MIRAJI |YANGA NDIO UBAYA UBWELA SIO SIMBA|DILI LA PACOME KWENDA SIMBA LIMEFIKIA HAPA |PESA IMETEMBEA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 136

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 22 минуты назад +1

    Miraji nakukubali sana ndugu

  • @JuvianNicolas
    @JuvianNicolas 3 часа назад +5

    Duh!Kaka Miraji unanikosha sana kwa interviews zako. Big up sana.

  • @RichardNgumbulu
    @RichardNgumbulu 2 часа назад +5

    Ujuwe ukiumsikiliza miraji kama wew ni mtu wa mihemko huwez mwelewa hata kidog ila ni mtu wa fact san nazan hata chagamba anajua ilo ndo maan anaanza na miraji alafu anamaliza na mshereshaj ambaye n mzee said ye n kutuchekesha tu ila fact zote njo kwa miraji utazipata. Alafu chagamba kwann usitutengezee kipind cha kuuchambua mpira zaid kuliko kuuzungumzia miraji anaweza san❤❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Час назад +2

    Duuh..!! Miraji Mar Moja Noma Xan Kbs Unajuw

  • @HabibaMohd-f9o
    @HabibaMohd-f9o 3 часа назад +13

    Tunaomsbr mzee said kujen apa😂😂😂😂😂😂

  • @BilaliMikindo
    @BilaliMikindo 3 часа назад +8

    Asee Duke Abuya 🙌🙌🙌🙌

  • @BakariOmari-j3u
    @BakariOmari-j3u 3 часа назад +11

    Tuletee mzee said

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 16 минут назад

    Mtafute Mzee saidii

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 18 минут назад

    Vzr sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @beatricesaitoti6125
    @beatricesaitoti6125 3 часа назад +6

    Watu wacheze mpira tuache kulalamika lazima tukubali wenzetu wako vizuri kwenye pitch tofauti na sisi ikicheza na team zisizodhaminiwa na gsm refa anawapendelea ikicheza na hawa waliodhaminiwa na gsm ndugu zao hivi tunauangalia mpira au tupo kwa ajili kulalamika tuu, simba yetu na viongozi wetu kuna mahali hatujafika wenzetu wako vizuri tujitafute

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 18 минут назад

      Simba kupata mafanikio hadi siku viongozi wa Simba waache ubabaishaji kwenye usajili niwakumbushe Yao Yao,pacome,aucho,mudathir,Banda wa black stars hao wote walitakiwa Simba lakini ufara wa viongozi wetu ndio tumefikia hapa.

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 22 минуты назад

    Miraji hapo kwa pakome umeongea vizuri sana nishabiki myenzetu kama mizuzu yaani unapenda sana kuingizwa mitegoni

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 Час назад +2

    Miraji unajua mpira wa bongo na siasa zake ...Wewe ni mtu smart sana

  • @Bahatnyo
    @Bahatnyo 15 минут назад

    Miraji unaogeya vizuri sanaaa🎉🎉🎉🎉😅

  • @samsonmkumbo4793
    @samsonmkumbo4793 3 часа назад +6

    Mtafute na mzee said tunamhitaji aseme

  • @yasinkhatib618
    @yasinkhatib618 Час назад +2

    Haya uende kwa mzee side sasa😂

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 4 часа назад +3

    Yes kama kwa big up changamba usisahau mzee wetu said I’m yanga

    • @WilsonKihanga-jb5fb
      @WilsonKihanga-jb5fb 4 часа назад +1

      Yule ni comedian tu hana anachokijua kweny mpira😂😂

  • @tilikahemela3333
    @tilikahemela3333 2 часа назад +8

    Miraji uwa unaongea kweli lakini kunakitu uwa unakikwepa hutaki kuongelea ukweli na kuwaambia wenzako ukweli,hivi mnavolia kua udhamini wa GSM unapanga matokeo,naomba nikukumbushe nyuma kidogo,kudhamini time nyingi alianza Mo kudhamini costal,namungo,prison na nyingine kama sijakosea na mzalishaji jezi alikua vunja bei,wapi mlisikia yanga wakilalamika kuhusu upangaji matokeo????wakati mnashinda hamkusema GSM anapanga matokeo,sahizi mambo yanayumba mnaanza kupiga kelele,time zipo kumi 16 mwambieni mo achukue zilizobaki nanyi mpate matokeo

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 4 часа назад +3

    Miraji mmoja tu makolo mjifunze kwa mwamba🎉

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 38 минут назад

    Miraji wale ni ndugu lazima tu yanga angeshinda

  • @MelisaMuluga
    @MelisaMuluga Час назад +1

    Tunaomba uende Kwa mzeesaid

  • @IbrahimMigeto
    @IbrahimMigeto Час назад

    Ukitaka uchambuzi unamsubiri Maramoja ukitaka kuvunja mbavu unamsubiri Mzee Said😅😅😅😅

  • @WinnieMashinga
    @WinnieMashinga Час назад +1

    Miraji umeongea sahihi kuhusu pakome kwenda simba ni uongo

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 3 часа назад

    Big up miraji we msema kweli kaka

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 3 часа назад +1

    Mzee saidiiiiiiiiiiiiioii

  • @kachagrill
    @kachagrill Минуту назад +1

    😂😂😂😂😂 jamani naomba kila Entv miraji awe anafyonza kama leo maana nimecheka mpaka basi hii mala yangu ya pili kutoa comment ila miraji noma kuna kubu 5 take kila nikiona kafyonza ikibidi namletea pale Victoria nje ya jengo la Nsssf 😂😂😂😂 jagamba elewa kumletea 😂😂

  • @petrochilwa
    @petrochilwa 56 минут назад

    Mzee said mzee saidi mlete gamba

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Час назад +1

    Chagamba tuletee mzee said

  • @agnessgodfrey6557
    @agnessgodfrey6557 Час назад +1

    Miraji nilikua nakufauatilia saba ila saivi mhhh.
    Sema Nini kuwa tu mchambuzi wa mpira bila kuitaja Simba, yaan usiseme hadharani kuwa wewe n shabiki wa Simba.

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 45 минут назад

    Kwa mzee said tinataka

  • @nyamanditumkela2384
    @nyamanditumkela2384 59 минут назад

    Pacome kaongeza miwili yanga

  • @ErickJeremiah-ww3ez
    @ErickJeremiah-ww3ez 3 часа назад

    Nakuelewaaa sanaaa miraji

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl Час назад

    Nakushauri Miraji endelea na utaratibu wa uchambuzi kama mchambuzi bila kuitaja simba kama shabiki wake!

  • @HassanMkina-z6b
    @HassanMkina-z6b 2 часа назад

    Nakubali tulikuwa tunakusubili chagamba mwenye mji wako mjini tuko pamoja

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Час назад

    Kakuomba Moo na wewe uhonge ili ushinde,au we huna hela????😂😂😂

  • @angetilesamuelmwandambo1344
    @angetilesamuelmwandambo1344 2 часа назад +1

    🧡💚💛💛💪💪

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama 2 часа назад

    We miraji ushakuwa msenge sada

  • @alexkakwaya4383
    @alexkakwaya4383 4 минуты назад

    Tatizo LA simba ni kuendeshwa na kauli za mashabiki. Hata viongozi na wataalamu wa mpira simba wakisikia kauli za mashabiki huacha weledi wao na kufanyia kazi kauli za mashabiki. Kwa sababu hii simba watateseka kwa muda mrefu.

  • @mashakakitwana2824
    @mashakakitwana2824 Час назад

    😂😂 miraj akiona unamletea miyeyusho gamba anapiga sonyo 😂

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 2 часа назад

    Noma sana🎉🎉🎉

  • @MusaStephano-s9c
    @MusaStephano-s9c Час назад

    Kama ufadhili unaipa timu ubingwa, Azam ingekuwa bingwa na kuongoza ligi, sababu Azam wanaidhamini yanga. Au simba na wao waidhamini yanga, azam na singida ili wawe na uhakika wa point 18.

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 3 часа назад +1

    Wachambuzi bora tz wakwanza Mwanduke mbili Chagamba tatu Mzee Saidi. Wengine nimipasho tu njaa njaa sana

    • @MalickMakange
      @MalickMakange 3 часа назад

      Huyu jamaa anaitwa miraji, chagamba ni huyo mtangazaji

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 4 часа назад +1

    YANGAAAAAAA yote wazeee

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 2 часа назад

    Abdallah kuitwa dulla😂😂😂

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 3 часа назад +2

    Tutafutie mzee saidi bwana dah! Hao wengine achana nao tunamsubiri mzee saidi kwa hamu kubwa.

  • @modelka222
    @modelka222 Час назад

    pacome akienda simba atakua boya wa mwisho.upo team iliopo kwenye mashindano yatayokupa nafasi ya kuonekana africa nzima na kupanda dau zaidi, ukiwa na umri wake alafu uhamie timu ambayo ipo shirikisho. sio ushabiki ila akifanya hayo maamuzi atakua mjinga saana. labda aondoke mwisho wa mashindano ya club bingwa.

  • @Swaibu-j2w
    @Swaibu-j2w 2 часа назад

    Mpra pesa miraji

  • @erastotweve2586
    @erastotweve2586 3 часа назад

    Yanga bingwa!!

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Час назад

    Dogo nakuombea kwa Mungu

  • @NasraHamisi-s1y
    @NasraHamisi-s1y 3 часа назад +1

    Mi namtaka mzee saidi nicheke kwanza

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 часа назад

    Simba waache kulalama sana hayo ni maneno yamkosaji hakuna kupanga matokeo

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 11 минут назад

      Wachambuzi ndio wanaochangia kuipoteza simba baada ya kuangalia timu yao inaendaje wanaingiza simba mkenge kwa suala la pakome nao kwa ujinga wao wanajisahau ama kweli wajinga ndio waliwao hongera miraji kwa kuona mbali. wengine kwa uzuzu wao hawafiki huko.

  • @abdulyghamis
    @abdulyghamis 4 часа назад +1

    🎉🎉🎉

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga Час назад

    Ila wanasimba bhana kwani mo amekatazwa kudhamin si mpunga wake tu apunguze ubahili

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 4 часа назад +1

    Dunduka mnajidanganya....sahauni Kwa pacome kuja yangaaa...bwege ninyi

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Час назад

    Miraji bahasha zishamoitia amekua mamluki wa wazi kwakweli pesa ni mbyaa inaweza kumbadilisha mtu

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 2 часа назад

    Ila ni kweli miraji

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 часа назад +2

    Ukitoka hapo tuletee mzee saidi mwbie yule pacome anaimwita mzee amemwona???

  • @JoseWilson-vb2di
    @JoseWilson-vb2di Час назад

    Hv Kwan Simba naye kadhaminiwa na gsm mbona na yeye huwa anafungwaa tena mara nne mfululizo

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 48 минут назад

    Kwahiyo hayo matangazo ni kwa MB zetu?

  • @DauddastaniLutumo
    @DauddastaniLutumo 4 часа назад +1

    Chagamba hayo makofi ndugu yangu daa

  • @abubakarykivo7366
    @abubakarykivo7366 3 часа назад

    Miraji Leo kapiga vitu😅😅😅

  • @ericssonkitomary1724
    @ericssonkitomary1724 2 часа назад +4

    Ukitoka hapo moja kwa moja kwa mzee said

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 2 часа назад

    Na kuelewa sana,chagamba kuliko hata hao uchambuzi na mashabiki uchwara

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 2 часа назад

    Milaji anaakili sana kama shule alifaulu alifaulu kihalali Yani inaonekana chagamba kabla ajamaliza swali inaonekana jibu analo kichwani

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 3 часа назад

    Miraj sikuiz nakuchukia umehamia yanga mazima byeee nimekutoa kwenye mashabiki muhim wa simbaaaaa 😢😢😢😢😢sikukubali kbs

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 2 часа назад

      Mrembo yanga tupo hapa tuna kadi ya crdb huyo ni msema kweli tu😂😂😂

  • @anthonymsowoya1267
    @anthonymsowoya1267 3 часа назад

    Uko vzr miraji mtu mkwelii

  • @samwelsaningo
    @samwelsaningo 2 часа назад

    We chagamba Mzee saidi tuletee Leo Leo kbla munkari haujaisha....!!!!!

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 3 часа назад

    Yani miraji hakuna wakukufikia kwenye uchambuzi

  • @batihubadiy3106
    @batihubadiy3106 3 часа назад

    Nkane kiasil ni Fullyback Right Mwalim Baraza ndio alimbadilisha baada kuonaaa Anapanda sana kushambuliaaa kuwa Winga Akiwa Biashara

  • @mgweno330
    @mgweno330 2 часа назад

    Akili nyingi sana huyu jamaa

  • @nelsonmjuni
    @nelsonmjuni 5 минут назад

    Leo nimekuelewa nilizani kuwa ni chawa ila kumbe unajua uongozi wa Simba ndo uko lowel

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy 4 часа назад

    Ila changamba yanga uyu

  • @francosanga9207
    @francosanga9207 4 часа назад

    Chagamba mwamba sana

  • @KeryakoKitipa
    @KeryakoKitipa 32 минуты назад

    Mfuate mzee said juzii Alikuwa anasema yanga hawanfungi singida tu nataka interview yake kesho please

  • @JamalAmr-p4o
    @JamalAmr-p4o 3 часа назад

    Niulizie milaji mara Moja azamu Simba na cost Wana
    Undugu je wanapokutana watu Hawa uwa wanapanga matokeo?

  • @majaliwaandulile8379
    @majaliwaandulile8379 2 часа назад

    Nimesikia na yeye alipe mara nne mfululizo ndiyo mje mchukue nyinyi

  • @barnabasmalima4823
    @barnabasmalima4823 3 часа назад

    hii media nayo inaanza kutoka kwenye reli inakwenda mrama kila ck topic ni ile ile GSM Chagamba amekua mbeya zaidi ya kua mchambuzi labda hii style ndo ya kumtoa maana simba kesha fungwa na yanga 4x mnashindwa kuangalia kiwango cha timu badala yake mnatafuta pa kujificha

  • @NuruMustafa-mm6tf
    @NuruMustafa-mm6tf 2 часа назад

    Ila Chagamba anaongea kwa msisitizo na mikono inaongea

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 2 часа назад

    Watapgwa tu atakwanni

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY Час назад

    yani uyu jamaa anavo jua mpira natamani angeenda kuwapa darasa wale wazee wa sanda fc

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 4 часа назад

    Sasa Pakome ndo kwanza ligi inaanza sasa huko kugoma kusaini yanga hapo imekaaje kolo nyiye nyiye ubaya ubwege mmevurugwa na vipigo vyayanga mfululizo hadi mmeamua kuweweseka

  • @AishaMshamu
    @AishaMshamu 3 часа назад

    Nilikua nasublia kwa ham san miraji na chagamba

  • @KariatiKassim
    @KariatiKassim 3 часа назад

    Miraji hua nakufuatilia sana na uko vzuri,lakini nachokuambia kati y uto na singida,ni kopo na mfuniko Jana walichokifanya ni kujificha nyuma y pazia

  • @DavidjeromeAthumani
    @DavidjeromeAthumani 3 часа назад

    Acha ujinga miranji anaongea fakti sana aongelei ushabiki

  • @MariaHussen
    @MariaHussen Час назад

    Pumbavu sana ww huna rorote pakome mtamuona ivoivo pakome mtamuona asakata rumba yanga afrkani.

  • @marthastephen6600
    @marthastephen6600 3 часа назад

    Watu wanatafuta pa kujifichia tu simba kakutana na mechi gan ngum zaid ya ile yanga lakin toka ligi ianze sijaona mechi ilokua ngum kama ya jana sasa hapo undugu sijui unatokea wap kwahyo wanataka tufungwe basi ingekua urahis hivo kungekua na haja gan ya kusainisha wachezaj wa mamilion

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 3 часа назад +1

    We chagamba mnafiki simba wanakutumia siku izi...chezeni mpira nyinyi mpira ni mchezo wa wazi...kuna mwaka simba chupu chupu ashuke daraja je GSM alikuwepo?...timu yenu mbovu kubalini...mnataka kuturudisha kwenye ligi yetu ya miaka ya tisini kipindi icho maji maji anashindwa kufika kwenye kituo cha mchezo sababu ya ukata...Azam anadhamini timu ngapi kwenye ligi mbona amuongei?...Mo mwenyewe kuna mwaka alikuwa anadhamini timu zaidi ya moja na Yanga alikaaa kimya...Yeye MO si tajiri mkubwa apa Tanzania na yeye adhamini vilabu vingine hakuna sheria itakayomzuia...mpira mchezo wa wazi nyie madunduka..mmefungwa na Prison mwaka jana je Prison ni timu ya GSM?..mada zenu hazina mashiko yani hazina ushahidi...wale Hiefu walikuwa wanaifunga Yanga na Hiefu ilikuwa inadhaminiwa na mdhamini wa Yanga ila mulifunga midomo wanafiki nyie achezi siasa ipeni timu yenu mafanikio

    • @franktarimo271
      @franktarimo271 3 часа назад

      Wapeee mwamba hawana adabu hawa

    • @Tumain-Kulubone
      @Tumain-Kulubone 3 часа назад

      @@franktarimo271Mwamba wako anongea pumba tupu🤣🤣🤣

  • @khalfanabdallah709
    @khalfanabdallah709 2 часа назад

    Chambua unajuwa uchamuz sema ukwel km hawatak wasubil ushaid wa kinyamwez

  • @elizaboniventure4426
    @elizaboniventure4426 4 часа назад +4

    Me wa Kwanza leo

    • @saudazongera
      @saudazongera 4 часа назад

      Simba waongo,walitaka Pacome wamtoe mchezoni kati ya yanga na Singida lakini wapi mwamba pacomeeeee....

    • @LupakisyoEdward
      @LupakisyoEdward 4 часа назад

      Miraji weee una kaunafiki flani kama mchome mapovu.tunakufuatilia kwani wachezaji wa yanga unawasifia Saana.katika maisha haya chako ni chako tu hata kibovua pia ni chako..kama we ni Simba ongelea namna ya kuiboresha timu yetu ya Simba tupe mikakati tuboreshe timu yetu ya Simba .Sasa wewe muda wote duke,pacome,nzengeli ,dube. Mzize.mnafiki wewe.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 часа назад

      ​@@LupakisyoEdwardsimba mchezaji yupi wa kuongelewa.. hata hivyo anaongelea mechi sbs vs yng..,mchezaji wa simba ataonglewa vipi

  • @ibrahimMlula-d7o
    @ibrahimMlula-d7o 3 часа назад

    Ongerea timu yako meraji acha ufara unaeshimeka sana na ww ujieshimu

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 4 часа назад

    MAKOLOZIDADI watakoma Mashujaaaaa hao Lake Tanganyika 😂😂😂 wataliaaaa mpka waseme maaafande hao

  • @anthonykillo1823
    @anthonykillo1823 4 часа назад +1

    Chagambaa bado ile chanel ya mwanzo haijakaa sawa?

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 2 часа назад

    Hili lijamaa liongo sana. Dibwa kabisa.

  • @HamadHatib-z5f
    @HamadHatib-z5f 3 часа назад

    We miraj achatu ao yanga wa vunjwe tu mana kila siku waki cheza nasimba wawa vunja

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 часа назад

    Singida waliingia na plan za kijinga sana walipewa maelekezo na viongozi wao na makocha wao pamoja na benchi lao la ufundi ili wawavunje miguu wachezaji wa yanga kwa kweli inasikitisha sana ukimuumiza mwenzio akae mwaka mzima kwenye matibabu haipendezi wachezaji chezeni mpira siyo miguu ya watu.

  • @alexthadei
    @alexthadei 2 часа назад

    fyuuu

  • @abdalahhassan5759
    @abdalahhassan5759 2 часа назад

    Milaji we yanga na ww unatumika vlvl una lolote

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 4 часа назад +2

    Unaamini GSM ana shida kwenye ligi ya kwetu? Unasahau kuwa timu nyingi hazina uwezo wa kifedha tafuteni mbinu nyingine mnalaøamika utumbo mtupu

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 3 часа назад

      Si aongeze mzigo yanga ili aache kuwatumia akina kayoko

    • @LupakisyoEdward
      @LupakisyoEdward 3 часа назад

      We miraji Mnafiki wa Maneno,, mi nipo nawewe daily Mnafiki Sana broo na midevu hiyo,,, wewe hujengi timu yetu Bali unaibomoa timu unazungumza madhaifu ya Simba na unasifia ubora wa yanga tu,Sasa wewe sio mwenzetu.eb iongelee timu Yako broo ACHA ulimbukeni yanga wamejipata sawa Sasa haimanishi ndo uwe wimbo wa kuuimba muda wote Eb imba wimbo wako wa taifa hata kama haunogi,,,unatuharibia timu ..

  • @sevelintino6181
    @sevelintino6181 4 часа назад +17

    Nilijifikilia sana kumbe miraji ni chawa wa injinia nilifatilia sana ndio nimegundua mwezi ulio pita da!!! Ila watu😂😂😂

    • @vaxminja9053
      @vaxminja9053 4 часа назад +7

      Ndio mawazo ya mashabiki wa Simba mlivyo, mtu akiongea ukweli tayari mnampachika nembo

    • @rashidally863
      @rashidally863 3 часа назад +1

      Mkee wake anafagia ofisi kwa Gsm

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 часа назад

      Makolo wengi wanadanganywa sana,nao wanadanganyika. Wengi wao wanasubiri gb64, kisugu, k-mziwanda waongee, wanawaona kama think tanks za simba.​@@vaxminja9053

    • @AbuujureyjKhaniy
      @AbuujureyjKhaniy 3 часа назад

      Ukoroo ubwege kwelii

    • @issashabani-c7r
      @issashabani-c7r 3 часа назад +4

      Kwaiyo mtu akiongea ukweli ni chawa au sio

  • @fargakoigip6029
    @fargakoigip6029 Час назад

    unapo amua kuwa mchambuzi au mtangazaji wa soka halafu haujui sheria za mpira ni mateso utatokwa mate na mapovu kwa kutokujua unachokifanya ..... ni sawasawa na umwambie Miraji aje kuuzungumza mchezo wa Squash hajui chochote kuhusu mchezo huu ni sawasawa na kumtesa tu! hapa namuona anavyoteeka kujua kwanini viongozi wa simba hawawezi kupingana na GSM kwa kanuni za kimichezo ...anachokifanya GSM kipo ndani ya Kanuni halafu Miraji hajui wala kutaka kujibidisha kujua....Hili jambo limechagizwa sana na ukimya waTFF....TFF ni mshirika wa Simba wanajua wakilitolea ufafanuzi kelele dhidi ya GSM zitakufa jambo ambalo haliwasaiidii sana simba ....ukimya wa TFF unaleta faida ya minong'ono hii kuendelea pasipo UKWELI ....wasichokijua TFF na Simba ni kwamba MUNGU jina lake ni KWELI unapokejeli UKWELI unamkejeli MUNGU mwenyewe ..... Ufadhili sio Umiliki ndio maana Azam Media inafadhili YANGA na Azam FC na inamkataba na TFF kwanini Miraji na wenzake hawalihoji hili? Mbona Simba na Azam FC wakicheza kila mtu anajua ni ndugu wawili wanacheza inamaana nani anamfadhili nani kuuleta undugu? Undugu unaoongelewa ni sifa za wamiliki ama Azam FC au Singida BS wanavinasaba na ama Simba au YANGA sio ufadhili wa GSM ... Miraji hebu onyesha kukua ki akili ujisomee kanuni za FIFA na Ufadhili kujiridhisha, kama kiingereza kigumu sema tutakusaidia kutafsiri