Barikiwa sana Mtumishi ni kweli. Hata mimi nilishawahi kumtolea Mungu siku moja nilikuwa naenda kanisani nikajisikia nitoe hela zote nilizo kuwanazo. Sikubaki hata na nauli ila Muda wa kuombea sadaka niliona. Mkonge uliokauka unatoka unatembea harafu kikaona mtende umesitawi na pembeni yake vipo vidogo viwili na chini yake yale majani alikuwa yamesitawi sana. Yaani tangia siku hiyo sijawahi kukoswa hela na maisha yangu yalipanda
mimi ushuhuda wangu Namshukuru Mungu amenipa kukuombea mwalim.nisipoomba kwa ajili yako na huduma ya mana kuna kitu namis ndani yangu na ninajua kabisa.so furaha yangu kukuombea mtumishi wa Mungu.Na ninabarikiwa na mengi mno kupitia huduma hii hapatoshi kuyataja hapa.Mungu awabariki sana mno.
Kupitia kwa mafundisho yako. Niliomba mniombee mamangu alikua akisumbuliwa n magoti. Alikua hawezi ata kutembea. Akaenda hospital akaambiwa ana shida ya moyo n Figo. Mwalimu Mwakasege alisema tuweke mikono kichwan kumuombea yule mgonjwa uko nae. Nikafanya ivo. Kwa sasa mama anatembea vizur sana. Japo bado hajapona kabisa, lakini nina iman atapona kabisa maana Mungu wetu n mkuu🙏🙏
Haleluya nawapa Hongera sana Wazazi wangu Watumishi Wa Mungu hadi sasa watuwengi tumefunguliwa sana nakubarikiwa Mungu azidi kuwapaka mafuta nakuwainua viwango vya juu pamoja na baraka tele za Mungu ziwafuate msipungukiwe kabisa
Nawapenda sana nyie watumishi wa mungu wa Izrael,,,,,Napenda sana maubiri yenu Namwomba mungu asinipite Asipite watoto wangu ,,eeeh mungu Nazidi kukuomba unipe mwalim wa neno lako kwenye uzao wa tumbo langu,,,Amen
Ninaponywa kila iitwapo leo kwa huduma yao mwalinu. Ubarikiwe ktka jina la Kristo Yesu. Ingependeza wachungaji kusimama kwa heshima ya Krisko aliye ndani yako wakati wote umwombapo Mungu.. Amen
Baba Mwakasege tutakuchangia wala usikate tamaa tuombee moyo wa utoaji na huruma. Mimi sijawahi kutoa fungu la kumi lakini nimeahidi kwa Mungu nitakuwa natoa kwako ila cjui lini nitaanza. Mafundisho yako ni mazuri sana.Tuliokuwa wavivu kwenda kanisani na wale tuliokatishwa tamaa na wachungaji feki wafanyabiashara na wachumia tumbo ambao wanakatisha tamaa kondoo, sasa tunapata neno la Mungu lenye kiwango kupitia vyombo vya habari na sadaka tunatuma kwa hiyo tunashkuru Mungu ametugusa kwa namna nyingine.Sasa tunapata neno tukiwa kitandani kwa muda wowote You tube,Facebook, tv na redio.
Wapendwa katika bwana mimi naomb mniombee nimekuwa mkame sana sana sisikii kuomba kabisa haya kusoma neno la mungu sielewi kitu naomba maombi mungu anisaidie nitoka huko kwenye ukame huu sipendi mimi jamani natamani sana kuomba Kwa kumanisha sitaki kuigiza. Na linguine naomba maombi ninauvimbi kwenye kizaza Dr amesema eti ni mkubwa sm 8 naomba maombi mungu anisaidie nipone mimi
Nimefunguka sana na nitatii zaidi kwa upande wa utoaji hasa kusindikiza neno la Mungu.niliahidi mtumishi ulivyokuja mbeya mwezi uliopita kuchagia seminar mwakani mbeya.nitatimiza
Nafarijika kwa kuwezeshwa kuishi ndani ya " UWEPO WA MUNGU " kila wakati nasikia hali ya kutokutoka nje ya nguvu ambayo imejidhihirisha kila wakati. Nikitoka nje tu, napata taarifa ndani yangu , na jinsi ya kutawa hali kwa wepesi mkubwa sana Jinsi ya kufanya kwa hali iliyo njema , na kupata furaha , nimevuka. Papo hapo napata hali ya kumweleza mtu mwingine katika hali yenye nguvu ya aina isiyoelezeka. HAKIKA YESU AMETUSHINDIA. HUCHOKI KWA YOTE UFANYAYO. ( EKA NNU DENNY NDUMM8 Y3SU. ) 🙏
Mungu akubaliki sana Mtumishi mwalimu wake Christopher mwakasege . Azidi kukutunza na kukulinda.. Mungu azidi kukutumia kulijenga kanisa zaidi na zaidi
Faida ya 6. Mungu nakuomba umbariki zaidi Mtumishi wako Mwl. C Mwakasege. Amen
Barikiwa sana Mtumishi ni kweli.
Hata mimi nilishawahi kumtolea Mungu siku moja nilikuwa naenda kanisani nikajisikia nitoe hela zote nilizo kuwanazo. Sikubaki hata na nauli ila Muda wa kuombea sadaka niliona. Mkonge uliokauka unatoka unatembea harafu kikaona mtende umesitawi na pembeni yake vipo vidogo viwili na chini yake yale majani alikuwa yamesitawi sana. Yaani tangia siku hiyo sijawahi kukoswa hela na maisha yangu yalipanda
MUNGU mambo yake ya ajabu, anafanya tusio yawaza kabisa
Amina
Mungu tuone na sisi.
Amen amen
mimi ushuhuda wangu Namshukuru Mungu amenipa kukuombea mwalim.nisipoomba kwa ajili yako na huduma ya mana kuna kitu namis ndani yangu na ninajua kabisa.so furaha yangu kukuombea mtumishi wa Mungu.Na ninabarikiwa na mengi mno kupitia huduma hii hapatoshi kuyataja hapa.Mungu awabariki sana mno.
Amen nimebarikiwa sana, nimekosa usingizi ikiwa bado ni usiku wa manane hspa Ujerumani so nikajikuta niko nawatch hapa na baraka hizi za kujua haya
Eeeh Mungu nataka nikujue zaidi,nikupendeze,nikuguse,niguse Moyo wa Mungu,nipe kutoa kunakokupendeza🙏🙏🙏
Aminaa Mungu wa mbinguni akubariki sana mwalim Christopher Mwakasege pamoja na family yako 🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu ww na family yako na huduma ya ufalne wa Mungu aliye hai iwe na ulinzi siku zite za maisha ya huduma yako
Kupitia kwa mafundisho yako. Niliomba mniombee mamangu alikua akisumbuliwa n magoti. Alikua hawezi ata kutembea. Akaenda hospital akaambiwa ana shida ya moyo n Figo. Mwalimu Mwakasege alisema tuweke mikono kichwan kumuombea yule mgonjwa uko nae. Nikafanya ivo. Kwa sasa mama anatembea vizur sana. Japo bado hajapona kabisa, lakini nina iman atapona kabisa maana Mungu wetu n mkuu🙏🙏
Ubarikiwe sana
Mama Anaendeleaje ?
Asante Yesu Kulisikia neno hili. Nisaidie Yesu kulitendea kazi. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Haya mafundisho mwalim yanarushwa sangapi naomba kujua
Hahaha I love the love between mama na baba mchungaji and I'm blessed by the word today.
Mungu azidi kukufunika na kukulinda mwalimu Christopher mwakasege
Amina baba na mama Mungu azidi kuwainua viwango vingine visivyosemeka.
Mungu aendelee kukuinua Mtumishi wa Mungu. Tunapona kupitia mafundisho yako
Haleluya nawapa Hongera sana Wazazi wangu Watumishi Wa Mungu hadi sasa watuwengi tumefunguliwa sana nakubarikiwa Mungu azidi kuwapaka mafuta nakuwainua viwango vya juu pamoja na baraka tele za Mungu ziwafuate msipungukiwe kabisa
Nawapenda sana nyie watumishi wa mungu wa Izrael,,,,,Napenda sana maubiri yenu Namwomba mungu asinipite Asipite watoto wangu ,,eeeh mungu Nazidi kukuomba unipe mwalim wa neno lako kwenye uzao wa tumbo langu,,,Amen
Woow mungu atakupa
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Nasikia amani na msukumo ndani ya moyo wangu Mungu alitukuze jina lake kupitia wewe😢😢😢😢❤❤❤🙏🙏🙏
4.Mungu atakubariki zaidi 2Kor ......
Ninaponywa kila iitwapo leo kwa huduma yao mwalinu. Ubarikiwe ktka jina la Kristo Yesu.
Ingependeza wachungaji kusimama kwa heshima ya Krisko aliye ndani yako wakati wote umwombapo Mungu.. Amen
Oooooooh thanks God Kuna nyumba nimepanda mbegu Mana niliiombea haina mtoto🙌🙌🙌
Amina mtumishi naomba mungu na mm anime Imani kubwa ya kumjua zadi ye ye🙏🙏🙏
Asante Mungu Baba kunifundisha naomba Roho Mtakatifu anisaidie kutiii. Mbarikiwe watu wa Mungu kwa huduma hii njema. 1WAKORINTHO 15:57-58.
Imani na Upendo vinaenda sambamba, utahubirije pasipo pelekwa? Maneno haya yamenibariki kwa jina la Yesu.Amina
Ahsamte sana Mtumishi. Am Your Number One fun watching from kenya.
Ameni , Mtumishi wa Yesu akubariki.
Amen Mwl Mwakasege, nashkuru sana na Mungu akubariki pamoja na familia yako
Mungu akubariki mtumishi
Amina sn watumishi wa Mungu.
Tunafaidi sana kupitia mafundisho yenu
Baba Mwakasege tutakuchangia wala usikate tamaa tuombee moyo wa utoaji na huruma. Mimi sijawahi kutoa fungu la kumi lakini nimeahidi kwa Mungu nitakuwa natoa kwako ila cjui lini nitaanza. Mafundisho yako ni mazuri sana.Tuliokuwa wavivu kwenda kanisani na wale tuliokatishwa tamaa na wachungaji feki wafanyabiashara na wachumia tumbo ambao wanakatisha tamaa kondoo, sasa tunapata neno la Mungu lenye kiwango kupitia vyombo vya habari na sadaka tunatuma kwa hiyo tunashkuru Mungu ametugusa kwa namna nyingine.Sasa tunapata neno tukiwa kitandani kwa muda wowote You tube,Facebook, tv na redio.
Umenifarahisha haaa haaa eti hujui utaanza lini kutoa fungu la kumi
Usiseme utamchangia Mwakasege sema utamtolea Mungu sadaka, na ukiona unasema hujui utaanza Lin kutoa ujue bado neno halijakugusa vzur
Mungu akubariki sana Mtumishi wa MUNGU maana maneno yako yanaonyesha jinsi gani ulivyo muweka MUNGU moyoni mwako. Ubarikiwe
I love you guys Mungu azidi kuwatunza.
Amen mtumishi wa bwana ubarikiwe sana
Amen baba mtumishiii Mungu akubarikii mnoooo
Haleluya nawapa Hongera sana Wazazi wangu Kwajalein mnatusaidia sana
Asanteee mutimishi.wa Mungu hakika umenena Ameeeen Ameeeni
Wapendwa katika bwana mimi naomb mniombee nimekuwa mkame sana sana sisikii kuomba kabisa haya kusoma neno la mungu sielewi kitu naomba maombi mungu anisaidie nitoka huko kwenye ukame huu sipendi mimi jamani natamani sana kuomba Kwa kumanisha sitaki kuigiza. Na linguine naomba maombi ninauvimbi kwenye kizaza Dr amesema eti ni mkubwa sm 8 naomba maombi mungu anisaidie nipone mimi
Asante Mungu kwa ujumbe hi
Barikiwa mtumishi hill LA Dstv tunaomba kwakweli tunaomba saaana nasi pia
Ameen baba Mungu awabariki mnoo .ss wa dstv watukumbuke na Mungu awatie nguvu
Mungu nizidishie moyo wa kupenda
Nimefunguka sana na nitatii zaidi kwa upande wa utoaji hasa kusindikiza neno la Mungu.niliahidi mtumishi ulivyokuja mbeya mwezi uliopita kuchagia seminar mwakani mbeya.nitatimiza
Nashukuru sana Mwalimu umenisaidia
Barikiwa sana mwalimu
🙏 salama rohoni ni salama rohoni mwangu IT IS INDEED . WELL IN MY SOUL. ASANTE YESU. 🙏
Amen najuingamanisha na neno hili
Amina.Mungu anisaidie,peke yangu siwezi.
Amen barikiwa baba
Mungu akubariki sana baba yetu,mwalimu wetu.
Mungu azidi kuwapa mafunuo zaidi nabarikiwa sana nanyi mbarikiwe mno
Mama sauti ako huwa unanipa nguvu ya kusonga mbele nakupenda Sanaa na ninakuombea piaaa
Ameni.... From Mafinga
Amen mama na baba Mwakasege
Barikiwa Mwalimu
Nafarijika kwa kuwezeshwa kuishi ndani ya " UWEPO WA MUNGU " kila wakati nasikia hali ya kutokutoka nje ya nguvu ambayo imejidhihirisha kila wakati. Nikitoka nje tu, napata taarifa ndani yangu , na jinsi ya kutawa hali kwa wepesi mkubwa sana Jinsi ya kufanya kwa hali iliyo njema , na kupata furaha , nimevuka. Papo hapo napata hali ya kumweleza mtu mwingine katika hali yenye nguvu ya aina isiyoelezeka. HAKIKA YESU AMETUSHINDIA. HUCHOKI KWA YOTE UFANYAYO. ( EKA NNU DENNY NDUMM8 Y3SU. ) 🙏
Amen mtumishi .Barikiwa
Amina mtumish wa munguu
Amen. From Dodoma Tanzania
Ahimidiwe Mungu na kutukuzwa sana milele yote kwa ajili ya upendo media
Barikiwe baba mtumishi wa mungu
3.Imani unayoitumia Ktk kutoa sadaka inakupa sauti
Barikiwa sanaa Mwl
God bless Upendo media
Nakushukru MUNGU Kwa upendo wako kutupa mwalimu naomba uzidi kumpa afya njema yeye na family yake
Jaman mm mwakasege ananibariki saana nataman nwe muhubiri kama yeye Mungu nisaidie
Mungu akutendee sawasawa na haja ya moyo wako
Ameeen
Barikiwa mtumish
Asante Yesu kwa mafundisho haya, Mungu azidi kukulinda na kukubarki Mtumishi🙏🙏🙏
Mungu awabarik
Mungu alietufilia pale msalaban azid kukulinda mwalimu...
Baba na Mama ninawapenda sana Mungu azidi kuwatunza milele
AMEEN from Mtwara
Asante Muumba kwa ajili ya mtumishi wako
Aksante Mwalimu Wa habari ya Bwana Mungu akubariki
Mungu kwa kupitia mtumishi wako nipe na Mimi nikutumikie kwa nguvu zako
Amin na iwe hivyo pokeya kwa jina la Yesu
Mungu azidi kukubariki hakika mafundisho yako ni mazuri.
Amen !! ....amen !!?....Kenya....watamu.
Salama moyoni mwangu
Asante kwa ombi la DSTV kweli tunakosa hii Neema . Naamini mtatukumbuka. Ubarikiwe Elisha wa kizazi hiki
Amenị barikiwa
Mwalimu asante ni furaha toka Goma/DRC,haja ya moyo ni Siku moja niongeye Nawel🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen baba
Always blessed dady
Love you dady n mom very much.
Utukufu kwa Yesu.
Salama rohoni mwangu
Napokea kwa jina la YESU
Ameeen
Hakika Neema ya Mungu isikupungukie Mwal. C Mwakasege.
Aminaaa
Amen Amen
Amén Amen 🙏🏾
Amina
Glory to God.
Glory to God 🙌
Nenda Kakae...
Nimeipenda
Ee Mungu nifundishe kukupenda
Jamani mnai deslike haya masomo MPONE KWA JINA LA YESU;
Hawajui maana ya like na dislike wasamehee
@@RevivalTime_RT haapo umemaliza dadangu
Thank you Jesus Amen
Good respect
From Qatar tuko
Mungu akubaliki sana Mtumishi mwalimu wake Christopher mwakasege . Azidi kukutunza na kukulinda.. Mungu azidi kukutumia kulijenga kanisa zaidi na zaidi
2.upako ulio juu yao utakuja na juu yako pia Neh 2:8
Amen from Dar city