SADAKA NA FUNGU LA KUMI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 25

  • @sirnunda3758
    @sirnunda3758 Год назад +3

    Wagalatia 3:13 Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya torati maana yeye alifanyika laana kwa ajili yetu maana imeandikwa amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti.Pia kumbuka torati ilkuja kwa mkono wa Musa Neema na kweli ilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.Pia 1Petro inasema tumekombolewa si kwa vitu viharibikavyo si kwa fedha au dhahabu bali ni kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo.Katika agano jipya tunatoa kwa moyo wa shukrani hatutoi kwa kufuata masheria ya torati.Maana wana laana wote waifuatayo torati na masheria yake

  • @grasherchavala2732
    @grasherchavala2732 2 года назад

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa neno la mungu juu ya sadaka

  • @grasherchavala2732
    @grasherchavala2732 2 года назад +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @felisternyakina9873
    @felisternyakina9873 3 года назад +1

    Fungua la kumi limenifunza mambo mengi Asante Mungu 🙏🏼 moyo wangu🙏🏼 haukunungunika kwa kutoa fungu lako

  • @ananialuoga4885
    @ananialuoga4885 3 года назад +1

    Hatuko chini ya sheria tena kama tutatoa fungu la kumi haina maana ya Yesu kufa msalabani ila katika agano jipya Mungu anasema sisi pamoja na tulivyonavyo ni mali ya Mungu hivyo tunatakiwa kutoa zaidi ya fungu la kumi

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 6 месяцев назад +1

    Fungu la kumi hutolewa pale Mungu alipokuelekeza

  • @adelaidekisinda2115
    @adelaidekisinda2115 5 лет назад +1

    Powerful preaching from a man of God. I'm blessed

  • @osphatmwahalende6184
    @osphatmwahalende6184 3 года назад

    Aminaa Bishop kwa ujumbe mzuri na wenye nguvu,

  • @shillahelisha8581
    @shillahelisha8581 Год назад +1

    Mm sijawahi kuona ktk Agano jipya kanisa linahangaika na Fungu la 10. Halafu Kama lilikuwa ni moja ya Shera ya Taifa la Israel, Mbona tumechagua kwenda na sheria hyo tu, Je Mbona tumeacha sheria zingine, Hv ukiacha sheria moja ktk agano si tunakuwa tumekosea ktk yote

  • @AmaniPascal-go3ux
    @AmaniPascal-go3ux Год назад

    Hongera mtu wamungu

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 5 месяцев назад

    Amen and amen 🙏🙏

  • @evangelistelishamwasile4380
    @evangelistelishamwasile4380 3 года назад

    nashukuru kwa ujumbe bishop

  • @josephmasonga8714
    @josephmasonga8714 5 лет назад

    Ujumbe mzuri Mungu azidi kukutumia

  • @friminitv5589
    @friminitv5589 3 года назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu..

  • @nkurukiyesamuel4043
    @nkurukiyesamuel4043 Год назад +1

    Huu ujumbe una kasoro,kwa sababu mitume,Yesu,hawakutoza au kutoa fungi la kumi.😢
    Walipewa walawi sababu hawakua na mashamba au kazi nyingine,Leo wachungaji anamiliki magari,maduka,manyumba,ndege….
    😅
    Unaniombea nipate hela wewe unashindwa kujiombea uzipate!
    Tunaishi nyakati nguma za mwisho mapato na maisha magumu haviwiani, unapewa miezi mitanu bila kulipa loan(deni) kwa sababu ya corona au vita za ukrain utapata fungu la kumi lini?
    Mungu Alijua hali ambavyo ingekua Leo.
    Ingekua ni ujumbe unaowahusu hawahawa wachungaji ungesikia hii kutoboka mifuko na kuharibikiwa katika hali halisi ,mara simu :WANGESEMA NI KATIKA HARI YA KIROHO,mbona sabato ipo agano jipya na Yesu aliihudhuria,iko katika amri,lakini wanaipuuza wakazana na 10%?
    Mchungaji afanye kazi ,makanisa mengine yasiofundisha hivi ,hauwezi kua mchungaji ukiwa mvivu ,usiwe na kazi yako.

  • @ananialuoga4885
    @ananialuoga4885 3 года назад

    Wachungaji msifundishe masomo ambayo hayapo ni kwaajili ya matumbo yenu mmekuwa wachungaji wa mishahara siku ya mwisho mtahukumiwa na ukifatilia hizo fedha haziendi kwenye maendeleo ya kanisa utakuta yote yanaenda kwa mchungaji hii ni hatari sana

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 2 года назад

    Ubarikiwe mtumishi ila nina swali ni sahihi kutowa sehemu ya kuhani ambaye kanisani kwake hawali meza ya Bwana?

  • @sangameshack8007
    @sangameshack8007 3 года назад +1

    Uwongo umekuwa mwingi kuliko ukweli ktk haya mafundisho

    • @thomaswegoro4331
      @thomaswegoro4331 3 года назад

      barikiwa sana mtumishi.
      ukiona mchungaji anahubiri habari za sadaka na zaka au fungu la kumi huku akitumia AGANO LA KALE kuliko Agano jipya jua kuna tatizo. Aidha hajui kua kwa mujibu wa yeremia 31:31-34 au wagalatia 3:24-27 agano la kale limeondolewa na sasa dunia nzima itahubiriwa injili(AGANO JIPYA)
      wachungaji wanatumia ujinga(sio tusi)wa wahumini wao katika maandiko ili kujiimarisha kiuchumi.
      Wachungaji wanapenda agano hilo katika mambo ya utoaji tuu ila ukiwambia wafate amri sheria na maagizo waliopewa waizrael hawataki.

  • @arafaswalehe4660
    @arafaswalehe4660 3 года назад

    Hivi sadaka kubwa ni IPI kama sio kujitoa mwenyewe kama yesu alivyojitoa! Nauliza tu wapendwa

  • @ananialuoga4885
    @ananialuoga4885 3 года назад

    Fundisha kwanini agano la kale waliambiwa watoe fungu la kumi? na tumia agano jipya wapi Mungu amesema tutoe fungu la kumi? katika agano jipya hatujalimitiwa kumtolea Mungu usiwafunge watu wa Mungu

  • @samwellaiser8421
    @samwellaiser8421 3 года назад

    Samahani mtumishi unawafunndisha wazungu au watanzania usichanganye lugha

  • @rgctoangoma
    @rgctoangoma  5 лет назад

    Glory to God

  • @sangameshack8007
    @sangameshack8007 3 года назад

    Kumb.14 tusomee yote.Usikatekate mchungaji,kuna ukweli uko hapo