VITA VYA KIROHO - Pastor Myamba.
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
This is the Official RUclips Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
-----------------------
For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
-----------------------
Follow Us:
Instagram: / pastormyamba
Facebook: / pastor-myamba-12973112...
RUclips: / pastormyamba
Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030
Amen amen
Hii ni neno sasa nasikia kuinuliwa kiwango kingine barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu
Amen mtumishi wa mungu nimebarikiwa kabisa mungu azidi kukupa nguvu za kuhubiri
Asante sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana 🙏
Amen
Nafatilia nikiwa Urusi, nabarikiwa sana kila nikija kwenye channel hii,
Akika nashukuru roho mtakatifu kwakunionesha channel ihi akika imenifunza kuomba naninajifunza mengi sana mpaka nasikiya machozi sana Mungu akubariki mchungaji
Aki nafurai kuona ukiwa imara pastor,tangia nikuone mkia act na marehemu kanumba.ni Maggy kutoka kenya
Baba shallom naomba maombi yko kila sku usku spati usingi kunakucha niko macho na kesha baba nisaodie
Ukweli kabisa mtumishi Yani mtu asipo fungua mlango Yesu aingie,vita iko