip hop king big up bro
A legend 🙌🏾
Mzee mbuzi Namuelewa sana
Kama umeskia (T.I amemuiga Flow) Fid. Grab ur Skunk please😊
I like the the interview for real
Fid may I have your t shirt
Nakubalii🔥
Wewe mwongo fid q wakati anatoka miaka ya 2000 tayari cd zilikuepo labda uniambie miaka ya 90 plus cd zipo tangu 1995
Ina depend huenda zilikuwepo lakini nchi zilizoendelea ndo zilikuwepo but nchi km tz hazikuepo
Kabla ya CD, kulikua na Tepu/ kanda/ kaseti zinaitwa Chrome yaani ( Chrome tapes ) ndio zilikua zinatumika miaka ya 90
We nae unareta mambo ya ubishan tena si uchaw sasa huo
Mwaka 2000 wenyew computer zilikua zinauzwa tofauti na cd rom, unanunua computer na unaenda kununua cd rom na card yake.
Ww mzaliwa wa 2004 kelele mingii 2000 jambo kubwa kama bank halijaenea kote watu wanalipwa mkononi
ije iwe hiyo CD!? biti kipindi hiyo inawekwa mic unatengeneza biti via mic kama anataka sound ya kikombe anatonga kikombe kwenye mic ili arecord akachanganye huko
Mafanikio hayaji kwa kukata taama yenyewe yanawafata wanao jituma sio kusukumwa na njaa ukijituma naneema imekalibia ote waio give Up mapena wangekaza wangeifikia kwenye mistari hizo zinafanya nijitume fd q kwangu ni namba1🙏🙏🙏🙏
💯💯💯💯
dah binadam wabaya sana bora waseme unaringa, hasa hawa wa kukutana nao ukubwani
MBUZI🎉🎉🎉🎉
Kiberiti,siiitaj marafiki ,kwani hii intervw ina second 😂😂,tunahitj zaid kujua mengi
Dope PODCAST 🔥🙌🐐
Mzee mbuzi
My GOAT 🐐 HIP HOP 🙌
Great...
🔥🙌🏾
fid q ndio alitufundisha kua USTAA hauji Bila Skendo,
Fid Q
NGOSHA
tupate part2
sio mbaya kutumia lugha ngeni kwenye mahojiano ya kipindi lakini je kunaulazima ? wa kufanya hivyo ? sijawai kumuona oprah akifanya mahojiano na mtu alafu wakawa wanatumia lugha ambayo sio yao yaani katikati ya maongezi wakaongea ki frech au ki italian sasa njoo afrika, chagueni lugha moja ya kumuoni msani aidha ongeeni kingereza au kiswahili , ndiomana tunaonekana waafrika hatujitambui kwa mambo kama hayo.
Hujaelewa lengo, nakwasababu mlango umeufunga basi hutaelewa lengo.
Asante kwa maoni yako. Endelea kufuatilia MSASA, yajayo yanafurahisha.
Fid q❤
Ngosha the don
very good interview 🔥🔥🔥
Erewa neno! kuvuta vuta😂
Mecca flash 🎧
Nimejifunza kitu hapa
Kkutafuta kitu positive kwenye negatively
Hii ni zaid ya interview nimemeza madini mengi Sana
Interview nzuri sana ila vingereza vingi mno
Vipungue kiasi sio
nikisikia mwanza namsikia fidq kikubwa tunahitaji kitabu
🎉😊
Kwanini parakata tumba 😂😂😂
Profess wa chuo kikuu Cha ghetto