LUIS MIQUISSONE AFICHUA MAZITO BAADA YA KUPEWA THANK YOU NA SIMBA/VIONGOZI WAMPIRA JAKUNA......

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 8

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 6 месяцев назад +2

    Tatizo makocha walioletwa Simba na uchezaj wa miquisson ni Vitu viwili tofaut Luis nimchezaji wa pas fupi fup na co huo waliokua wakicheza sasahivi hapo simba

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 6 месяцев назад

    Mridisheni Konde boy,kwani ameshasajiriwa kungine? Wanasimba tuache kulalamika wakati fununu tulizisikia. Arudishwe Konde boy na Saido. Fabric asiachwe.

  • @fadhilinanyanga2048
    @fadhilinanyanga2048 6 месяцев назад

    Luis angekuwa analipwa mshahara wa bei cheee angeachwa ila kwa mshahara ule na dakika zile alizozipata kuachwa kulimhusu kwa mana Simba ilikuw inapata hasara .kwahiyo viongoz hawakuw na budi kumpa thank you ingawa parfomance yake ilikuw ya wastani

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 6 месяцев назад

    Acheni kuzungumzia wachezaji walioachwa kuwaona wangeweza kufanya vema wakati wameachwa,haisaidii kitu,mngesema hayo kabla hawajaachwa. Nyamazeni au wekeni maji mdomoni!

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 6 месяцев назад

    Kibu asiachwe,anapeleka moto sana kwa wapinzani UWANJANI. Ubora wa mchezaji sio tu kufunga,ata kusumbua kwake UWANJANI kwa wapinzani ni MCHANGO mkubwa.

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 6 месяцев назад

    Kumuacha micsoni ni dhambi

  • @CareenJulias-iu7tf
    @CareenJulias-iu7tf 6 месяцев назад

    Kwa wana simba wenzangu kwa wakati huu tulionao na kwa hali hii tuliyonayo tuume meno, tuvumilie kwa hali yoyote itakayotokea kwenye thanks hizi. Mimi kwa yeyote yule atakayeachwa ni sawa tu kwani kama ni wazuri sana kwa nini simba imeenda shirikisho? na hali wao walikuwemo kwenye squard.

  • @ClemenceMwarabu
    @ClemenceMwarabu 6 месяцев назад

    Tunataka mtu wa kufanya kazi na ionekane sio majaribio nijambo jema kumuacha maana tusikalili jina na historia