Bahati Bugalama - Shida |Official video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 312

  • @MussaAlex-kq1bx
    @MussaAlex-kq1bx Год назад +5

    Bahati unatukosha kwanyimbo zako sisi tulioko huku Zanzibar endelea kutuletea vingongo vikali pamoja san

  • @YohanaMarugu
    @YohanaMarugu 8 дней назад +1

    Uko sawa kabisa hutawaona

  • @JANUARYNYAMOYE-x9v
    @JANUARYNYAMOYE-x9v 2 месяца назад +3

    Bhawiza bhamhunhu odeneta shidaaa, tabhu.Nyimb ina ujumbe sana kwa maisha haya .make inaakisii sehemu ya mapito yangu 😭😭

  • @enockngereja
    @enockngereja 10 месяцев назад +2

    bahati uko sawa kaka mie msukuma mwenzako sivi niko dar hongera sana nakuombea kwa mora kuzidishie sana🏃🚶

  • @SigelaBatano
    @SigelaBatano 10 месяцев назад +2

    ❤nice sana wimbo mzuri elimishaaaa jamiiiiiiiiiii🎉maua yakoooo❤❤❤❤❤❤

  • @kamulipaschal3096
    @kamulipaschal3096 Год назад +5

    Msanii ambaye hajawahi kulinga na kutaja mafhaifu ya wasanii wenzie,safi sana

  • @chage97
    @chage97 Год назад +5

    Safii sana next level jamaa wengine wakasome🙌🙌🙌🙌🙌anaewaangusha wasukuma ni zumaridi😅😅😅😅

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p Год назад +1

    Me nakuombea kwa mungu akubariki sana niko dar esalaam

  • @josekipara5165
    @josekipara5165 Год назад +1

    Safi sana bahati bugarama nakupata nikiwa chamwino dodoma .. nyimbo zako nzuri sana jilinilange

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx Год назад +2

    Bhudangala na bahati Bugalama na kisima majabala wengine ni wasaidizi tu

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 Год назад +3

    Mungu akubariki bahati bugalama uishi miaka mingi uzidi kutoa elimu

  • @MussaJulius-b8f
    @MussaJulius-b8f Год назад +2

    Iceee mwaka huuu hatr xana

  • @MauaSaidi-z8g
    @MauaSaidi-z8g Месяц назад +2

    Bonge la ngoma

  • @EsterZacharia-ko7fv
    @EsterZacharia-ko7fv 9 месяцев назад +1

    Kweli kabisa watu hatuna wema. Mungu akubariki sana kaka yangu kwa ujumbe mzuri

  • @PhilipoMabula-ky9vs
    @PhilipoMabula-ky9vs 9 месяцев назад +1

    ❤ huyu jamaa m namkubali mpaka kesho chapa iende

  • @PhilipoMabula-ky9vs
    @PhilipoMabula-ky9vs 9 месяцев назад +1

    Bahati Bugalama anajua kucheza bwana 🎉

  • @Athuman-du8mu
    @Athuman-du8mu Год назад +1

    Kaka mungu aendelee kukutunza uzidi kutuelimisha napenda cn nyimbo zako zote zinamafndisho

  • @PauloMihayo-zb3cs
    @PauloMihayo-zb3cs Год назад +1

    Uko vzr kaka nakukubal na madensa wko Wana Kila staili

  • @EmmanuelKitulla
    @EmmanuelKitulla 9 месяцев назад +2

    Uko vizuri pointi xote100%

  • @abdullahasumani7549
    @abdullahasumani7549 Год назад +1

    Nakuelewa sana Bahati nyimbo zako za tivoli hayupo mwingine

  • @MichaelBugalama
    @MichaelBugalama 8 месяцев назад +2

    Nakubali mdogo wangu unaelumisha jamii

  • @simeozacharia5261
    @simeozacharia5261 Год назад +1

    Bahati nakukubali sana brother una sauti pekee na ujumbe wa kutosha

  • @MiriamMpandujih-c7s
    @MiriamMpandujih-c7s 3 месяца назад +2

    Nakupenda bahati

  • @GodfreySamwel-hv6hd
    @GodfreySamwel-hv6hd 11 дней назад +1

    Piga kazi bahati

  • @Vematv248
    @Vematv248 Год назад +3

    Waaaaao sasa hivi naona Mambo mazuri b kahama kwa ashoz kwenye video za mchele mchele

  • @VestinaEmanuel-bf8dr
    @VestinaEmanuel-bf8dr Год назад +1

    Hakika nyimbo zako nazipenda sana hongera unajua

  • @EmmanuelKasambale
    @EmmanuelKasambale 3 месяца назад +1

    Asante bugalama kuwakilisha utamaduni wa msukuma uko wapi obeja sana

  • @DellamDaxikiii
    @DellamDaxikiii 7 месяцев назад +2

    N apenda nyimbo zako unlimisha jamii naitwa anjeella msukuma og kutoka geita

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 месяца назад +2

    Ujumbe mzuri sana ukipata shida ndo utamjua nani anakufaa wakati gani.

  • @JayHaruna
    @JayHaruna 10 месяцев назад +1

    Napenda Sana nyimbo zake 💞

  • @HappynessMussa-un6zf
    @HappynessMussa-un6zf Год назад +7

    Uyu kaka nampenda sana pia napenda nyimbo zake ❤️❤️🥰😘😘😊

  • @susanimgema844
    @susanimgema844 Год назад +4

    Kazi nzur sana dr mkemia

  • @innocentebarnabas4615
    @innocentebarnabas4615 8 месяцев назад +2

    Nikweri watu wabaya❤❤❤❤nikweri

  • @ShedrackChristoph
    @ShedrackChristoph 8 месяцев назад +2

    Nikuelewa San Mzee baba uko pw sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @marcobatholomeo
    @marcobatholomeo Месяц назад +1

    Bahati bungalama weee nomasan brother❤❤❤❤❤

  • @SimonMasanja-k1d
    @SimonMasanja-k1d 8 месяцев назад +2

    Nakubali sana kaka kazi yako

  • @petromalimi6667
    @petromalimi6667 10 месяцев назад +1

    safi kabisa ujumbe mzuri sana❤

  • @LydiaNabwire-hr1bo
    @LydiaNabwire-hr1bo 7 месяцев назад +3

    Uko sawa bro

  • @shijacharles6479
    @shijacharles6479 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri, ujumbe mzuri sana. Kazi iendelee.

  • @gabrielmathias4896
    @gabrielmathias4896 Год назад +1

    Unyama sana 👍 video kali san
    Naona fahal kuw na msanii huy

  • @innocentebarnabas4615
    @innocentebarnabas4615 8 месяцев назад +2

    Onge kaka unaujumba ❤

  • @Yusudav
    @Yusudav Год назад +2

    Hakikaaaaaaa! Hujawai kutwangusha

  • @ElizaMnyaga
    @ElizaMnyaga 2 месяца назад +5

    Ata mimi jamani nampenda sana siku nikiolewa nitamuita kwenye alusi yangu 🙏🙏 ❤❤❤❤

    • @yohanasitta562
      @yohanasitta562 2 месяца назад

      Nikuoe mm tumuite ye ye na kisima

    • @KaliMahona
      @KaliMahona 2 месяца назад

      Mambo mrembo

    • @KaliMahona
      @KaliMahona 2 месяца назад

      Eliza Bado hujaolewa

    • @DhamiraBiisa
      @DhamiraBiisa Месяц назад

      🎉❤❤❤❤

    • @TunguholeSabiyanka
      @TunguholeSabiyanka Месяц назад

      VP umeshapata mchumba nipo naomba tuwasiliane kama hauna mchumba love more idealogical songs

  • @ChristinaAdroph
    @ChristinaAdroph 2 месяца назад +1

    Mungu mujalie mwanao ❤❤❤❤

  • @AmraniAmani-zd6jl
    @AmraniAmani-zd6jl 10 месяцев назад +2

    Bhugalama ww ni King wamuziki kwani tangu nikusikilize mashaili yako mazuli sana napenda muziki wako hasa kama unaoitwa muzimu

  • @LucasBahati-r4i
    @LucasBahati-r4i Год назад +1

    Hongela sana kwakazi unayo ifanya asante endelea kuleta misitar tuko pamoja

  • @AuchielMakebu
    @AuchielMakebu Год назад

    Safisana kwakazinzuri sanatu ujumbe unaereweka kabisa

  • @jamespetro3014
    @jamespetro3014 9 месяцев назад

    Wap willisoni madaso ❤❤❤ aisee tunaitaji corabl lenu

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 Год назад +2

    Broo nzuri sana

  • @DonardMacksoni
    @DonardMacksoni 3 месяца назад +1

    Aisee nimependa sana ubarikiwe kwa uwepo wako

  • @CharlesMussa-vd8jp
    @CharlesMussa-vd8jp 7 месяцев назад +1

    Lete nyingine kali zaid kaka ❤🎉🎉

  • @MaxsamolaKadoke
    @MaxsamolaKadoke 9 месяцев назад +2

    Hata mie nampenda pia

  • @Kulwashija3263
    @Kulwashija3263 Год назад +1

    Kaz nzur sanaaa bro keep it up

  • @Rachaelloboz
    @Rachaelloboz Год назад +1

    Big up brother nakukubali

  • @barakajuma6915
    @barakajuma6915 Год назад +2

    Kazi nzuri Mkuu💪

  • @SindolecharlesPalino
    @SindolecharlesPalino Год назад +2

    ❤❤❤ tuko pamoja sana namkubarisa brother huyu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NoelTembo-t5c
    @NoelTembo-t5c Год назад +2

    Big up san my brother

  • @TeddyPetter-j2t
    @TeddyPetter-j2t Год назад +1

    Ujumbe mzuri sana my bro

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 Год назад +2

    Kwanini hampati chansi ya kuja mikoani kama dar as salama au arusha kuja kupiga Shoo

  • @MisungwiMpanduji
    @MisungwiMpanduji 11 месяцев назад +1

    Uko sawa msela wangu

  • @TwagirayezuNehemie
    @TwagirayezuNehemie Месяц назад +1

    Ndagukunda indirimbozawe ninziza

  • @Baraka-qj2fb
    @Baraka-qj2fb 2 месяца назад +1

    Machoni kama watu moyon hawana utu hao ndo binadamu 😢😢

  • @lovnessmichael8082
    @lovnessmichael8082 9 месяцев назад +2

    Kaz nzur

  • @SamwelMtaki-r3s
    @SamwelMtaki-r3s 23 часа назад +1

    Uyu mwamba kwa wasukuma ni atari

  • @GeorgeNtenga
    @GeorgeNtenga Год назад +1

    Kila mtu huzaliwa na kipaji chake nimethibitisha Hilo pamoja Sana wadau

  • @KulwaAlly-n8h
    @KulwaAlly-n8h 11 месяцев назад +1

    Oko vzr kaka napenda sana

  • @RamadhaniMpanduzi-hs3mq
    @RamadhaniMpanduzi-hs3mq Год назад +1

    Dafi sana mkubw kazi nzur san

  • @MussaCharles-n8m
    @MussaCharles-n8m 8 месяцев назад +2

    Umetisha sana😊

  • @MatheKasanda
    @MatheKasanda 2 месяца назад +2

    Napenda sukuma music

  • @onestartz
    @onestartz 10 месяцев назад

    Mziki wa asili ni mtamu sana jamani

  • @juliusraphael1792
    @juliusraphael1792 Год назад +2

    Yaan mauno ni mimi kabisaaa 😂
    Kazi kubwaaaa👋👋

  • @MelesianaAnthony
    @MelesianaAnthony Год назад +1

    Nakukubali sana bro

  • @mageletz
    @mageletz Год назад +2

    msanii mwenzangu unyama mwingi kaka 🎸🎸🎸🎸

  • @jamalwani3912
    @jamalwani3912 7 месяцев назад +3

    Lovely music...Bahati Bugalama....Shida.The leaders of the boys and the girls performed very well.I wish I could get their contacts.Weldone

  • @FabianusJuma
    @FabianusJuma 5 месяцев назад +1

    Bro ww ninoma ❤❤❤❤❤

  • @DaudJames-mr9pz
    @DaudJames-mr9pz Год назад +1

    Uko vizuri kaka

  • @kishirirecord608
    @kishirirecord608 Год назад +2

    Kazi nzuri Sana 🙏🙏🙏🙏

  • @JohnNestory-xh3qg
    @JohnNestory-xh3qg 7 месяцев назад +4

    Ww bro ni hatari enderea kuimba hivyo hivyo ndugu Yangu

  • @Fabian-i2h
    @Fabian-i2h 10 месяцев назад +2

    FISI DUMEE, HAHAHA ❤❤❤❤❤❤

  • @paulhenerico1543
    @paulhenerico1543 Год назад

    Ng’oma ya kweli saana with good sound advices za kutosha !!nganhana geteee

  • @KitindiMedia
    @KitindiMedia Год назад +4

    Nice Brother Good Job Respect Kwako

  • @JosephatPius-kx4vq
    @JosephatPius-kx4vq 6 месяцев назад +2

    Kaka huu wimbo unaua sana kutoka Las Vegas marekani

  • @ShelembiKabadi
    @ShelembiKabadi Год назад

    Hakika bahati hujawahi kufeli endelea kushusha nondo

  • @kisabonhumba2655
    @kisabonhumba2655 Год назад +1

    Hongera bahati wimbo una ujumbe.......👌

  • @MarthaMagongo
    @MarthaMagongo 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤ uko sawa kaka angu bahati

  • @MariamSalimbe
    @MariamSalimbe 3 месяца назад +2

    Safiii br upo vzr hadi rahaaaaaaa

  • @DavidKitema
    @DavidKitema 7 месяцев назад +3

    Ngoma nzuli

  • @juliusraphael1792
    @juliusraphael1792 Год назад +1

    Mi si msukuma nakuelewa sana kaka, kazi nzuri 👏

  • @ElickiUlaya-qo8uw
    @ElickiUlaya-qo8uw Год назад +1

    ujumbe mzuli sana sana

  • @zagalazabuinge3893
    @zagalazabuinge3893 11 месяцев назад

    2024 bado nasikiliza,wimbo mzuri sana

  • @MasungaLukaja
    @MasungaLukaja 11 месяцев назад

    Hongela sana kaka una nyimbo zakok nzur sana

    • @MasungaLukaja
      @MasungaLukaja 11 месяцев назад

      Nyimbo zakok nzur sana kaka

  • @wamoyothenumberone4356
    @wamoyothenumberone4356 Год назад +3

    Dudeeeeeeee

  • @djfabbymnyama6454
    @djfabbymnyama6454 Год назад +23

    Nimefka naomben like zenu mashabiki wa bahat bugalama

  • @shijacharles6479
    @shijacharles6479 3 месяца назад +2

    Safi sana

  • @kamulipaschal3096
    @kamulipaschal3096 Год назад +1

    Pa 1 sana bahati bugalama

  • @masolwamathias3966
    @masolwamathias3966 5 месяцев назад +1

    Upo vzri sana napenda ngoma za mila na desturi zetu ubarikiwe msanii unatoa ujumbe koki

  • @JANUARYNYAMOYE-x9v
    @JANUARYNYAMOYE-x9v 2 месяца назад +2

    Bhawiza bhamhunhu odeneta shidaaa, tabhu.Nyimb ina ujumbe sana kwa maisha haya .make inaakisii sehemu ya mapito yangu 😭😭

  • @MshashiMholya
    @MshashiMholya 8 месяцев назад +1

    Siku moja uje huku Dodoma utuburudishe japo kidogo

  • @frankkepha7853
    @frankkepha7853 4 месяца назад +1

    uko vizuri sana kwenye nyimbo hiyo

  • @zachariaLameck-zc8jq
    @zachariaLameck-zc8jq Год назад

    Mwamba uko vizurii zaidi ya sana