UTACHEKA VITUKO VYA MAGOTI AKIMTAMBULISHA MKE WAKE "BABA MKWE WANGU NI HANDSOME, HIKI NI CHOMBO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 121

  • @AnnaSaitabau-rf9ko
    @AnnaSaitabau-rf9ko 6 месяцев назад +16

    Mwanamke mnyenyekevu Sana Mungu akubark joys

  • @ainessfoya4463
    @ainessfoya4463 6 месяцев назад +10

    Nimefurahiii mno na mtiririko wa maelezo yako Magoti wewe uko vizuri....mama samia asante kwa malezi ya mh..Dc..mungu akulinde kibali ni chako..

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 6 месяцев назад +2

    Ukitaka kujua MUME mwenye UPENDO wa KWELI au Mme utaona muonekano wao unakupa picha hakika Hon.magoti ni MUME MWEMA Kwa mkewe ,MUNGU AWATUNZE NA AMEMTAMBULISHA VYEMA MKEWE ALL THE BEST 🎉

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 6 месяцев назад +7

    Du mi sina ka kuongeza hongereni saana mmenisisimua mungu awabariki sana

  • @FelisterNdaka-g9r
    @FelisterNdaka-g9r 6 месяцев назад

    Mama samia ni mtu Muhmu sana amekuwa kiongozi bora mwadilifu sana mwenywe huruma na msimamo ilov❤ mr magot mungu atunze kaka

  • @marrymzimya253
    @marrymzimya253 6 месяцев назад +1

    Hongera sana Petro tunakuombea kwa Mungu akuongoze na ndoto yako itimie.

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 6 месяцев назад

    Congratulations Mr.Magoti,well done ✅

  • @mohamedhamedseifelsawafi8309
    @mohamedhamedseifelsawafi8309 6 месяцев назад +8

    Asante baba mungu akuzidishie khikma. Akupe kila la kheri

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 6 месяцев назад +3

    Nakupenda sana Mr Magoti hongera

  • @salomefelix2052
    @salomefelix2052 6 месяцев назад +3

    Wifi YANGU JOICE NYOTA YA MBINGUNI IMEKUANGAZIA.MTUNZE MH. MAGOTI .shukrani ziwaendeee wote mpaka akina baba mkwe na mama mkwe kutoka mbali pokeeni maua yenu.🎉🎉🎉

  • @verinicamartin6420
    @verinicamartin6420 6 месяцев назад +1

    Mwenyezi mungu awalinde ktk ndoa yenu

  • @mutabazijustin-x2v
    @mutabazijustin-x2v 6 месяцев назад +1

    Safi sana kipenzi Magoti Mungu akuongoze kwa yote utakayo tenda maishani mwako

  • @marthamtanga6932
    @marthamtanga6932 6 месяцев назад +2

    Mh. Hongera sana

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 6 месяцев назад

    Wow! Ukawe kioo kwenye sehemu ya uongozi wangu 😊

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 6 месяцев назад

    Joyce amefituka bhaaaaaaah

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 6 месяцев назад +3

    Ongera Mh.

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 6 месяцев назад +2

    Umeongea vema hongera kaka

  • @beddaathanas3150
    @beddaathanas3150 6 месяцев назад +2

    Be blessed always comred

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 6 месяцев назад +2

    Safi sana!

  • @rosemanga1227
    @rosemanga1227 6 месяцев назад

    Uyu dada alikuwa mzur msahana sema uzazi umemfanya amekuwa kibonge sema bado mrembo tu

  • @mariamjuma8965
    @mariamjuma8965 6 месяцев назад +1

    amazing speech

  • @MariaPaul-w8q
    @MariaPaul-w8q 6 месяцев назад +1

    Mwanamke amekuaaa mmama had rahaa

  • @natashakibale5557
    @natashakibale5557 6 месяцев назад

    Magoti be blessed

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 6 месяцев назад

    Ameharibika wapi jameni?😮

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 6 месяцев назад +3

    Good work brother

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 6 месяцев назад +4

    Lakini watu wa itifak kwan hamkufahamu maumbile ya Magoti?? Ndio nini kumuwekea Podium ndefu?

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 6 месяцев назад +16

    Naamini siku Moja utakuja kuwa kiongozi mkubwa sana.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 месяцев назад +3

    Jamani hadi raha saha.

  • @halimaallyazizi4443
    @halimaallyazizi4443 6 месяцев назад +6

    Amen amen mungu mwema ninawapenda familia yote amen

  • @stellamiyombe6117
    @stellamiyombe6117 6 месяцев назад

    Huyu dada kwenye ndoa yake alikuwa mwmbamba kazuri hapa nimemkumbuka mwanya tu

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 6 месяцев назад +5

    WATU WA PROTOCOL NI PISIII

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 месяцев назад +2

    Jambo zuri sana

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 6 месяцев назад +4

    mbona sauti kama ya magufuli jmn

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 6 месяцев назад +1

    Hongera sana

  • @atotark3889
    @atotark3889 6 месяцев назад +4

    Watu wa protocal

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 6 месяцев назад

    Amekuwa chibonge kwakweli kupendwa raha sana

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 6 месяцев назад

    Yuko vzr

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @stellangowa1893
    @stellangowa1893 6 месяцев назад

    Mh ndio kujiachia gani hukoo uzuri wotee umepotea.
    Punguza Menu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 6 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @VeronicaSteven-of1qe
    @VeronicaSteven-of1qe 6 месяцев назад

    Jamani huyu kaka wa shati la mistari kavamia familia hata hjtambulishwa pekeake

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 6 месяцев назад +1

    Dah niliimis sana hii copy jmn nawapenda Sana 🎉❤

    • @josephk90
      @josephk90 6 месяцев назад

      Copy ya nini?

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 6 месяцев назад

      😂😂

    • @josephk90
      @josephk90 6 месяцев назад

      @@bonvivant3704 wabongo bhana na kiingereza, eti couple ndio copy😃😀😀

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 6 месяцев назад

      Tumsamehe itakua typing error😩

  • @rashidiNuru-kv7fg
    @rashidiNuru-kv7fg 6 месяцев назад +1

    Anaongea kama mzee magu

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 6 месяцев назад

    Safi sana

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 месяцев назад +2

    Peleka maji visegese na umeme utapaa zaidi

  • @wamburajohanes952
    @wamburajohanes952 6 месяцев назад +1

    Protocol safi

    • @stewardlwimbo3944
      @stewardlwimbo3944 6 месяцев назад

      Hivi watu wa protocol ndo watu gani naomba kujua

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 6 месяцев назад

      ​@@stewardlwimbo3944 nikiwemo na mimi watujuze

  • @vickhongole6611
    @vickhongole6611 6 месяцев назад

    Asante

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 6 месяцев назад

    🙏🙏

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 6 месяцев назад +5

    Hiyo podium kwa ndg yetu ni ukatili pia. Mkijua mna watu wenye changamoto muwatendee haki

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 6 месяцев назад

    Nasikia una ua watu

  • @bonifacemkanga6302
    @bonifacemkanga6302 6 месяцев назад

    NAONA ULITAKIWA KUWA PADRI LAKINI MAGOTI ULIKATA KONA

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 6 месяцев назад +31

    Huyu mwanamke ulivyo muowa alikua mzuri jamani uzazi ndio umemuaribu sana

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 месяцев назад +1

    Anaongea busara sana

  • @sund2553
    @sund2553 6 месяцев назад +1

    Analeta wakwe wazazi wake wako wapi 😮😮😮

  • @elizabethkweji
    @elizabethkweji 6 месяцев назад

    Inatakiwa tuishi hivi

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 6 месяцев назад

    HONGERA SANA SANA

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 6 месяцев назад

    Hongera

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 6 месяцев назад

    Mgawa sumu Katika ubora wake

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 6 месяцев назад +4

    Kwani niki wa pili sahv yuko wapi si ndo alikua mkuu wa wilaya ya kisarawe

  • @emmanuelndahan9815
    @emmanuelndahan9815 6 месяцев назад

    Broo Magoti wazazi wako hujawaalika

  • @kibombi
    @kibombi 6 месяцев назад +6

    Badala ya kuleta wazazi wake yy kaleta wakwe

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 6 месяцев назад +1

      Jamani wazazi majaaliwa kwa mfano mimi hapa nilikuwa na wazazi ila sasa hivi sina wameshafariki

    • @giztony2009
      @giztony2009 6 месяцев назад

      You never know labda walishafarikii

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 6 месяцев назад

      Km wamefariki? Let's not be quick to judge

    • @paulinanahato4529
      @paulinanahato4529 6 месяцев назад +1

      Wazazi wote ni wazazi tu

    • @m-tatu1050
      @m-tatu1050 6 месяцев назад

      Msikariri Magoti siyo mjinga kiasi hicho Hadi ashindwe kuwatambulisha wazazi wake, inawezekana Hana wazazi.

  • @reubenleonard1612
    @reubenleonard1612 6 месяцев назад

    Kibaha

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 6 месяцев назад +2

    Mushimiwa umeme kijiji cha kisangile tafadhali

  • @Catty-e7o
    @Catty-e7o 6 месяцев назад

    Akashughulikie migogoro ya ardhi