Hongera sana Mzee Kaduguda Simba wa Yuda. Mi ni Mwanachama wa Yanga. Kweli wewe ni Kiongozi wa Mpira uliyebobea. Viongozi wa Simba wawatafute Wenye Simba yao! Au sivyo aliyosema Haji Manara yanakwenda kutimia Kuwa Yanga watachukua ubigwa hata mara 10. Yanga tunahitaji mechi kabla hamjahama Tanzania ili tuweke historia vizuri!
Mpira wa Tanzania lazima uwe na ufitina mzee kaduguta anasema ukweli tusimzalau hata kidogo mm.namuelewa vzr sn tu kipimo kizur tuangalie azam ina kila kitu ila kazi bule. Mwenye kiti wetu mangungu nakushauli mtafute kaduguda muyapange.
NAFIKIRI MTANGAZAJI UKIULIZA SWALI MPE NAFASI AKUJIBU NA MAJIBU YAKE USITAKE UMUELEWE WEWE. WACHIE WANAOHUSIKA WATAFAKARI. MZEE HUYO NI MTU MAKINI SANA. ANAJIELEWA.
Wenye njaa wanadhani huyu ni mwenzao kwakuwa wameshindwa kumuelewa, ni lazima kujiuliza kila siku unaangukia sehemu ile ile ,hata kipofu angebadilisha njia au kuwa na hisia ya kwamba hapa huwa najikwaa lazima ushtuke.
huyu mwandishi simuelewi kwanza hana adabu ya utangazaji pili hana mtiririko wa maswali na anaongea wakati mgeni anaongea ubishi wa kipuuzi ungekaa ingependeza zaidi
Tatizo la wengi ni kuwa msema kweli hukimbiwa na rafiki,lakini kumbuka utake usitake ukweli utabaki ukweli.Swali,je UCHAWI una sehemu katika maendeleo ya maisha ya binadamu?
Hayo masharti ya Kaduguda ni common sense, Shida ni utejelezaji wa hiyo kanuni. Alikuwa kwenye bodi, angej😂uwa namna ya hilo analosema Simba isingefungwa. Sasa kama ni hivyo, hiyo anayosema anunue akili ni Simba yupi?
Mzee wangu kwanza ujuwe hiyo ngoma iLEMEMELA tabu kukuelewa si unajuwa ngosha tena ? Alipujuwa kusoma hasa pale Mwanza alikuta kibao barabarani kimeandikwa KEEPLEFT basi alikesha hapo maana kila akizunuuka kushota na akinyanyuwa macho anayakuta tena anazunguuka tena basi yupo hapohapo mpaka asubuhi
Mzee anasumbiliwa na njaa toka apigwe chini Simba anahangaika kila siku kwenye media kupakazia Simba. Mzee tunakushauri kalee wajukuu unajivunjia heshima.
Mzee mzima anaongea mafumbo utadhani Adija kopa anaimba taarabu na yeye akaimbe taalabu bas kama kweli yeye ni anaipenda simba kweli anatakiwa aende kwenye ofisi za siimba atoe ushauli wake co kuja kwenye media kuongea mafumbo kama manaume msenge bwana mzee mzima hovyooooo
Huyo mzee hana njaa kwataarifa yako pia huyo ndiyo miongoni mwawatu wachache tz wenye elibu kibwa simba tuna feri sana kiufupi na fasi ya mwinakaduguda ipo tuache unafiki
@@ramadhankatto9517 kuachia ngazi haikufanyi kwamba hauna njaa wapo wanae ambiwa wajiudhuri Ili kuepusha matatizo magumwa wapo wengi waliyo jiudhuru pale Simba mbona huwaoni waki zunguka katika maredio kuongelea VIBAYA Simba wapo kimya huyu Kila uchwao anabweka
Uyo mzee namkubali sana
Mzee anatumia lugha rahisi mno,kwamba asiye muelewa anakuwa ameamua kutomuelewa kwa makusudi,asante mzee🎉🎉🎉🎉
Mwina self kaduguda salute to You
Mzee unaongea point
Nakubali huyu mzee ahusishwe kwenye uongozi wa simba❤,
Huyomzee. Anajaa. Njaandiyo. Inamsumbuwa
Huwezi kumwelewahuyomzee kamahukusoma kyuba
Hongera sana Mzee Kaduguda
Simba wa Yuda. Mi ni Mwanachama wa Yanga.
Kweli wewe ni Kiongozi wa Mpira uliyebobea. Viongozi wa
Simba wawatafute Wenye Simba yao!
Au sivyo aliyosema Haji Manara yanakwenda kutimia
Kuwa Yanga watachukua ubigwa hata mara 10.
Yanga tunahitaji mechi kabla hamjahama Tanzania ili tuweke historia vizuri!
Huyo mzee mnafiki anaiujumu simba anataka uongozi analolote
Magoma loading
Mzee unahojiana na mtangazajibwegeeee😂
Mzeewa busara huyoooooo😢😊😊
Mzee Kaduguda yupo sawa kabisa kabisa ni hivi Simba walifungwa
huyo anaeongeahapo yeyendiohana akili Jingasana
Makolo mzee anakitu uyu
Mpira wa Tanzania lazima uwe na ufitina mzee kaduguta anasema ukweli tusimzalau hata kidogo mm.namuelewa vzr sn tu kipimo kizur tuangalie azam ina kila kitu ila kazi bule. Mwenye kiti wetu mangungu nakushauli mtafute kaduguda muyapange.
Kweli umeongea asadiwe asa kamati ya ufundi amezidiwa sana
Mwambie huyo kuwa aliyepata pointi 3 ndiye aliyemfunga mwenzake.
Mtangazaji hebu muulize ajili nnn
Akili
NAFIKIRI MTANGAZAJI UKIULIZA SWALI MPE NAFASI AKUJIBU NA MAJIBU YAKE USITAKE UMUELEWE WEWE. WACHIE WANAOHUSIKA WATAFAKARI. MZEE HUYO NI MTU MAKINI SANA. ANAJIELEWA.
we mtangazaji unaonekana mjinga sana mzee yuko sahii
Tutashinda tu siku moja
Huyo Pimbi anamlazimisha Kaduguda eti walijifunga....😂😂😂
Siyo anapenda sifa anajua mpira bwege wee
Mtangazaji huna uelewa kabisa. Matokeo yapo wazi Simba 0 Yanga 1
Huyo. Mzeebado. Anamambo .yakichawi. Ninyomaana. Anasema. Simbawanunue. Akili. Maana. Kazoeya. Uchawi
Unprofessional host,...uliza swali subir mtu akujibu😢
Wenye njaa wanadhani huyu ni mwenzao kwakuwa wameshindwa kumuelewa, ni lazima kujiuliza kila siku unaangukia sehemu ile ile ,hata kipofu angebadilisha njia au kuwa na hisia ya kwamba hapa huwa najikwaa lazima ushtuke.
Mwandishi anashindwa kuendesha kipindi kwenye mtiririko sahihi
Huyu mzee ana mambo mazuri ingawa wewe unayemhoji unamtoa kwenye reli unamrusharusha kabla hajahitimisha au kukamilisha hoja.
Kaduguda Hana akili kabisa,hata uwalimu sijui kaupataje chizi huyo msimsikilize
Anaongea uhalisia siyo njaaa,kiukweli hakuna msafara bila wazee
Mumuelewe mzee kaduguda anachokisema Anasema maneno maneno mazito msimzalau ata kidgo.
wenye d 2 2meshamuelewa mzee
huyu mwandishi simuelewi kwanza hana adabu ya utangazaji pili hana mtiririko wa maswali na anaongea wakati mgeni anaongea ubishi wa kipuuzi ungekaa ingependeza zaidi
Tatizo la wengi ni kuwa msema kweli hukimbiwa na rafiki,lakini kumbuka utake usitake ukweli utabaki ukweli.Swali,je UCHAWI una sehemu katika maendeleo ya maisha ya binadamu?
😂😂😂😂😂😂
hana uchizi huondio ukweri
Mtangazaji punguza maswali ambayo sio elekezi. Jiongezee weledi.
Kaduguda anajua mpira
Mo bab twakuomba msikilize uyu mzee bc atie Ata mgumu wake wabaraka katika kikos
Uweledi wa huyu mwandishi nina wasiwasi nao
Kaduguda Mzee mzima kumbe ni msenge tu
Mmmh..
Umejuaje !?
Kumbe unamuogopa eee
Huyu Mzee akikosa uongozi taabu sana
Gwiji kama gwiji
Hayo masharti ya Kaduguda ni common sense,
Shida ni utejelezaji wa hiyo kanuni.
Alikuwa kwenye bodi, angej😂uwa namna ya hilo analosema Simba isingefungwa.
Sasa kama ni hivyo, hiyo anayosema anunue akili ni Simba yupi?
Viongozi kiukweri msogereeni hy
Ni Kweli viongozi wetu wanafeli sababu kubwa ni zarau kwa wazee wanazalau sana viongozi wetu kwa wazee 😂
Mzee wangu kwanza ujuwe hiyo ngoma iLEMEMELA tabu kukuelewa si unajuwa ngosha tena ? Alipujuwa kusoma hasa pale Mwanza alikuta kibao barabarani kimeandikwa KEEPLEFT basi alikesha hapo maana kila akizunuuka kushota na akinyanyuwa macho anayakuta tena anazunguuka tena basi yupo hapohapo mpaka asubuhi
Mzee anapemda sifa hana chochote huyo unamsifia buri anataka aitwe simba muogo huyo
Tatizo viongozi wa Simba wanavifanya wanajua sana hawataki kuwashirikisha wazee wanapenda Simba tufungwe na yanga hasa mangungu na jopo lake mbwa wale
Tokea atupwe pale simba akili yake haijakaa sawa
😂😂😂 Ata mi naamini
mutangazaji unakuramuda bure tu
Mzee like own goal au sio? Ni kweli Lile ni goli la Yanga lakini ni own goal na mfungaji ni Kijiri sio Max Nzengeli period.
Mwina Kaduguda sasa anaburuga mazungumzo
Mzee anataka benchika alivyolipwa ndiyo alipwe mgunda haiwezekani
Punguza kuuliza ujinga, wewe muulize akili ya mpira ni nini?
Mzee anasumbiliwa na njaa toka apigwe chini Simba anahangaika kila siku kwenye media kupakazia Simba. Mzee tunakushauri kalee wajukuu unajivunjia heshima.
Akuna uchawi kwenye mpira
Huyu mzee nae dish limeyba anasema anajua mpira lakini anaongelea ushirikina tena vip tena ikocha wako ni upi sasa
Wewe hujui kitu.kaa kimya
Alikua kiongozi alifanya nn aende huko
Mbona real madread haina wazee
Unaijua au unjitekenya tu hata ndege ya kwenda ulaya hujui tiketi yake
Mzee mzima anaongea mafumbo utadhani Adija kopa anaimba taarabu na yeye akaimbe taalabu bas kama kweli yeye ni anaipenda simba kweli anatakiwa aende kwenye ofisi za siimba atoe ushauli wake co kuja kwenye media kuongea mafumbo kama manaume msenge bwana mzee mzima hovyooooo
Huyu Bwana kaduguda anachanganyaga mafail, anajiona kujua kila kitu,
Kipindi chote yupo opposite
Hisa ya akili inahusika
Simba amefungwa hajajifunga wangekaa bunju asingejifunga wewe mtangazaji usiwe mjinga kama hawo watu wengine. wanaosema simba kajifunga hakuna anaependa kujifunga.
Huyu mzee njaa shida pale Simba wame mmwaga anatafuta njia arudishwe Simba Ili yajione yeye pale Simba ndio Bora kuliko waliyo kuwepo pale simba
#hamidudihogo5863 unafikili ana njaa huyo mzee hujui wewe sum a ina shida sana na hu
Huyo mzee hana njaa kwataarifa yako pia huyo ndiyo miongoni mwawatu wachache tz wenye elibu kibwa simba tuna feri sana kiufupi na fasi ya mwinakaduguda ipo tuache unafiki
Hana njaa huyo aliachia ngazi mwenyewe hapendi ubabaishaji
@@ramadhankatto9517 kuachia ngazi haikufanyi kwamba hauna njaa wapo wanae ambiwa wajiudhuri Ili kuepusha matatizo magumwa wapo wengi waliyo jiudhuru pale Simba mbona huwaoni waki zunguka katika maredio kuongelea VIBAYA Simba wapo kimya huyu Kila uchwao anabweka
@@nyamisimbaonlinetv9757 Hana nafasi yeyote na Hana elimu yeyote angekua na elimu na faida zipo timu zimesha mchukua huyu FIKIA kumsema vijembe mo
Punguza kuuliza ujinga, wewe muulize akili ya mpira ni nini?
Punguza kuuliza ujinga, wewe muulize akili ya mpira ni nini?
Punguza kuuliza ujinga, wewe muulize akili ya mpira ni nini?