UKITAZAMA HILI TUKIO UTATOKWA NA MACHOZI WALIO HUDHULIA WOTE WALIMWAGA MACHOZI ,NDOA AHABU NA ZELDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 419

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 3 года назад +22

    Manshaallah tabarak Allah 💞. Mwenyezi Mungu mtukufu Subhanah wataala awe mulinzi wa maisha yenu na pia adumishe upendo wenu Inshaalllah 🤲🏻

  • @DumabuDumabu
    @DumabuDumabu Год назад

    Mwenyezi mung awapatie Barak zake jamn daaaah

  • @lilianbahat9075
    @lilianbahat9075 2 года назад +3

    Nimependa nami sku moja nataman nam iwe ivyo.umewafaa na mnapendan sanaa nawatakia maisha mwema kwenu dada na kaka angu

  • @florahirene9690
    @florahirene9690 2 года назад +4

    So wonderful.Mbona sikuzaliwa Tanzania nikawa na sauti tamu hivo ya uimbaji?Mungu kaibariki ndoa hii na kuijenga Kwa mwamba usio tingika.Blessings.

  • @aishaikhallah2588
    @aishaikhallah2588 Год назад

    Sijui kwanini Imani yangu inanituma kwamba watadumu katika ndoa yao inshallah ❤️💙💙🥰🥰🥰 simple and clearly weeding

  • @saraHolota
    @saraHolota Год назад

    Kwel dada angu umelelewa katika maadil mema mungu akutangulie katika maisha yako

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 3 года назад +6

    Hawa watakuwa ni wanakwaya....siyo bure....Hongeren sana jmn.Mungu awalinde daima.🙏

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад

    Arusi nzuri kuliko zote ninazo zijuwa hiyi inaushuhuda muzuri amevaa vazi la harusi kizuri amependeza kwa nyimbo haringi kwa chochote mungu mu ongoze kwa maisha ya ndowa mwanzo hapa hâta uzee wake

  • @RoseDickson-z9w
    @RoseDickson-z9w Год назад

    Nimewapenda sana jamon mungu akabariki ndoa yenu mkazae na matunda mazur, ki ukwer nimelia machozi ya furaha 🎉🎉🎉❤

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 3 года назад +4

    Waoh nimependa hapo walipoimba yy namumewe 😘😘😘

  • @estherlissu6173
    @estherlissu6173 2 года назад

    Hongereni saaana wapendwa wetu, MUNGU akawe furaha yenu daima

  • @hinduallymkuyumkuyuallyhindu
    @hinduallymkuyumkuyuallyhindu 7 дней назад

    Nice dada ake umetisha

  • @anajoycemshunju9124
    @anajoycemshunju9124 Год назад

    Mungu aibariki ndoa yk uliyoyafanya yalikua kwenye mawazo yangu mungu akutanulie ktt maisha mapya

  • @ellahdamian7093
    @ellahdamian7093 3 года назад +7

    Mkaishi salama mungu awatangulie katika maisha yenu

  • @stellarnyakundi9940
    @stellarnyakundi9940 3 года назад +2

    Nimejikuta nalia wish you all the best from Kenya

  • @annetikonya6037
    @annetikonya6037 Год назад +1

    Mbarikiwe sana bi harusi na bwana harusi

  • @sharonkemuma7008
    @sharonkemuma7008 3 года назад +9

    Wooow, congrats to you how I pray that I cry the same tears on my wedding day too💕

  • @AgnessBonniphace
    @AgnessBonniphace Год назад

    ❤❤ wimbo mzuri Sana umenikumbusha dad

  • @reginamajebele5302
    @reginamajebele5302 2 года назад +3

    Safi sana ,maisha ya ndoa Na miiba mingi kwahiyo msimwache Mungu

  • @JacksonKato-o6n
    @JacksonKato-o6n Год назад

    Mungu ibariki iyo ndoa muishi kwa amni na musimuache uyu mungu Amina ❤

  • @carolineamunga182
    @carolineamunga182 3 года назад +5

    What awedding!Can't hold my tears. May God bless you as begin this journey together

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 3 года назад +5

    Hongereni jamani maharusi hadi rahaa mmependeza sauti nzuri nyimbo nzuri rahaa nimewapendaa

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +1

    Sauti ya huyo Dada jmn ni nzuri kenyewe kazuri nimekapenda sana mwaaaaa

  • @jacklinemaruti2088
    @jacklinemaruti2088 3 года назад +2

    Mwenyezi Mungu awapaatie mibaraka zake kwa ndoa yenu.

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 2 года назад

    Binti Amelia mpaka akanifanya nami kasikia kulia, watching all the way from nrbi Kenya.

  • @MarthaEmmanuel-n6b
    @MarthaEmmanuel-n6b Год назад

    Ooooh my God! Binti mwenye Hofu ya Mungu na maadili ya Kisabato. Nice and simple Wedding

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +1

    Mungu awatangulie mdumu daima katika upendo wapendwa mnaonkna mmedndana sana mwaass

  • @rosemuthoni8109
    @rosemuthoni8109 3 года назад +2

    Watching from Kenya God bless you all the time and give you good life and peace

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +6

    Wahooo sauti nzuri ni wasabato sio dah nmn wanavyoimba kwa hisia sauti za utulivu km wasabato safi sanaaaaa

  • @rechomengo2923
    @rechomengo2923 3 года назад

    Hongereni nimewapenda

  • @neemasamweli9214
    @neemasamweli9214 3 года назад +1

    Saf sana nimependa mungu azdi kuwatunza na kuwakimbatia pamoja na kizaz chenu

  • @avitusdamian5846
    @avitusdamian5846 2 года назад

    Kazi nzuri wajina

  • @rachaelgamba5831
    @rachaelgamba5831 2 года назад

    Mubarkiwe sn mpendw mkawe bab na mam bora ktk famili yenu

  • @SabinaChacha-dy2yg
    @SabinaChacha-dy2yg 8 дней назад

    Aise mnaendana Kila mmoja amepata wa kufanana nae ❤❤❤

  • @sarahmsanga1585
    @sarahmsanga1585 3 года назад +2

    Nimewapenda bure mkadumu milele ktk pendo lenu mkaendelee kumtanguliza Mungu kila hatua

  • @esterseif2049
    @esterseif2049 3 года назад +3

    Mungu awatunze ktk Ndoa yenu Mume tunza huyo Mke ni kutoka kwa Mungu

  • @damarismoraaalloys5431
    @damarismoraaalloys5431 3 года назад +6

    All the best in your marriage,, may God continue protecting you with blood of Jesus🙏🙏

  • @blessedrael7632
    @blessedrael7632 2 года назад +1

    Its nice one...I can't hold my tears...so touching... May God bless your union

  • @janetchepngetich4200
    @janetchepngetich4200 3 года назад +7

    Absolutely beautiful cograts guys May God bless your union increase you in number and keep the Lords fire burning.

    • @janewamono8874
      @janewamono8874 2 года назад

      God is great Love yesterday today and forever,Heeko

  • @shariphaabdallah7286
    @shariphaabdallah7286 2 года назад

    Hongera sana classmet

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 3 года назад +4

    Mungu akawatunze nyinyi pamojq na kizazi chenu Amen

  • @AngelSalum-p7u
    @AngelSalum-p7u Год назад

    Mm czaretisha nimependa sanaa

  • @MarryjustajonhnPaul-pi8kb
    @MarryjustajonhnPaul-pi8kb Год назад

    Mungu awap baraka ktka maisha yao. Nmeupnda huu wimb nitauptj

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 года назад +3

    Umeimba dada wimbo mzur
    Mungu akawalinde daima

  • @mngumijosephat9227
    @mngumijosephat9227 Год назад

    Safi kabisa, utukifu Kwa Bwana

  • @aaronswai6935
    @aaronswai6935 2 года назад +2

    Waooo! Very simple wedding full of glory to God Almighty. May God bless your life abundantly

  • @neemadamian9146
    @neemadamian9146 2 года назад

    Mungu akutangulie katika maisha yalo

  • @yusterkedimon2966
    @yusterkedimon2966 2 года назад

    Mungu awapatie furaha katika maisha yn ya ndoa

  • @neemamadenda3224
    @neemamadenda3224 Год назад

    Wawooooooo so beautiful and amaizing wedding aseeeeee nimewapenda bureee 💏💏💏💏

  • @orsolinaleonsminja6436
    @orsolinaleonsminja6436 3 года назад +3

    Touching, nimejikuta nami nalia. Mungu awatunze.

    • @lukengungulu7482
      @lukengungulu7482 2 года назад +1

      Harusi nzuri Sana kwakweli, Mungu Mwenyezi akawaongoze vema

  • @marylymo2906
    @marylymo2906 2 года назад

    Ni ya kipekee Mungu awatangulie,MNA hekima na busara,it's unique real...

  • @MwajumaNanyanje
    @MwajumaNanyanje Год назад

    Nyumba huaza na msingi kisha mengine yanaendelea hongera bi harusi❤❤❤❤

  • @emilynyaboke3957
    @emilynyaboke3957 3 года назад +1

    Actually am touched o wish and pray that I Will cry for my own wedding the way am crying God bless your union

  • @FloraFweda
    @FloraFweda Месяц назад

    Waoooh pendeza sana Mungu asimamie ndoa yenuu

  • @dalalihakweahakweya6662
    @dalalihakweahakweya6662 2 года назад

    Daaaaaaah, Wadogo zangu mke na mume wote mmeendana sana mke mzuri mume usmaty pia nyimbo ya pamoja pia mmeimba vizuri sana mke pia nyimbo ya peke ake kasimama vizuri mimi kama mimi Na Muomba Mungu akawape maisha ya kusikirizana katika ndoa harusi zakanisani na ukumbini hihapa na ya kwanza kuiyelewa 🇹🇿🇹🇿😭😭💍💍✔✔

  • @AminaBakar-q1x
    @AminaBakar-q1x 5 месяцев назад

    Hawa wanakwaya mana izo saut ❤❤❤❤

  • @nazaeljohn7143
    @nazaeljohn7143 3 года назад +8

    All the best... I like Sabbath marriages... Very respect

  • @happynessemmanuel3214
    @happynessemmanuel3214 Год назад

    Hata namie chozi limenitoka happy wedding my dear

  • @MourineOtieno-g8q
    @MourineOtieno-g8q 10 месяцев назад

    That's awonderfull wedding can't hold my tears 😂 may God bless them

  • @BarakaSolomoni-no2jd
    @BarakaSolomoni-no2jd Год назад

    mungu awabariki sanaaa waimbaji

  • @fauziaherry2550
    @fauziaherry2550 2 года назад

    Mwenyezi mungu awalinde katika Maisha ya ndoa yenu Inshaallah na awajaalie kizazi chema chenye furaha nafamilia yenu iwe mfano wa kuigwa

  • @christabelimonje4964
    @christabelimonje4964 3 года назад +1

    Wooow this the best .mungu akubariki ndoa yenu

  • @jannetsolacee8076
    @jannetsolacee8076 3 года назад +10

    I remember crying like this 7years ago as if I was not going back home to even greet them.....but it's beautiful day n memorable one.God bless this amazing couple 💕

  • @annehmutiso9179
    @annehmutiso9179 3 года назад +14

    I cried tears of Joy...This was wow ..May God bless this wedding so much...live long Darlings

  • @edithamichael7639
    @edithamichael7639 2 года назад

    Hongera sana dada

  • @sashaandanje763
    @sashaandanje763 2 года назад +1

    Wow!ningependa kujua jina la wimbo huo wa kwanza tafadhali

  • @beautymwaseba200
    @beautymwaseba200 3 года назад +1

    MUNGU awabariki sana

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад

    Mungu awaongoze mwanzo mwisho adui à sipate nafasi kwenu kwa chochote roo takatifu awaongoze kwa yote mema amina🙏🙏

  • @judithmundele228
    @judithmundele228 3 года назад +3

    Njameni nina liyasana mungu awaweke vizuri 😍😭

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 года назад +3

    Mungu hawabariki sana kwa ndoa yenu

  • @Diana-Andi
    @Diana-Andi 3 года назад +1

    Woi nimekata onions😭😭😭😭but ya happiness.... be blessed as you start together this journey ya marriage

  • @VivianYasini
    @VivianYasini Год назад

    Duuuu jmn jmn had machoz kwel barikiwaaaaa🎉

  • @irenemoraa9136
    @irenemoraa9136 2 года назад

    God bless u
    Great example

  • @emmahadhiambo7324
    @emmahadhiambo7324 2 года назад +1

    The best wedding have ever watch. May almighty God bless your union.

  • @wizomdanandatz9130
    @wizomdanandatz9130 3 года назад

    Jaman dada umependeza sana na unajua kuimba mungu awaongoza hii sku ni 1 wara haijirudiag ten nawapenda sana

  • @winemmanuel6014
    @winemmanuel6014 3 года назад +1

    Congrant s jaman ni zuri mungu awape maisha ya heri mpk ibilisi asione wivu,,,,, nawatamani sana ee mungu nipe nami nafasi Kama hii maishani

    • @angelamarlow510
      @angelamarlow510 3 года назад +1

      Win upo km mm
      Nataman sana hii nafasi lkn shetan anaweka vikwazo hataki niilate maana naona kbisa nimkono wa shetan Ee Mungu wa mbinguni fanya njia pasipo na njia nione njia 💙

    • @happynessathanas8644
      @happynessathanas8644 3 года назад +1

      Tusalini TU wapendwa hakuna lishindikano kwa MUNGU hata Kama sio leo lkn tujue tunatarajia kitu chema kilichofunuliwa kwa macho ya nyama na M/ Mungu.

    • @danielpaul8969
      @danielpaul8969 3 года назад

      Win ucjal,usichoke kumuomba Mungu

    • @evancymassawekenya7521
      @evancymassawekenya7521 3 года назад

      Win just continue to pray and one day utapokea jibu yako God alalangi aky Amin hivyo

  • @MatekereBiseko
    @MatekereBiseko 11 месяцев назад

    Mungu awabariki Wana ndoa hao❤

  • @VetianaJackson
    @VetianaJackson Год назад

    Anaimba vzur woow🎉

  • @YezukizaFororie
    @YezukizaFororie Год назад

    Congratulations on you my sister may you have a great time in your marriage

  • @oqtiraula1814
    @oqtiraula1814 3 года назад +5

    MBINGU ZINENE MEMA KWENU. BE BLESSED.

  • @reginaodetta8246
    @reginaodetta8246 3 года назад +6

    Upendo wenu udumu milele 🌹🌹 muzae vijana na wasichana 👍👍mungu awalinde kwaunyumbawenu 💖💖💖💖

  • @amodingestherfavor2084
    @amodingestherfavor2084 3 года назад +9

    I believe one day I will also cry tears of joy in my wedding day.

  • @emmanuelpeter7746
    @emmanuelpeter7746 3 года назад +1

    Mungu awaongoze katika maisha yenu ya ndoa. Msije mkamuacha ukumbini mkafika kuanza vita nyumbani kwenu

  • @jenithapaul5853
    @jenithapaul5853 3 года назад +4

    Such a blessed wedding may the living almight protect you🙏🙏♥️

  • @BahatiFaustin-c2x
    @BahatiFaustin-c2x Год назад

    Mwenyezi Mungu awalinde

  • @lydialomnyaki2191
    @lydialomnyaki2191 2 года назад

    Mungu atusaidie tuwaleleee watoto wetu katika maadili mema jamani, Mungu ibariki hii ndoa,raha sana jamani

  • @halima6737
    @halima6737 2 года назад

    You have shine

  • @elitailomo2582
    @elitailomo2582 2 года назад +2

    Wow amazing I love this song ,,If God wish I will sing like this in my wedding

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 года назад +1

    Maashaallaah ina uma jamani kweli siku ya kuondoka kwa wazazi lazima tu ulie mungu awabarki sana muish milele hadi kifo amin

  • @mercyk9900
    @mercyk9900 3 года назад +10

    Please honor her, treat with respect, submit to her as much as she submits to you. Don't abuse her, she is so precious.

  • @elizabethangalo6355
    @elizabethangalo6355 3 года назад +4

    Najizuia kulia lkn nashindwa.Mungu akawatangulie jmn

  • @ashukuliwedaniel4917
    @ashukuliwedaniel4917 2 года назад

    Hongereni sana

  • @michellemakena4877
    @michellemakena4877 3 года назад +1

    Hiyo ndio maisha ya kila mwanamke tujikaza maisha mema siz mungu awalide milele

  • @Naomie-s1b
    @Naomie-s1b 6 месяцев назад

    Hawa watakuwa niwanakwaya wakubwa. Saba iZi sauti zinatisha sana. Mungu anijalie namimi

  • @DevothaAmbrose-v6i
    @DevothaAmbrose-v6i Год назад

    Hiiii ni yakushangaza mungu awafanikishe akiiii,

  • @elidhabertbatano4583
    @elidhabertbatano4583 2 года назад

    Mbarikiwe xn wapendwa

  • @ezratush5008
    @ezratush5008 3 года назад +2

    I have never cried because of a video,,,but this made me cry serious,😭😭,,may God bless this family...🙏🙏

  • @winnerhapila155
    @winnerhapila155 3 года назад

    Nimeipenda buree

  • @mariaernest9324
    @mariaernest9324 3 года назад +4

    Mungu awabariki

  • @MeryPetro-w9h
    @MeryPetro-w9h Год назад

    Nimeipenda natakia maisha mema