I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Thanks for your condorance sms to we Tanzanians real we are still CRYING & FOREVER WE WILL CRY FOR OUR ( REAL PAN AFRICAN) LEADER , but no matter how human being can do to harm or do any bad thing to any ROYAL HUMAN GOD won't be quite & as long as even their ' NOSES LOOKS DOWN they will also die
20/5/2021.Kwa habari zilizopo chini ya carpet,bira wewe mzee Tusingempata JPM.wengine walitaka Menbe ndo awe Rais.ukapambana kijana wako JPM ndo aje anyooshe nchi.ROHO INAUMA MH.MKAPA NA JPM WOTE Mmetangulia mbele za MUNGU.Bado tunawakumbuka,...KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA.
Tutaendelea kuwakumbuka maraisi wetu 4 ambao wapo mbele ya haki leo.wote walikuwa na michango tofauti tofauti ya maendeleo ya Tanzania.endeleeni kupumzika kwa amani.🙏.
Tunashuru kwa kutualika kusshudia tukio hili la historia,hata mimi nilikuwa mkoa wa pwani,na nilikuwa napinga,hasa sisi wa baga moyo,hatungekubali hili jengo kuamishia huku.chemwala pia ilituteka nyara,kwa kujenga makao makuu ya chama,
Mungu Awalaze maali pema pemponi Rais wetu tutakukumbuka daima milele Na muiyoombee nchi yetu maali mlipo Kwa Mungu kutoka mtuwache nchi yetu iko pabaya kila panya imetawala kila Kona
Najuwa watu wataniuliza,mimi,nitawajibu,hivi,mh,mkapa asili yake ni,kusini,masasi kwahiyo,tunakila,sababu ya kumuhenzi ili,vizazi,vijayo visipate,shida kuwa mkapa alizaliwa,masasi.
Samahani sana rais wangu mama samia hassani nilikuwa na ombi au wazo,tunaomba,ile hospitali ya,wílaya ya,masasi baada ya,kuitwa,mkomaindo badala yake,iitwe,hospital ya benjamin William mkapa,wilaya ya masasi
@@fraviansweetberty8819 kwaiyo uchukuwe pesa za watu ukajenge madaraja unafikiri ni watu wangapi wamefilisika na kufa baada ya pesa zao kuchukuliwa unafikiri mungu haoni
Tutawakumbuka. Mungualiwapenda zaidi
Dah aiseee😢😢😢 wazee wetu!!nitawakumbuka sana
Kweli binadamu tu wapitaji hapa duniani tutawakumbuka Sana vizazi na vizazi ninyi Marais watatu mliotutangulia mungu awalaze mahali pema peponi AMINA
Huyu ndio aliwauwa wazanzibar wengi kipindi cha uchaguzi sijui kama Mungu atamsamehe kwa mabaya yake.
Angekuwepo daahh mengi yangeshafanyika lakini tunaishia kuwa watalii katika nchi ya kitalii
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Thanks for your condorance sms to we Tanzanians real we are still CRYING & FOREVER WE WILL CRY FOR OUR ( REAL PAN AFRICAN) LEADER , but no matter how human being can do to harm or do any bad thing to any ROYAL HUMAN GOD won't be quite & as long as even their ' NOSES LOOKS DOWN they will also die
Good for t
That is good
Fact
My intuition tells me that he did not die of natural death, someone did it
Hongera,ulimtia nguvu magufuli.ulifanya uliyoweza.hukuwa mnafiki uliwapenda wote.huyu wa ss,hakai ikulu ya dodoma
Is not an issue where he stays😮
Muongo ww
Kweli jemadari alikuwa mtu makini
SS ww Mbona umeandka km atasoma coment
J p m mungu akulehem kwa meme ulio yafanya tanzania dunia tambala bovu hata utende mema watakulipa mabaya pumnzika kwa amani AMINA
Haki si bongo mna Viongozi Wazalendo...huku kenya viongozi domo kaya tu.hongereni sana.
Kenya is ahead politically and economically
@@Gilion100 Umenoa..tz wako mbere sana saa hii.
Uongozu wauyu mzee mkapa,sikuwa najitambua sana,kwamana nilikuwa bado mdogo,lakin inaonyesha uongozi wake ulikuwa wanidham yahali yajuu sana❤ila unclee,nilikuwa macho mpumzike kwaaman wazee,wetu😢😢😢😢
Rais wetu B. Mkapa tutakukumbuka daima.
20/5/2021.Kwa habari zilizopo chini ya carpet,bira wewe mzee Tusingempata JPM.wengine walitaka Menbe ndo awe Rais.ukapambana kijana wako JPM ndo aje anyooshe nchi.ROHO INAUMA MH.MKAPA NA JPM WOTE Mmetangulia mbele za MUNGU.Bado tunawakumbuka,...KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA.
Mungu kabadili siku hii wababe na madicteta Anawachukuwa mapema ndio maana mxee ruksa Anazidi kuimarika mungu Azidi kumpa kikwete maisha marefu
@@nurumushi2226 maana yako
@@nurumushi2226 kila mtu ula kwa urefu wa kamba yake
Rip wapendwa wetu, Mwenyezi Mungu awarehemu
Tutaendelea kuwakumbuka maraisi wetu 4 ambao wapo mbele ya haki leo.wote walikuwa na michango tofauti tofauti ya maendeleo ya Tanzania.endeleeni kupumzika kwa amani.🙏.
Kwa kweli wamefanya sehemu yao kwa taifa hili, Mungu abariki familia zao na kuzitunza.
Nice one ❤
Hao watu no wa kukumbukwa sana mimi nawakubali sana sawa kwan wanakuwa sana
Na na ile newborn iko vzr sana
Thanks
Hii ndiyo ilikuwa mihimili ya nchi yetu.
❤❤❤❤
Mungu akuweke mahari pema peponi asante sana kwaamsada wako urio tusaidia.
Go back to school MAHARI na URIO ni nini?
Maisha yanaenda kwa Kasi Sana
Nchi hujengeka kama nyumba ya matofali, zege, chuma, mbao , mabati nk. Kila fundi ( M Mh Rais) ataweka kile awaezacho awamu yake. Tuwape nafasi.
Daima tutamkumbuka pumnzika kwa aman mtetezi wa wanyonge
Kumuzika kwa amin baba yetu kipenzi
Nchi ilikuwa tamu hii dah!!🙏
Rest in peace Mkapa na JPM wazalendo wa kweli kweli,
Mzalendo alikuwa magufuli tuu na Baba wa Taifa.
Tunashuru kwa kutualika kusshudia tukio hili la historia,hata mimi nilikuwa mkoa wa pwani,na nilikuwa napinga,hasa sisi wa baga moyo,hatungekubali hili jengo kuamishia huku.chemwala pia ilituteka nyara,kwa kujenga makao makuu ya chama,
Mungu Awalaze maali pema pemponi Rais wetu tutakukumbuka daima milele Na muiyoombee nchi yetu maali mlipo Kwa Mungu kutoka mtuwache nchi yetu iko pabaya kila panya imetawala kila Kona
Kama walikuwa watakatifu watalazwa mahali pema peponi.
Kuna. Ajagani ya kutupa machungu Kwa watu walio tutoka jamani
Big ben...🔥🔥🔥
Mungu amlaze pema peponi
Kila mtu na siku yake....sote tutaenda siku moja....kwaheri mzee
Gog leaders
Eti Mambo!!!!!!!!!!!!!
Tutawakubuka sana na nyie nikilelezo tosha kwetu
TZ legacy of good leadership,peace, dignity and patriotism.
Dictatorship is not progressive politics
Nyote mshakuwa marehem jaman mpumzike kwa aman
Iitwe hospital ya,wilaya ya masasi benjamini William mkapa,badala kuitwa,jina,la,awali mkomaindo
Tutakukumbuka daima baba innalilahi wainnailaihi rajiuni
ameen
Rest in ertenal peace our beloved brother Mkaps
Aaaa Baba wee, sauti hii naikumbuka.
Rip dady mkapa mungu akulaze mahala pema peponi ameen
Pepo gani wizi hawana pepo
Wana simba tujipe moyo tutapindua matokeo
Sio mimi, sio sisi wawili, ni zote kwa pamoja tutaamua
Saws
Hawa wawili ndio walikuwa Marais wenye misimamo wa kuongoza inchi ya Tanzania jpm, na mkapa
Najuwa watu wataniuliza,mimi,nitawajibu,hivi,mh,mkapa asili yake ni,kusini,masasi kwahiyo,tunakila,sababu ya kumuhenzi ili,vizazi,vijayo visipate,shida kuwa mkapa alizaliwa,masasi.
We Miss You Our Best Leader In Tanzania .
🚮
Duuu baada ya miaka mitatu amebaki mmoja tuu Jk
swali langu kwanini Marais wanzuri wa Tanzania wanakufa jamani mungu tusaidie
Hao watu no wa kukumbukwa sana
Hapo ni
Samahani sana rais wangu mama samia hassani nilikuwa na ombi au wazo,tunaomba,ile hospitali ya,wílaya ya,masasi baada ya,kuitwa,mkomaindo badala yake,iitwe,hospital ya benjamin William mkapa,wilaya ya masasi
Hospitali ya Benjamin Mkapa tayari ipo Dodoma
Rest in peace baba yetu 😭😭😭
Rip mzee wetu
Miezi Tisa imetimia au kafa mwezi gani
Mungu ailaze roho yako mahali pema Baba
Chuma kimelala
RIP Pres BM
No body knows
Namalizia kusikiliza michezo
😅😅😅😅apo makongoro alikuwa anacheka nini
Sasa hapo alijitabiria vp kifo
Mkapa
Mike
Pumzika kwa amani
Inapendeza kutukumbusha viongozi wazalendo wetu
Kifo hakina huruma
Apumzike kwa amani baba yetu
Jins ulivyokuwa kuwa na ofu ya Mungu Jpm kila ulipokuwa na mkutan mpk viongz wa dini wawepo nawadin zote ulimuhamin Sana muhumba wako
Ilikuwa zuga hakuna kitu
@@nurumushi2226 kimtazam wako sio mtanzam wangu
@@fraviansweetberty8819 potezee hofu ya mungu nikuchukuwa pesa za watu na kufungia Acaunt za watu sio
@@nurumushi2226 lakin alipo ziwek mnapaona ampaon mwenye macho haambiw tazama
@@fraviansweetberty8819 kwaiyo uchukuwe pesa za watu ukajenge madaraja unafikiri ni watu wangapi wamefilisika na kufa baada ya pesa zao kuchukuliwa unafikiri mungu haoni
Tutawakumbuka
kikwete anajua historia sana
Wapi alipo jitabiria kifo.
Ata mm nmeshangaa kama ww
Wajenziwanchi wanakufa wabomoanchiwanabaki ngojatuone
Japo kifo lazima kwetu lakini ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga ( Umafia)
Kumbe alijitabiria huyu muuaji
Kiongozi wa ccm atae kwenda peponi labda ni Ali Hassan Mwinyi walio baki wizi dhulma waongo na watesa Raia wao Moto unawasubiri washenzi
Labda pepo yako
MUNGU sio mwanadamu...uwezo na mawazo yake yako juu sana....ndio maana tunachotakiwa kuwa nacho ni imani tu maana hatuwezi kuelewa mambo yake.
Naitaji comment wakwanza apa
RIP MZEE WETU
Allah amsamehe makosa yake amiiin
Dah soma dini ndugu
Mliendeleza nini acheni wenge jembe ni magufuli tu
Mungu uyu aina budi kila mmoja ataiyonja nafsi
Daaaaaaahhhh
Amejitabiria kifo kivipi? Toa ujinga wako hapa
Kwanini hakumtambua spika
Baba yetu RIP
Nani alie ona kikwete ata makofi apigi
Muvi
Komed
Mmh
R l P
Alinenepa sana eating too much isn't healthy
Hapa si mambo na kula...nikutokuwa busy wakati mwingi.
YOteyamungu
Oh by😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 do
❤
Pumzika kwa aman ameeeen
Rip
Kamwe tutazid kuwakumbuk hatutawasahau kamwe
RIP former president Mkapa
R I p
Ngadafi
Mpumuzike kwa amani wazee wetu
Kaishi motoni mbwa wewe
Kikwete Safi kabisa
Wajerumani walijalisanamasilahiyao warahawakujali masilahiyawatanzaniawaliowengi.
R.l.p