Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
chagamba na miraji unachelewesha sna brudani ira siyo kesi twende kaz 💪👊
Salamu kwenu miraji na changamba simba nguvu moja💥🔥🔥🔥💥
Mungu ibariki simba mungu wabariki wachezaji wetu 🙏🙏🙏
Miraji anaongea kweli timu zote walizochukua magoli mengi bado zinachechemea ila kuna mashabiki mandazi wanaropoka kma wamefunga real Madrid 😂😂😂
Ken Gold vs Yanga
Milaji na kukubali sanaaaaaaaà❤❤❤❤❤
Duuh ila miraji ndo tumefikishana uko kweli kabla ya mechi wazee waitishe press😅😅😂
Benchika, chagamba nawapata toka Saudi Arabia 🇸🇦 Nguvu moja
😂😂😂😂😂😂miraj kancheksh ety wazeee
Fundi richie. Jifunze kutengeneza simu kwenye RUclips kwa fundi richie. Bonyeza logo ya RI ujifunze vizuri
Bonyeza logo hii ya RI ikupeleke kwenye mafunzo.
🎉
Tunamka mzee Said
Mnazingua mnachelewa sana
Tunaomba kapu la SANDA liwepo pia uwanjani #nguvumoja
Hyuu miraji ameshakuwa kama kina mchome
Gamba 😂😂😂mara Moja unaongea fact sana ila ukiaanza ukolo kolo tu Lia Lia unafurasha sana kama Mzee Said..
Jana wamependelewa sana na kelele za kuhama nchi hazipo 😂😂
Aujui unacho ongea simba haija wai kusema inahama nchi wewe
Wale Wazee wenu hawakusema baada ya Mechi na Yanga!
Kayoko alikuwa hayupo jana unataka tusemeje
Na hapo wamecheza na namungo choka mbaya maskini lkn huko mitandaoni wanavyotoa mapovu sasa😂
@@nassyzznassyzz7111waulize babu zako waloitisha press
Mamaeeh dawa yao ndio hiyo marefa wote sanda tu
Miraji unanifulahixha can
Miraji namshuku sana anauyanga ndani yake sijawahi ona shabiki wa yanga anasifi sba ila wasimba wanasifia yanga
Namungo wazee wengi
Mmlalmike badae
Huyo mjuaji mwambie atwambie leo coastal wamefungwa offside au goli?
Miraji umeleta uchalichali kinoma
Mechi 8 goli 16 kufungwa goli 3
Mnyamaaaaaaaaaaa
Timu pekee itakayomaliza ligi ikiwa bingwa na magoli yakutosha.
@@januarysungura8119 ndivyo mnavyodanganyana eeeeehhhh
Ushaanza kuwa mshenzi,unachongea timu yetu ichukiwe na Madera.umehongwa na Yeboyebo
Ila miraji huwa anaumia simba ikishinda
Noma sana
Wazeee wa simbaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Kazi kujichekesha hovyo kama sio rizki
Shida nini hapo
Xavi mtupu
Unyama mwinggi
Miraji ssa hivyo unafurahi mkifanyiwa nyiny mlalamika
Hawaoni kabisa wanasubiri yanga ashinde ndo makelele yaanze yaan mtu unadai haki afu ww unadhulumu wenzio watalia sana mwaka huu
16 goals
Leo kelekele hazipo Kwa sababu mmependelea
Leo chagamba unaongea kishabiki na miraji
❤❤❤❤❤
Miraji wewe ni utopolo uluovaa ngozi ya simba
Si wametoa siku 7
Miraji kweli wewe ni fundi wa mpila wala siyo shabiki mandazi ukweli ni kwamba mnapata team ambazo bado hazijajipata
Msimu uliopita ligi ilishuka kiwango kwa mechi moja ya yanga na jkt, uwanja wa mbweni. Mwaka huu tutegemee nafasi ya kumi kwasababu ya marefa.
Nilitaka kulala ila nikasema acha nimsikilize Miraji kwa maana yeye anaongeaga Ukweli mtupu na sio Ushabiki yaani kiujumla ni zaidi ya Wachambuzi mchwara wanaojifanya wanajua kuchambua Mpira kumbe hawajui lolote!!!
SIMBA IMEJIPATA HAO WOTE NI WADHAMINI WA GSM NA WATAPIGWA SANA. MSIWADHARAU SIMBA TIMU IKIFUNGWA NA SIMBA MNAONA SIYO. ACHENI HIZO
😂😂😂😂
Kaka miraji uwa nakuelew sana,lazima nifuatilie kipindi Ili nijue tulichezaje,kama tumefungwa au tumefunga
Chagamba zungumzieni na game zav tim zingine
Mamaee

SIMBA IMEJIPATA HAO WOTE NI WADHAMINI WA GSM
NA WATAPIGWA SANA. MSIWADHARAU SIMBA TIMU IKIFUNGWA NA SIMBA MNAONA SIYO. ACHENI HIZO