NGUVU YA SADAKA - Pastor Myamba.
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
This is the Official RUclips Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
-----------------------
For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
-----------------------
Follow Us:
Instagram: / pastormyamba
Facebook: / pastor-myamba-12973112...
RUclips: / pastormyamba
Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030
Amina pastor nimependezwa na mahubiri yako Mungu wa mbingune akubariki
Nimebarikiwa kwa mafundisho yako Pastor,nimepata kitu leo nitafanya Agano na Mungu juu ya wtt wangu leo kwa sadaka ,barikiwa
Nmepata nguvu ya kusimama tena juu Kila nilichokikatia tamaa
Mungu na aendelee kukupa maarifa zaidi nimepeta vitu
Mungu akubari sana mchungaji nimejua mengi san
Amen kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen
Amen en amen nabarikiwa sana na mahubiri yako mungu akubariki sana mchungaji
Ameeen nimejifunza saana
Nakufatilia Saana Pastor Myamba
Mungu akusaidie
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu nimeelewa sana
Tuna Tengeneza Agano NA Mungu
Barikiwa pastor, following from Kenya.
Barikiwa sanaaah from kyenya
Mungu apewe sifa
Mungu akubariki
Amen...
Nimependa mahubiri yako
Amen mtumishi
Asant mujungaji ubarikiwesana
Amen
Asantee sana pastor kwa mafundisho mazur mungu aliye hai azid kukutia nguvu uzid kuifanya kazi yake
Barikiwa sana pastor maubiri yako nayasikiaka sana barikiwa sana
Mungu akubariki sana pastor myamba maana nazidi kupata maarifa kupitia neno la mungu lililopandwa ndani yako nakuli fikisha kwangu,amina sana.
kweli kabisa Mungu akubariki sana kwa mafundisho
Ameen mtumishi barikiwa sana.
Hiy n kweli amen
Uko fty Mr
Je umeona hii? ruclips.net/video/uuys2mDFDi0/видео.html
Amen
Amen 🙏
Amen 🙏