Mmh !!!Mungu akusaidie dada usije ukamwacha huyo kaka kwani ndani yake nauona upendo wa dhati Sana kwako ,songa mbele usione Kama watu waonavyo Bali ona Kama Mungu aonavyo ,na Mungu awajalie mpate watoto wema
Hamna LOVE apo ni kipato tu kimefuatwa asowajua nan mademu wa bongo wapenda pesa kuliko utu pesa zikiisha utamwagwa mchana kweupe, Mungu anilipie hakika popote ulipo
@@mdzainb3722 nipendwe mara ngapi sema kibongo bongo kwa jinsi alivyo uyo broo na bint mwenyewe aisee isingekuwa pesa walahi hakuna penzi apo, ata nchi za wenzetu twayaona Sana haya ispokuwa ni watu wenye vipato vyao sembuse Tanzania, kuna maemo wasema mwanaume tafta pesa lasivyo wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji, aliondoka kisa niliishiwa pesa na nikazipata tena na nikaoa tena ivyo yaani
@@annajoseph9955 kabisa pesa ndio kila kitu jamani. Upendo upo lakini pesa ni kigezo kikubwa sana sana.🤔🤔🤔hivi hapo asiwe na pesa japo ni uumbaji wa Mungu hatukatai hivyo alivyo ni Mungu bila pesa kumkubali ingekiwa shida sana .
Waooh 🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️ Mungu awape kupendana na kisikilizana daima
Mashaa'Allah nimewapenda pia Allah abariki ndoa yenu
Ce Monsieur est vraiment attentionné,que Dieu bénisse abondamment votre foyer 🔥 soyez heureux 🇨🇵🇨🇵❤️❤️❤️❤️🔥
Masha'allah tabaraka Rahman...murembo kweli💓
Mungu awaongoze kwenye ndoa yenu hakika mmependeza sana
Mungu awape maisha marefu jaman nawapenda sana sana 🌹🌹🌹🌹
Mmh !!!Mungu akusaidie dada usije ukamwacha huyo kaka kwani ndani yake nauona upendo wa dhati Sana kwako ,songa mbele usione Kama watu waonavyo Bali ona Kama Mungu aonavyo ,na Mungu awajalie mpate watoto wema
Raha iko moyoni, pendo halina kificho Mungu awajalie, ndiye aliwachagua hivi walivyo PETRO na dadetu. Yetu macho kodo.
Please what is the name of the song
@@princessharpy8636 artist: stara tomas
Song: mimi na wewe
Mungu. Awaongeze na amuweke mbali shetan
Hongera bro, nakumbuka Moro enzi hizoo🤜🤜
Petro is so loving
Maashaallaah mungu awabarki milele
Safi sanaaa hongereni
Mashallah, hongera sana
Mashaallah ikawe yanye baraka
Hongera Sana nawatakia family njema
Mash Allah love is love 💘
Hongera Sana kaka Petro
By this guy is handsome I love the his smile is so beautiful.
Was it years of Joy or
Hongereni sana,
Kweli nimianini miujiza hipo kwenye maisha
Kweli mzee namim nasubir muujiza wangu
Please what is the name of the music???can someone help
Maashaallah
Wacha weeeeee hongera sana 😃😃😃
Where is the entire wedding and also can somebody explain what he is saying please
Mungu awabarika
Mdada mzurii
Na iyo mikono sasa
Love it's all that matters. I wish one day I can find someone who will love me this way. Inshaa Allah
Hongeren san
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
👏👏👏👏 wacha weee
Mungu awambariki sana kwenye ndoa yenu
Nimeona Joyce anamtoa mkono asifute sms😁😁😁
Wow nice
Hapo pesa imeoa tu lkn wanawake tu we wakweli
Eva uko sahihi
🤑 Money, money, money .
Amen
Hamna LOVE apo ni kipato tu kimefuatwa asowajua nan mademu wa bongo wapenda pesa kuliko utu pesa zikiisha utamwagwa mchana kweupe, Mungu anilipie hakika popote ulipo
Sofia kakumwaga pole
@@sistertrashid2488 si ndo wale wale wapenda pesa zikiisha wanasepa
Umekarir
Tafuta nawwe upendwe mbona povu 🤣🤣🤣🤣
@@mdzainb3722 nipendwe mara ngapi sema kibongo bongo kwa jinsi alivyo uyo broo na bint mwenyewe aisee isingekuwa pesa walahi hakuna penzi apo, ata nchi za wenzetu twayaona Sana haya ispokuwa ni watu wenye vipato vyao sembuse Tanzania, kuna maemo wasema mwanaume tafta pesa lasivyo wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji, aliondoka kisa niliishiwa pesa na nikazipata tena na nikaoa tena ivyo yaani
Congratulation bro
Bora mitambo ifanye Maisha inasonga mbele
Fireeemotrooo.
I'm American, and she looked so sad dancing. Someone please tell me is this normal for women to look like this there
@@julitabonganda2167 say with her husband not his husband!
Hapo ni pesa tuuuu demu mkali hvyo analia kimafki aonekane kamuelewa mchizi ....
Kwel kbc c unaon hapo anapofutwa machoz anatoa mkono dhahir kbc ni unafik
Hahahaha 😂🤣😂 kweli brother this 21th century hakuna upendo
Pesa imeoa yes
Jamaa anadhani kumfuta machozi inasaidia kumbe anafuta makeup 😂😂😂😂
Yani wewe mkaka umeona ee mkono ameondoa usiseme 😂😂😂 Ila hongera kwao mungu adumishe upendo 👏👏
Nimejikuta nacheka kwa sauti
@@elizabethswai9670 umeona nimecheka kwa sauti
🤣🤣🤣🤣🤣
Daah jmn
Me sijapenda kwa nn anamtoa mkono mshikaj😂😂
Mie pia et
Kabandika kope alihisi atapanguswa kwa nguvu halafu zitoke
Alikuwa HAJAOSHA MIKONO kwa Sanitizer
Aliona makeup itaisha
Hata Mimi sijapenda kamtoa vibaya
Utamtongoza kila siku usijali huyo wako mwenyewe
Pesa ni sabun yaroh
Kumtongoza tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wana ndoa ni marafiki dear 😅
❤❤❤
Daaah
Wapareee jaman tuna mapenz ya kwel hatuangaliag pesa wala nn wala maumbile ya mwanadamu kikubwa upendo.....muachen joyce wetu
Hakika mpare akipenda anamaanisha..na tunaogopa kutendwa... Joyce amefanya vyema..Sana huyo ni wakwake peke yake..kusalitiwa hapo ng'oo
hivo bidole vya bibi harusi
Hiyo mikono ya mwali ni sugu au ila umbea kazi 🤣🏃♂️🏃♂️
Ndugu ka weupe
Inaonesha jamaa ni sonco.
Uchawi upo
Mungu anakuona 😁
Uchawi gani jamani
Uchawi pesa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸
@@mohamedmatogoro4067 🤣🤣🤣🤣
🥰🥰🥰🔥🔥
Maskin kasahau hata yupo WAP mbingun au dunian
hahah upako wa dada Joyce si mchezo
Mambo ya kula uzazi
Nawapenda nyie
Dada anafutwa machozi anamtoa mikono anajua jamaa anavyofuta kwa kusugua make up inafutwa😁😀😃sasa hyo lia huku unaangalia make-up ictoke ni ya kinafk
Na ni kwel😂😂
Kweli chombo umeopoa
Pesa ni jawabu
Tumesoma nae chuo IFM huyu dada
Inawezekana
@@walterbenedict7214 ndio tulikua tunakaa nae room mate wetu uyo sema ndo maisha
Mwnme au mwnke?
@@walterbenedict7214 mwanamke tulikua tunakaa nae nyumba moja tuliish as a family
@@joshuasanga790 sawa
Maneno kuntu
🤣🤣🤣👌👌👌🔥🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳
Vijana tutafute helaaa
That it is
Mtabaki kodo
Unataka kufuta make up za watu?
good love
Mbona huyu demu anautoa mkono wa mchizi as if wamegombana??
Mchizi wako Angevuruga MAKEUP za mrembo. Hawa MADEMU bila makeup huonekana kama vinyago
Anaguta make up
Makeup ndo shida
Angetoa kope ndo maana
Analinda mekap
Bi harus hataki kushikwa😅
Hataki makeup iharibike dada yangu
Madem wa kibongo ni wasenge sana... ngoja tuone ila Mungu awasaidiee
Anyway wanaume endeleeni kutafuta pesa 🤣🤣🤣
Tafta pesa huko ili tuache huo usenge
Alikuwa anamfuta makeup bhana,,
Singeli inayohit ruclips.net/video/wxfTfu0_S6U/видео.html
We msifie tuu kashakojolewa na wajanja
Wanaume taften pesa
Sawa Anna Joseph kwa ushauri
Umemichekeshaa
@@marysaimon3887 kweli aisee watafte pesa
@@annajoseph9955 kabisa pesa ndio kila kitu jamani. Upendo upo lakini pesa ni kigezo kikubwa sana sana.🤔🤔🤔hivi hapo asiwe na pesa japo ni uumbaji wa Mungu hatukatai hivyo alivyo ni Mungu bila pesa kumkubali ingekiwa shida sana .
@@tajimwambole3115 kabisa Yani
Mungu awabariki
Wa bongo tunateseka jamaniiiii
🥰🥰🥰🔥🔥