MZEE WA SALUTE: THANK YOU YA MIQUISSONE IMENINYONG'ONYEZA | AWATAJA WANAOTAKIWA KUONDOKA KIKOSINI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 14

  • @LeapaRoine
    @LeapaRoine 6 месяцев назад

    Forward mpya Katili ni muhimu sana. Jobe apewe Thank you!!!!??? Pia katikati No 6 asilia asajiliwe, beki atakayechukua nafasi ya Inonga apatikane na wasaidizi wa Kapombe na Mohammed Hussein wapatikane ili na wao waanze kushindania nafasi. Kuachwa kwa Miquison ni sawa kwa sababu ya gharama yake na performance yake msimu uliopita! Japo ana kipaji.

  • @romananselimi2433
    @romananselimi2433 6 месяцев назад +1

    Bonge la mchezani Simba wamemwacha miquisson atakumbukwa daima .

  • @KiteteKitete-n2q
    @KiteteKitete-n2q 6 месяцев назад

    Interview imeanza asubuhi hadi usiku kisha hatuelewani kilichoongelewa.... 😊

  • @bauchahamad5333
    @bauchahamad5333 6 месяцев назад

    Kimbe na ww mzee wa salut kumbe hujui hata mpira na bado unataka ukurugenzi wa mapenzi na wanachama

  • @ahmadmasoud1350
    @ahmadmasoud1350 6 месяцев назад +2

    Nyie mashabik na wapenzi vijana mnayumbisha TIMU mnaongea sana na ivo viTv vyemu

  • @RizikMjujulu
    @RizikMjujulu 6 месяцев назад

    Miquison kaponzwa na mkataba wake,akifunga dollar 200,akitoa pass ya goli dollar 100,viongozi wakatoa maagizo asicheze ataitia gharama simba,miquison bonge la mchezaji

  • @alphoncelushinge1120
    @alphoncelushinge1120 6 месяцев назад

    hamna kitu hapa ni muda sana viongozi wamewafuata mashabiki sasa basi sisi tunachohitaji mpira

  • @SulemaniNassor
    @SulemaniNassor 6 месяцев назад

    Mze wa salitu upo sawa juu ya mtadhamo wako

  • @mwanawagurti4959
    @mwanawagurti4959 6 месяцев назад

    ubora umepungua kwa ubora wa awamu ya kwanza

  • @ExpeditusMpulu
    @ExpeditusMpulu 6 месяцев назад

    Mpeni senkyu Ngungu.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 6 месяцев назад

    Miqson akaricava akikaa sawa atarud

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 6 месяцев назад

    Hata Mimi nimeogopa

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 6 месяцев назад

    Eti mzalamo wa Simba nimecheka kwa sauti

  • @CharlesMgassa
    @CharlesMgassa 6 месяцев назад

    Ujinga miquisson hata mm imeniuma that's was Simba era like Sako fck dis