Cjui kisukuma ila tokea day one hii ngoma imepenya kwa sikio langu cjawai isahau 🤗🤗🤗🔥🔥ninacho kijua hapo ni hiyo libava shika kaboke mshoke vinaga shiragaa. (Kwamba wanawake wenye waume wakali warudi nyumbani haraka ngoma imeisha) nakumbuka niliambiwaga ivoh cjui ka niko sahihi ✊✊ ✊
Katika nyimbo za asili zooote hii ni nzuri sana, kijana kajitahidi sana katika video kuitendea haki na audio kaitendea haki sana japokuwa mimi muha wa KIGOMA sielewi anacho zungumzia kwa kisukuma. Nimeelewa sehem ndogo za kiswahili
Kwel huu ni kati za nyimbo zinazonikumbushaga Sana ktk maisha yangu ya yuma niliyoyapitia 2013 na 2014 nikiwa Mc kwenye mashelehe mbalimbali nikijulikana Kama Dj AP from kahama Daah!!
Anaimba hv, wamama wote warud mapema waendapo kwenye ngoma jua linapozama, lasivyo watakuta waume zao wamenuna, pia wamebaki na kaptla kama mzinz anapta drshan so wawah maana wataachka
Hii nyimbo naipenda sana kwa siku lazima niisikilize maratatu na mm ni mtu wa tanga nacho elewa apo ni mwanamke akipata mwanaume mkali arudi nyumbani au nimekosea jaman
We are seeing feathers in backs of dancers. These used to be Ostrich feathers won by band leaders to show how rich they were. It is amazing Bhudagala could afford purchasing feathers for his dancers. I do not remember feathers to be won by women in the 40s and 50s. Usually it was males. Well, during that time women did not have same rights as males although husbands used to obey their wives.
Nakumbuka Babu yangu Mzee kasobi alivo kuwa ananipeleka kwenye matambiko nilipo kuwa mdogo daa kitambo sana jaman,kiiji Cha mulumba kata ya bwina chato
Vijana hawa wa kisukuma wananipoza moyo sana kwa wimbo wao huu mzuri pamoja na uchezaji wao na setup yote. Kibaya ni kule kujipaka chokaa tu! Sijui wamerekodi Badugu au Mahembe, au Mahaha hivi.

Uko sahihi
Hiyo ndo sukuma we kula mziki wa mafundisho hapo usjal 😊😢😅
Yeah
Sahihi
😂😂😂kula chuma hicho
Ludini nyumbani muziki umeisha wasukuma mikono juu nakubali sana nyimbo za kisukuma nyumbani kanda yaziwa
Mie Sio msukuma ila napenda sana kusikiliza nyimbo za kisukuma japo sizielewi love much from Singida 💯❤️❤️
mkataa kwao mtumwa, wasukuma oyeee
Oyeeeeeee!! Gung'wise bhusukuman
Ujawahi ferii shemeji yanguu 💐🥀🔥💯💯💯
Katika nyimbo za asili zooote hii ni nzuri sana, kijana kajitahidi sana katika video kuitendea haki na audio kaitendea haki sana japokuwa mimi muha wa KIGOMA sielewi anacho zungumzia kwa kisukuma. Nimeelewa sehem ndogo za kiswahili
Pekeyangua: zawad siwez kuwapa sababu mko wengi sana ila nitawaimbia nyimbo nzuri zenye mchanganyiko wa mafundisho mtanikumbuka hata kama sipo
Yaan navoupenda huu wimbo daaah! Kila nikiuckia nahc nimefka usukuma
Kwel huu ni kati za nyimbo zinazonikumbushaga Sana ktk maisha yangu ya yuma niliyoyapitia 2013 na 2014 nikiwa Mc kwenye mashelehe mbalimbali nikijulikana Kama Dj AP from kahama Daah!!
Au sio bc sawa mipia khm ndio home ila dsm nimepo kutafta so desembar tunaenda kuhesabiwa au sio🤣 karbu shunu mwamba
Asahte ndg
Nakumbuka mbli sana nikiwa na mam angu mungu alikupenda zaid I miss mam
Anaimba hv, wamama wote warud mapema waendapo kwenye ngoma jua linapozama, lasivyo watakuta waume zao wamenuna, pia wamebaki na kaptla kama mzinz anapta drshan so wawah maana wataachka
Shukran
@@shijacharles5394uko vizuri Natafilli mana Wennngine hatuuelew
Umejitahidi kiasi mkariman
Huyuu ndo mwanzilishi wa revolution ya nyimbo za asili kwa lugha ya kisukuma
Siyo huyu walikuwepo
Wasukuma tuko wapi like tafadhali jaman au mpak wenzetu nyimbo zao
Mimi ni mpogoro wa morogoro but bhudaghala is my favorite
Hii nyimbo naipenda sana kwa siku lazima niisikilize maratatu na mm ni mtu wa tanga nacho elewa apo ni mwanamke akipata mwanaume mkali arudi nyumbani au nimekosea jaman
😂😂 tufanye ndyo hvo hvo hujaenda mbali sanaa...
asante sana kwa nyimbo zako kaka ushauli wangu tembelea nahuku morogoro wasukuma wapo wengi mno
PROUD TO BE SUKUMA TRIBE...!! NO MATTER WAT
We are seeing feathers in backs of dancers. These used to be Ostrich feathers won by band leaders to show how rich they were. It is amazing Bhudagala could afford purchasing feathers for his dancers. I do not remember feathers to be won by women in the 40s and 50s. Usually it was males. Well, during that time women did not have same rights as males although husbands used to obey their wives.
Eee wasukuma tupo juu sana
Pamoja xan anko bhudagala
Wasukuma tuzisapoti nyimbo zetu tupo wengi sana
Membo masonga gasangije ni lange🔥🔥🔥🔥🔥
Nakumbuka Babu yangu Mzee kasobi alivo kuwa ananipeleka kwenye matambiko nilipo kuwa mdogo daa kitambo sana jaman,kiiji Cha mulumba kata ya bwina chato
naijoi Sana kaka budagala nyimbo zako mung akuinuwe zaidi
uko vizuri naipenda sana hii nyimbo yako mzee baba kuliko nyimbo zako zote mazingira pia na mlivo vaa umunikumbush home kabisaa
kisukuma
Saf sana nakubali kaka
nakuelewa Sana KAKA bhudagala
Mungu akutangulie Katika kazi yako ya kipaji chako
Usibishane na hao wadogo zako ndo kwanza wame jua siku zao hawaelewi we piga kazi yako sisi tuko nyuma yako tuna kutegemea
kwa kweli bilaa kupepesaa macho na ulimi hii ngomaa ni nzuri na imejaaa ujumbee sanaa
Nyimbo yangu pendwa yakilamda kilanikiisikia najihixi kamavilenipo nyumbani usukumani🥰🥰🥰🥰
Mkataa kwao ni masikini wa vyote❤❤❤
Hongera sana kaka yang tunakupenda sana pamoja na nyimb zak unanyimb nzr San hamna nyimb ambao inawakwaza watu. By
Bhudagala piga Kazi yan kwako hakuna nyimbo mbaya ila zote Kali tu
Proud to be SUKUMA woman
Nhana tukukwizuka nulu utiho nyanda ng'wana mbelwa..💗
Nkhoi gete otungilija, idadilage mpaga bhatumane🤗
Kuna wimbo niliusikikiza kitambo kidogo unaitwa Mama God (shratoni) aliimba nani anayejua tafadhali anijulishe
Sawa geeeete
Hii ndiyo nyimbo naikubali kuzidi zote
Pande za kamsamba umetishaaa bhudagara
Hii nymb inanikumbushaga mbali sana kipnd bad nasoma na kuchung
nice song budaghala big up sana kaka anguu
upo WP dd ang cku iz
Love
bhudagala ulingosha sana,, ulitutambulisha chizadu abasukuma
Nakukubali msukuma mwenzang💕💞💓💓
Asili haipotei hongera kaka wane wawiza
Jamaa anatalent ya ajabu sana mungu ampe miaka mia nane
who can write same words in swahili to what they day i like it.
Anawatarifu kuwa maonyesha yametamatika wawahi wanawake wawahi nyumbani
2024 tena😂
Jamaa hua sjui kisukuma ila nyimbo zako zinanipelekaga mbio sjui ni kwanini
Imekaa vzr sana bonge la ujumbe!
Safi san bhudagara msuma wa sumve
Shiza.no nkoi maronja bhawelage gete tolehigolya no
Vijana hawa wa kisukuma wananipoza moyo sana kwa wimbo wao huu mzuri pamoja na uchezaji wao na setup yote. Kibaya ni kule kujipaka chokaa tu! Sijui wamerekodi Badugu au Mahembe, au Mahaha hivi.
Kitambo sana ila song bado tamu tu 💪💪💪
Vizuri Sana ni Ajira na burudani
Vizuri
Wimbo mzur uko vzr sana msukuma wakwetu
Nafurahishwa na nyimbo zako bwana mdogo
Sana kaka nakupenda sana
kisukuma kipo juu kaka buda
5
Mungu akubariki uendelee kuelimisha jamii
Nice song ubalikiwe sana kaka yangu mwanamalonja
Budagala noma wewe pamoja na kisima muliholola amimbo bagosha ye!
We noma sana budagala nakuelewa bro pamja xana bonge la intertment
Oya bhudagala hii nyimbo huwa sichoki kuisikiliza
Bhudagala uko juu huna mpinzani
Sana
Alopiga biti Apewe maua yake
Jamaa hua shui kisukuma ila nyimbo zako zinanipelekaga mbio nazipendaga sjui kwann
❤❤❤❤❤❤❤nsukuma nene nabine
It was long journey until now bro together God bless you
Japo mimi sio msukuma ila mazingira na hali nime kubari sana
Kiuhalisia uko juu kjna
Npo Kenya Nairobi lakin Kama nk Tz2
Yuuuuuhh aganaya a ma mihayo ganyatale
tulaga bhabha eng'homa geteee neyo yeeeeeee
Waooh umetisha Sana kakaa
Nyimbo nzur xana2
yaani amimbo gako gaganitaga nisanye ugubiza nalinsukuma (Ntuzu iswee)
mariam Samsoni yani huu wimbo naupenda sana
safi ontuzu. ng'weli yiswe.
Nambie budala Nene sukuma wakahama
MABULA MAYUNGA nabiswe du”
Niko dar salam lakin Kama nipo nyumbani 2020
Uko sehemu gani???
dar nikumbukumbu yangu ya hii nyimbo i love song
Jmn hyu mzeee yuko wap
So mzee jaman
Nakubaliiii Sana blood
Wabeja gete amimbo gako kalinikumbuja kaya mulungu akulinde nakutogilwe gete
Hataliiii sanaaaaaaasaa
Bhawelage abhasheke, milemo duhu
Ndio Sana Sana ❤🐓
Nakukubali huyo Shinje achana Naye ukimya ni dawa
Nme. Mc nzega daah Ina nikumbush mbali sana😥😥
Umejitahd kuimba
Though i dont understand but seemz nice song
Hata sisi tunao kaa dar tunafalijika
Uko vzuri kaka
In shortest words, he is talking about women (married ones) to come back home early after their outings becoz some men are cruel and jerousy
Same here but am enjoying the dancing and beat 🥰🥰
Big'we basheke shokagi ilibina lyashila rispect nasikia raha mpaka na data kwimba 1
Kweli kabs mkataakwao nimtumwa
mwana malonjaaaaaa. nanionge ulutebebe
Bhubagala rugembe
Machoki
🔥🔥🔥🔥🔥♥️💯 bhdagala
Sana bhudagala the king of sukuma
Jamaa wanikumbusha Mbali sana
bhashiginage ong'wise!!!!
Bhudagala uli nzagamba yaluwe jomejaga ngosha
duuh nakumbuka kisukuma tu
ubarikiwe kwa kaz yako kaka
Kaka pg kazi nymbo nzr xana
Uu winbo unamana kubwa sana
🔥🔥🔥🔥
Hongera sana budagala
Simiyu One,Sukuma tradition in the Map
Maliganya Kanuda yaa ntuzu du
Nh'ana gete ngal'oo
Xana kaka pg kazi
Nakubali sana