DK8 ZA BABA KWA BINTI YAKE: HUNA DEGREE HUOLEWI/ WANAWAKE VIHEREHERE/ UKIHARIBU NAKUCHAPA BAKORA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 202

  • @norahmariwa8649
    @norahmariwa8649 3 года назад +6

    Such a wise father...am truly appreciate him😇

  • @fudasiakishe15
    @fudasiakishe15 3 года назад +2

    Mshukuru MUNGU BABA kawatunza Hawa mabinti Hadi wamefikia Hapo, tujishushe tumeinue aliyewawezesha. Tunatamani maisha yao yawe Ni ibada ya kuleta mabadiliko kijamii. Degree Ni sawa, lakes Ni upendo usiobeba unafiki Ni muhimu ulikoenda

  • @fredymotiba423
    @fredymotiba423 2 года назад +2

    I appreciate such kind of father's love

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 года назад +1

    Baba hongera Sana dada hongera pia kwa ndoa ndoa ni hekima busara kusamehana ucheshi na tabia njema ndoa ni chuo pia Kila siku unapata elimu hongera Tena mzee wangu bakora upo sawa very nice

  • @ishabellasanguli8481
    @ishabellasanguli8481 3 года назад +2

    Haha like my father woi he really likes her dotaz anatamani tukae hapo na haiezekani. May dad bless you dad.

  • @nyambofrancine8466
    @nyambofrancine8466 2 года назад

    thank you somuch baba anaongeya vizuri

  • @emmanuelmassawe745
    @emmanuelmassawe745 3 года назад +4

    Baba nimekupenda Bure mungu akubariki kwa mukuzi mema

  • @anesiusrweikiza4850
    @anesiusrweikiza4850 3 года назад +10

    It's true lakini mzee don't complicate life is so practical rather theoretical.

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 года назад +7

    Mzee hongera endelea kupigilia msumali mzee mkwilima ajipange mzee ni muwazi hamungunyi maneno very nice father

  • @angelamrema7607
    @angelamrema7607 3 года назад +15

    Such a wise family! Mzee Shasho ..You are the best😊

  • @estermwaipopo6872
    @estermwaipopo6872 3 года назад +7

    Baba nmemuelewa kwa maneno mazuri na ya kheri. I salute

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 3 года назад +38

    Nawatakia degrees nyingi za mbinguni jamani,, mfaulu vema,, mmependeza elimu mnayo kikubwa Ni kufauli kuiona mbingu jaman nawaombea Sana,,

  • @klainomar1930
    @klainomar1930 2 года назад

    Nawapenda

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 года назад +30

    Ambao tulikuwa tunaangali mishono ya magaun tu ili tupeleke kwa fundi maiko ili tuhudhulie harusi zingene vidole juuu

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 3 года назад +2

    Na Mimi nimejifunza kitu Asante Baba

  • @williamnassary6019
    @williamnassary6019 3 года назад +4

    Noma sana

  • @lavendernyawade1514
    @lavendernyawade1514 2 года назад

    I'm in love with her gown, where can I get this kind of material in Kenya

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 3 года назад +9

    Mtoto mzuri ana adabu sana binti baba amelea vizuri watoto wake

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 года назад +18

    Manenoyababa yamenikumbusha manenoya babayangukipenzi Allah a hamlehemu Amiina 🤲🤲🤲 alikuwaanapendakubiambia ivyo kuhusu kuchapwa

  • @noelasilayo1057
    @noelasilayo1057 3 года назад +7

    Wooow nice father nice speech 💪

  • @tendwajohn7785
    @tendwajohn7785 3 года назад +8

    Hawa ndy wazee ambao siyo rahisi kumuachia binti yake laana kwasababu wamejipanga sana. Tutafute hela ili tusitegemee watoto

  • @issayahya1640
    @issayahya1640 3 года назад +2

    Mzee anaupiga mwingi sana inaonekana enzi zake alikuwa hatari fire

  • @naihfrank7306
    @naihfrank7306 3 года назад +7

    God fath

    • @vedastinakasita9735
      @vedastinakasita9735 3 года назад

      Kwenye ndoa unaweza kuchemka na digree yako kikubwa maharifa. Cjui gani kina kozi hiyo?

    • @vedastinakasita9735
      @vedastinakasita9735 3 года назад

      Chuo gan kinafundisha kozi ya ndoa?

  • @IreneHatibu
    @IreneHatibu 5 месяцев назад

    Baba yuko sawa wengi wanaolewa lkn awajajianda mahal wanaenda? Mungu atusaidie sana

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 года назад

    Hongera kwa malezi malezi ya Hawa mabinti

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 3 года назад +3

    Nmemuelewa sana Mzee yaani mara nyingi sana mahusiano ya kindugu ya mtu huwa yanapungua anapooa au anapoolewa na mara nyingine sio kupungua ila kupotea kabisa na ndugu kuingia kwenye migongano kama iliyowakuta P square na hii huwa inatokea endapo mmoja baina ya ndugu ataolewa na mtu mwenye kipato kikubwa au kidogo sana kuliko nduguze hivyo kusababisha nduguze kumtenga kwa kumwona kakosea njia au kama kaolewa na tajiri wataona anaringa lkn suala lingine nililopenda ni hilo swali la je unajua unakoenda na je uko serious!!? ni maswali ambayo tunapaswa wote mara zote tujiulize.

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 3 года назад +8

    may God hear my prayers🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 3 года назад +9

    Mzee ana mbegu nzuri

  • @rogersabisai9970
    @rogersabisai9970 3 года назад +6

    Ngoja na mimi niendelee kuongeza familia,mzee ananifundisha somo kubwa sana.Sasa ni mwendo wa mimba hadi kieleweke

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 3 года назад +2

      Mzee ana ela,We una ela ya kuwalea timu kubwa Kama hiyo?

    • @josephlyela4112
      @josephlyela4112 3 года назад

      😂😂😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 года назад +2

      Ndoujue kuwalea vizuri nakuwapa degree siyo upige mimba ukimbie

  • @jokeableking7039
    @jokeableking7039 3 года назад

    Mzee ameuzaa mwingi ngoja na mm nizae zaidi ya 40 dah nimeipenda hyo

  • @soniamelissa2099
    @soniamelissa2099 3 года назад +7

    Baba nmekuelewa kweli 👏👏 i salute you

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 года назад +4

    Mashallah walobahatika na baba mwema maneno mazuur

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 3 года назад

      Baba mwema ni yule ambaye humfundisha mwanawe kumjuwa Mola wake sidhani kwa muonekano wa hao mabint walivyovaa pia nakushangaa sana Dada husna tena Sharif majina mazuri tena makubwa unahisi baba yako sio mwema huyo baba kafiri ndo unauona mwema

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 года назад

      @@jumahamadomar9124 niliyakosa mapenzi ya baba so kwangu sitokuja kumuona mwema,

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 3 года назад

      @@prettyh7509 kitendo cha baba yako kukuzaa hakuna thamani yakumlipa Dada mpende baba yako na kama ametangulia mbele ya haki muombee dua Mungu atalipa kwa matendo yake

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 года назад

      @@jumahamadomar9124 😭 shukran kipenz jazaka llahu khaira najitahid lakin wa llahu aalam

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 года назад

      @@jumahamadomar9124 Yesu Kristo ni Njia Kweli na Uzima, Huwezi kuiona mbingu bila Yeye

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd Год назад

    Mi sijui sijasoma et sielewi mzee anachosema😭😭😪

  • @anneafrica939
    @anneafrica939 3 года назад +11

    Degree ya mbinguni ndio kila kitu acheni majigambo baba yangu the donna Mama standard 7 ni mwanamke smart mbaya tatizo Hao huwa na commanding force kwenye ndoa kisa kijanamke Kina kimaster Cha kutawazia. Most rich men dont bother with a women Who have Degree wako busy na wanawake wenye maono wanaoweza kucare family.

    • @alexmurithi1327
      @alexmurithi1327 2 года назад

      Usipeleke watoto wako shule

    • @enockmaige8936
      @enockmaige8936 6 месяцев назад +1

      Kwan hapo kakosea nn na hajasema kwamba aliesoma aache kumtegemea Mungu acha makasiriko hata wachungaji na makasisi wanasoma ili wawe na maarifa zaidi ya kuwaongoza watu huku wakimtegemea Mungu

  • @ellydkweka6107
    @ellydkweka6107 3 года назад +1

    Wonderful fathers wotee wakiwa kama huyu ndoa zotee zingedumuu na kufanya mabintii kuwa katika njia sahihi katk maisha.like

  • @fashionstore1850
    @fashionstore1850 3 года назад

    Gara B namba zako

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 11 месяцев назад

    😊❤😊😊😊🎉

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 года назад +5

    Masifa yskizidi sana hakuna kijana atakaesogelea mlango wako utabaki na mabinti zako hata kam wana digrii elfu.

    • @didowamchops9229
      @didowamchops9229 3 года назад +1

      Na ndio wameolewa wote sasa ilivo bahat na raha kwa wazazi

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 года назад

      In sha Allah. Wala hawatabakia wataondoka mmoja baada ya mwengine kama tuonavyo.
      M/mungu si Athumani

    • @edithalagwen8465
      @edithalagwen8465 3 года назад

      @@didowamchops9229 masifa nayo yamezid kwa wale ambao hawajapata elimu katk familia zao wakisikia masifa hayo wanajisikiaje

    • @dennismrutu7824
      @dennismrutu7824 3 года назад

      Anakosea sana

    • @salmasaidimaulid7783
      @salmasaidimaulid7783 3 года назад +1

      Wasiwasi unaotengeneza wa nini.? Kizuri kinajiuza. Huyu baba anajielewa sana

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 3 года назад +4

    Baba pua kawagawia wote. Wengi cheee Mungu awatangulie ila baba kuwa mpole kidogo degree c kitu unaweza hucsome na ukatusua

  • @juliuskivuyo1755
    @juliuskivuyo1755 Год назад

    Gara b nifanyie mpango wa huyo mdog alie baki

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 3 года назад

    Hongera sana Dada kufikia hatua hiyo nzuri

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 3 года назад

    Hongera mzee

  • @joserop1192
    @joserop1192 3 года назад +1

    Dah! Mzee ana mabinti kweli

    • @evancesolomon4544
      @evancesolomon4544 3 года назад

      Nashukuru kama na ww umewaona..nilidhani ni mimi mwenyewe

  • @dorakaloli6038
    @dorakaloli6038 3 года назад +1

    Hongera Sana baba Mungu azidi kukulinda

  • @veronicajordan6826
    @veronicajordan6826 3 года назад +4

    Daah mzee unamabinti uyo mdogo ntaoa mimi ngoja nimalze degree 😀😁

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 года назад +6

    Darasa la 7 mtupishe kidogo

  • @Mubarak_1000
    @Mubarak_1000 3 года назад +4

    Nimependa mahali anasema akikuta mwanae amekosa ataenda na BAKORA, kinyume chake ni kwamba kama mwanae hajakosa lazima asimame ktk kutetea mwanae na hatopenda mtu amchape au kupiga binti yake, nimeipenda hii

  • @agnessmkoma1761
    @agnessmkoma1761 3 года назад +5

    I like the father

  • @LukeUrioNEWS
    @LukeUrioNEWS 3 года назад

    Shikamoo baba

  • @hoseamgema9107
    @hoseamgema9107 3 года назад

    Faza Shango una kibao kizuri cha kufyatulia .😋

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 3 года назад +5

    Hata mimi niatafuatilia sana atakakoolewa binti yangu. I mean inapofika swala la kuolewa ni muda wa kumsaidia binti hasa kwa kumwandaa

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 3 года назад +2

    Mmh ana mabint weng

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 3 года назад +23

    Wanaelewa wasomi tu hapa la saba wanaangalia suti na gauni!

  • @joanbaby5953
    @joanbaby5953 3 года назад +6

    Mc umeshindwa kutuombea namba za simu za hao Wadada jaman

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 3 года назад +2

    Mmh anafanana na babake huyo

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 года назад +8

    Mzee mbona unawatisha watoto wako waolewe na Nani ama ukisomesha pesa yako inakuuma sana

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 3 года назад

      Alafu kusoma na ndoa havina uhusiano wowote.pia wanawake wasomi Sana huwa hawadumu Ktk ndoa zao.Unajua kwanini?....

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 3 года назад

      @@emmadominic9601 embu nambie kwani uwaga ivyoo

    • @geraldsanga4879
      @geraldsanga4879 3 года назад +1

      Kwani wewe unaposomesha hela haiumi? Japo ni wajibu wa mzazi nadhan anatamani asomeshe hadi apo ili mtoto acjekulaum kuwa hakusomeshwa.

    • @dennismrutu7824
      @dennismrutu7824 3 года назад

      @@emmadominic9601 tuambie

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 3 года назад

      @@emmadominic9601 acha imani potofu sio lazima.. Kwa hiyo km uwezo upo wasisome?

  • @robimwita608
    @robimwita608 3 года назад +11

    Huyu baba anajielewa sana sana

  • @ledat6910
    @ledat6910 3 года назад +4

    La nami nimependa sana uyu dadi hakuna mwengine wakuchapa mwanaye bila muzazi aponime papenda bure aseee saluti

  • @loisndossi9877
    @loisndossi9877 3 года назад +2

    Ni maamuzi na maafikiano.Background matters !

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 3 года назад

    Hatoi dgree baba

  • @abimensa6177
    @abimensa6177 3 года назад

    Hii shape ya be harus kaitoa wap... Maana nduguze hawana😳😳

  • @serafinamalecela4728
    @serafinamalecela4728 3 года назад +6

    Manzi inadegree kibao halafu nzuri

  • @jacklinethomas110
    @jacklinethomas110 3 года назад

    Jamani naomba kuuliza kwanini wasomi wenqi niwashamba hawajui mapenzi ?

  • @AfriCapturetours
    @AfriCapturetours 3 года назад +1

    Yes baba safi kwa familia

  • @letisiamakonda3873
    @letisiamakonda3873 3 года назад +2

    Duuh fact tupu asee👐

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 3 года назад +2

    Kumbe Dada karidhi uongeaji kutoka kwa baba ake

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 года назад

    Elimu muhimu sana

  • @michaelobed3022
    @michaelobed3022 3 года назад

    Sio hilo tu kasema mzazi ndiye anapaswa kumchapa mwanaye kumbe kwenye ndoa asipigwe

  • @edachengula7134
    @edachengula7134 3 года назад +1

    Mungu aitunze familia yako

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 года назад

    Kumbe saitakuaje😊

  • @suzzysteven2847
    @suzzysteven2847 3 года назад +8

    Degree ngapi ziko zinajiuza huko na hzna makao kuolewa n bahati ya mtu

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 года назад

      Kweli kabisa usemayo ndo maana Kati ya binti zake wote inaonekana huyo na dadaake ndo waliolewa pekee wengine bado wapo wapo sana

  • @yusrahasnuu2673
    @yusrahasnuu2673 2 года назад

    Sasa wote hawa ni binti zke

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 года назад +5

    Inaolewa Degree au Mke?acheni mawazo finyu,watu hatuna degree na tumeolewa na wanaume wa maana kuliko huyo!
    Degree bdio nini??????

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 3 года назад

      good 👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼 comment maneno chefuu 😏😏😏😏😏 nimependa maisha yenu muliyojiwekea binafsi nimejifunza kitu, ila hiyo kauli ya degree haiwezi kumfanya mtu ndo ajenge ndowa yake au rasaba asiolewe na mwenye pesa, siye rasaba hatuna vingi vya kunadi kama hivi mitandaoni ila mbona tunaenjoy maisha yawezakana hata zaidi yake

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 года назад

      Samahani niulize kabila gani

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 года назад

      @@m.mmarckus6298 Uliza kabila yoyote tu!!

  • @Hungrydonkey9345
    @Hungrydonkey9345 2 года назад

    Mzee umeongea ukweli wote ambao wazee wengi huwa hawasemi badala yake wanakuwa wasumbufu kwa wakwerima zao!!!

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 3 года назад

    Wala hatoi lugha

  • @deborahmollel3170
    @deborahmollel3170 3 года назад +4

    baba nimekuelewa kisomi zaidi

  • @lettysalala1794
    @lettysalala1794 3 года назад +2

    Best Dad

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 года назад +4

    Wachanga na wachanga wenzio 🤔

  • @fabiansemba4572
    @fabiansemba4572 3 года назад

    mzee ana vinuuuuu

  • @kenedykatarama3966
    @kenedykatarama3966 3 года назад +4

    Ni kweli mlezi ni mzazi Kama ukulelewa vizuri kwa wazazi wako basi mme hawezi kukufundisha watu wanaishije

  • @jacklinethomas110
    @jacklinethomas110 3 года назад

    Anqekua hana chochote anqetanqazia nini?haya maisha tumuachie munqu.

  • @rogathmchau9416
    @rogathmchau9416 3 года назад +3

    KWA HIYO KWA UPANDE MWINGINE MZEE ANAMAANISHA HUWEZI KUMUOA MWANAE KAMA HAUNA DEGREE KAMA ZA WANAE.

    • @neemiandondole8795
      @neemiandondole8795 3 года назад

      Sisi wa la Saba tutajibeba

    • @mbarikiwambarikiwa6479
      @mbarikiwambarikiwa6479 3 года назад

      Ndo maana yake,na ndo maana ktk wote alionao wamebahatika 2 tu wengine hakuna kitu.

    • @jumalwaho7940
      @jumalwaho7940 3 года назад

      Mzeee utopolo degree inatuhusuu xixi xomaa biblee

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 3 года назад

    Safi saaaana Brother Shango 💪💪

  • @julithahayuma6277
    @julithahayuma6277 3 года назад +2

    Daah Yan huyu n Baba angu kabisa sem tuu Baba angu ataniambia nikiwa Mwenyew hahaha au tukiw n ndugu zangu

  • @rosesanford73
    @rosesanford73 3 года назад +4

    Wachache Sana Kama hawa

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 года назад

    Ukimchunguza sana nyoka utaona miguu.

  • @consoojoseph3918
    @consoojoseph3918 3 года назад

    Dah hongera Baba Kwa malezi mazuri,Mimi ni mzazi nimejifunza kitu.

  • @dothomwandaliw4057
    @dothomwandaliw4057 3 года назад +5

    Watu hamjamuelewa mzee yeye anataka ukienda kumwambia suala lakupata mchumba lazima uwe umemaliza degree moja mimi kwa mtazamo wangu anataka bint yake awe anajielewa zaid huko anapotaka kwenda ni hivyo mie lasaba nimuelewa. Huo ndio msimamo wake

  • @mfilingem
    @mfilingem 3 года назад +2

    Watoto wakali sema elimu yetu LA saba

  • @janethsanga5494
    @janethsanga5494 3 года назад

    Duuh hapo weng tucngeolewa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 года назад +1

    Baba kaongea ukweli!
    Yuko vzr mpaka raha

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 3 года назад

    Hizo degree akichemshia chai anakunywa au vepe

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 года назад

    Sungusia mmmhhhhhhhhhhhhhhhhjj

  • @bestonmfikwa8510
    @bestonmfikwa8510 3 года назад +1

    Dingi ni sheedah huyo

  • @mushiphysics.262
    @mushiphysics.262 3 года назад

    Degiriii ya 2😂😂

  • @Dogochao
    @Dogochao 3 года назад

    mzee mshamba huyu.

  • @njiwapori.oursongsismedium2594
    @njiwapori.oursongsismedium2594 3 года назад +4

    Dgree ndo inaolewa au wazee wengne bhna

  • @marselinadena7618
    @marselinadena7618 3 года назад

    .

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 года назад

    Kama mtoto wako akileta ujinga achapwe kidogo na mumewe

  • @michaelyohana4376
    @michaelyohana4376 3 года назад

    Kabila gan huyu mzeee