MIRAJI|GOLI NI OFFSIDE|YANGA HAIKUWA BORA|MAREFA WASIPOLIPWA TUTAONA MENGI|MADRID WAMESTAHILI KIPIGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 56

  • @Ibrahimlundenga
    @Ibrahimlundenga 4 дня назад +4

    Uyu miraji pale crown anachukua kbsa nafisi ya jemedari,pale EFM oruma anatoka mbele ya uyu mwamba ,,,,like za miraji hapa

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 3 дня назад +1

    Huu uchambuzi saiv watu wsnajiongereatu mavitu yaajab San poa.let me say long life DAR YOUNG AFRICANS 🎉🎉🎉🎉 YAKO

  • @HassanMkina-z6b
    @HassanMkina-z6b 4 дня назад +2

    Nakubali mzee chagamba kazi kazi

  • @taufiqis-haq536
    @taufiqis-haq536 4 дня назад +1

    La Massia Barcelona 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 2 дня назад

    On fire 🎉🎉🎉

  • @KwizeraEnock-ny1by
    @KwizeraEnock-ny1by 2 дня назад

    Kama kawa na makochali nakubali miraji

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 дня назад

    Mlete mzee said

  • @angetilesamuelmwandambo1344
    @angetilesamuelmwandambo1344 4 дня назад +7

    Chagamba mwambie miraji kabla ya lile goli alilofunga baleke aucho alichezewa faulo na ilikuwa penati kabisa au hamkuona

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 4 дня назад +1

      Hizo huwa hawaoni wao wanaonaga makosa ya marefa kwa upande wa Yanga
      Yanga wakiminywa wao hawaoni

    • @twalibuchaye7687
      @twalibuchaye7687 4 дня назад +2

      Huoni hata aibu unapataje hata nguvu ya kuongea wakati liteam lenu limecheza hovyo hovyo na goal la offside

    • @bone102
      @bone102 4 дня назад

      Hata kama ingekuwa penalty mna uhakika mngefunga maana penalty ni 50 kwa 50 ​@@DIVINEPROMISE-c1n

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 3 дня назад

      ​@@twalibuchaye7687shida mnaonanga makosa ya yangutu kama mnapenda ukwer sem ukwer nasiotu hioo pacome nayo alitengeneza fasi ambao mchezaji wa kositi alishoka mpira ila hilo hamulioni

    • @lydiathomas2905
      @lydiathomas2905 2 дня назад

      Penati ndio goli? Yanga imechoka ni swala la muda tuu

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 2 дня назад

    Salamu kwenu

  • @RivaldoTambo-i7e
    @RivaldoTambo-i7e 4 дня назад +1

    Wap mzee saidi

  • @athumanichauya9450
    @athumanichauya9450 2 дня назад

    Chagamba na milaji kwenye mpila kunachangamoto za kichawi anaweza kuzinguliwa kiuchawi

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 4 дня назад +4

    hawa Makolo si walisema wanahama Ligi imekuaje tena 😂😂😂😂😂😂

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 4 дня назад +1

      Tuamishe mbona unaumia utopolo kwinyo 😅😅😂😂

    • @charlesmtamala4912
      @charlesmtamala4912 4 дня назад

      @@AishshibnShibani we matako ya kweli yaani mimi nimeshinda michezo yote alafu niumie we kweli mbumbumbu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @adrianorayner6551
      @adrianorayner6551 4 дня назад

      ​@@charlesmtamala4912sawa ila umeshindaje 😂

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 3 дня назад

      Atuami na amna cha kutufanya😂​@@charlesmtamala4912

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 2 дня назад

    Bro miraji nakukubali sana ila goli la yanga umezingua conner kick has no offside

  • @wililochristopher
    @wililochristopher День назад

    Haya nawewe miraji toa koment hapa mechi ya CST na kagera

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 4 дня назад

    Haww marefa mbaka siku Moja wapigwe uwanjani na mashabiki ndio itakua njia sahihi na IPO siku Kuna refa atapigwa tuuu

  • @lucakakuru3138
    @lucakakuru3138 4 дня назад +1

    Kumbe ni Harry Kin
    Mi nikadhani Harry Kane

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 дня назад

    Timu ikiwaa bora matokeo mengi tu ata kama lile ingekuwa silo tungehaso na tungeforc nakupata lengine

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 4 дня назад

    Haya Sasa

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki 4 дня назад +1

    Jacheza kost c angeshinda😂

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 4 дня назад +3

    Mimi yanga miraji ila gori la yanga ni off side kama lilivyokuwa gori simba na azam yaani yanafanana ujue Simba na Yanga wote tunabebwa na kinachotubeba kwasababu tunabebeka

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 4 дня назад

      Angela piga pffside aka acha penalty

    • @JoelTeti-q3w
      @JoelTeti-q3w 4 дня назад +1

      Ndio hatukatai wew n yanga ila umevimbiwa bro😢

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 4 дня назад

    Msimu huu tutaona mengi chagamba.

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 4 дня назад

    Lile kama goli la ngoma

  • @abdurazackhussein826
    @abdurazackhussein826 2 дня назад

    Tena mwambie aseme na ile penalt ambayo Pacome alikua anapiga cross fupi baada ya kuwapiga chenga pale kwenye 18 na jamaa akashika live kabisa

  • @Ibrahimlundenga
    @Ibrahimlundenga 4 дня назад

    😢

  • @TwalibuSaidi-w6s
    @TwalibuSaidi-w6s 4 дня назад

    chagamb mzee saidi hujampata???

  • @lucakakuru3138
    @lucakakuru3138 4 дня назад +1

    Offside wapi, mchezaji wa coastal ndo alimpasia baleke… hakuna offside hapo

  • @Bashock6792
    @Bashock6792 4 дня назад

    14:13

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 4 дня назад

    Miraji unataka kusema yanga imewafaidi marefa zaidi yenu msimu huu??? Tuanzie hapo

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 4 дня назад

    Dawa ya marefa ni kula kichapo tu dadeek, ama tuseme wale wachezaji wenye hasira kali wamesha ishaga nn

  • @RussellHome-c1e
    @RussellHome-c1e 4 дня назад

    Acheni makasiriko ww miraji mpira umemgusa mchezaji Wa Coast ww achen mambo yenu

  • @mmbambutsalivingston7849
    @mmbambutsalivingston7849 4 дня назад

    Tuko pamoja

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki 4 дня назад +1

    Wewe milaji viwanja sio shida shida wachezaji😢😢😢😢

  • @GiresseMukwemulereGirelo
    @GiresseMukwemulereGirelo 4 дня назад

    Yanga ime anza poteza uboza

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 дня назад

      Jifunze kuandika kwanza! YANGA tangia pre season KAPOTEZA mchezo gani ukiondoa walipofungwa na wazungu! Upi? Ligi WAMEPOTEZA MCHEZO gani! Ligi ni michezo 7 tu wamecheza! Hii ni ligi sio mtoano!

  • @DIVINEPROMISE-c1n
    @DIVINEPROMISE-c1n 4 дня назад

    Hukuona ya AUCHO Miraji?

  • @RussellHome-c1e
    @RussellHome-c1e 4 дня назад

    Hakuna mpira Wa Kona unakuwa ofside miraji mbona unakuwa ujuwi mpira eh mpira ukimgusa mchezaji pinzani sio ofside bhana acha ushabiki wako

  • @jumannendayigeze2899
    @jumannendayigeze2899 2 дня назад

    Kwani wewe nani hasa kama sio mshamba tu

  • @RamseykingGenius
    @RamseykingGenius 4 дня назад

    Huyu jamaa ni msenge kinoma kumamake 😏 mbona nyie makolo mnabebwa kwahy za yanga tu ndio mnaziona kumamake malalamiko yako boyaww peleka sanduku la maon tff na mtalalamika sana mnafik ww, ama kwel ukita kucha Kwa meno usikune tako👌🏿👌🏿🖕🏾🔨🔨

    • @bone102
      @bone102 4 дня назад

      Bro matusi hayakusaidii chochote tunakuona mshamba tu watoto wakiume wanao jiamini wanamfuata mtu wanamtukana live sio mitandaon kama unajimudu nenda steshen utamkuta miraji mtie matusi kama unajiamini mzee

    • @PaulTango-he8qo
      @PaulTango-he8qo 4 дня назад

      Matusi ya nn asa

    • @Bashock6792
      @Bashock6792 4 дня назад

      MILAJI UNACHAMBUA VZR MPIRA LKN MAKOSA YA BEKI WA COST KUMSHIKA OUCHO HAUJAYAONA PIA UNAONA GOLI ZAIDI EEEH CHAMBUA VZR ZAIDI NATAKA UKASOMEEE UKOCHA ZAIDI

    • @franktarimo271
      @franktarimo271 4 дня назад

      Kwanini unatukana? Wewe sio mwanamichezo

    • @ronaldopanja59
      @ronaldopanja59 4 дня назад

      Kwa kwel matusi ya nn tenaa kama yey mwanaume hafwati live miraj hanz kutukanaa matusi😢

  • @TwalibuSaidi-w6s
    @TwalibuSaidi-w6s 4 дня назад

    chagamb mzee saidi hujampata???