TAZAMA UBAO WA HANS NA MIFUMO YA GAMONDI/ AWAWEKA HADHARANI SINGIDA BLACK STARS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 11

  • @beatricesaitoti6125
    @beatricesaitoti6125 5 часов назад +7

    Sisi tuko hapa sikio moja yanga mbovu sikio lingine yanga bora hatujui la kuchukuwa kitu musichojua nyinyi wachambuzi kuna siku team haichezi kwenye levels zake hii haimaanishi kuwa imeshula kiwango ila ni siku mbaya kzn

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 4 часа назад +5

    Mihemuko,kukosa weredi na ushabiki ni jambo linalotatiza wachambuzi wetu wengi,Leo utasikia timu hii bingwa kesho timu hii imechoka then wanaonekana kama vibaraka wa timu Fulani

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 20 минут назад

    Yanga SC wako matured kimpira na wamesonga mbele sana

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 3 часа назад +1

    nikichapo 2

  • @YussufbakarDullyzenji
    @YussufbakarDullyzenji 5 часов назад +1

    Big up broh unachambua miracle km umeshushiwa vile

  • @RashKhan-qe5fj
    @RashKhan-qe5fj 4 часа назад +1

    Nakubal

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 2 часа назад

    Hicho Cha Aucho kwenda pembeni ni maelekezo ya Gamond kwa kibabage kipindi anaingia 😂😂kocha yupo vizur sana

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 3 часа назад

    Ushindi mwembamba ndio ukoje😂

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY 3 часа назад

    wambie kabixa xixi xio levo zao