RINGO AMTOA MACHOZI MAMA YAKE ALIA BAADA YA KUFUNGA NDOA KANISANI KWA MASANJA, BI HARUSI HAAMINI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 15

  • @DoreenAkyoo-p7f
    @DoreenAkyoo-p7f 5 месяцев назад

    Ndoa iwe njema na yenye baraka

  • @RashfatMorice
    @RashfatMorice 5 месяцев назад

    Ndo tunayo na tunatamba nayo👌

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 5 месяцев назад

    Haki ninaamini hakuna kama mama najua machozi ya Ringo ni ya Furaha. mungu awape furaha kwenye ndoa yenu.

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 5 месяцев назад

    Ringo anaoa hongera

  • @RosemaryKyaruzi
    @RosemaryKyaruzi 5 месяцев назад

    Congrats 🎉🎉🎉🎉

  • @Jenny-v3c7x
    @Jenny-v3c7x 5 месяцев назад +1

    Ringo kwa kulia jamani mmmh

    • @aminamunda1499
      @aminamunda1499 5 месяцев назад +1

      Huenda ikawa hana baba na kuna maisha waliyoyapitia na mama yake hivyo kwa kufika hapo alipofikia lazima machozi yamtoke

  • @ZaitunOmar-w3t
    @ZaitunOmar-w3t 5 месяцев назад

    Mmh bi haruc hayupo sawa pana jambo hapo ndoa ya kanisani na hina jaman mmh

  • @neemaelyandrew7944
    @neemaelyandrew7944 5 месяцев назад +1

    Kwani Ringo nikwamba unamachozi mengi au

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan 5 месяцев назад

    Ringo ukimaliza shughur utaumwa kichws

  • @AminaMgenzi
    @AminaMgenzi 5 месяцев назад

    Bibi harus arikuwa muisram kwa mtazamo Ila mwanamke Ana dini

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 5 месяцев назад +1

    Bi harusi hinna zann