Enziiii hizo ugenini kijijini ni mapema nimeoga na kuleta kuni kwa ajili ya moto baada ya hapo nikuelekea kwenye music wahuyu jaamaa ilikuwa ni shida vumbi daaaàaaaaa❤❤❤❤❤
Huyu jamaa anajua sana kwa nyimbo hizi hakuna kama huyu labda siku aamuwe kustaafu Bhudagala ndo alisababisha nikapenda nyimbo za asili kuliko hizi bongo
Enziiii hizo ugenini kijijini ni mapema nimeoga na kuleta kuni kwa ajili ya moto baada ya hapo nikuelekea kwenye music wahuyu jaamaa ilikuwa ni shida vumbi daaaàaaaaa❤❤❤❤❤
Pp pamoja sana
Kabsaaaa
Dah kila nikiangalia nyimbo hiz 😂😂
Naomba na ile ya "Mary"
Lekaga okolela Mary abhaduguyo habho bhakeneleja!
Sawa mkuu
Sawa
Hoger san nimekumbuka mbali sana enzi nikiwa dalasa la tatu ndo Ikahiti hii ngoma nawewe kama unaikubali gonga like hap🎉
Pamoja mkuu
sana mkuu
Naomba wimbo wa bhudagala mpenzi wangu dada zaina
Sawa
huyu nimsanii anayjtambua Sana kwanza hanaga majungu namtu ye nimtu wa kazi kazi tu nyimbo ziko POA Sana mungu amubariki sana
Pamoja
Nikwel mm mwenyewe namkubali sana ujue hanaga mbamba wala
Ni msanii anae jitambua Sana mkoa wa kwanza wote 2:33
2:40
Enzi hizo safi sana
Shidaa
Daaah Tunaojua Nakumbuka Henzi Hizo Pamoja Sana ♥️
Eshima
Huyu jamaa anajua sana kwa nyimbo hizi hakuna kama huyu labda siku aamuwe kustaafu Bhudagala ndo alisababisha nikapenda nyimbo za asili kuliko hizi bongo
Kweli kwel
ngoma zako waga nazipenda xan kaka
Shukuran
Alright! Wimbo safi kabsa huu
Pamoja
Pamoja sana kaka
Kaka unalo
Umecheza kama pele kutuma hii songs bigp
Pamoja sana wadau nawapenda nyote mnaonifatilia
Ooh! My God can not believe ,it's almost 11 yrs now since the last time i listen to this song it was in Kahama villages
Ok
😅
Thanks
Mimmwenyewe namkubali kazi yake makini
Ubalikiwe
Anaimba mpka unapata hisia kama uko nyumbani hata kama uko mikoa ta watu
Pp
Jmn 😢 enzi hizo nlkuwa nasoma darasa la 5 Kahama hakika nmekumbuka mbali sana hadi natamani nirud tena Kahama siku moja
Pamoja sana
Kitu bhudagala achan na iyo mtu
Unyama kama wote
Mashine ya kazi❤
Inatisha
budagala enzi hizi ndio ulikua unaimba sasa umepotea ludi kwenye kii hiì ya mziki ili uendelee kutupa buludani wasukuma na wa tz kwa ujumla😊
Kuna Kazi nyingi San mpya kafanya vzr zaidi zitafute
Kwelikabisa. Pongeziwakatiuo❤❤❤
Pamoja
Tutafanya Ii wimbo itrend ticktok sana
Sawa sawa
Hanaga mbambamba
Kabisa mkuu
kwakwel
Naependa sana hizi ngoma za kizaman
Ubarikiwe mtu wa mungu
The nice songos
Pamoja
Leo nimeipata hii song
Pamoja
Huyu n odosh wa pili sasa
Eeee
Odongo wa pili
Saf sana
Asnte
Balaaaaaa😂
Sanaa
❤❤❤❤❤❤❤
----💔💔 💔💔---
💔🔥🔥💔🔥🔥💔
💔✂✂✂✂✂💔💔
💔✂✂✂✂✂💔💔
---💔🌊🌊🌊💔----
------💔🌊💔-------
----------💔----------
Sijui kam ananufaika na hz video huku RUclips 😢😢
Kivp
Coz anayemilik hii channel syo yeye kw hyo capitation zote hawez zipata
❤
Mbona haijaisha??😳
Bhudagala wewe ni mfano mkubwa wa kuigwa
Pamoja mkuu
The last time I listened to this song was more than 10 years ago
There's another song by Budhagala "Kinyonga nimeteswa" please find and share it here
Ok
yeah
Please find out that song 'Kinyonga nimeteswa' by Budhagala and upload it
Acha tu wajumbe
Noma
Nice
Pamoja
Kuna songi moja la mnyama bhudagala linaitwa " kili kili nzugu tubhine" siku ukilipata litupitie tafadhali
Sawa mkuu ntalitupia
saws,ninali
ok
Sawa mkuu
Poa
ngoma kal
Asant
Ntamwambia mwenye nayo
Poa
Asat
Kushukulu
Kushukulu
Bhundangala
Mnyama
❤